HOUSE GIRL EP 54 || love story💞💕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • #bongomovie #housegirl

ความคิดเห็น • 903

  • @busatitv
    @busatitv  2 หลายเดือนก่อน +103

    *FOLLOW WHATSAPP CHANNEL YETU*
    👇🏻👇🏻
    Follow the BUSATI TV channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029VaEXYzkEVccPBP347F2c

    • @ImeldaSamson-wm1iz
      @ImeldaSamson-wm1iz 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@busatitv nikijiunga ilo grop ndo mtanipa kaz ya uigzaj au kusumbuana tuuh

    • @RachelNgalya
      @RachelNgalya 2 หลายเดือนก่อน

      @@ImeldaSamson-wm1iz 🫢🥱🤪😁😁

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน +2

      Kuna sehemu tumeandika kuwa tunatafuta waigizaji?​@@ImeldaSamson-wm1iz

    • @NasraKingazi
      @NasraKingazi 2 หลายเดือนก่อน

      wachanga au waooefu

    • @CarolyneNyanchama-yk1gf
      @CarolyneNyanchama-yk1gf 2 หลายเดือนก่อน

      Eishy 🤭 😂😂😂hii haina come back ​@@busatitv

  • @AsteriaThobias-w2t
    @AsteriaThobias-w2t 2 หลายเดือนก่อน +159

    Kai anabusara Xana jaman 2naomkubal like kama zote jaman🎉🎉

  • @EmilyOchando
    @EmilyOchando 2 หลายเดือนก่อน +216

    Kenya nayo nayo hatubaki nyuma likes zetu ziko wapi jamani❤

    • @PriccilaMweni
      @PriccilaMweni 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤

    • @HappyChona
      @HappyChona 2 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉❤

    • @Janet-b8b
      @Janet-b8b 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤

    • @Chebaibaiever
      @Chebaibaiever 2 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @ruxali4890
      @ruxali4890 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤one love

  • @HalimaBakari-rc8vc
    @HalimaBakari-rc8vc 2 หลายเดือนก่อน +46

    Jaman vipenz vyangu tuliyokuwa tunangojea cendy au shida apigwe na kitu kizito tupewe mauwa yetu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @MwaliSuleih
      @MwaliSuleih 2 หลายเดือนก่อน

      Candy au shidaaaaa zimemkuta xx hatar jamn weee shida ww

    • @AllyChepa
      @AllyChepa 2 หลายเดือนก่อน

      mm nimebali sana chisa

  • @ReginaAli-f3d
    @ReginaAli-f3d 2 หลายเดือนก่อน +308

    Mbao walijuwa candy kitamramba like 😅😅😅😅 basi

    • @MwanaidiSidii
      @MwanaidiSidii 2 หลายเดือนก่อน +4

      Navyenye nikihereheree😂😂😂😂

    • @ZayAwazi
      @ZayAwazi 2 หลายเดือนก่อน +5

      Umesahau sio chandy anaitwa shida 😂😂😂😂

    • @MwanaidiSidii
      @MwanaidiSidii 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂​@@ZayAwazi

    • @Christineedelase-vl8bi
      @Christineedelase-vl8bi 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tama iliuwa fisi😢

    • @Manasiti-k1p
      @Manasiti-k1p 2 หลายเดือนก่อน

      @@ZayAwazi 🤣🤣🤣

  • @NancyAdhiambo-k1e
    @NancyAdhiambo-k1e 2 หลายเดือนก่อน +116

    Kama kuna mwanamke ninayempenda katika video hii ni mkewe shiko yanii ni mwanamke kamili yani kama sura anayo,anajua kumpenda mumewe,ni mvumilivu,mnyenyekevu yaani mwanamke kamili nakupenda mummy

