Jamani Hii movie mafunzo yake niya ukweli bila chenga Hawa vijana walioigiza hii picha nikama vile mungu kawaonyesha kuwa matatizo mengi ya jamii now days yako hivi walai nimeipenda Sana. Kama nawewe uko Pamoja nao gonga like hapa❤
Hii movie ina mafunzo mengi aswa kwa wanawake jameni jifunze kufanyia mwenzio hata kama ni ajiwezi tupendane please,anyway nipe hata likes kumi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Uhuum mambo kwa bibi zuu yananoga kwa kay yanazidi kua magumu haya si twaomba zuu apatikane atibiwe na kay atibiwe Candy kimurambe tena asiwe kica awemuzima afe taratibu tu😂😂
Hii movie ikiisha tafadhali naomba kwa dhati ya moyo wangu iwe na sehem ya pili maan naona km bado itakuwa namaan san toka nimeanza kuwafatlia hii kitu ni noma san
Movie nzuri mno Yenye mafunzo mengi sana ambayo ndani yake yana ukweli ntupu katika maisha tunayo ishi Mume wa mcho wa daa masozi acheni tamaa itawaponza😂😂😂😂😂niko pale 👉 nasubiri episode 35❤
Wenye wanaimani kwmba cku yenye zuu atajaliwa kuonana na nyanyaah ndio mwisho wa uchizi wake....nakuuliza mbna mumenizunguka....!!? Niko wapi apa!!? Alafu mbn munalia😅
@@ZaithuniNassir hatari huyo bibi........ila canndy ashaumbuka....halafu rafiki yake mnafki kama nn...walielewana saa hii ashatombowa siri.....marafiki jamani
Jamani Hii movie mafunzo yake niya ukweli bila chenga Hawa vijana walioigiza hii picha nikama vile mungu kawaonyesha kuwa matatizo mengi ya jamii now days yako hivi walai nimeipenda Sana.
Kama nawewe uko Pamoja nao gonga like hapa❤
Asante sana tunakupenda mno Mtu wa Mungu
@@busatitv Msikate tamaa pambaneni kwani nimeona mnakitu ndani yenu Sr God awe pamoja nanyi msitengane🙏
Himefikia maali Pake wao Asante mungu
Candy tena bado
❤❤❤ candy hapo Bado hujaona mauzauza 😂😂😂utajuta kwenda kwa mganga
Kama unahiman zuuh ata apatikana nakuzungushiwa kibuyu kichwan tujuane kwa like zakutosha❤❤❤❤😂😂😂😂😂❤❤❤
🥰🥰🥰🤣🤣
😂😂😂@@busatitv
😂😂😂 ndio mambo yako nini
@@RutaRubedi😂😂😂😂
@@busatitv❤❤❤
Hebu jaman leo Ndo fainal cndy kuumbuka kma unakubali weka like hpa team felus 😂 🇴🇲
Hi
Leo niwai likes zenu bas😂
@@AishaSudi-pu9xy😂😂😂😂
Leo Nini sijaelewa nieleweshe bas ndyo nikupe like 😂😂😂😂
😅😅😅😅
Tunae fulahi uamuzi wa bibi zuuu gonga like
team zuu naona tuko na kahopes sasa wapi like za zuuu tukiamini atakua poa soon❤❤❤❤❤
Tushafikiwa😂😂 raha ilioje🎉🎉🎉
Tuko hapa mbna raha
❤❤❤❤❤❤❤❤@@SamiaMwachumba-xf8wo
Tuko apa tupo rada sana
Wapili naomba like 5
Jmn wa2 wako faster. Naomben like at 3 ty kwa ajl ya bib ake zuu🎉🎉
nimewahi jamani naombeni like zengu timu zuuuh
Wangapi wanatamani candy na yeye awe kama zuuuh like nyingi
Mm nahitji candy awe km zuu nitafrh 🎉😂😂😂😂
Mimi natamani ata Leo jamn ananikela uyo dada
Mimi natamani zuu apone aolewe na kai afu kandi awe mzima ashuhudie ndoa
Mbonaaa wengiii whats comes around goes around malipooo n ha pa hapa
Me hapa
Daaaah jamni jamni mpaka raha 😅😅😂😂😂😂😂🎉❤🎉❤ candy amehaha atli bibi kiboko😊
Candy 😂 Dunia inazunguka momy Leo yamekufika😅
Nimewahi jamani like zangu
𝐖𝐚𝐚𝐚𝐚𝐚𝐡 𝐜𝐚𝐧𝐝𝐲 𝐤𝐢𝐬𝐡𝐚𝐦𝐫𝐚𝐦𝐛𝐚😂😂😂😂
Hii movie ina mafunzo mengi aswa kwa wanawake jameni jifunze kufanyia mwenzio hata kama ni ajiwezi tupendane please,anyway nipe hata likes kumi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana🙏
