Shukran Sheikh wetu kwa hakika wewe wapekee sio sana kunuta sheikh unafundisha dawa na kufafanua maradhi ili watu wafaidike tofauti na sheikh wengine hawasaidii mpk wapewe pesa tena nyingi ndio wànasaidia
Masha Allah Swaahibu Al-Ashjar such a incredible lesson, you briefing so well regarding this topic, May the Almighty Allah reward you with the very best ameen yarab🙏🙏🙏
mitihan mikubwa Allah anatupa majribio kutoka kwake kufudhu na kufeli tukiendekeza sana haya mambo twaaa ya Allah itakuondoka nuru ya Uchamungu unafutika na iblis anakutawala mwisho hatima yk mbaya Allah atujaliye kheir
Daah nitazaa kweli nimefanyawa upsuajia mala mbili naambuawa ninauvimbe laki sishiki mimba mika nne sasa na tumbo linaniumaga sana kila siku nimekunywa vidonge vya kulekebisha hedhi laki sifanikishi
Mimi nashangaa siku izi naota nalishwa Zaman nilikuwa ndo naotaga kulishwa ikaacha siku izi tena naota nalishwa paka nikasema nalishwa na wachwai itakuwa
Ya Wa kufungo naisikia uwo da wachaw sio watu wazur. Ukindi ndio wanatumia. Kindu pia wanatumia kufunguwa kifungo. Ya wana chukuwa nguo za siri nalijuwa hilo kuwa haitakiwi kutumia tena ile nguo iliyofanyiwa uchawi
Aisee mashaa Allah mungu kakujaaliya kipaji Allah atuongoze ktk njia ya almustakim na atupe riziki na atukinge na shiriki na husda zawanaadamu wabaya
Mashaallah,hii mada imenigusa,hua najihic kuwa na dalili hizo za hedhi lakin haitok,mwenyezi mungu akuzidishien
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah Lahwala walakuwatah illabilah. Shukran sana
Subhanallah Allah atunusuru ya rabby shukran jazilah sheikh Allah akulipe nguvu na akulinde na waovu uzidi kutuelimisha inshaaallah
Shukran Sheikh wetu kwa hakika wewe wapekee sio sana kunuta sheikh unafundisha dawa na kufafanua maradhi ili watu wafaidike tofauti na sheikh wengine hawasaidii mpk wapewe pesa tena nyingi ndio wànasaidia
Waleikussalam warahmatullah wabarakat, Allah atuepushie mitihani hiyo nishida, shukran sana sheikh Allah akulipe kheir
Allah atunusuru
Allah abariki
Ameen
Subuhanallha tunateseka wengi jmn
Subhana allah
Allah atunusuru
Allah qaadir aalakulishai
SubhanAllah Mungu atustri In shaa Allah
Shukran,jazaka llahu kheyr,Tena mie ule uvimbe ambao nilikuambia,wallah umeondoka kwa kupaka mafuta ya mkunazi ,mwenyez mungu akulipe kheyr inshaalat.
Amiiiin inshallah
Mafuta ya mkunaxi unafanyaje
@@alfajrtvtzonline9315 jamani mafuta ya mkunazi NI ktk uvimbe UPI wa nje au wa ndani
Nimekwisha kweli nitazaa mie subhana wallah mm kila kitu nimefanyiwa
Allah akudishie kwa haya mafundisho
Ma Sha Allah shekh ysf Allah akuzidishie elmu tuzid kunufaika
Amiiiin inshallah
Aslm alkm...jee ukiskia chini ya kizazi Kuna kitu chatembea na hauskii maumivu shida hua ni Nini??
Asallam aleikum sheikh Yusuf. Kazi safi
Masha Allah Swaahibu Al-Ashjar such a incredible lesson, you briefing so well regarding this topic, May the Almighty Allah reward you with the very best ameen yarab🙏🙏🙏
Amiiiin yaa Rabbi
Thanks a lot
th-cam.com/video/Y1PQzdsFCpQ/w-d-xo.html
P
Plllp
Lll
MashaAllah Somo zuri Shekh Allah akuzidishie InshaAllah... tatizo nnalo hilo la Jini Mahaba tiba yake nin Shekh
Mashallah kher kubwa sna hbbi
Jazakallah kheir Sheikh Yussuf.
Masha Allah. Allah atuondoshee matatizo makubwa
Assalam Alaykum shukran sheikh nnaweza kuwasiliana na wewe nna matatizoni naomba msaada naomba kama nitaweza no yako jazakallah kheir
Allah akulipe kila la heri
❤
Jamani hizo dalili zote ninazo na sshv sishiki mimba hata kwa bahati mbaya wakati nilishawahi kuzaa miaka iliyopita lkn sshv ni mtihani.
Tupo wengi ndugu
Muhimu subra
Je twaweza soma Dua za kikro
Shekhee mm nonatatozo naitaji limbwata iliyo lahisi kupatikana nampe da mkewangu sitaki kuachana nae nisaidie shekhee💅💅💅💅💅💅💅
Asalaam aleykum.Shekheh naomba msaaada.Sijaona hethi miez me nne.na uzazi wangu Ni washida .. Naomba msaada zaid
Naomba naomba Yako shekhe.
