ZIJUE FAIDA NA TIBA ZA MTI MKUU |MBAAZI SHEIKH YUSSUF BIN ALLY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 297

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 2 ปีที่แล้ว +19

    Allah atunusuru na hao WACHAWI ambao hawana dini wala utu. Alla awangamize kama alivo angamia Adi na thamud. Amin

  • @NzallaH
    @NzallaH 3 หลายเดือนก่อน +2

    Masha alla.sheik.yusuf.ala.akuzidishie.umri

  • @salimmwinyimvua1884
    @salimmwinyimvua1884 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mungu akubariki shekhe yusuph akupe afya njema na uzima ili uweze kutoa darsa kwa watu

  • @naimajuma3577
    @naimajuma3577 2 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sheikh ila swali n ukitaka kuchimba mizizi ya mbaazi alafu labda mchawi amezika vitu vyake na hujui hakuna dhara na n wakati gani mzuri wa kupanda mbaazi nyumbani Asalaam Aleikum

  • @mpendamgoroka8699
    @mpendamgoroka8699 3 ปีที่แล้ว +9

    Mwenyezimungu akupe kheri duniani Wal akhera

  • @suma643
    @suma643 3 ปีที่แล้ว +43

    Ahsante sana huu mti ninauheshimu sana uliniponya nlipokuwa ninaumwa hali sinapesa si mara moja nshautumia kama dawa. MUNGU YU MWEMA

  • @SaleheMeza
    @SaleheMeza 29 วันที่ผ่านมา

    Asante Sheikh tunakupongeza Allah. Akulipe ,SAME MASHARIKI

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 ปีที่แล้ว +11

    MASHALLAH MY BROTHER I LOVE UR JOB KAZI YAKO I AM ORIGINAL FROM KENYA 🇰🇪 MOMBASA BUT I AM LIVING IN LONDON 🇬🇧 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AishaSaoud-m4i
    @AishaSaoud-m4i 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeupanda kwangu bado mdogo tu lakini wiki 2 zilopita nilikuta kunayai limevunjwa pembeni yake juzi nimekuta imelala kama ilolazwa 😮
    Kumbe yahifadhi vitu vingi vya wabaya isijekua ndo washaanza kuweka vitu vyao subhannaAllah mtihani wallah

  • @ZAINABUTINDWA
    @ZAINABUTINDWA 6 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akuongoze kwenye ibada zako

  • @mwajumasalum6131
    @mwajumasalum6131 3 ปีที่แล้ว +6

    Maashallah Maashallah Maashallah shukran Jazakallah allah kheir

  • @RehemaRasuli
    @RehemaRasuli 18 วันที่ผ่านมา

    Mashallah shukrani kwa elimu ya mti huu

  • @agnesnyota7462
    @agnesnyota7462 ปีที่แล้ว +1

    Asante, utujulishe sana kuhusu dawa za wana wake, tumbo la chini kuuma n'a nikafanya tendon la ndowa n'a ambikiza mume, nimetunzwa siku nyingi na siponi

  • @daulatibrahim7765
    @daulatibrahim7765 4 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah shekh ysf allah akubarik na akuzidishie elmu uzid kutunufaisha

  • @MukamusoniHawa-cj2yc
    @MukamusoniHawa-cj2yc ปีที่แล้ว +3

    Subunanallah,ya Allah tuepushe na ubaya wa wachawi,hapa duniani mpaka siku ya mwisho!tulinde nguvu za giza,tumtumikie wewe pekee Allah!