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 2 หลายเดือนก่อน

      Mashallah

    • @SarahFei-ei7en
      @SarahFei-ei7en 2 หลายเดือนก่อน

      Marshall 🎉🎉🎉🎉

    • @RizikiNyale
      @RizikiNyale 2 หลายเดือนก่อน

      Ni chiko s shiko atherere

    • @bintijumachongoa892
      @bintijumachongoa892 2 หลายเดือนก่อน +3

      Huyo zatiti alkuwa anapendeza kuwa na mr tasha ama kai coz n mwema sana❤

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 2 หลายเดือนก่อน

      @@RizikiNyale 🤣🤣🤣

  • @NeemaDenja
    @NeemaDenja 2 หลายเดือนก่อน +72

    Jaman na mmi nipo musinisahau naombeni laiki zangu❣️❣️❣️❣️❣️🙏🙏🙏🫶🫶🫶🫶

  • @melanianjau3244
    @melanianjau3244 2 หลายเดือนก่อน +17

    Weweeeeeeeeeeeeeeeee tulio isi kwamba candy na masozi kita wa ramba tujuane kwa like ❤🎉🎉😂😂😂😂

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣

  • @JudyDee-dt2fe
    @JudyDee-dt2fe 2 หลายเดือนก่อน +40

    ❤❤❤ hebu like hapa team zuuu tukiwait doa yake na kai

  • @rosebosibori1196
    @rosebosibori1196 2 หลายเดือนก่อน +56

    Leo jamani nimewai naomba like ata kumi tu

  • @MetrineNelima-i4w
    @MetrineNelima-i4w 2 หลายเดือนก่อน +30

    Twashukuru sana kuleta kipindi Pila kuchelewa ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @GraceMlay-pv6bc
    @GraceMlay-pv6bc 2 หลายเดือนก่อน +49

    Dakika ndogo sana jmn kwa hii movie kama unakubaliana na mm gonga like hapo

    • @LightnessMalle
      @LightnessMalle 2 หลายเดือนก่อน

      Ongezen dakik move ina mud mdog sanaa

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 2 หลายเดือนก่อน +27

    Ingekuwa kila kijana akiharibu Mtt WA watu anakuwa mpole hivi na kukiri kosa dunia ingekuwa shwari Sana

    • @Shakila-pq2gv
      @Shakila-pq2gv 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @JosephineMegora
      @JosephineMegora 2 หลายเดือนก่อน

      Umeona heee

    • @Martha-gs3in
      @Martha-gs3in 2 หลายเดือนก่อน

      Yaanii kabisaa yaani 😅😅😅😅

    • @ElizabethFrank-r4n
      @ElizabethFrank-r4n 2 หลายเดือนก่อน

      Bachooooo❤❤❤❤ uwiiii 😂😂😂

    • @DorothyAldo
      @DorothyAldo 2 หลายเดือนก่อน

      Wanaona wataota mabawa

  • @brayoomontana5011
    @brayoomontana5011 2 หลายเดือนก่อน +85

    Ndo qwanza kuingia kma wampenda zuu gonga like hpaa 🔥🔥🌍🌍🌎🇰🇪🇰🇪

    • @AnnaMakundi-b9j
      @AnnaMakundi-b9j 2 หลายเดือนก่อน

      Mweeeeeeeeee kimewaramba

    • @AnnaMakundi-b9j
      @AnnaMakundi-b9j 2 หลายเดือนก่อน

      Namkubali sana zuu❤❤❤

    • @AnnaMakundi-b9j
      @AnnaMakundi-b9j 2 หลายเดือนก่อน

      Namkubali sana zuu❤❤❤

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 2 หลายเดือนก่อน +25

    Wamakonde wezangu naombe Iike jmn natokea mtwara nipo mtaa wa rikonde😂😂😂😂

  • @rehemakatundu7027
    @rehemakatundu7027 2 หลายเดือนก่อน +14

    Kila mtu amecheza vizuri katika nafasi yake ❤❤❤

    • @MwaliSuleih
      @MwaliSuleih 2 หลายเดือนก่อน

      Kabxaaa❤❤❤❤❤ nawapenda❤❤🎉🎉🎉🎉🎉nawapenda xn nyie

  • @NellyRandu
    @NellyRandu 2 หลายเดือนก่อน +17

    Kila mtu niwakwanza 🎉🎉 jameni mm niwatatu naomba zangu 5 tu wakwatazamaji wenzangu nawapenda bure

