Jack Wa USA
Jack Wa USA
  • 219
  • 5 298 655
Sakata la JADEN SMITH na BONGO ZOZO huku Marekani 😀
Join this channel to get access to perks:
th-cam.com/channels/SFdxR40OWLVbgwNPuWpM_A.htmljoin
Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching!
My previous video;
th-cam.com/video/muNP20K6T_g/w-d-xo.html
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: jacchalz
TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa?_t=8eMzxO9deWE&_r=1
My Other Channel: th-cam.com/channels/WqIfo8-Ztk-9LY0z9n-F5w.html
#jackwausa
มุมมอง: 15 179

วีดีโอ

HAMISA MOBETTO alivyojiachia kwenye SWAHILI NIGHT - Los Angeles, USA
มุมมอง 3.7K4 หลายเดือนก่อน
Hamisa Mobetto aliwasili kwenye event ya Swahili Night iliyofanyika August 31st, 2024. Kwenya hii video, utaona baadhi ya matukio alivyojiachia na mashabiki wake. 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa My Other Channel: th-cam.com/channels/WqIfo8-Ztk-9LY0z9n-F5w.html #jackwausa #hamisamobetto #swahilitotheworld
HAMISA MOBETTO alivyowasili Los Angeles kwaajili ya SWAHILI NIGHT
มุมมอง 22K4 หลายเดือนก่อน
Hamisa Mobetto amewasili Los Angeles, California kwaajili ya Swahili Night itakayofanyika August 31st, 2024. Kama wewe ni mpenzi wa burudani, bhasi hii si ya kukosa. Unaweza kununua Ticket kupitia Link hapa chini; www.eventbrite.com/e/swahili-night-tickets-979463901897?utm-campaign=social&utm-content=attendeeshare&utm-medium=discovery&utm-term=listing&utm-source=cp&aff=ebdsshcopyurl 🔸FOLLOW ME ...
Gharama ya vitu alivyovaa ni sawa na jumba la kifahari 🙌
มุมมอง 5K4 หลายเดือนก่อน
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SFdxR40OWLVbgwNPuWpM_A.htmljoin Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching! My previous video; th-cam.com/video/cUJKdYTE3tE/w-d-xo.html 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa My Other Channel: th-cam.com/channels/WqIfo8-Ztk-9LY0z9n-F5w.html #jack...
Meeting KHABY LAME for the first time
มุมมอง 3.7K5 หลายเดือนก่อน
I met @khabylame for the first time in Beverly Hills, California. This was a surprise for me as I was celebrating my Birthday. Khaby Lame is the most followed person on TikTok. He's so kind and humble. God bless him and his family! Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching! My previous video; th-cam.com/video/3ZtPMP4rpq0/w-d-xo.html 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM...
I met her family and invited them to Tanzania...
มุมมอง 2.7K5 หลายเดือนก่อน
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SFdxR40OWLVbgwNPuWpM_A.htmljoin Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching! My previous video; th-cam.com/video/4sAfughaRVI/w-d-xo.html 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa My Other Channel: th-cam.com/channels/WqIfo8-Ztk-9LY0z9n-F5w.html #jack...
Jinsi ya kupata namba ya simu ya mwanamke
มุมมอง 4.2K5 หลายเดือนก่อน
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SFdxR40OWLVbgwNPuWpM_A.htmljoin Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching! My previous video; th-cam.com/video/lsrwE_JHUec/w-d-xo.html 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa?_t=8eMzxO9deWE&_r=1 My Other Channel: th-cam.com/channels/WqIfo8-Ztk-9L...
Nilikutana na Wamarekani wanaopenda kuja Africa
มุมมอง 2.4K5 หลายเดือนก่อน
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SFdxR40OWLVbgwNPuWpM_A.htmljoin Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching! My previous video; th-cam.com/video/lfmrFER1nnw/w-d-xo.html 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa My Other Channel: th-cam.com/channels/WqIfo8-Ztk-9LY0z9n-F5w.html #jack...
Nilikutana na mrembo kutoka KENYA | Africans Living In America 🇺🇸 - ELSA MAJIMBO
มุมมอง 4.4K5 หลายเดือนก่อน
I met Elsa Majimbo in Los Angeles and she let me capture those beautiful photos of her. She's a whole vibe! Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching! My previous video; th-cam.com/video/nrkneiFR1sM/w-d-xo.html 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa?_t=8eMzxO9deWE&_r=1 My Other Channel: th-cam.com/channels...
Huyu mrembo anatafuta MUME- Hii ni special kwa wale wanaotaka mpenzi Marekani 🇺🇸
มุมมอง 4.6K6 หลายเดือนก่อน