Watu wangu wa nguvu naomben like zenu basi leo wa kwanza👌
Ebu munuachie likes mashabiki wenzangu tunao fatilia house girl nawapenda Sana
Mmmmm
candy na bado macho haijakutoka itakutoka timu zuu mwaga likes zako hapo🎉🎉🎉
😂😂😂
Ila sania amenifurahisha sana jmn❤❤❤❤❤
Mapema ndio best n kama unamkubali bibi gonga like nifurahi❤
🥰
Wa kwanza toka kenya wapi likes zangu jaman❤
Wakwaza leo naomba like zang jmn from burundi😊😊😊
Jamni mko vizuli sana mnatuwaishia move zetu ongereni
Nam leo nimewahi jomn
Wana wa burundi tujuane kwa like bs
Ila duh mpo vizuri sana mnajuwa kutuelimisha inshaallah M/mungu hawalind mzdi kutuelimisha 🎉
Naombeni like leo
❤❤❤❤❤naipenda xnaaa jmn piah naifatilia xnaaa wako vizuri xnaaa hawa watu jah bless u guys . Kila ckuu naweka bando kwajili yenh
Much love from saudi ❤❤❤yn nafurahia sana katika hii move juu inanifunza katika maisha ya upendo wenu ❤❤❤cendy kitakuramba saii
🥰🥰
❤❤❤miye nakubali kama zuuu wangu atapona munipe like zangu apa kutoka congo
🙏🙏
@@busatitv asante
Number four jamani naombeni likes zangu
Wallah Busati TV mmewezaaaaa tena mmewezaaa tenaaa🔥🔥🔥🔥💐🇹🇿 peperusha dunia nzima wajue kazi yakoo % haya yanafanyika katika jamii tunaziishi nazo
Jamani like ata moja
Hii movie mumetusha sana bbi zuuuu yaani nakuamini huezi kuniangusha maana unaweza sana kazi nzuri ❤❤❤❤
Kilicho wekwa gizani siku siku kitaonekana peupe rafikiye Cain safi sana honger❤❤❤❤😊
Mojawapo mie Nimefurah mno acha likukute na mganga Kunywa soda barid naja lipa. Kimekulamba Candy oooh
Hongereni sana muvi nzuri yakuelimisha 🎉🎉🎉🎉❤
Asante sana
Mungu akuweke director unatumia akil nyingi san 🥰💓🙏
Jamani watatu ni pewa likes nimejificha chooni mdoss wangu asinione bwana nyie😊,more love from qatar ❤
Nex Bwana Iwe Ewani Saabili Usiku Au Tatu Tusilale Bila Kutazama❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Mashallah Mashallah
Uhuum mambo kwa bibi zuu yananoga kwa kay yanazidi kua magumu haya si twaomba zuu apatikane atibiwe na kay atibiwe Candy kimurambe tena asiwe kica awemuzima afe taratibu tu😂😂
Jamani nipeni like mm ndo wa kwanza leo
Bado hujasema 😂
bibi honger mkomesha uyo candy❤❤
Na me naombeni like timu zuuh❤🎉🎉
Hii movie ikiisha tafadhali naomba kwa dhati ya moyo wangu iwe na sehem ya pili maan naona km bado itakuwa namaan san toka nimeanza kuwafatlia hii kitu ni noma san
Movie nzuri mno
Yenye mafunzo mengi sana ambayo ndani yake yana ukweli ntupu katika maisha tunayo ishi
Mume wa mcho wa daa masozi acheni tamaa itawaponza😂😂😂😂😂niko pale 👉 nasubiri episode 35❤
Wenye wanaimani kwmba cku yenye zuu atajaliwa kuonana na nyanyaah ndio mwisho wa uchizi wake....nakuuliza mbna mumenizunguka....!!? Niko wapi apa!!? Alafu mbn munalia😅
Ahh fresh show iko poa ina bamba sana ❤
Hongerani kwa Kaz nzuri hampoi 🎉🎉🎉
Sasa imekuwa tamu zaidi....hongera kwenu kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🥰🥰
Nafurahi jamani kend kinamkuta kutoka kwa bibi AMA kweli ukimfanyia mtu ubaya malipo hapa hapa duniani movie hii ni darasa tosha
Kabisaaa
Hatari sana hongereni team BUSATI TV
Jamani house girls pambe❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤🎉
Movie ni nzuri
Marekebisho ni kupunguza kukaa kwenye sceen ya aina moja kwa muda mrefu.
