ความคิดเห็น •

  • @jeaninevumilia5917
    @jeaninevumilia5917 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂Nimechekaaaaa mbavu zaniuma

  • @RispaAmarah
    @RispaAmarah หลายเดือนก่อน

    Dactari abari naomba utuelezee ya mayai kuna mmoja alikula pesa zangu akiniambia yai alitoa jeneza yangu ndani ya mayai 😢😅😅😅

  • @kazungukakio9600
    @kazungukakio9600 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @SiaminiHussein
    @SiaminiHussein หลายเดือนก่อน

    Jinsi ya kutoa jini mahaba ni ipi?

  • @walkingspringsab-wi9vb
    @walkingspringsab-wi9vb 5 หลายเดือนก่อน

    Tiba ya kumtoa jiji hubuthi wa chooni na jalari ni ipi

  • @christineauma7036
    @christineauma7036 6 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie

    • @annk4929
      @annk4929 5 หลายเดือนก่อน

      Kuja nitakusaidia na maombi

  • @JerusaMkuyu-pw1zo
    @JerusaMkuyu-pw1zo 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂

  • @DawsonKiwia-qt6zf
    @DawsonKiwia-qt6zf 6 หลายเดือนก่อน +1

    Assalaamu alaykum! Shekh mashekh wengi hupenda kujifakhalisha kwa kila neema wanayopewa akiwa na nyumba nzuri, gari, wake hutangaza neema zao kwenye vyombo vya habari au kwenye mihadhara kwa hilo wamefeli.

    • @user-zz5ng1yb8d
      @user-zz5ng1yb8d 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hawajifaharishi kwasababu wanatuelekeza pia dua na njia walizotumia wakapata neema so hawajifaharishi ila hawafanyi uchoyo wanatuelekeza nasi tuneemeke, mi namfatilia sana sh Othman kiukweli ile dua alielekeza kua ndo imemfingulia neema zote, toka nimeanza kuifanya aise sikutegemea kila kitu kinafunguka na kuna mambo nimefanikiwa ndo mana nikaamini yuko kwa ajili ya kutakia heri wengine pia, mungu akupe umri mrefu sh Othman kwasababu nilikua nimekata tamaa kila nalofanya haliwi nikaanza kuyumba kiimani ila baada ya dua ulizoelekeza kua zilikuneemesha moyo wangu umestawi upya baada ya kuzitumia na najivunia kua muislamu.

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 4 หลายเดือนก่อน

      Ufahari ni moja ya matatizo makubwa.

  • @christineauma7036
    @christineauma7036 6 หลายเดือนก่อน +1

    Niko na shida

    • @edwardngugi3537
      @edwardngugi3537 5 หลายเดือนก่อน +1

      Call Jesus Christ of Nazareth do not be entyced by Baal worshippers