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SFdxR40OWLVbgwNPuWpM_A.htmljoin Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching! My previous video; th-cam.com/video/kNB1fsBWKqY/w-d-xo.html 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa?_t=8eMzxO9deWE&_r=1 My Other Channel: th-cam.com/channels/WqIfo8-Ztk-9L...
Picha za mtaani na warembo wa marekani
มุมมอง 2.4K6 หลายเดือนก่อน
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SFdxR40OWLVbgwNPuWpM_A.htmljoin Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching! My previous video; th-cam.com/video/TBEquuIsIx8/w-d-xo.html 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa?_t=8eMzxO9deWE&_r=1 My Other Channel: th-cam.com/channels/WqIfo8-Ztk-9L...
Picha za mtaani na mrembo kutoka Israel
มุมมอง 2.1K6 หลายเดือนก่อน
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SFdxR40OWLVbgwNPuWpM_A.htmljoin Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching! My previous video; th-cam.com/video/uM708XouNIw/w-d-xo.html 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa?_t=8eMzxO9deWE&_r=1 My Other Channel: th-cam.com/channels/WqIfo8-Ztk-9L...
Nilikutana na mapacha kutoka UFARANSA wanaompenda Diamond Platnumz
มุมมอง 2.9K6 หลายเดือนก่อน
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SFdxR40OWLVbgwNPuWpM_A.htmljoin Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching! My previous video; th-cam.com/video/gk10bzDwKRg/w-d-xo.html 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa?_t=8eMzxO9deWE&_r=1 My Other Channel: th-cam.com/channels/WqIfo8-Ztk-9L...
Tumia njia hii ili kupata namba ya mwanamke unaemtaka
มุมมอง 2.1K6 หลายเดือนก่อน
Join this channel to get access to perks: th-cam.com/channels/SFdxR40OWLVbgwNPuWpM_A.htmljoin Please SUBSCRIBE so that you won't miss any new uploads, Thank you for watching! My previous video; th-cam.com/video/qjSBg6GOWaQ/w-d-xo.html 🔸FOLLOW ME ON; INSTAGRAM: jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@officialjackwausa?_t=8eMzxO9deWE&_r=1 My Other Channel: th-cam.com/channels/WqIfo8-Ztk-9L...
Njia ya haraka ya kupata marafiki marekani
มุมมอง 3.3K6 หลายเดือนก่อน
Njia ya haraka ya kupata marafiki marekani
Mrembo kutoka El Salvador na Mtanzania 😊
มุมมอง 2.4K6 หลายเดือนก่อน
Mrembo kutoka El Salvador na Mtanzania 😊
Jinsi Ya Kuzungumza Na Wanawake katika Tamasha la Coachella - Ep 11
มุมมอง 1.7K6 หลายเดือนก่อน
Jinsi Ya Kuzungumza Na Wanawake katika Tamasha la Coachella - Ep 11
Wanawake wazuri wameshachukuliwa 😢 Ngoja niendelee kua SINGLE
มุมมอง 2.2K6 หลายเดือนก่อน
Wanawake wazuri wameshachukuliwa 😢 Ngoja niendelee kua SINGLE
Jinsi Ya Kupata Namba Ya mwanamke USA
มุมมอง 2.4K6 หลายเดือนก่อน
Jinsi Ya Kupata Namba Ya mwanamke USA
Let's invite this beautiful French family to Tanzania 🇹🇿
มุมมอง 1.9K6 หลายเดือนก่อน
Let's invite this beautiful French family to Tanzania 🇹🇿
Jinsi Ya Kuzungumza Na Wanawake Huku Yues
มุมมอง 4.5K6 หลายเดือนก่อน
Jinsi Ya Kuzungumza Na Wanawake Huku Yues
Jinsi Ya Kuzungumza Na Wanawake Warembo Huku Yues
มุมมอง 2.3K6 หลายเดือนก่อน
Jinsi Ya Kuzungumza Na Wanawake Warembo Huku Yues
Acha Kuwa Na Woga Kuongea Na Wanawake
มุมมอง 3.1K7 หลายเดือนก่อน
Acha Kuwa Na Woga Kuongea Na Wanawake
I met this beautiful family and invited them to Tanzania...
มุมมอง 4.3K7 หลายเดือนก่อน
I met this beautiful family and invited them to Tanzania...
Jinsi Ya Kupata Namba Ya Mwanamke Unaemtaka
มุมมอง 3K7 หลายเดือนก่อน
Jinsi Ya Kupata Namba Ya Mwanamke Unaemtaka
Cold approaching Girls in AMERICA
มุมมอง 2.3K7 หลายเดือนก่อน
Cold approaching Girls in AMERICA
Jinsi Ya Kuzungumza Na Wanawake | How To Approach Girls...Ep 04
มุมมอง 5K7 หลายเดือนก่อน
Jinsi Ya Kuzungumza Na Wanawake | How To Approach Girls...Ep 04
I met a beautiful lady from England and invited her to Tanzania...
มุมมอง 13K9 หลายเดือนก่อน
I met a beautiful lady from England and invited her to Tanzania...
Jinsi ya kushinda Hofu ya kukataliwa- "Rejection"
มุมมอง 4.7K9 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kushinda Hofu ya kukataliwa- "Rejection"
Nightlife in West Hollywood, America you won't see on Tv
มุมมอง 5K9 หลายเดือนก่อน
Nightlife in West Hollywood, America you won't see on Tv