  • @jenniferomar786
    @jenniferomar786 4 ปีที่แล้ว +5

    Asalam aleykum warahamatul lwahi wabarakatuh Ma'Shaa'Allah Jazakahlaulkhairàan SHEIKH..MOLA AKUZIDISHIE kipaji na akulinde na hasaad na shari zote na sisi sote Mola atujaaliye afya njema ameen🙏❤😊

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 4 ปีที่แล้ว +14

    Masha Allah sheikh May the Almighty Allah reward your good deeds and blessings you & your family..awesome lecture👍

  • @mariamchikoko5498
    @mariamchikoko5498 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah sheikh yusuph Allah akujaalie elimu zaidi

  • @shemsahafidh9129
    @shemsahafidh9129 3 ปีที่แล้ว +4

    Shukran allah akulipe kheir

  • @rayamussa8915
    @rayamussa8915 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah JazakaAllah kheir

  • @nadiaalnamaani9603
    @nadiaalnamaani9603 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah sheikh yusuf alllah swt akuzidishie ilmu

  • @haroonthoya6378
    @haroonthoya6378 4 ปีที่แล้ว +6

    Shukran shekhe

  • @aishahamad3904
    @aishahamad3904 4 ปีที่แล้ว +6

    Jazakallahu khair Sheikh

    • @jordantarimo3356
      @jordantarimo3356 3 ปีที่แล้ว

      Samahan ikiwa ww si muisilam na hizo haya zakusoma zinapatikana wap katika bibilia

  • @privanuskatinhila1473
    @privanuskatinhila1473 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa maarifa na Elimu hii muhimu

  • @MkusaMfaume
    @MkusaMfaume 10 หลายเดือนก่อน +1

    She nimekuelewa sana Mungu akupe ufahamu zaidi Ili uweze kusaidia wanadamu.

  • @ChristianAntony-xd8jt
    @ChristianAntony-xd8jt ปีที่แล้ว +4

    Kwa sisi wa dini tofauti tunafanyaje kuhusu hizo haya,

  • @guhgghhg8592
    @guhgghhg8592 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah akbar, Allah akulipe kheri inshallah

    • @ummymohamed869
      @ummymohamed869 3 ปีที่แล้ว

      Assalam aleykum asante sheikh Yusuph Allah Akubarik

  • @shadiahborandi2687
    @shadiahborandi2687 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukurun sheikh Allah akuripe kira raheli

  • @mkasrmohammed3794
    @mkasrmohammed3794 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah Allah azidi kukupa elimu yenye manufaa inshaallah

  • @angelmirindi2234
    @angelmirindi2234 4 ปีที่แล้ว +4

    Thank you so very much ,in south Africa

  • @mwanaididarasa3782
    @mwanaididarasa3782 4 ปีที่แล้ว +6

    Shukran shekh

  • @omarsultan7195
    @omarsultan7195 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashallh shekhe wetu

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 ปีที่แล้ว +3

    Shukraan sana sheikh wetu Allah akubariki

    • @rachelzefania8490
      @rachelzefania8490 3 ปีที่แล้ว

      Hostazi naomba unisaidie ninatatizo baomba namba

  • @idrissamkundage6376
    @idrissamkundage6376 4 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh alhamdullilah Ila vp tunaweza kuwaonaviumbe hajwahi tofu kwa kutumia mti huu

  • @evodiadominicpaul5006
    @evodiadominicpaul5006 ปีที่แล้ว

    Asante shekh wetu Mungu akubariki sana

  • @AhmedAli-xw6xf
    @AhmedAli-xw6xf 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akbrk sheikh Yussuf

  • @suheilahsuheilah4968
    @suheilahsuheilah4968 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe kheri fidunia wal-akhera

  • @atikutitus5487
    @atikutitus5487 4 ปีที่แล้ว +6

    Thank you so much watching you from DRC Congo

  • @ashurakhamis7949
    @ashurakhamis7949 11 หลายเดือนก่อน

    Asante shehe muungu akujalie na afya uzidi kutupa dawa

  • @zulekha-jv9rn
    @zulekha-jv9rn 6 หลายเดือนก่อน

    Shukran shekh kwamafunzo mazuri

  • @hadasuleimanhaji7823
    @hadasuleimanhaji7823 5 หลายเดือนก่อน

    Mashalla allah akulipe kila la heri biidhnilla

  • @kawawamaige2973
    @kawawamaige2973 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe rehema shekh

  • @arafatmohd4609
    @arafatmohd4609 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shukran sana kwa elimu nzur

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 3 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah tabatakallah

