Jazaaka Llahu Khayran. Allah akuhifadhi. Allah akuzidishie wema. Allah akupe Stara na Salama. Allah akukubalie kila Kheri uiombayo kwake na uwaombeayo wengine.
Jadhaka llahu kheir huu mti nilikuwa nakula sana matunda yake na kuvyonza asali iliyopo kwenye maua na tulikuwa tukiilima na kung'oa mpaka mizizi tunatupa maana ilikuwa mingi na kazi yake tulikuwa hatuijui hakika nimepata somo leo juu ya huu mti
Shkrn sheikh Allah akuzidishie umri mrefu uweze ktufahamisha mengi kwani hii dawa itatusaidia wengi kwa maana maradhi tuko nayo hatujui dawa ya kujitibia.
Asalam aleykum naitwa mahmudu mtawa nlkua naulza et kama kuna tiba ya asili nataka kuifanya iyo miti sasa katika uwo mti uktaka ukamilshe utaitajika usomee sula fulan jee kama mungu ajanijaalia kuijua quraan ata alhadu siijui kuisoma je utansaidiaje apo au unawwza ukamwambia mtu anaejua kusoma akanisomea na tba ikafanya kama kawaida au itakua akiubaliki
Assalam alaykum warahmatullah .Sheikh Yussuf Mimi tatizo langu kila nnapoenda naambiwa nimefungwa kiuchawi.sina maendeleo yoyote.kazini nimetolewa na nahangaika mpk Leo walau nipate rizki ya kazi.naomba.jee kuna mti utaonifungua? 8 years
Huosio haung'ong'wa wala sio mpumbpaka huo ni mfurusadi watumbatu wanaita mfusho tundazake zikiiva nyenkundu wengine wanaita mlakunguru mpumbupaka tundazake ni kubwa kama Gololi mpumbupaka nidawaya kifafa
Allah Akbar nlikuwa nauona tuu kumbe una faida hivyo mashaAllah
Wouw pongezi 👏... Je! Mimi ni mkristo na ningependa kujua kile kifungu ulitaja maana mimi naisoma Bibilia... From kenya
Jazaaka Llahu Khayran. Allah akuhifadhi. Allah akuzidishie wema. Allah akupe Stara na Salama. Allah akukubalie kila Kheri uiombayo kwake na uwaombeayo wengine.
Maa sha Allah
Shukran sheikh wetu kipenz cha wengi Allah akupe umri mrefu furaha na amani akuondolee hasadi za waja wake
Mash'Allah shukran sheikh wangu
Mashaallah allah akubarikq tuzidi kupata faida kwa uwezo wa allah
MashaAllah,shukran
JazakAllahu khairan kwa funzo ya tiba
Masha allah barrak allahu feek
Jaazakallah kheri ln shaa Allah Allah atuwezeshe kuchangiya
Insha Allah shukran
MASHAALLAH
Barakah ALLAHU fiiqum hbbi kw masomo mzr y miti hyo ndio tiba asili y kisunnah Ahsantum jazakah Allah kherain shekh
MashaAllah tuko pamoja
Waalykum salam warahmatullahi Shukrn sheikh
Mashaallah ni dawa nzuri sana na inamatokeo mazuri Kama unatafuta ujauzito
Matumizi ya muda gani?
Asante Sana . Je mtu anayesumbuliwa na ngiri msaada.
Mashallah Allah Jazakallah kheir
Sory io ni ya sheikhe
Maahallah Allah akuripe kwa ilimu yako sheikh
Jazakallah kheiran jaza wa ba'adal kheir jannatul firdaus,Amin
Shukurani kwa somo nzuri
SShukraan sheikh
Mashallah
Shukran shekhe
Masha ALLAH
Asante kwa somo sheh, nipo makini nasomolako.
ALLAH akbaru ALLAH akbaru ALLAH akbaru YAA ALLAH Hakika kila jambo nikwa rehma zako Yaa rabiy 🤲☝️
Maasha allah asante sana allah akuhifadhi na akuoongizeee elimuuu
Amiiiin
MaashaAllah
Maa sha allah
Shukran shekh mungu akujaze heri na baraka tele,Mimi mtoto wangu ana sick cell naimani hizo tembe zitamsaidia.