  • @AnnaAmanda-v4q
    @AnnaAmanda-v4q 2 หลายเดือนก่อน +31

    Jaman leo nina furaha sana naombeni like kidogo please 🥺🙏😂😂😂😂😂

  • @ImeldaSamson-wm1iz
    @ImeldaSamson-wm1iz 2 หลายเดือนก่อน +78

    waa kwanza jaman wenye kund la kai na zuu weka like apoo😢

  • @LucyKarembo-s2m
    @LucyKarembo-s2m 2 หลายเดือนก่อน +18

    Watu wako mbio huku One minute viewers 200 hii move iko sawa ❤️❤️❤️❤️

  • @Aminah-r4s
    @Aminah-r4s 2 หลายเดือนก่อน +22

    Maashallah team zuu na team Kai ndoa tunayo InshaAllah 🤲❤❤

    • @rosemarenga832
      @rosemarenga832 2 หลายเดือนก่อน

      Atun ujaon uy anachukuwa video Yan Sania ad anaboa atar

    • @Aminah-r4s
      @Aminah-r4s 2 หลายเดือนก่อน

      @@rosemarenga832 anabowa sana ndo maana ameachwa na papaaa apambane huko na yy apate wake😊😊

    • @MwaliSuleih
      @MwaliSuleih 2 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤ tunayoooooo

    • @Aminah-r4s
      @Aminah-r4s 2 หลายเดือนก่อน

      @@MwaliSuleih 💕💕💕💕❤️

  • @FaustinaPhilimoni-wc4mc
    @FaustinaPhilimoni-wc4mc 2 หลายเดือนก่อน +21

    Wanao sema candy anaaza kujichanganya tena weka like

    • @nurumwinyi796
      @nurumwinyi796 2 หลายเดือนก่อน

      Mmi hapa,anazidi kiyabananga.
      Kakosa radhi ya mma na mume pia

  • @mariamuhamisimwamrezi4832
    @mariamuhamisimwamrezi4832 2 หลายเดือนก่อน +9

    Ila wifiake zatiti amezidi kuchocha ata kama,chiko fata maamuzi yako dadaako asikubebe 🎉🎉🎉

  • @MercySilvester
    @MercySilvester 2 หลายเดือนก่อน +9

    Saa zingine mwapost Kwa wakati saa zingine mwaboesha but hongeren saana❤❤

  • @danielmenza9263
    @danielmenza9263 2 หลายเดือนก่อน +31

    Kai mm nipo vizur kuigiza nipe chance plzzzz 😢😢😢

    • @CHRISTINAMAGASI
      @CHRISTINAMAGASI 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nitafute inbox nikupe kazi

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 2 หลายเดือนก่อน +33

    Mwenzenu niko ep ya 31😢😢😢nipozeni machungu kwa like nkazane niwafikie😇😇😇

    • @RachelNgalya
      @RachelNgalya 2 หลายเดือนก่อน +1

      Pole🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Shakila-pq2gv
      @Shakila-pq2gv 2 หลายเดือนก่อน +4

      Sasa huku umefuata nn😂😂😂

    • @RachelNgalya
      @RachelNgalya 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@Shakila-pq2gv umbea Tu kumaliza vipande vya nyuma aaaah 😂🤣😂🤣

    • @Husna-s5k
      @Husna-s5k 2 หลายเดือนก่อน +2

      Pole kazana utatufukia tuu

    • @FauziaSaidi-ow6cr
      @FauziaSaidi-ow6cr 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo sasa😂😂😂😂

  • @NataliaPetro-ej7bf
    @NataliaPetro-ej7bf 2 หลายเดือนก่อน +7

    Huwezi ukamuamini mtu baki kuliko mzazi wako hakika candy umeigiza vizr nimejifunza kitu hongereni kwa kazi nzuri 🎉🎉

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kai asante sana kwa msimamo wako yani nakukubali sana kaka ❤❤❤❤

  • @EnosBiseke-qm7dd
    @EnosBiseke-qm7dd 2 หลายเดือนก่อน +13

    😂😂😂😂😂😂 wakati kayi unapulizwa maji na bibi namie nimeshituka kama ulivyoshituka

  • @LuciaBukula
    @LuciaBukula 2 หลายเดือนก่อน +14

    Love 💕💕❤❤ house girl kazi iendeleee kalibuni tuendelee

  • @Agatha-g6v
    @Agatha-g6v 2 หลายเดือนก่อน +24

    Kaz nzr jmn anyway nimeng mnatufunza kupitia series zenu,hata hvy me wakwanza leo na sihitaji like zenu😂😂😂😂

