Thanks Jack for a nice video. Nimejifunza yafuatayo:- 1. Mwamini Mungu TU. 2. Usimwamini mwanadamu yeyote. 3. Sikiliza SAUTI Yako ya NDANI. 4. Usipende kusikiliza maneno ya watu yanayopotosha/katisha tamaa. 5. Focus on your dreams! 👏💐🇹🇿🙌
That's nice haircut bro. Huwa nakubali sana energy yako but ukipenda on your vidz uwe unatumia subtitles ili hata wenye uziwi/usikivu hafifu waweze kupata unachokuwa unakieleza. Keep it lit!
Jack ni Mimi sadick tena driver guide Serengeti.i live in Arusha njiro. really appreciate bro you deserve to be Tanzanias ambassador in USA..you are a MAN bless you friend 😅
I thank you very much brot Jack for letting me know a lot of things I needed to know because I don't have a friend, I don't even know how to make friends but today I want to know Thank you very much.
tutangazie utalii ' tour' wazungu wa visits TANZANIA kwenye mbuga za wanyama Kama mikumi, Serenget National park, mount Kilimanjaro,ngorongoro,manyara ,katavi, n.k
hua naangalia halafu napiga goti nakumuomba MUNGU sana one day na mim niwe kama wew broo bando langu la 5000 limekatika kukuangalia wew nasina ninachojutia zaidi unanitia hasira ya kutafuta pesa zaidi natamani ungekuwa kaka yangu wa hiari
Jack unanifurahishaga Sana style yako ya kutuonesha mitaa mitaaa, mi nataka nije kutalii na watoto wangu wawili, fanya michakato naanzaje na full gharama
Please SUPPORT me by joining here;
patreon.com/JackWaUSA
Yani najikuta na mimi nazunguka mitaa ya Hollywood!!
Hollywood walk of fame!!⭐⭐⭐
Asante sana Jack
Thanks Jack for a nice video. Nimejifunza yafuatayo:-
1. Mwamini Mungu TU.
2. Usimwamini mwanadamu yeyote.
3. Sikiliza SAUTI Yako ya NDANI.
4. Usipende kusikiliza maneno ya watu yanayopotosha/katisha tamaa.
5. Focus on your dreams!
👏💐🇹🇿🙌
Well said and best of lucky!!
@@jackwausa 👏💪🙏
Aisee dreams zingine mbaya 😅😅
@@kiatu focus ZILE zilizo nzuri. ZILE MBAYA tupa mbali 💃🔥
Nimekumbika namba 6. Be positive!😁💯
Umetisha sana jack,Abdul from Tanzania 🇹🇿
Hae brother
Kazi safi brother
Your my biggest inspiration, I'm coming to America soon.
Vamos my Kenyan country men in United States 🇺🇲 VIVA Kenya 🇰🇪
Jack nilikufollow since day one na tutakuwa pamoja mpaka siku unafikisha subscribers milion moja
Pamoja sana!
Love from Kenya 🇰🇪 Mr Jack and whole of Africa
Jack wa Kahama..
Role Model wanguh mwenyew...
Shoutout to you bro.
Pamoja sana!!✌🏾🙏🏾
Watching from MOMBASA Kenya 🇰🇪🇰🇪🇺🇲🇺🇲
Jack upo vizuri jamaa yangu, unawahoji vizuri na wanakupa ushirikiano mkubwa. Safi sana kamanada.
Kazi nzuri sana brother
Kazi nzuri my friends, Nijifunza pia kutoka kwako
Kazi nzuri sana jack. Sio mpaka visa
Finally wakenya tumefikiwa 🇰🇪 🇰🇪
✌🏾
Love ❤❤❤❤❤
That's nice haircut bro. Huwa nakubali sana energy yako but ukipenda on your vidz uwe unatumia subtitles ili hata wenye uziwi/usikivu hafifu waweze kupata unachokuwa unakieleza. Keep it lit!
Nimeipenda hii video
Yeah my boy from Kahama Town Iam Grand pa JACK RABBO! I love the way your living in USA.
Umetisha kinyama
Kazi nzuri ... summer time kuzuri mno
Jack ni Mimi sadick tena driver guide Serengeti.i live in Arusha njiro. really appreciate bro you deserve to be Tanzanias ambassador in USA..you are a MAN bless you friend 😅
Wow, thanks. God bless you!
Ujibu email mzee
Sadick otea mtasha upite ukuje huku thats cool men,kubadili location unakujifunza mengimengi ur welcome USA❤
all in all good job bro 🙏
Great content
Nakukubali mwamba salute 👏
Well done!
jackson
its a good content wajna
Broo me na enjoy sana nikiangaliaga video zko
Nimefurahi kusikia hivyo!
Jack wa usa, nakuona kutoka Kondoa, Dodoma, Tanzania.
Brother Jacky take your flower you deserves it💐💐💐💐
So nice of you. Thank you!😊
Addicted to your channel bro. Salimia wakenya wenzangu huko.
That was touching from Nigerian girl❤
Nakubali mzee
You just got a new subscriber
Great content
Awesome, thank you!
