Waziri mkuu mh. Kassim majaliwa tunakushukuru sana sana baba kwa kazi kubwa sana uliyoifanya na kutekeleza majukumu ya ofisi ya waziri mkuu na kuwatumikia watanzania wote bila kujali itikadi zao za kisiasa, kidini na Mimi in shahidi wako nimekufuatilia Sana kwenye vyombo vya habari
Wabunge wa ccm ni mtihani wakisimama wao ni kweli mtihani ambao ni timu,timu zungumzia maisha ya watanzania huyu jamaa hana uwezo tunachokiona ni kujipenekeza>
Hata mimi huwa najiuliza hivi fisiem huwa wanaakili kweli au ndo siasa yao ya kuongea mipasho baada ya kuongea hoja za Maendeleo, Fisiem tunafeli wapi haaaahaaa sipati picha jimbo lake hali ilivyombaya
Njaa mbaya mbunge anaongea mipasho badala ya kujadili tatizo la corona ni namna gani tutaweza kuokoa wananchi jamaa nawaza ubunge hapa ndio utajua njaa mbaya.
Wabunge kazi yao kusimamia serikali, sio kusifia tu, ndio maana Kuna mawaziri ikitolewa hoja ambayo Ni dhaifu wanaitolea ufafanuzi, na hapo ndio maendeleo ya kweli yatapatikana. Ikitaka wabunge wapongeze tu bila kukosoa haiitende haki kazi yao na haina maana uwepo wao
@@solemba595 kamanda eeeeh na siku wabunge Wa chadomo wakiwa wanamkejel rais bungen badala ya kuchangia hotuba uandike maneno uliyoandika Leo sawa eeeh. Maana nao tumewazoea ndo stail yao
Majimbo yapi Tena Wewe unayoongelea kwa akili yako upinzani waizidi Ccm kweli upo nchi gani Wewe au ndio wale wenye machungu ya kutumbuliwa na kukosa ajira
@@cosmasdaud9088 ungejua usingeongelea kuhusu kumbuliwa mimi sio type ya kutumbuliwa.... Naongelea nchi hii hii nafikiri ww ni mwajiliwa na ndo maana unaongea kuhusu kutumbuliwa. ..lakini toka awamu hii imeingia Madarakani nafikiri kuhusu nyongeza ya Mshahara unaisikia nchi jirani.
Majaliwa kuwa Rais hakuna haja ya upinzani katikati ya watesi lakini yy anasimamia haki kiongozi mweledi ccm ni majaliwa na samia wengine nyie lazima muende ICC na hakuna kujitoa mahakama ya kimataifa mmezoea
Kwani wananchi hawatapiga kura? Au mambo ya upinzani itakuwa kama kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa? Kwa nafasi ya mh rais tunaelewa haina upinzani lkn wabunge na madiwani no comment... tusubiri wakati utuambie kwa sasa tumuombe Mungu atuepushe kwanza na janga la Corona. CCM hoyee.
Huwaga wanachanganyikiwa pale wanapomuona ndugai anacheka na kusahau point huwezi ukaponda upinzan kuwa wamechelewa halafu wewe unaomba like walichochelewa wewe Ni Nani kwako mda haujaisha?
Duh unakosoa wanaomba barabara za lami then unaomba barabara za kukusanyia Kura kwani nani kakuambia barabara ya lami hazikusanyi kura ??? Na unapigiwa makofi?