  • @OmarJaffar-fw4lt
    @OmarJaffar-fw4lt 2 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂Kai kilichokutuma kunyandua mjukuu wa huyu bibi bila lizaaa ndio ukome tulia dawa ikuingie😅😅😅😅

  • @MariamIddy-ve8eh
    @MariamIddy-ve8eh 2 หลายเดือนก่อน +12

    Wow leo mwenyewe Nimewahi kuwa wa Kwanza nipeni mauwayanguuuu💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @zahraali5113
    @zahraali5113 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hii move inafuza vitu vingi mpka nimekuta nalia😢😢😢 hongera sana kai na watu wako wote Mungu awabariki sana

  • @annstamciawanzila2652
    @annstamciawanzila2652 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kendi na papa ni waigizaji bomba niwape hongera nyote mnao tupa burudani kweye house girl,harusi tunayo hatunaaa🎉🎉🎉🎉

  • @maria5514-u2g
    @maria5514-u2g 2 หลายเดือนก่อน +30

    Bibi Zuu amezid uchawi sasa nini kumtemea hivyo 😂😂 mwenzio sijapenda

    • @LightnessMalle
      @LightnessMalle 2 หลายเดือนก่อน

      Hahaha

    • @RehemaChunga
      @RehemaChunga 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @mwanakombopopo5117
      @mwanakombopopo5117 2 หลายเดือนก่อน

      Pia mm kaniudh😂

    • @maria5514-u2g
      @maria5514-u2g 2 หลายเดือนก่อน

      @@mwanakombopopo5117 kweli bna yaan msamaha tu Hadi tutemeane mate 😂😂 apunguze ushirikina 😂😂 na anaufanya waziwazi bibi zuu noma

    • @Judithopondo-fn9dr
      @Judithopondo-fn9dr 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @SleepingEyes-ej3ir
    @SleepingEyes-ej3ir 2 หลายเดือนก่อน +43

    Jamani kila siku mm wa mwisho nipeni like wapenzi 😢😊😊😊

    • @ShukuraniPeter
      @ShukuraniPeter 2 หลายเดือนก่อน

      Pol siku nyingine utakuwa was kwanza usijali dada yangu

    • @SleepingEyes-ej3ir
      @SleepingEyes-ej3ir 2 หลายเดือนก่อน

      Inshallah nisapoa dear usijali 🤗😊😊

    • @santosagost5018
      @santosagost5018 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 2 หลายเดือนก่อน +16

    Jmn lafiki wakweli ndo huyu lafiki wakai kanifulahisha sana kumuonesha upendo mwenzio team kai maua yenu 🎉🎉🎉🎉

  • @NancyKaaya-x4s
    @NancyKaaya-x4s 2 หลายเดือนก่อน +13

    Pole yake candy na bado ujapigwa matukio jamn naomben na mm like

  • @Manasiti-k1p
    @Manasiti-k1p 2 หลายเดือนก่อน +25

    Tunasema mapema ndiyo best tunao juwa kendi katapeliwa tujuwane kwa like nawapenda Sana mashabiki wenzangu❤

  • @beatricenjoroge-rz9xz
    @beatricenjoroge-rz9xz 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hiki kipidi hunifuza mengi kuhusu ndoa n maisha ❤team Zuu mnaifanya kazi nzuri😻💖👍

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 2 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani tunashkuru wana busat tv kutuburudisha kwa filam mzuri nzuri ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉tuwape mauwa yao

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 2 หลายเดือนก่อน +7

    Candy kimekuramba utajua hujuiii😂😂❤❤🎉

  • @-kagerayetubw9jx
    @-kagerayetubw9jx 2 หลายเดือนก่อน +9

    😂😂😂bibi zuuu ni kama bib yangu kabisa kukutemea mate ety ni balaka duh!!!😂 10:00

    • @rizikinassir3998
      @rizikinassir3998 2 หลายเดือนก่อน

      Ni baraka kubwa kwa wazazi

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 2 หลายเดือนก่อน +13

    Kenya tuko ndani kama mimba ya candy ama niaje watu wangu❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @RachelNgalya
      @RachelNgalya 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂9month ifike mtoke njeee😅😅😅😅😅

