LIVE🔴: FAIDA ZA MTI WA MVUJE | YUSSUF BIN ALLY
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ค. 2020
- fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, #Zinjibartv #FahariyaZanzibar
Mungu akujaalie kila la khery dudiani na akhera
Maashallah Sheikh Yussuf Allah akulinde na khasad kwnye kipaji chako
Shukrani sna shekh wetu kwa elimu yenye manufaa ubarikiwe kwa uwezo wake Allah insha Allah 🙏🙏🙏
Masha Allah Swaahibu Al-Ashjar your lectures are so unique, we benefit so much👍....Allah barik Fik
S
Mimi sida langu waschana wangu hawaoleki jee ni sida gani , msadieni
Alhamdulillah ALLAH AKBAR..shukrani jaziira
ALLAH akujalie maarifa zaidi Sheikh. Inshallah.
JazakAllahu khairan kwa mafundisho,,, masha Allah, umetufumbua macho, in sha Allah tutaifanyia kazi is
Sawa dawa
Mashaallah shukran sana Allah awabarikq
Shukran jazillah waafika baarika llah inshaallah sheikh
Jazakallah khayran
Mashaallah sheik mungu akwipe kilalakeri. Mvuje kwakigereza unaitwaje.
Unaitwa curry leaves
curry leaves
Sheikh habari tuna omba sana tu fundisha mtoto anaye kosa confidence kabisa pls tufundishe dawa asante
Allah akuzidishi afya uendelee kutoka huduma
Allah akulipe kheri InshaAllah
mashaallah mashaallah allah akuhifadhi yaraby
Mashalla ya shekh Allah akuzidishie umri
Mashallah mungu akuzdshie
Mvuje ni ule unaotumiwa sana na wahindi kupikia kwenye mchuzi,cheuro n.k wanauita limburo hata zenj nimeuona sokoni na dar na Oman pia.
Ooh sawa nimeupata
Ndio huo huo
Jaazakallahu kher
Asante shekhe Mimi mwenyewe nilivyokuwa grupu lq dawa nilikuwa nawaelekeza wenzangu dawa kwasababu baazi ya dawa nilikuwa nazijuwa paka wakawa wananipenda na wananishukuru walikuwa
Mashallah ALLAH barik
Kishinde nime uchezea huu kama mtoto daaa kweli mungu ametupa mengi yenye faida jmn
Asalamu aleykum warahamatul lwahi wabarakatuh Ma'Shaa'Allah Jazakahlaulkhairàan kwa visomo vya miti Mola akubariki zaidi Sheikh 🙏😊
Shukuran sheikh Allah akuziidishie tu zidikufaidika
Suleimani
Asante ustadh kwa kufunza
Ata hapa mti wa mvuje upo mashallah 🤗🤗🤗
Maa shaa Allah
Allah akulipe kher
Mashallah, thanks Allah bless you abundantly
Asante sheikh
Maa shaa Allahu jazakallahu khairan
Shukran Jazaka Allah khayr fiy mizan hasanatek
Shukran shekhe
Hapo nikweli ustd
Waleikussalam warahmatullah wabarakat, mansha Allah sheikh Allah akulipe kila lakheir jamani, kwa tiba ya ki sunna
Asante Sana
Shekhe hapokei simu mbona
Mashallah
Mashaallah
Mzaliwa nyuma naweza tumia na nikapt mtt
Ndio Kuna ya ulisi na ya kuzuka ya ulisi kupona moja kwa moja sio Jambo laisi
Kațika kusoma hiyo suratul quraish unasoma mara ngapi sheikh
Habari pls onyesha mti ya mvuje vizuri na jina lake kwa kingereza
Unamajani kama muarubaini
Wahindi wakipika mchuzi wanapika wanachanganya na mvuje
Nenda hata masokoni Kwa wale wanaouza viungo vya majani mfano Nanaa mvuje mengine nimesahau ila ukifika Kwa wale watakupa
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh.
Je sukari ya kushuka anatomic nin?
Dr sasa km sisi wa dini nyingine hatujua hizo haya tunafanyaje?
Huu ni mti siyo dini unatumia tu japo wakaribishwa ktk dini ya kiisilamu
Mashaallah baraqaallahfik
Good
Bizmillah
shek unapotufundisha sawa ayo majani ykiwa makavu ayafai
Mbn upokei cm nashida
Nakuwa wa mti upo hila niliziea kuuona wa kidonge
Mm nataft mtt
Kuna majani yanaitwa ghaar naomba nionyeshwe mti wake au jina la mti kiswahili
Mama anayo ya kupada mim nilikuwa nayo ya kushuka
Ndio Kuna asali mbichi na iliyopewa
Salam na umwa na magoti na omba dawa
Assalaam alaykum sheikh mm natatizo na niko nje
Shukraan
Nilitaka kuuliza presha gani kumbe presha zote
Kama huwez pata mmbaazi inakuwaje sasa?
What is it called in English
Acacia tree
Curry leaves
@@hamadilujendo4316are you sure?
Wa vidonge naujuwa walikuwa wanawafungia dawa watoto Kama kinga
Mtiwa mzalia nyuma
Assallaamu alaikum naomba unisaidie niweze bebe mimba
Nimetumia daw nging hadi bac
🙆🙆🙋
Ndio mbegu zikianguka ndo miti midogo inaota ata Kuna mti hivyo hivyo
Mie nautumia kuchemsha nakunywa maji yake kwa ajili ya gas na kutoa mafuta kwenye mwili.
Nitapata wapi mbegu ya mvuje nipande
Kata tu mche wenye mzizi unaota hauna choyo kabisa.
Mvuje kizungu unaitwa curry leaves
👍
Bc mngekuwa mnasema kwa kiswahili na kiarabu au english , mvuje kiarabu ndo haltiti au vp
Sasa kama mm mkristo nitasomaje
Nani alikuambia uwe mkristo
Asalamu aleykum naomba utufundishe tiba muwasho aleg
Asalamu aleykum naomba utufundishe tiba muwasho aleg
@@fatmahamza5028
Andika apo kwenye searching TIBA MUWASHO ALEG utapata mafundisho
Tafuta muislaam akusomee
Waah!! Kiswahili nayo ya pita chwaaaa 🤣mvuje ndio nini in English 🙈
the acacia tree
Hi kwa jina la kihindi ni limbro sio?
Curry leaves
Asante shekhe Mimi mwenyewe nilivyokuwa grupu lq dawa nilikuwa nawaelekeza wenzangu dawa kwasababu baazi ya dawa nilikuwa nazijuwa paka wakawa wananipenda na wananishukuru walikuwa