kama kuna mbunge hajuwi alichoenda kufanya bungeni ni lusinde, hatetei jimbo lake yeye ni matusi bungeni. waafrica tumekwama wapi msimchaguwe huyu hana lolote
si Tanzania tu, DUNIA nzima. Huu mfumo wa Ubepari na Demokrasia imeletwa na nani hapo kwetu Africa? Democracy is just a fake system used by the elites to control the masses. Welcome to Capitalism 😁
Naww mbona unaomba barabara zitengenezwe kwan ww hayajakufika shingon waonba barabara za nn? Kwan yule aliomba barabara itengenezwe yy anakwenda kuiweka mbibguni? Kwamba yy barabara yake haikuharibiwa na mvua .Hiv ninan asie jua mvua za mwaka huu zimeharibu miundo mbinu? Ama ndio ule msemo ndege woote walie lkn akiria bundi ni uchuro? Achen porojo zenu za kubwabwaja kujisifia wakat huko mitaan hali mbaya wananchi wanalia miundo mbinu na makaz ya watu yamebebwa na mafuriko lkn hamshurik na kaya zilizo kosa makaz mnakaz yakujisifia sifia tu akujishibisha matumbo yenu had makot hayafungi vifungo wananchi huko nje taaban. Yote kwa yote kuwen sirius na CORONA magar ya washa washa yasambazwe nchi nzima kwa kupulizia madawa kila mahala nasio kuwamwagia wapinzan maji ya washa washa hili ndio mnaloweza lkn muhimu yale na ya serius mnachukulia poa tu oooh my God bless Tz🤲🤲🤲🤲🤲
Yaan kuna viongozi wanaongeaga pumba kweli. Badala ya kuongea point unaongea siasa, spika mwenyewe anaongea anatumia kiti vibaya. Badala ya kulea vyama unalea chama?????
Katika vitu najutia katika Maisha yangu ni kuzaliwa Tanzania. Watu hawabadiliki wako hivyo hivyo kila kukicha. Wabunge wanakalia majungu na umbea tu hakuna Mwaka wanakua na ubunifu. Kule Poland wenzetu wanatumia viazi vitamu kuzalisha Sukari inayopatikana mwaka mzima kwetu Wabunge wanakalia kutafuta nani awe Rais Mwala 2020 na 2025. CCM ni watu wanaingia madarakani kujitafutia wao na familia zao ridhiki huku Watanzania wakiteseka. Hivi hii ni nchi ya Watu kunywa chai bila Sukari kweli?. Wawekezaji wanaiogopa kwa kuwa na Rais asiyejali mitaji ya watu. Watanzania tutakalia majungu na umbea wa kina Lusinde. Katika wabunge hovyo ni huyu Lusinde. Sijawahi kusikia akichangia mambo muhimu yanayohusu Nchi wala jimbo lake hata siku moja. Hata wanaomchagua kwenye jimbo la Mtera ni kwamba wamekosa wasomi ndio maana anachaguliwa kila mwaka wa uchaguzi. Mbunge anasimama kwa mda wake wote anaongelea CHADEMA na sio chama chake na jinsi ya CCM kushinda uchaguzi upuuzi mtupu. Hata Watanzania wengine tumeiga huo ujinga hatujitambui. Angalia nchi inakosa misaada WHO kwa kuficha watu wanaokufa na kuugua COVID19. Badi kuna Watanzania wanashabikia wanaona ni sawa kabisa kuficha wagonjwa na vifo. Katika nchi naichukia ni hii inayofilisi watu wenye uwezo wa kuanzisha viwanda na kubakia kuongelea jinsi ya kushinda uchaguzi. Watanzania tuna hasara kumbwa sana kuongozwa na CCM. Kila anaeingia madarakani anakimbilia kujenga kwake hivi kweli kiwanja cha ndege cha Bilioni 44 ni cha kujengwa CHATO wakati Makao makuu Dodoma hakuna kiwanja cha ndege. Viongozi hawaangalii hasara tunayopata kujenga vitu muhimu mahali havina umuhimu wa kujengwa. CCM wote wako hivyo sioni mwenye nafuu. Unaacha kupanua Bandari ya Dar es salaam unaenda kujenga bandari Bagamoyo kweli CCM ni madungayembe. Pamoja na kejeli zote mnazopewa CHADEMA bado tunawahitaji kwani hakuna nchi Duniani haina wapinzani. Sera wanazotumia CCM kuongoza nchi nazisoma hapa kwenye sera zenu japokuwa wamejaribu kuzitekeleza kwa wakati mmoja na kufilisi nchi. Hakuna miradi mikubwa hivi Duniani inayofanywa kwa kipindi kifupi ni lazima kuifanya kwa awamu. Watanzania wamelipa kodi mpaka Surwali hazikai viunoni mpaka waongeze matundu. Mimi nawadokeze tu Watanzania kuwa bado hatujapata shida ndio zimeanza hivyo hivyo tujiandae kupata mateso bila chuki. Ukijaribu kusema au kutoa ushauri kwa CCM jiandae kukatwa kichwa. Kwa Magufuli lazima ukatwe kichwa maana haambiliki. CCM tupatieni idadi ya wagonjwa na vifo vya COVID19.
Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 21-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.
Lusinde umechekesha sana . Nilikuwa nimekumiss kwa hoja zako zenye mshiko.
Nakukubali Sana LUSINDE Wape makavu nyumbu hao
Lusinde hujawai kuharibu big up.
Sikudhani Machaku ushawahi kutembelea jimbo lake
Majaliwa ni RAISI AJAYEEEE,UKIBISHA TUTAKUTANA HAPA 2025
Bezaa shambazuri prof KABUDI It’s our Next president
@@manyotaskipper5765 The next president is a muslim
Miimii squu there is NO COLUMN IN OUR CONSTITUTION state like that
Hakuna kitu kama hicho, fuatilia historia ya nchi hii, mawaziri wakuu huwa wanaishia wapi baada ya kipindi cha miaka kumi.
Kabudi au Majaliwa
Haaaaaaaaa ukweli mtupu hongera Mweshimwa Lusinde nice one. Ukweli mtupu
Waziri mkuu mh. Kassim majaliwa tunakushukuru sana sana baba kwa kazi kubwa sana uliyoifanya na kutekeleza majukumu ya ofisi ya waziri mkuu na kuwatumikia watanzania wote bila kujali itikadi zao za kisiasa, kidini na Mimi in shahidi wako nimekufuatilia Sana kwenye vyombo vya habari
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1
Viva lusinde,,hukamatikii ,,timua vumbiiii tuu mzee
Lucinde, napenda Sana namna unavyo wasilisha hoja, Ubarikiwe Sana.
Wape vidonge vyao lusinde..
UWA NAPENDA KUMSIKILIZA KIBAJAJI MAANA UWA ANANITEKENYA NABAKI KUCHAKA TU PEKEANGU
Kibajaji
@@mabubachitema6264 ndio kibajaji ndivyo anavyo jiita eti
Hongera Kwa kutekenywa
Yani mimi huwa ananichekesha sana anavyochamba
Nakubali sana ccm ccm
Lusinde unawachapa hawa jamaa wasiojijua, 2020 hii haina ubishi kwa CCM.
Kibajaji hatali sanaa😂😂😂
Iwe isiwe mhe. Rais Magufuli 2020 nchi yako .😂😂😂😂 wee kibajaji tishio kwakweli
Mzee lete Rami jimboni kwako (mtera)huku hakuna miundo mbinu Mibovu sana
Lusindeoyeee
Wabunge wa ccm ni mtihani wakisimama wao ni kweli mtihani ambao ni timu,timu zungumzia maisha ya watanzania huyu jamaa hana uwezo tunachokiona ni kujipenekeza>
Akili kumku....
Ukiwa mlafi bana lazima utunze bakuli lako vizuri. Heshima kwa njaa.
Uchaga unakusumbua
Lusinde hania songwe ugombee jimb LA tunduma
Ww ni kiboko kweri
Lusinde bana dah!
😂😂😂😂😂
yani nimecheka hadi nimejamba maaamae😂😂😂
Mwanaume kujamba ovyo ni ushoga we unacheka tu alafu unajamba
@@lawrencehezronmwakalebela2738 kujamba afya boya wewe
Asante lusinde
Unajuwa lusinde anapendeza angekuwa mwimba taarabu
Maguu miaka 30
Walahi Lusinde amenishinda tabia kha!