Allahu Akbar Allah bless you
Translate to English
Shukran sana shekhe
Masha Allah mwezimungu akujarie
Asantee sana kwa elimu ubarikiwe sana huu mmea tunautumiaga sana kwa tumbo linalouma
Asante shekh nitajaribu
MASHAALLAH NA SHUKRAN
Allah akubarik shekh vp kwa mwenye tatizo la kuharibu mimba
Asante kaka, waghana sasa hawana bahati. Good job
Shuqran sana doctor mm niko Kenya nitakupataje
Masha Allah. Allah akubarik shekh ysf inshallah dawa zako iwe isbab ya kuponya maradh yetu bidhnillah
Amiiiin inshallah shukran
Asanteni sana
Mashaalla
Asante sana
Mashallah kuhusu uzazi nimejaribu shukran
Masha Allah umepona
mashallah
جزک الله خپر
Asanten mawalimu nyote
mungu awabaliki sana
mashaalllah
Allah akulipe
Ishaalla
Jazakallah kheir mm ni mwanafunzi wako naomba unialike uko niko Kenya
Majani yake ni mazuri kutumia kwa chai yana harufu nzuri sana.sisi tunayaita lantana au maharabia
Inshallah
Asante
Jazakallahul khairati
Salaam alleikum
Dawa ya muwasho ukeni
Good
Asante baba ubarikiwe na mimi nita pima
Shukuran kwa somo
Jadhaka llahu kheir huu mti nilikuwa nakula sana matunda yake na kuvyonza asali iliyopo kwenye maua na tulikuwa tukiilima na kung'oa mpaka mizizi tunatupa maana ilikuwa mingi na kazi yake tulikuwa hatuijui hakika nimepata somo leo juu ya huu mti
Masha Allah our beloved Swaahibu Al-Ashjar for dropping another unique lesson, BarakAllah feek ameen yarab🙏🙏🙏🙏
Masha allah
Dawa ya vikanga
Jamani ndugu zangu hakika miti inanguvu sanaa tena sanna za kupinesha maradhi bila ya athari mwilini
Mfano tu kwa miti inayowasha mwili inakuaje
🙏🙏🙏
Mashaa Allah jazakallah kwa kutufunza hizo dawa
Shkrn sheikh Allah akuzidishie umri mrefu uweze ktufahamisha mengi kwani hii dawa itatusaidia wengi kwa maana maradhi tuko nayo hatujui dawa ya kujitibia.
Amiiiin inshallah
Masangu ga bhademi-kule Mwanza ndo jina lake.
Asante sana shekhe kwa somo zuri. Je kwa sisi wa kristo tutawezaje kusomewa wakati wa kujitibia hiyo dawa kwenye besen? Naomba unisaidie
Mashalwaa je ofisini kwenu nisehemu ganii
Kwerekwe zanzibar
Ma nsha Allah shukran saana shieh wetu
Jee nkijisomea
To be continued
Assalam alaikum, kwenye kuongeza nuru ya maco unakunywa juice yake ao unainyunyizia kwenye maco?
Akasekera in uganda
Sheikh samahani mie nasumbuliwa na hirizi mwilini naomba unisaidie ninateseka sana sheikh
Iliingiaje??
Assalam aleykum
Gess pia hutembea mwilimzima lakiniwaganga hatagess wanasema uchawi
Asalam aleykum naitwa mahmudu mtawa nlkua naulza et kama kuna tiba ya asili nataka kuifanya iyo miti sasa katika uwo mti uktaka ukamilshe utaitajika usomee sula fulan jee kama mungu ajanijaalia kuijua quraan ata alhadu siijui kuisoma je utansaidiaje apo au unawwza ukamwambia mtu anaejua kusoma akanisomea na tba ikafanya kama kawaida au itakua akiubaliki
Kwa mwenye tatizo la kizazi atumie kwa siku ngapi @sheikh
hbr dr dawa inatumikaje kwenye presha ya kupanda!?
Wengine si waisilamu tutafanyaje hapo kwenye kusoma hayo maneno
Huko wapi?
kumbe Mpumbu Paka ni mti mzuri,skua najua
Na kuhusu sukari unakunywa juice kiasi gan
Assalam alaykum warahmatullah .Sheikh Yussuf Mimi tatizo langu kila nnapoenda naambiwa nimefungwa kiuchawi.sina maendeleo yoyote.kazini nimetolewa na nahangaika mpk Leo walau nipate rizki ya kazi.naomba.jee kuna mti utaonifungua? 8 years
Pole sana,mola atakupa wepes utapona
Kama uwasipati siku zangu naweze kunywa tu
Mungu akupe kyocote onataka
Mwalimu kwa wana wake wenye kutafuta mtoto tutatumia kwa muda gani
Mtuambie dawa tunaweza kujikinga ili tusishikwe na uchawi wawake zetu wakitafuta upendoooooo
Jambo mimi natafuta dawa yamwanamimba?
Huosio haung'ong'wa wala sio mpumbpaka huo ni mfurusadi watumbatu wanaita mfusho tundazake zikiiva nyenkundu wengine wanaita mlakunguru mpumbupaka tundazake ni kubwa kama Gololi mpumbupaka nidawaya kifafa
Dawa ya kifafa in ipi
Mukigi(kikuyu
Nskupataje Sasa jmn dr
Namba izo mpigie
Wachaga wanasema ni mshomoro
Hapa Kenya waitwa mshomoro.
InshaAllah Allah Aatuwafikie na nishawatumia walio na matatizo hayo.
Nauliza nakama hujui kusomea?
Na kuna mwenye hajawai nyesha na anataka mtoto, na je anaeza akaitumia iyo dawa?
Hilojinaet mpumbupakanihatari
Asalam aleiyikum warahmatulahwabarakatu
Waleyku msalam warahmatullahi wabarakatu
Dawa ya vidodo ya tumbo nini