Hii movie ina kila kitu ambacho hua ni zahiri kinatokea katika maisha halisi ya wanaadam kila kitu kipo huzuni furaha maradhi uchawi unafki usaliti yani sijui nn kmekosekana mana eliminate ndio tunaipqta sasa sie waangaliaji waomba like tunasubiri movie zenu nasie tuombe like kama mtapenda yaone ovyoo
Kati ya movie au picha ambazo zimezingatia vigezo Asilimia 97% Kalibia vyote nihiii House Girl Nipicha ambayo imeonesha Jinsi Gani Jamii za Afrika zinavyo potea. Kama tuko pamoja like hapa 🙏
Imefika patamu bibi lazima zuu apatikane kunasiku nilifikiria kitu kaa hii bibi ni muchawi atamutokea candy kama jini imekua sasa kichapo chako candy ni bibi wapi nduru wewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa saai kendi kimekuramba,Bibi ya zuu sio mchache, waaaah congratulations guys,mnajua Kazi.Mungu aendelee kuwapa nguvu za kuendelea kupambana jamani 🙏🪴💞
House Girl fans WhatsApp 👇👇
chat.whatsapp.com/CssprKjGJcP3Xcwj3Jlusl
Candy usimzarau usiemjua
Candy kitamramba mwaka huu haaahha nasubir ya mchana jmn
Candy kitamrudi mwenyewe
@@busatitv kwangu mimi mbona hili group la wasp halifunguki?
Au likoje?
Huko kunanini kai
Mnaomba cendy aumbuke mgonge like ata 2 tu
😂😂😂😂😂
go nishagonga hiyo like😂😂😂😂
@@lucyrif-np8ik hauogopi 😂😂😂
Nan amegundua ukigusa like mara tatu inajicopy🙌🙌
Unataka likes tu mxyu 😒
@@mamume710😂😂😂 alakini Kweli 😂
@@mamume710😂😂😂😂😂
tumewastukizia😂😂
Naijua hiyo
Kama unaamini zuu atapona wapi like...za zuuu
Leo candy kayakanyaga bibi zuu kaamua kuonyesha makucha yake🙌🙌🙌
Kama una mkubali bibi gonga like hapa
Jaman wakwa leo tuone mwisho wakend walio pamoja na bibi yake zuu nawaomba like zenu
😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤
utamu umakuja sasa😂😂kesho naona haifiki
😂😂😂
Hii movie ina kila kitu ambacho hua ni zahiri kinatokea katika maisha halisi ya wanaadam kila kitu kipo huzuni furaha maradhi uchawi unafki usaliti yani sijui nn kmekosekana mana eliminate ndio tunaipqta sasa sie waangaliaji waomba like tunasubiri movie zenu nasie tuombe like kama mtapenda yaone ovyoo
Cardy ameyakanyanga yaani bibi kiboko 😂😂😂team zuu tuko na matumaini 💪💪💪
Wakwanzaaaaaaaaa wapi daa zuuuuuu❤❤❤❤❤naonbeni likes zangu from 🇰🇪
Kati ya movie au picha ambazo zimezingatia vigezo Asilimia 97% Kalibia vyote nihiii House Girl Nipicha ambayo imeonesha Jinsi Gani Jamii za Afrika zinavyo potea.