Am loving This channel..❤❤
Ila hao wa mazoezi wanachekesha jmn jua kali lote hilo mmhh🙄😂😂😂😂😂😂all in all good job my brother
Oa endelea ivyo ivyo unasaidia sana cc huku😂❤🎉
Pamoja sana!
Just inspire me someday gonna make my own touring Spain here . 🙏
I thank you very much brot Jack for letting me know a lot of things I needed to know because I don't have a friend, I don't even know how to make friends but today I want to know Thank you very much.
You're welcome and I'm glad that I could help!!
It nice job
Kaka hapo umetisha ulivyonjoa, Yani mm nimependa. Big up
🙏🏾
I'm watching you from south africa 🇿🇦
Napenda your content🎉 bro
ww ni noma nakubali
Vipi kaxi nzuri kua na hiyo roho,nitafutie kazi ya nyumba mkaka vitu uku vimekua ngumu
Amazing Sana kaka 🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Edwin from Kenya mase big up your self
yo jack , I really appreciate what you share with us, one Qn from my side,unatumia simu gan na model gani I like the camera view and quality
Nakubal
The moment i hear brevally hills i see pop smoke last moments ... My eish oneday i vist here
Aaah! Napendaga izo video zako ZA Mademu
Naomba nishike 🤝kaka
Nice job
Thanks!
You are great Jack congratulations. ĹKINI NIASAIDIE EMAIL YAKO TUPEANE UPDATES. NA MENGINE YA BIASHARA. Thadeo wa TZ
Big up kaka
Hello jakisoni mimi emanueli masai kutoka zanzibar nakukubali kaka fanya kanzi
Jackson, endelea kuleta action baba
Daah broo Kuna kitu umenifundisha happ
Asante sana jack kwa kutuweka american ❤❤
😊✌🏾
Nightlife be the best....watching from kenya
Safi sana mkuu ❤ 🇰🇪🇰🇪
Asante!
Good job
Thanks
tutangazie utalii ' tour' wazungu wa visits TANZANIA kwenye mbuga za wanyama Kama mikumi, Serenget National park, mount Kilimanjaro,ngorongoro,manyara ,katavi, n.k
Kumbe ata USA Kuna machinga Asante MUNGU akubaliki kutufungua macho
Jack, unatumia app gan kutengeza na kuedit video kali kama hizi bro
Final Cut Pro!
👍🇰🇪hapo sasa
Jack nakubari sana ❤
Kamn kuzuri napo daaah
hua naangalia halafu napiga goti nakumuomba MUNGU sana one day na mim niwe kama wew broo bando langu la 5000 limekatika kukuangalia wew nasina ninachojutia zaidi unanitia hasira ya kutafuta pesa zaidi natamani ungekuwa kaka yangu wa hiari
Mungu akubariki ili utimize malengo yako!
hahahahaha Jack nimependa ulivyoguna hao wajapani walivyo kataa kuulizwaaa
Hivi huko ukipeleka Kanga moja ndembendembe c utapiga sana hela!? Au Joyce Wowowo😃 wahenga wameelewa
❤Mshikaji nipoa sana
Big up bro
Vipi Kaka
Yani napenda habarii zakooo
Habari kaka naomba mawasiliano yako
Kumb kwkawaidatu kama Arabic from 🇴🇲🇹🇿
Umenitisha sana home boy 🙏
Kenya 🇰🇪 my country pipo❤️
Bongo land 🇹🇿 am here
Bro tuonyeshe hizo stars ziko kwa floor, umezipita haraka sana ama sio walk of fame
I love the tanzanian accent😂😂😂😂😂😂
Mimi pia ni mtanzania ila napenda accent ya huyu mwamba hasa akimix kiswaz na kimarekani
Vipi brother ss topo freshi apa ninge tamani kujuwa Alama ya nyota iliyopo Chini apo hollywood ina ishara gani siyo freemason iyo?
Napendaunachofanya
Sema tu wamepangilia
Jack unanifurahishaga Sana style yako ya kutuonesha mitaa mitaaa, mi nataka nije kutalii na watoto wangu wawili, fanya michakato naanzaje na full gharama
Asante. Unaweza kunitumia email kupitia Jackcharles2021@gmail.com ili tuwasiliane zaidi!
Mia mia ndugu
Mbona mazingira kama ya Tanzania
Jack, ww tz mkoa gani?.
Huo mtaa nilishaumalizaga nikiwa na wanangu kina Franklin, Trevor na Michael 😎
Hi Jack Tanzania unatokea mkoa gan?
Kuna kazi ya kulisha ngombe uko
Huyo Vivian anakaa Mkenya
Duh! Mahindi dolla kumi
Tupo 🇹🇿
Huwa naelewa sana unacho kifanya mkuu
Huyo mse anaitwa Takmethod. Used to follow him on insta. Good content mwana 🔥🙌🏽
you've taken me to America i have known places atlist😜😜
uko ndio ushagoo akuna tallbuldings akuna tower akuna kitu kuko tu izi house za kisim kayole na rongai