😜😂😜😂😜😂
😆😆😆😆😆
😂😂😂 hata Mimi kanishinda haise
Jamani watu wengine hawafai kuwa wabunge. Sasa hapo anapiga kampeni au anajenga hoja??
Safi sn
Wewe acha uhongooooo
8:26 alivyoanza ku mimick kamanda basi mie mbavu shavunja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vzur xana
uko juuuuuu sana
Hili jinga hilii linasema wenzake wanaomba lami nalenyewe wakati linashida ya barabra hiyo niakili matopee
Huyu mzee wa mipasho hawezi rudi bungeni labda kama jimbo lake la Mtera halina vijana.
HATA WEWE LUSINDE AGA KABISA HATUWEZI KUKURUHUSU PALE MTERA UGOMBEE TENA MAANA BADALA YA KUONGELEA MATATIZO YETU UNAONGELEA MIPASHO TU.
Kama mnapendwa mnaogopa nini?
Big up lusinde pot wangu
Nimekuelewa hko mwishon kuhusu Corona ayo mengne ni mazogo tu
PUMBA
Hata mimi huwa najiuliza hivi fisiem huwa wanaakili kweli au ndo siasa yao ya kuongea mipasho baada ya kuongea hoja za Maendeleo, Fisiem tunafeli wapi haaaahaaa sipati picha jimbo lake hali ilivyombaya
Ndio kwakuwapiga na kuwafunga
Huyu kila siku uongea kama mwanamke kila siku
Mm niwashauli tu chadema wasihangaike kugombea urais wapambane kutetea majimbo yao nasijui kama watapata
Mbunge na spika ukuda mtupu!
Njaa mbaya mbunge anaongea mipasho badala ya kujadili tatizo la corona ni namna gani tutaweza kuokoa wananchi jamaa nawaza ubunge hapa ndio utajua njaa mbaya.
Hata wananchi wake naona wanapenda mipasho badala ya kuongea maendeleo
Kwan tatzo nn hapo
Matako kweli ww
😀😀😀
Iv nyie wabunge wa ccm kwanini hamumuigi lusinde
Michango ya wabunge wa ccm haiwasaidii watz zaidi ya kushambulia wapinzani
Kama ilivyo michango ya wapinzan ya kumshambulia rais inayofanywa na wapinzan nayo pia huwa sidhan kama inawasaidia wananch
Na huyo lusinde ndo uwaga anakula nao saani moja wapinzani wanaomshambulia rais
Upumbavu huu tu... badala ya kuongea ya maana mnashambulia upinzani..
We nawe, hiv bongo hii kuna upinzani kwel? Upinzani au makelele tuu,!
Hum hamna akil
Hana akili na yupo bungeni,wewe mwenye akili upo wapi?
🚨🚨🚨🚨 kubwa jingaa iloo
Hiki kichwa ni BALAA!
Kwa majaliwa sawa
Unawaponda upinzani kwa kuomba barabara, na wewe unaomba hivyo hivyo. Endelea kutuchekesha.
Unaponda upinzani wanaomba barabara huku ww unalalamika barabara vijijini vimeharibika upuuuziii mtupu
Kibajaj ndo dawa ya em fo siii, anawanyooshaga ad raha, ha ha ha ha haaaaa
😂😜😂😜😂😜
kusinde balaaaa lao 😂😂😂😂
Kweli ccm hamna wabunge mweee kama ndio hawaaa poleni
We utakua msafwa tu mtoto wa kiume Mweee ndio kitu gani? Hii itakua Mbeya tu.
Serikali sikivu,juu ya corona imejipanga.
Hahaa.kibajaji
th-cam.com/video/A1u2ikiItEs/w-d-xo.html Official vidio by Oti ipo you tube tayari sapoti zenu kwa Kwake ❤️❤️🙏🙏🙏please
Yaan spika anamuunga mkono mtu anaongea pumba kama hivo aisee! Nchi hii..