Mi nko na zuu apa jaman nipen like zangu nimlete apooo❤❤
mukiambiwa usiende kwawaganga hamuelewi😅😅😅
Wanawake wenzangu jistirini hakuna dini inatoruhusu mavazi kama hayo mnatutukanisha filam nzuri sana
🙏
Candy umeyatimba mateso kwako ss movie nzuri sana hongereni sana mungu awatangulie
Good job 👏
Zuu na Kai wapone haraka,mana wakipona utamu wa movie ndo unakolea sasa👌...candy ateseke na yeye😎
🙌
@@busatitv Ndy team Kai na zuu zamu yetu sasa😂
Hii movie yafundisha jamani ukifanyia mwenzako ubaya usitarajie kulipwa mema ❤❤
Jamn kwan mwalala humu😂😂😂
Dah uyu kay niuchawi tu au kapewa na vingine😢😢 like zenu jaman
😂😂😂😂😂 candy lakusema cna ata nawapenda bure😂😂❤like flani amba hapa hata km nmechelewa namuuliza candy vp plan ya kufungua supermarket bado ipo ama
😂😂😂😂😂😂
Hii ndio nzuri sana dawa ya ubaya ni aibu
Malipo ni hapa duniani tenda mema mungu atakulipa
Hongera sana kwa movies nzuri
Ahsante kwa episode nyingine chukua 🎉🎉🎉 nawapenda sana
Tupate wapi Tena waigizaji kama Hawa walai sioni kwahapa TZ🇹🇿🇹🇿 wengine wataiga hapa2😅 like her
Acheni unafiki watu wote wanaweza tu
😂😂😂usisahau AZ PRO ban
Wengi sana sana ujasili na usubutu ndio unatakiwa kwenye maisha
Alakey umemuacha wapi
Yaani nmefurahia sana
Hongera sana bibi❤❤❤ Wa kwanza kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪Naomba like basi
🥰🥰
Ni motoo lkn episode inayo fata bb ake zuu lazima afanye K2 ili Kai akili yake irudi kabla nyumba haijauzwa😢
Hii movie inafundisha sana i like it
🙏🙏
I like the video ❤❤❤❤🎉
Jamannn leooo nimewahiii
Nashukuru sana kai Mungu awazidishieni 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Muda umekua mwingi tangu nmuone amenunuliwa sambusa amegawiwa na jacket sijamuona tena😥 u're missed Zuu ❤
Likes zangu pia watu wa house girl jameni
Kazi nzur ❤️❤️👏👏
Bibike zuu ni vip mchawi ama na iyo kibuyu ni Cha nin uchawi sielewi Ako amesimama wapi❤
Kwakweli na mm nimejiuliza hivohivo😢
Inakuja zamu candy kuwa chiz mda so mrefu
Iyi movie nikali nayipendasana kinoma
Wasipo fanya haraka ku watibia kay na zuuu basi mali ime liwa 😅😅😅
Kai kendi anakupoteza kwenye direction ya maisha yaan Mungu aksimamie
Waooooo
Kai changamka ww 😂😂😂watakutia dole hao
🤣🤣🤣
Leo sema furaha ya kendy kimekuramba sana pole dada mchawi mzuri ni mungu wachana na mzimu kitakuramba
🙏🙏🙏
Number two jaman
Sijachelewasana namimi laik zang
Watu mpo fastaaaa 😅
Bibi ameamua sasa patamu hapo😂😂😂😂😅
Hivi kai akijua mauzauza yote hayo aliyo ya fanya cendy siatamfukuza kama mbwaa 😂😂😂😂
🤣🤣
@@busatitvhili ni bonge la movie kwann msipeleke dstv au azam jmn uwiiiii much love❤❤❤
Bi zuuh kayayuka Leo chezea mjukuu ww, wapi team bibi tujuane😅
🤣🤣
🎉🎉🎉🎉Kaz nzuri sana
Canndy wachezea bibi ya boss mchawi wewe......ngoja ujikubali kuwa ulironga watu😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅huyu nikiboko huyu bibi....kwa boss mchawiiii sana😊
@@ZaithuniNassir hatari huyo bibi........ila canndy ashaumbuka....halafu rafiki yake mnafki kama nn...walielewana saa hii ashatombowa siri.....marafiki jamani
@@user-jl2er1nb2p 🤣🤣🤣yy canndy ndio aloanza kumuharibia🤣🤣nayy hakutqka kabisa akaharibuuu kabisa saii atajua hajui
@@ZaithuniNassir mm nilisha juwa bibi ya boss mchawi akiingia atapata aibu
Daa!! Kali hii. Tuone Kai yuwapeana talaka au yuwauza nyumba❤❤❤
Waaa mkofasta aje ❤❤❤❤🎉❤🎉❤🎉
Hongereni sana kwa kazi nzuri
Weeee
Congratulations bibi zuu nmependa sana
🙏🙏🙏
Hii movie inahistoria ya kweli na wenye tunatizana hii filamu bs tutapanuka ki akili na kuwa wabunifu sana katika maamuzi
😂😂😂😂 wuuueeeeh... Candy kapatikana, kimemramba tena vizuri sana 😍. Ukitenda mema unajitendea, na ukitenda maovu unajitendea.... Candy kula chuma hicho 😂😂😂😂
wanaita show shows candy na bibi😂😂😂