    • @Janet-b8b
      @Janet-b8b 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tunaanguka nayo tu😂😂

    • @kinananyuni9732
      @kinananyuni9732 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ebwanaeee kma kalambwanda 😂😂😂

    • @Phoebenafula
      @Phoebenafula 2 หลายเดือนก่อน

      @@kinananyuni9732 🤣🤣🤣🤣

    • @s.aaa-y8w
      @s.aaa-y8w 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yoooooh🎉🎉🎉

  • @merinazyd0532
    @merinazyd0532 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wanao mkubali kai na rafiki yake pamoja na zuuuuu tujuane ❤❤❤❤❤

  • @Scolayusuph558
    @Scolayusuph558 2 หลายเดือนก่อน +9

    Kai umepoa 😅 umalaya tyu kuoga aaaaah 😂😂🎉

  • @HidayaAbdallah-l2l
    @HidayaAbdallah-l2l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn sim ya kaz unaiongelea pembeni cand kitakulamba kitu ❤❤❤❤❤❤❤

  • @floramacheva5855
    @floramacheva5855 2 หลายเดือนก่อน +5

    Candy Candy Candy!!! Njia za sakafuni huishia ukingoni, na tamaa ilimuua fisi

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 2 หลายเดือนก่อน +10

    Jaman wote tunawapenda lak kwenu🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @TantineZuzu
    @TantineZuzu 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ata kama munafanya dakika chache uzuri hamukawi kutowa pokezi kwa hilo 🎉🎉🎉❤❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @MariamBaruti-cq2xc
    @MariamBaruti-cq2xc 2 หลายเดือนก่อน +11

    Na mm naomba like jaman❤

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 2 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂😅😂😅😂😂😅kai fungua mdomo huo bibi akunyweshe maj 😂😂waa bibinahatar

    • @s.aaa-y8w
      @s.aaa-y8w 2 หลายเดือนก่อน

      We kuweza😅😅

  • @MaryCharles-c7n
    @MaryCharles-c7n 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wanao amini zuu atakuwa mama kijacho mtarajiwa 2juane kwa like

  • @maliathmajid8228
    @maliathmajid8228 2 หลายเดือนก่อน +29

    Mbona mm hamnipi like😅

  • @PreciousNzai-u9f
    @PreciousNzai-u9f 2 หลายเดือนก่อน +7

    Wow leo nmewahi jamani,candy kimemramba

  • @user-be9zj6fw1c
    @user-be9zj6fw1c 2 หลายเดือนก่อน +6

    Waaaaaah nimechelewa lkn nimefika likes zenu 🤣🤣🤣

  • @NzembiNyamai-u6l
    @NzembiNyamai-u6l 2 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂Sania mbn kiherehere nawe😅😅😅❤❤🎉🎉

    • @MwanamisiHassan-xh5fn
      @MwanamisiHassan-xh5fn 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi nimependa maamizi ya kai na zuuu kufanya harusi yao bilashida yoyote Kidy nae hafanya maamiziyaki km mwanamke tuone nanini Ata dumukwedowa yake ni zuuu ama N Kidy tutaona. Apo baadae ❤❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @GloriaNahimana-x8p
    @GloriaNahimana-x8p 2 หลายเดือนก่อน +10

    Kama unakubali bibi zuu like 🎉❤🎉

  • @افااقع
    @افااقع 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ep 55 wapenzi isichelewe yani movie nitamu kama asali ❤❤❤❤from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zainabuomary9085
    @zainabuomary9085 2 หลายเดือนก่อน +21

    Inavyoanza Mbona mnarudia matukio ambayo tushaangalia, hamuendelezi tulipoishia

    • @JemimahNzai-j3k
      @JemimahNzai-j3k 2 หลายเดือนก่อน

      Ndo nashangaaa

    • @salehHassan-rl8bd
      @salehHassan-rl8bd 2 หลายเดือนก่อน

      Imagine

    • @rukcabby2572
      @rukcabby2572 2 หลายเดือนก่อน

      Ndo inachukua dakika kidogo imeisha

  • @peninamahenzo7170
    @peninamahenzo7170 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila movie imenifunza mengi hiii🤗🤗🤗🤗