  • @kalengemochi9471
    @kalengemochi9471 3 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante sheikh wangu. Twakupata msumbiji

  • @suheilasuheila809
    @suheilasuheila809 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah

  • @mangojr3535
    @mangojr3535 4 ปีที่แล้ว +7

    shukran

  • @alhajjngoliomahmud6657
    @alhajjngoliomahmud6657 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallahu khair

  • @salimjillo7191
    @salimjillo7191 13 วันที่ผ่านมา

    Allah akujaalie kla la kher inshaAllah

  • @ramadhanipaulkwel2317
    @ramadhanipaulkwel2317 ปีที่แล้ว

    Shekh yusuph Allah akuzidishie dawa uloelekeza ya vidonda vya tumbo imenisaidia sana nami nimesaidia watu pia, tunaomba tusaidie ya PID pia.

  • @MikaKav
    @MikaKav 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Dr

  • @fawziadarabu9727
    @fawziadarabu9727 4 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani shekhe

  • @marianabuhorera6149
    @marianabuhorera6149 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa kutupa abc za mti huo

  • @situmaimshana7883
    @situmaimshana7883 3 ปีที่แล้ว +6

    Masha allah

  • @hajihassan7642
    @hajihassan7642 3 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante shekh kwa elimu .

    • @johndick2971
      @johndick2971 ปีที่แล้ว

      Kama haujuw kialabu jee

  • @haroonthoya6378
    @haroonthoya6378 4 ปีที่แล้ว +5

    Shekhe twashukuru kwa maelezo yako mazuri mno

  • @kawawamaige2973
    @kawawamaige2973 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika tunakushukuru kwa elimu ya tiba tunayoipata kutoka kwako hakika Mora akubariki sanaaa

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah shukrani

  • @mwanasitingenya4526
    @mwanasitingenya4526 5 หลายเดือนก่อน

    Sheik mimi nina shida tumbo langu limekuwa kubwa sana naomba tiba

  • @jonathanmunisi8788
    @jonathanmunisi8788 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana

    • @nyembofloride4847
      @nyembofloride4847 ปีที่แล้ว

      Asalamreko sheheh mimi nimesikia mafunzo Yako yamenifulaisha nataka unipe namba Yako tuzungimze vizuli

  • @dumasbajun0012
    @dumasbajun0012 2 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa ALLAH Shukran Sheikh

  • @ftft4269
    @ftft4269 2 ปีที่แล้ว +1

    Bismilah mashaallah tabaraka Rwahman

  • @ramawandala9535
    @ramawandala9535 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante kwa kutupa elimu

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว +4

    Jazakaallahu khairan inshaallah

  • @IsmailMketo
    @IsmailMketo ปีที่แล้ว

    Shukrani xana

  • @AlidiNajma
    @AlidiNajma ปีที่แล้ว

    Shukrani.sasa mwamm.mbaona mm ninashidanawzye nitakupata aje

  • @MariamSwaleh-x1v
    @MariamSwaleh-x1v 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah tabarakaallah

  • @anliomar4308
    @anliomar4308 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mungu akulipe kheri

  • @omanjalan582
    @omanjalan582 11 หลายเดือนก่อน

    ASANTE SHEKH JAZZAKALLAH

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 5 หลายเดือนก่อน

    Masha-Allah ❤❤❤❤

  • @ashaali9
    @ashaali9 ปีที่แล้ว +1

    Tabarakallah

  • @jobmauga1938
    @jobmauga1938 2 ปีที่แล้ว

    Allamdhulilla Sheikh Yusufu

  • @PatriciaKavata-w1m
    @PatriciaKavata-w1m 2 หลายเดือนก่อน

    Asante dakitari

  • @lydiamichael5509
    @lydiamichael5509 4 ปีที่แล้ว +6

    MASHAA AA LLAH

    • @haroonthoya6378
      @haroonthoya6378 4 ปีที่แล้ว

      Salute

    • @subirampugusi4948
      @subirampugusi4948 2 ปีที่แล้ว

      @@haroonthoya6378 mie nimepanda mibaazi je si hatari kwangu?