Kama tuko pamoja like hapa 🙏
Kbs
Safi nahongera kwakuona elimu iliyopo ndani ya house girl
Asant sana
Uhakikaaa
Zuuuh lazma apatkne kam unaamini hilo nnipe like❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤😂😂
Nasubiri episode 34 kwa hamu sana, Nataka kuona candy atafanyiwa nini na shoshi, hongera sana leo imekua 🔥🔥🔥❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Timu zuu wapi likes jamani❤❤
Jaman bora nikose kula ila bando liwepo co kwa hii movie.....🥰🥰🥰
Wow nimekua wa kwanza leo kaka kai naomba like hata moja tu jaman 😢😢❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Yes ok
Ivi.kila.mtu
Nimechelea jamani warundi muko wap munipe like ❤❤❤
tuko hapa
❤❤❤ tupo pamoja
Nipo lakini sikupi
Tupo
Nyie mbona nipo Hapa Hapa Mmenipiga 😂daaa Ila hya nipeni bas japo moja😂 from Oman 🇴🇲
Jaman wa mwisho Leo naombeni like zangu😂😂😂
😂😂😂
Nyie mnaoomba like acheni upuuzi ni utoto Kuomba omba tu kulike kukoment na kushare haaah😂😂
😂😂Nimecheka kwa sauti
Hahaha 🤣🤣🤣 jamani wakuige ww tu ju hujaomba lakini umepewa
Mnaboa bana vipande vyenyewe vidg afu mnarudia sehemu ambazo tushaangalia😏😏😏
jamn wa kwanz naomb like zangu
Uzipeleke wapi😂😂❤🎉
❤❤❤
Unakul iyo like au mbn husifiii kaz Yao achen kutumia kaz za watu km fursa kwenu mnaboa yaan tumewachok like like t heeeee
@@sifamaureen2792 nazipeleka kw zuu
We zann
Leo mumeweza at least mumetoa mapema naomba like zenu
Mwenye atakuja nyuma anipe like jamani 🎉🎉❤🇧🇮🇧🇮
mimi hapa team gulf
🎉@@SalmaKenyatta-cn8tg
@@SalmaKenyatta-cn8tg Thank you
zuuuu atapatikana tyu
Nipe like zenu jamani, kutoka mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wakwanza leo naomba like zenu please and please wale wapezi wa zuu na kai na bibi kai , malaika lets go like sasa naitaji ❤❤❤❤❤❤❤❤
Funs wa zuuh tujuane hapa....😍😍😍❤️❤️❤️💞💞💞💞
Hi
@@OfficialZuli-ve5kh mamb
@@StellaKimaro-no6mv poa vip
@@StellaKimaro-no6mv poa mzm
@@OfficialZuli-ve5kh nipo pouw cjui ww jmn
Aaah mm ata sijafurahi natakakumuona zuu😂😂😂mm na babake kai tumechoka kungoja😢😢😢
Waooo mnatuletea Kwa wakati shukran
Ila zuu utapona tu mungu yupo ❤❤❤
Wa1 ila kama unamkubali kayi like hapa
Wakwanza tunae mkubali chiko gonga like ata tano apa
Haya jamani wapenzj wote wa busati usipite.bure hapa bila kulike🥰🥰
wakwanz nipen like zng😅
Sijawai kukoment ila leo naona mwanga waja candy raundi hii huwezi toboa lazima useme tu kula chuma hicho bibi zuu 🎉🎉🎉🎉
🤣🥰🥰🥰
Ngoja niangalie ntarud kucoment
❤🎉❤ jamani nawapenda mimi humja wai nipa like hata moja 😢 naomba mwee moja to
Naamini kabisa kwa uweza wa Mungu zuu atapatikana na kupona pia huyo candy ataumbuka
Sasa kama kila mmoja ni wakwazda,wa pili niyupi tumupe like😂
Mimi apa😊
Nibora munipe mm wamwisho😂😂😂😂
Mimi
😂😂😂😂😂😂
Mzigo tayari wacha tukae mwanzo tujue yafuatayo😂😂
🎉🎉🎉acha tuone candy atatoboa kweli,njooni tutizame pamoja
Sekunde watu washafka selathini
Yani sichafurahia movie poa yenye mafunzo kama hii mubarikiwe sana waigizaji hapa mumejitahidi Sanaa's Yani
Musichelewe na episode 34plz
Jaman leo nmekuwa wa kwanza daaah tng nmeanza ndo leo like zenu bx
Bibi kafanya vzur sana leo,nilikua natamani sana hio taimu ya kumusumbua kendal ifike leo imefika😂
Wangapi wanaenjoy wimbo wa house girl 😊😂👍
❤❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂😂 ep 34 wangapi tunaanimi kuwa itakuwa tamu😂😂😂😂
Jaman 😂😂😂raha kuwai wako wap wakuomba like bla kuangalia movie 🎉🎉🎉🎉❤
😂😂😂😂😂
Imefika patamu bibi lazima zuu apatikane kunasiku nilifikiria kitu kaa hii bibi ni muchawi atamutokea candy kama jini imekua sasa kichapo chako candy ni bibi wapi nduru wewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata nami jaman like hata mbili