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli jina lako ni shida ,, na shida unazipata nyumba imeenda na chiko jiandae umemtesa mke kisha mimba na mimba ya candy sii yako

  • @PrincessPendo-mc4dm
    @PrincessPendo-mc4dm 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ampendae babake kai agonge like 👍 🇰🇪

  • @JackyMuthoni
    @JackyMuthoni 2 หลายเดือนก่อน +7

    Watching from Qatar l wait 55👍

    • @RusmatMohamed
      @RusmatMohamed 2 หลายเดือนก่อน

      Asante sana ndugu kuisapot Tanzania hakika tunavutiasa sisi watanzania japo nimechelewa kujibu ila naimani imefika

  • @veronicawilliam7276
    @veronicawilliam7276 2 หลายเดือนก่อน +2

    Weee naona kama nmeelewa fumbo la tasha hivi kayi kapata kazi tenaaaa safi sana donta tv 🎉🎉🎉

  • @SaeedhSaeedh-f6i
    @SaeedhSaeedh-f6i 2 หลายเดือนก่อน +3

    ❤🎉🎉ila huyu wifi naye simutu muzuri❤❤❤

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hii movie tamu mno natamani isiishe watu wote pambee ila pole Candy tumikia azabu yako Kai 🌹 yako

  • @FarajaMkilunga
    @FarajaMkilunga 2 หลายเดือนก่อน +19

    Wakwanza leo naombeni like zangu

    • @PaulineLucas-x6q
      @PaulineLucas-x6q 2 หลายเดือนก่อน

      Kuomba like tu kulike aaaaah

  • @DinahNish-bm9sr
    @DinahNish-bm9sr 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tafadhali candy tuma hiyo video ifike kwa chiko basi apasuke moyo atalie na mkewe😂😂

  • @godfreyonderi5338
    @godfreyonderi5338 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sema Candy kimemramba😂😂,,,hebu hizo likes zenu wangwana

  • @chimmychimmy215
    @chimmychimmy215 2 หลายเดือนก่อน +2

    Candy nae atamtumia video sania,,sania nae ataituma kwa chiko,semeni nan kukosa vyote😂😂

  • @ImeldaSamson-wm1iz
    @ImeldaSamson-wm1iz 2 หลายเดือนก่อน +11

    jaman vipenz wang polen na kaz naomba kaz ya kuigza😢

    • @imeldainnocent9126
      @imeldainnocent9126 2 หลายเดือนก่อน

      Wajina

    • @ImeldaSamson-wm1iz
      @ImeldaSamson-wm1iz 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@imeldainnocent9126 nambie kipenz chang nilijua ninajina ilo mm tu mana sijawah muona mtu umu sahv nimepata rafk niambie kipenz

    • @ImeldaSamson-wm1iz
      @ImeldaSamson-wm1iz 2 หลายเดือนก่อน

      wajina mbona kimy lafk ang kipenz umepotelea wap tna

    • @imeldainnocent9126
      @imeldainnocent9126 2 หลายเดือนก่อน

      @@ImeldaSamson-wm1iz mm nipo

  • @sophiapretty3690
    @sophiapretty3690 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂kila mmoja anaomba like aaah jameni pia mm naomba hata kamoja huku tukusubiria ndoa ya zuu na Kai💃💃🥳

  • @EstherMutindi-z6p
    @EstherMutindi-z6p 2 หลายเดือนก่อน +8

    Dah show Iko freshii essy kutoka kenya

  • @PurityMwongeli-p9f
    @PurityMwongeli-p9f 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mim sipedi bibi zuu anavyobadilisha lugha kwanin asiogee kiswahili tu na ameigiz sehemu nyingi San vizur

    • @lineshchucks
      @lineshchucks 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅

  • @Aminah-r4s
    @Aminah-r4s 2 หลายเดือนก่อน +4

    Na mm naombeni like jmn wapenzi wangu jmn nawapenda❤❤❤❤💞💞💞🎉

  • @SaraUlaya-is2ch
    @SaraUlaya-is2ch 2 หลายเดือนก่อน +4

    Yule mpuuzi yaan Mimi nafurahi jamani❤❤❤❤

  • @PhanyKemunto
    @PhanyKemunto 2 หลายเดือนก่อน +3

    Candy ajulishe Sania kuwa mimba ni ya papaa,Sania akamwaribie kwa chiko ,tena bado Sania atamwaribia kwa papaa na candy kitakuramba mpaka utajua hujui ,mwishoe utarudi TU nyumbani kuomba mamako msamaha vizuri