ความคิดเห็น

  • @saiddimarley8445
    @saiddimarley8445 5 นาทีที่ผ่านมา

    Sisi ambao tushawahi kwenda huko ndo tunajua changamoto za huko inchi zao.Sijui nani kawaroga waafrika kila mwafrika anatamani kwenda huko Afrika raha sana. Ukienda huko ndo unakipata chamoto

  • @RudiaKassanda
    @RudiaKassanda 36 นาทีที่ผ่านมา

    Natazama nikiwa Mbezi Beach Dar es salaam -Tanzania

  • @MassoudManirakiza-zy3yp
    @MassoudManirakiza-zy3yp ชั่วโมงที่ผ่านมา

    From Bujumbura bro

  • @MassoudManirakiza-zy3yp
    @MassoudManirakiza-zy3yp ชั่วโมงที่ผ่านมา

    From Bujumbura bro

  • @HusnaMuhammed-yx8nl
    @HusnaMuhammed-yx8nl ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masikini jack hool wood ndo imeshaisha hivyo

  • @zainabumilanzi2909
    @zainabumilanzi2909 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allahu akibaru mungu mkubwa siamini macho yangu Asante mungu

  • @DaudPius-e8y
    @DaudPius-e8y 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ww jack hao ni walembo kweli au ni ma decor mtupu

  • @IssaIsaya-m7k
    @IssaIsaya-m7k 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Me nipo tazama nikiwa Singida TZ, nimekibali hayo mazingira ni ya kisure mchizi wangu.

  • @YusuphRashidi-b1j
    @YusuphRashidi-b1j 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Homelessnessless

  • @ombenikanuya7615
    @ombenikanuya7615 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa nn most of homeless people Ni weusi?

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲

  • @kevinkana5870
    @kevinkana5870 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    I Know this Guy,

  • @DanielPatrick-s9s
    @DanielPatrick-s9s 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mambo vipi jack nataka tujajenge sinam

  • @SamsonKebura
    @SamsonKebura วันที่ผ่านมา

    Oyi

  • @MaweniRealestate
    @MaweniRealestate วันที่ผ่านมา

    Na TZ wapo wadada wa hivi🤣🤣🤣

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 วันที่ผ่านมา

    Kuna vyoo huko wanakilala au ndo wanajisaidia hovyo tu, ni kazi hakuna au wanachagua kazi

  • @biensha
    @biensha วันที่ผ่านมา

    Inikweli mimi nimeona kwa macho yangu nipo hapa

    • @MaryamMaryam-x5z
      @MaryamMaryam-x5z 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kaka nipe story...natakuja....uko

    • @MaryamMaryam-x5z
      @MaryamMaryam-x5z 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Maisha yakoje

  • @FADHILIAHAMADI-n9j
    @FADHILIAHAMADI-n9j วันที่ผ่านมา

    Maisha yetu guybone 🫡🇹🇿🇿🇦

  • @FADHILIAHAMADI-n9j
    @FADHILIAHAMADI-n9j วันที่ผ่านมา

    Salute maisha 🇹🇿🇿🇦

  • @raphaelradjabu586
    @raphaelradjabu586 วันที่ผ่านมา

    Sasa wanakula vipi ? Wanaenda choo ipi ? Wanatibiwa vipi ? Je, akuna uwezekano wakurudi home Afrika ?

  • @FADHILIAHAMADI-n9j
    @FADHILIAHAMADI-n9j วันที่ผ่านมา

    👊👊👊🇿🇦🇿🇦🇿🇦🫡

  • @SheikhAly-v9f
    @SheikhAly-v9f วันที่ผ่านมา

    Ongera kaka jack wa usa from 🇲🇿

  • @Mamaruu-k8w
    @Mamaruu-k8w วันที่ผ่านมา

    From MARA Tanzania

  • @DanielKihoha
    @DanielKihoha วันที่ผ่านมา

    Naitazamamaaaaa nikiwa kigoma KAZI nzuliii sana

  • @LewisKamau-l6o
    @LewisKamau-l6o วันที่ผ่านมา

    You mean there's homeless who is driving and parks the car on kerb and puts on makeshift of the road and sleeps there coz it seems so.