Kiboko wa kendy bibi Kama bibi dadeki mwisho wa ufalme wa kendy 😅😅
Sijachelewa sana leo ila mbona kama kendi ataumbuka jamani😂😂😂😂 kama waona hivo kama mm basi like jamani team zuu hi
Yaani kai,,,,utakuja kulia kilio cha paka mwizi heeeee hujui tu kitu candy anakusukia
Wakenya hoye🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yoooh🎉
Jmn munanifulahisha watu wa busati TV munadupa kwa wakati maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Patamu hpo safii bib zuu nmeipenda hio hongereni nyote Kwa kazi nzuri❤❤❤🎉🎉🎉 wee Kai mm nngekua best yko nngekuzaba Kofi ili akili zikkufunguka 😂😂😂😂
Kaz nzuriiii sanaaa,hongereniii🎉❤
Chengine saa sita usiku jamni nzur sana mungu jalia zuu aonekane
Nakubali bwana munipe like zangu zakutosha Kama unayuwa zuuu atapona
❤❤Nazipenda saana movie zenu nakizuri munatoa haraka haraka na enough time thank you good job
🥰🥰🥰🙏🙏
Jamani naombeni like za wanachuo wanaofatilia House girl 😂
First to view....nipeni likes .....team kai
Nyanya wa zuu ivyo sasa ndio nilikuwa nangojea sana wapi like kwangu
Ka2i nzuri sana bibi 2u 🎉🎉🎉🎉🎉 kendi sasa kimean2a kuku ramba
Wooow❤❤❤kai weka hata dakika 30 bro. Filamu tamu sana😊Mungu awatie nguvu
Me wakwanza leo jaman like Zang mnipe
Nimechelewa kidogo hata3 😢 basi
Mnaweza sna tunajifunza vingi sana kwa hii move❤❤❤❤❤❤
Hii imenifurahiaha kidogo imenpa matumaini kuwa zuu atapona good job guys much love from kenya
Tena nimechelewa kidogo lakini bado niko nyuma ya zuu nipeni likes watu zuu
Leo nimewahii jamnn mnipee ata likes moja
Jamani mbona mnanichukia ivyo mnipee like ata kumi tu
Me wa kwanza jamen 😂
Mimi wa kwanza Naomba like ❤❤❤❤
Jaman naomben like zangu kwa mar ya kwanza nmewah mapema
Jaman hii move inausambaratisha moyo wang, mapenz yote ni Kwa zuu nani anampend zuu njooni tujuwan Kwa like dears
Zuu naomba Like yako nakufatilia hap plzzz mpenz ❤❤❤❤
Wa kwanza leo naomben like jaman
Tem Zuu twendeni uku 🏃🏃
❤ kutoka 🇰🇪 wapi like zangu
Wapi nduru nimewahi leo wa kwanzaaà🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣kujeni tuone zuuu akipona 😂😂😂😂😂😂😂
Candy kula chuma hicho bibi zuu mkomeshe huyo maana hakujui vizuri
M najua Kwa boss mchawi ni hatar sana
Sasa huku ndo kwenyew bibi kaamua Asante Busati kwa kitu kizuri ❤️❤️❤️ nawapenda
Asante sana
Wapi bibi zuuu
Naombeni likes mi wa kwanza leo asanteni kwa kuwahi
Ila nyie mko na shida gan jamn?
Zuu wangu cjamuona
😂 Leo me ndo kwanza😅
Leo nimewaacha makusudi muwahi no kwasababu nyote uwa ni wa kwanza 😂😂😂😂😂ukiwa wa 300 uwa uoni kwa au auelewi
Leo mmewahisha sanaa nawakubali
Bibi hataki mchezo kwa mjukuu wake like nyingi kwa bibi❤❤❤
Kai kai acha ushaga msikilize bwana mpago ww bibi mau yako 🌹💐🏵️🏵️ nimependa hyoo bibi
Leo nimekuwa wa kwanza jamani😂 napenda love story
Kila mmoja n wa kwanza na anaomba like mbona msitoe maoni kulingana na move yenyewe
Mimi😅
Huy Bibi Kwa uchawi namuaminia Maan kweny move ya boss mchawi wee namp ❤
Alikua na cheo kikubwa Sema seson 2 Bado haijaanza
Yajayo yanafulaish😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ii tamthilia tam san cjui mwisho wa candy utakuwaj
❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉 number 3
Sasa saai kendi kimekuramba,Bibi ya zuu sio mchache, waaaah congratulations guys,mnajua Kazi.Mungu aendelee kuwapa nguvu za kuendelea kupambana jamani 🙏🪴💞
Baasi👏👏bibi ameyaanza zuu wetu atarudi jamani alf Kai mke wako ameshauriwa😂😂ueke nyumba raani chunga,,😅 from 🇰🇪🇰🇪 nawapenda
Tunamutakazuu