    • @subirampugusi4948
      @subirampugusi4948 2 ปีที่แล้ว

      Naomba unijuze ili km vipi ning'olee mbali naogopa

  • @oscarpaul7908
    @oscarpaul7908 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante nimeelewa bado kutekeleza

  • @binloufy454
    @binloufy454 4 ปีที่แล้ว +4

    Ma sha allah

  • @khelefabdulla2604
    @khelefabdulla2604 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani shekhe mi na mtoto wangu toka alipoZaliwa mtoto huyo hajaenda wala hakai kitako na hazungzi huu mwaka wa pili mtoto yupohivi hivo nishashoka kuhangaika nisaidie shekhe

    • @swaphiatysaid5332
      @swaphiatysaid5332 2 ปีที่แล้ว

      Assalaam Alaykum uko wapi nikusaidie japo kwa ushauri

  • @azzaaljahdami8115
    @azzaaljahdami8115 3 ปีที่แล้ว +2

    سبحان الله

  • @bahezaasha3474
    @bahezaasha3474 3 ปีที่แล้ว

    Alla'akulipe'heri

  • @omarykimweli1274
    @omarykimweli1274 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwel kabisa

  • @NassoroKilehe
    @NassoroKilehe 2 หลายเดือนก่อน

    Shee Yusuf

  • @AmuriMdoe
    @AmuriMdoe 5 หลายเดือนก่อน

    jazallah khair

  • @ThomasBaya-n7n
    @ThomasBaya-n7n 6 หลายเดือนก่อน

    Asante umnielimisha

  • @NyemboMwenda
    @NyemboMwenda 24 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mungu apate kukuhongezea tena maharifa ,
    Sasa napenda unitie kwenye groupe yako ya dawa asili nikuwe nakufata kwa kila vidéo yako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Ruthjohn-j3j
    @Ruthjohn-j3j 2 หลายเดือนก่อน

    Habari nina mjukuu wangu ana miaka kumi aongei wala aelewi naomba unisaidie

  • @utafitiwamimea9825
    @utafitiwamimea9825 2 ปีที่แล้ว

    TUNASHUKURU SHEKH

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Tulifundishwa grupu faifa ya mbaàazi

  • @oficialldulhan7830
    @oficialldulhan7830 3 ปีที่แล้ว +2

    Makali definitely a ikiwa spital

  • @laurentnyembo7078
    @laurentnyembo7078 2 ปีที่แล้ว

    Mi na shukuru kabisa🙏

  • @officialwaponera8119
    @officialwaponera8119 3 ปีที่แล้ว +1

    shekhee samahan je naweza kufungua vfungo vya kichawi kupitia mbaazi

  • @VioletMunala-nw1bn
    @VioletMunala-nw1bn 24 วันที่ผ่านมา

    Yes

  • @nrr-qv8xz
    @nrr-qv8xz ปีที่แล้ว

    Very nice bro

  • @TausiShaban-y5t
    @TausiShaban-y5t ปีที่แล้ว

    Insha-allah

  • @listerkasungwe2837
    @listerkasungwe2837 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante

  • @SofiaBaissa
    @SofiaBaissa หลายเดือนก่อน

    salama llenkm Mimi naomba nipate ujazito naomba unisadie🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @hopeelimasha3535
    @hopeelimasha3535 9 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @lilianmwakalinga2233
    @lilianmwakalinga2233 ปีที่แล้ว

    Tunashkuru kwa mafunz mazuri

  • @bigsheshe2487
    @bigsheshe2487 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona Mimi sijaona ktk quraan Wala Hadith ya mtume hizo dawa za mines nyinyi mmefundishwa na majini haya matokeo ya miti

  • @MichaelMunyanya
    @MichaelMunyanya 23 วันที่ผ่านมา

    Sawa Kaka

  • @abdulyhussein6395
    @abdulyhussein6395 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh mm nina dadaangu moyo wake umekuwa mkubwa naomba nisaidie

    • @amour5535
      @amour5535 ปีที่แล้ว

      Hata mm mama yangu