  • @lottisiwale8017
    @lottisiwale8017 วันที่ผ่านมา

    Nipo Zambian nakukubali sana Jack

  • @SheikhAly-v9f
    @SheikhAly-v9f 2 วันที่ผ่านมา

    Broo niko mozambique uko vzr kaka kazi njema

  • @omaryboman6629
    @omaryboman6629 2 วันที่ผ่านมา

    NAPENDA SANA KISWAHILI YABHUYO JAMAA IKO POAH SANA

  • @AbdulyAthuman-b9z
    @AbdulyAthuman-b9z 2 วันที่ผ่านมา

    niko mwanza mzee

  • @AbdulyAthuman-b9z
    @AbdulyAthuman-b9z 2 วันที่ผ่านมา

    niko mwanza mzee

  • @Japhedybala
    @Japhedybala 3 วันที่ผ่านมา

    Ni kweĺi hiyo ni mitaa ya mateja

  • @HassanAthuman-e5l
    @HassanAthuman-e5l 3 วันที่ผ่านมา

    Ukovizuli.mwansngu.watoto.wazuli

  • @HassanAthuman-e5l
    @HassanAthuman-e5l 3 วันที่ผ่านมา

    Nipo.tanzania

  • @HassanAthuman-e5l
    @HassanAthuman-e5l 3 วันที่ผ่านมา

    Kweli.mtaa.waa.matajili.kweli

  • @nordbrowntz1665
    @nordbrowntz1665 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo girlfriend wako bado unayo mpaka sasa hivi 2025?😂😂

  • @nordbrowntz1665
    @nordbrowntz1665 3 วันที่ผ่านมา

    Ila Jack...😂😂😂

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 3 วันที่ผ่านมา

    Nakuja ata sikati tamaa ipo siku nakuja uko mbona wewe hutoki uko unalekodi tu ata nilale nje nakuja

  • @EnnyKibiki-v5g
    @EnnyKibiki-v5g 3 วันที่ผ่านมา

    Nipo mbezi bench dar tz

  • @henricamikambi6147
    @henricamikambi6147 3 วันที่ผ่านมา

    Mbona wengi ya wasio na makazi ni watu weusi?!

  • @busanyachilangwa
    @busanyachilangwa 4 วันที่ผ่านมา

    wamarekan wanaijuwa Kenya because present Obama alizaliwa uko.

  • @HassanAthuman-e5l
    @HassanAthuman-e5l 4 วันที่ผ่านมา

    Kalibu.tanzania.sana

  • @HassanAthuman-e5l
    @HassanAthuman-e5l 4 วันที่ผ่านมา

    Nipo.tanzani..tanga.vijini

  • @HassanAthuman-e5l
    @HassanAthuman-e5l 4 วันที่ผ่านมา

    Ukopoa.sana.wanangu Kalibuni.tanga.tamzania

  • @HassanAthuman-e5l
    @HassanAthuman-e5l 4 วันที่ผ่านมา

    Nipo.tanzania.tanga.vijini.kabisa

  • @Francechifunda
    @Francechifunda 5 วันที่ผ่านมา

    Kijana nakufatilia sana mpaka bando liseme basi kula maisha na sisi tunakuja uko uko tutakutana bwana jack

  • @trillion.1125
    @trillion.1125 5 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂 noma sana

  • @JothamGabagambi
    @JothamGabagambi 6 วันที่ผ่านมา

    Wale masikini uliotuonyesha wakifa wanagharimiwa na nani mazishi yao?

  • @JothamGabagambi
    @JothamGabagambi 6 วันที่ผ่านมา

    Naitazama nikiwa Mtwara Newala. Kiukweli ni pazuri ila ni maisha ya kipweke sans maana Kila mmoja kajifungia getini wake.Kifungo Cha hiari Bora bongo tuna kaa kijiweni tuna peana mawazo uliochanganyikana na ubishi mkuu.Nakutakia kazi njema.

  • @SalumuKhamisi-l8r
    @SalumuKhamisi-l8r 6 วันที่ผ่านมา

    Mwamba jack nakufatilia mwamba mimi nipo south africa mji cp town kk ayo mauwa yako kk🎉🎉🎉🎉

  • @OscarMwakapyanila
    @OscarMwakapyanila 6 วันที่ผ่านมา

    Sasa kwamfano tunao shoboka namajiji ya watu ndobahati mbaya umeangukia mazingira ayo utafanya biashara gan watu wenyewe washajichokea wenyewe, tuwe naakiri yakuwaza kupitia hili najua tushapata somo, ganda rakitabu mara nyingi linavutia kwanjee yariyomo ndan xaxa!!!!