Badala ya kuchangia hotuba anasifia CCM
Kama ilivo upande wenu tuu badala ya kuchangia hotuba Kaz yenu kumsema magufuli tuu, inawauma eeh! Kuimba kupokezana banaaa, ha ha ha ha haaa
Wabunge kazi yao kusimamia serikali, sio kusifia tu, ndio maana Kuna mawaziri ikitolewa hoja ambayo Ni dhaifu wanaitolea ufafanuzi, na hapo ndio maendeleo ya kweli yatapatikana.
Ikitaka wabunge wapongeze tu bila kukosoa haiitende haki kazi yao na haina maana uwepo wao
@@solemba595 kamanda eeeeh na siku wabunge Wa chadomo wakiwa wanamkejel rais bungen badala ya kuchangia hotuba uandike maneno uliyoandika Leo sawa eeeh. Maana nao tumewazoea ndo stail yao
@@nururajab1281 CCM mmoja umekuja kutetea wenzio
Sasa na ww mbona unaomba barabara tarula awe Mama ako
Endelea kujipa moyo kuwa mnapendwa,,, njooni huku majimboni mtatukuta tu na vioja vyenu vyepesi...... Miaka mitano 5 yenu hii ya ovyo timeishuhudia
in your dreamz..kkkkk...tena safari hii ni 99% CCM..sababu n vitendo sio matusi..vizuri kujipa moyo lakini,well tried!!
Majimbo yapi Tena Wewe unayoongelea kwa akili yako upinzani waizidi Ccm kweli upo nchi gani Wewe au ndio wale wenye machungu ya kutumbuliwa na kukosa ajira
@@cosmasdaud9088 hahahahah,safari hii wabunge wa upinzani wachache sana watarudi.nasubiri kampani zao watakua wanahaidi nini!
@@cosmasdaud9088 ungejua usingeongelea kuhusu kumbuliwa mimi sio type ya kutumbuliwa.... Naongelea nchi hii hii nafikiri ww ni mwajiliwa na ndo maana unaongea kuhusu kutumbuliwa.
..lakini toka awamu hii imeingia Madarakani nafikiri kuhusu nyongeza ya Mshahara unaisikia nchi jirani.
Nafikiri Wengi wenu kwenye hii mitandao ni wataalamu wa kubwabwaja.. Ilikuwa vyema tungesubiri octoba 25
Ila hata mie nimeona suti kali sana kavaa lusinde
Mmm
Wanaompaga kura huyu KONDROO NAWAPA POLE
Nashangaa2 vile watu badala yakutetea wt wanateteana wenyewe
Spika m'mbea
Ayo tv big up brother
th-cam.com/video/A1u2ikiItEs/w-d-xo.html Official vidio by Oti ipo you tube tayari sapoti zenu kwa Kwake ❤️❤️🙏🙏🙏 please
Hata sielew anasema nn zaid nilichokisikia ni hoja ya korona
@@richardjulius3828 mmmmmh haya p1
Wewe ni baba lao
Changia hotuba usifanye campeni
Lusinde🤣🤣🤣🤣🤣
Smart and bright
Huyu mbunge kasom upe ndio hoja za watu wa namna hii. Hayo anayo ongea yanaisaidiaje nchi kama nchi au analeta taarabu bungeni.
Majaliwa kuwa Rais hakuna haja ya upinzani katikati ya watesi lakini yy anasimamia haki kiongozi mweledi ccm ni majaliwa na samia wengine nyie lazima muende ICC na hakuna kujitoa mahakama ya kimataifa mmezoea
Tumuamini nani,cag na ww,mzee hujapitia lipoti ya cag.