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน

      Asante sana🙏

  • @ERICMUSABASHEKERE
    @ERICMUSABASHEKERE 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tunawapata vema asante saana toka Dr Congo Goma

  • @elizabethobaigwa9521
    @elizabethobaigwa9521 2 หลายเดือนก่อน +2

    Candy kinemramba ndo anaona kai n mume wake atajua ajue ety kai akae kijana wake wa kazi za ndani

  • @YohanaMichael-sw8vj
    @YohanaMichael-sw8vj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tena naona kuwa yule jamaa Alie mpa mimba candy Atakuja kuilea mimba yake na chiko ataachwa solemba😂😂😂🎉

  • @BabyeSaumu
    @BabyeSaumu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mnavyoanza mnaregesha nyuma sana, halafu huyu wifi yake zatiti anakera mpka basi,lengine naona ndoa ya Zuu haitafanyika ..ila wacha tusubiri tuone matokeo..

  • @StarMtuy267
    @StarMtuy267 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naombeni like jaman❤❤❤

  • @miriamkiminige
    @miriamkiminige 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ambao wanaamini chiko hana uwezo wa kuzalisha gonga like Twende sawa 🤗😃

  • @ZenahZeynah
    @ZenahZeynah 2 หลายเดือนก่อน +4

    Big up kazi nzury Wana hause girl ❤

  • @ZalhaMustapha-yj4os
    @ZalhaMustapha-yj4os 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila jmn Zatiti Ni mzur jmn❤❤ tukupe maua Yako2 na like za kutosha🌹🌹🌹🌹

  • @barakamshefa6426
    @barakamshefa6426 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kendi hakujua mwenda tezi na Omo marejeo ni ngamani😂😂

  • @HappyCharles-vk8ds
    @HappyCharles-vk8ds 2 หลายเดือนก่อน +14

    Ndoa tunayo jmn
    Tunasubiriaa ndo like doñdosha🎉

  • @YohanaMichael-sw8vj
    @YohanaMichael-sw8vj 2 หลายเดือนก่อน +1

    C hiko me naona anachezea bahati maana kwa mwanamke huyo Alie nae ni mwanamke Ambae Anakila sifa Tena naona maumivu kwa chiko siku tuu Akijakugunduwa kuwa mimba c yake

  • @CeciliaMatanda-z3m
    @CeciliaMatanda-z3m 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hello 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kweli nimejifunza mengi ...

  • @AishaNibizi
    @AishaNibizi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Candy kitamulamba like zangu jamani 🇧🇮 Burundi 🇧🇮 Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 njo nyumbani

  • @MauwaSuleiman
    @MauwaSuleiman 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wamwanzo jmn mm jmn from Zanzibar❤❤ house girl

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 wangapi tunaamini kuwa kendy atamutumia Sania vidio then Sania mwenye amutumie chiko😂😂😂 utamu huoooo😂😂😂 kalini pia congratulations to Kai maana natumaini ataambiwa habari njema za kazi🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SHANTFLOWERSTZ
    @SHANTFLOWERSTZ 2 หลายเดือนก่อน +8

    Naombeni like jamani

  • @AISHAFAAB
    @AISHAFAAB 2 หลายเดือนก่อน +23

    Mashallah tamthilia tamu

  • @FahilaAlly
    @FahilaAlly 2 หลายเดือนก่อน +4

    wa kwanza leo like please 🙏

  • @Teresia-bg9dt
    @Teresia-bg9dt 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jmani wenye tunajua mtoto sio wa Shiko ngonga like hapa basi 💋

  • @fadhiliezekia
    @fadhiliezekia 2 หลายเดือนก่อน +3

    Dada wa chikonimemuelewa sanaa❤❤

  • @janeburu6538
    @janeburu6538 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani nawapenda paka narudilia mov mara mbiri from Burundi nafanya kazi zandani Saudi Arabia ❤❤❤❤❤❤❤❤❤