Mashallah sheikh allah swt akuzidishie ilmu
Amiiiin inshallah
asalam aleikum.minilikuwa naimba unirushie krip jinsi yakujitibu uzazi kwa wale tulio rogwa
Mashaallah
Ma Sha Allah Allah akuzidishie kila la kheri In shaa Allah
Good information lakini ungeongea more kwa upande wa wanaume pia kwani matatizo ya uzazi sio ya kinamama pekeyao thanks good detail.
mpo vizuri
Asante
Yani nikama mimi uyo unaongeleya , asante
Asalm alykm shekhn umzma waendeleaje nko na swali kuna dada ambaye alitoka shango kw sehem y nyuma je anaeza pata dawa na akapon hbb
Naomba dua
Nimekuelewa shekhe
Jee uvimbe tumboni sheikh wa kina mama tutamtibu vipi mgonjwa shukran sheikh
Angalia kipindi cha Faida za mti wa MDATU
Tuko pamoja kakangu.
mitihan mikubwa Allah anatupa majribio kutoka kwake kufudhu na kufeli tukiendekeza sana haya mambo twaaa ya Allah itakuondoka nuru ya Uchamungu unafutika na iblis anakutawala mwisho hatima yk mbaya Allah atujaliye kheir
🙏
Mung u akubark mm nna tatz hil shem
Sana tunasemaga ilo mchawi Ana roho mbaya na damu pia anachukuwa ile damu tena ile ndo mbaya zaidi hata mama alisemaga
unapatikana wp sheikh
Assalam aleiku warahamatulah wabaratuh. May Allah bless you
Waalykum salaam warahmatullah wabarakatuh amiiiin
th-cam.com/video/Y1PQzdsFCpQ/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Y1PQzdsFCpQ/w-d-xo.html
Naomba no yako
Naomba yako shekhe
Inshaaallah Allah.Allah akuzidishie kwa Kutufundisha.
Duuuh ama kweli wachawii hawatauwonja hata harufu ya pepo
Ameen thuma ameen
Offisi zenu ziko wapi ?
Asalm alykum shekhe Ayo matatizo ninayo km umenijua vifungo mimba kuariba
Shukran shekhe
unga wa mbuyu ni ule utengeneza mabuyu ama?
Ata mm naota naingiliw na wt tofauti hd watt wadogo
Asente Kwa maelezo mara mingi hospitalini mara Nina uvimbe mfuko wa uzazi Ni mkubwa mara nina Maji kwenye tumbo naeza saidika vipi
Daah nitazaa kweli nimefanyawa upsuajia mala mbili naambuawa ninauvimbe laki sishiki mimba mika nne sasa na tumbo linaniumaga sana kila siku nimekunywa vidonge vya kulekebisha hedhi laki sifanikishi
Asalaam Allaykum, Nina tatizo LA kizazi shekhe nisaidie
Mashallah, Alhamdulillah Allah Kareem 👏 mie na tatizo la majini sheikhe na kupataje,unapatikana wapi??
Mpigie kwa namba inayotikeza kwa screen utaona
@@zainabaljaberi9981 ok kheri shukran sana Ukhut zainabu jazzakum llahu kheri 👏
Nakupata wapi
Unapatikana wapi shkh
She na mimi nasumbuka unanisaiduaje
Na mm huwa uwa mimba zangu huwa zina toka nishaangaika mpaka nimechoka
Shekh ofisi zenu zipo wapi
Mimi nashangaa siku izi naota nalishwa Zaman nilikuwa ndo naotaga kulishwa ikaacha siku izi tena naota nalishwa paka nikasema nalishwa na wachwai itakuwa
Yaaan dalili zoooote izooo jaman ninazo
mm ninaumri wa miaka 20 sijawahi kubridi
Mm Niko nasida nikifika siku sanku naumwa na tumbu uku njini sina mutoto
Nko Kenya dawa please
Jaman napata vipi matibabu nina changamoto zote
Shehe mm sipati siku nakaa ata miezi nane na hospital kila kitu kipo sawa naomba msaada
Mimi pia sipati hedhi😢😢
Ya Wa kufungo naisikia uwo da wachaw sio watu wazur. Ukindi ndio wanatumia. Kindu pia wanatumia kufunguwa kifungo. Ya wana chukuwa nguo za siri nalijuwa hilo kuwa haitakiwi kutumia tena ile nguo iliyofanyiwa uchawi
Unapatikana wapi shekhe
Minnae kwel ustadh chok kuteseka wallah
Tiba yake kwa waliofungw kichawi
Naomba namba yako shekhe
Nilipata biker yangu imetopolewa bila kuelewa ni fanye nni?
Ukwli,mtupu
Jina, La mama pia wanatumia au nyota ndio
Ndio nalijuwa hilo jini uyo anatabia ya kujigeuza sura nilikuwa, ninaye baada ya dawa ndo naona alitoka sio mzur.
Sheikh twambie sasa dawa tunaweza kutumia
Kama nipo mbali nahitaji tiba naeza pata maelekezo mupo wapi mm sio mtanzania
Wengine mimba zinatoka hata mama mkubwa alifanyiwa paka alivyotibiwa ndo akabak mtoto mmoja paka Leo yupo mana alikuwa hata akizaa Watoto wanakufa
Kama mmi nikipata mimba ikifika miezi tisa mtoto anasaliwa kama amekufa shida nni doctor
Halafu anavuruga siku. Ndio na tumbo linakuwa linauma
Ndo mana Kuna bint mnaijeria pedi yake ya siku hskukubal kabisa ibaki aliondoka nayo kwao
Nko n sida y visaxi nawesaje kupata dawa
Contacts No sheikh za watsap vipi
Unapatikana wapi
Shekhe unapatikana wapi?
Zanzibar
Llll
Mngu akusaidie kwa kuelimisha jamii samahan ninashida siku Zang hata miezi sita inapita sizion je hiyo dawa napataje nisaidie
Sheikh vipi tunaweza kupata vitabu vya tiba zako
Mm Niki fika siku sanku naumwa na tumbo uko njini sina mutoto nitumie dawa gani nisaidie
Nimekuelewa shekhe
Naomba no yako kaka plz nashida na ww umenigusa kbsa
Mashallah shekhe Naomba Namba Yako please Niko mombasa