Kumbe nae anaomba barabara
Kwani wananchi hawatapiga kura? Au mambo ya upinzani itakuwa kama kwenye uchaguzi wa serekali za mitaa? Kwa nafasi ya mh rais tunaelewa haina upinzani lkn wabunge na madiwani no comment... tusubiri wakati utuambie kwa sasa tumuombe Mungu atuepushe kwanza na janga la Corona. CCM hoyee.
njaa na shule ndio tatizo letu
Yani huyu jama hanaga point kabisa
Mzee wa mipasho anawashangaa wanaomba barabara alafu hapo hapo anasema barabara zimegeuka mito ikatengenezwe
Huwaga wanachanganyikiwa pale wanapomuona ndugai anacheka na kusahau point huwezi ukaponda upinzan kuwa wamechelewa halafu wewe unaomba like walichochelewa wewe Ni Nani kwako mda haujaisha?
Wahenga walisema "mti wenye matunda hupigwa mawe sasa nani mti wenye matunda CCM au CDM?
Lakin kuna aliekivaa cheo
Na wwe ipo cku utaagwa tu ,,kama si kuaga!
mi nacheka kifalaaa
Kwahiyo KWASASA NI CDA WATAKAORUDI NDIO WATAKUWA VYAMA VYA UPINZANI
Mikutano nadhani tusitishe kwa sasa
Wabunge wote wa CCM wamekuwa mawaziri
Cjui anaongea nn amejaza tu tumbo uyo cjui akil yake ipo uko
Elimu yake ndio shida. Hana elimu huyo ni shida tupu. Uwa anaongea ngonjera na sio kingine.
Messi Mwande aaaawaaapi anaongea point
Kumbe rusinge mwimba Tarabu
Hivi akipewa pepa atatoboa kweli
Huyu mzee Livingston nampenda hatari
Paschal Charles ni jembe
Duh unakosoa wanaomba barabara za lami then unaomba barabara za kukusanyia Kura kwani nani kakuambia barabara ya lami hazikusanyi kura ??? Na unapigiwa makofi?
kama kuna mbunge hajuwi alichoenda kufanya bungeni ni lusinde, hatetei jimbo lake yeye ni matusi bungeni.
waafrica tumekwama wapi msimchaguwe huyu hana lolote
Najiuliza siku wakibangi Wabunge wa CCM peke yao sijui atamnanga nani
Jikanyageni tu lakini dhamiri zenu zinawasuta
Haaaaaaa CDA HAAAAAAAAA
Hili halinaga akilii
Hivi nini hitaji la Tanzania. Now I conclude siasa ya Tanzania ni ajira
si Tanzania tu, DUNIA nzima. Huu mfumo wa Ubepari na Demokrasia imeletwa na nani hapo kwetu Africa? Democracy is just a fake system used by the elites to control the masses. Welcome to Capitalism 😁
Naww mbona unaomba barabara zitengenezwe kwan ww hayajakufika shingon waonba barabara za nn? Kwan yule aliomba barabara itengenezwe yy anakwenda kuiweka mbibguni? Kwamba yy barabara yake haikuharibiwa na mvua .Hiv ninan asie jua mvua za mwaka huu zimeharibu miundo mbinu? Ama ndio ule msemo ndege woote walie lkn akiria bundi ni uchuro? Achen porojo zenu za kubwabwaja kujisifia wakat huko mitaan hali mbaya wananchi wanalia miundo mbinu na makaz ya watu yamebebwa na mafuriko lkn hamshurik na kaya zilizo kosa makaz mnakaz yakujisifia sifia tu akujishibisha matumbo yenu had makot hayafungi vifungo wananchi huko nje taaban. Yote kwa yote kuwen sirius na CORONA magar ya washa washa yasambazwe nchi nzima kwa kupulizia madawa kila mahala nasio kuwamwagia wapinzan maji ya washa washa hili ndio mnaloweza lkn muhimu yale na ya serius mnachukulia poa tu oooh my God bless Tz🤲🤲🤲🤲🤲
Yaan kuna viongozi wanaongeaga pumba kweli. Badala ya kuongea point unaongea siasa, spika mwenyewe anaongea anatumia kiti vibaya. Badala ya kulea vyama unalea chama?????
Basi tufanye ww ndiyo spika xaxa.apo kati ya chadema na ccm ungeegemea wapi😂😂 lazma umpendelee unaempenda.kama Simba na yanga tu
Katika vitu najutia katika Maisha yangu ni kuzaliwa Tanzania. Watu hawabadiliki wako hivyo hivyo kila kukicha. Wabunge wanakalia majungu na umbea tu hakuna Mwaka wanakua na ubunifu. Kule Poland wenzetu wanatumia viazi vitamu kuzalisha Sukari inayopatikana mwaka mzima kwetu Wabunge wanakalia kutafuta nani awe Rais Mwala 2020 na 2025. CCM ni watu wanaingia madarakani kujitafutia wao na familia zao ridhiki huku Watanzania wakiteseka. Hivi hii ni nchi ya Watu kunywa chai bila Sukari kweli?. Wawekezaji wanaiogopa kwa kuwa na Rais asiyejali mitaji ya watu. Watanzania tutakalia majungu na umbea wa kina Lusinde. Katika wabunge hovyo ni huyu Lusinde. Sijawahi kusikia akichangia mambo muhimu yanayohusu Nchi wala jimbo lake hata siku moja. Hata wanaomchagua kwenye jimbo la Mtera ni kwamba wamekosa wasomi ndio maana anachaguliwa kila mwaka wa uchaguzi. Mbunge anasimama kwa mda wake wote anaongelea CHADEMA na sio chama chake na jinsi ya CCM kushinda uchaguzi upuuzi mtupu. Hata Watanzania wengine tumeiga huo ujinga hatujitambui. Angalia nchi inakosa misaada WHO kwa kuficha watu wanaokufa na kuugua COVID19. Badi kuna Watanzania wanashabikia wanaona ni sawa kabisa kuficha wagonjwa na vifo. Katika nchi naichukia ni hii inayofilisi watu wenye uwezo wa kuanzisha viwanda na kubakia kuongelea jinsi ya kushinda uchaguzi. Watanzania tuna hasara kumbwa sana kuongozwa na CCM. Kila anaeingia madarakani anakimbilia kujenga kwake hivi kweli kiwanja cha ndege cha Bilioni 44 ni cha kujengwa CHATO wakati Makao makuu Dodoma hakuna kiwanja cha ndege. Viongozi hawaangalii hasara tunayopata kujenga vitu muhimu mahali havina umuhimu wa kujengwa. CCM wote wako hivyo sioni mwenye nafuu. Unaacha kupanua Bandari ya Dar es salaam unaenda kujenga bandari Bagamoyo kweli CCM ni madungayembe. Pamoja na kejeli zote mnazopewa CHADEMA bado tunawahitaji kwani hakuna nchi Duniani haina wapinzani. Sera wanazotumia CCM kuongoza nchi nazisoma hapa kwenye sera zenu japokuwa wamejaribu kuzitekeleza kwa wakati mmoja na kufilisi nchi. Hakuna miradi mikubwa hivi Duniani inayofanywa kwa kipindi kifupi ni lazima kuifanya kwa awamu. Watanzania wamelipa kodi mpaka Surwali hazikai viunoni mpaka waongeze matundu. Mimi nawadokeze tu Watanzania kuwa bado hatujapata shida ndio zimeanza hivyo hivyo tujiandae kupata mateso bila chuki. Ukijaribu kusema au kutoa ushauri kwa CCM jiandae kukatwa kichwa. Kwa Magufuli lazima ukatwe kichwa maana haambiliki. CCM tupatieni idadi ya wagonjwa na vifo vya COVID19.
Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 21-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.
Ccm wanatia kichefuchefu
Saiz unakichefu chefu? Mwez wa kumi ndo utatapika kabsaaaaa