FAIDA NNE ZA DHAHABU KATIKA KUSHUKURU-PR DAVID MMBAGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 66

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Mungu wetu kwa kumtumia Mch. Mmbaga.
    Mungu akutunze, Mch Mmbaga. Akupatie maisha marefu yenye afya, furaha na Amani. Umenifaidia Sanaa.

  • @lucymwakisuma8658
    @lucymwakisuma8658 2 หลายเดือนก่อน

    Amina,jina la Bwana litukuzwe,asante mchungaji kwa somo nzuri barikiwa sana na neema ya Bwana iwe pamoja nawe milele

  • @annamuyengi5170
    @annamuyengi5170 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa mchungaji asante kwa familia yangu na ulinzi mkubwa ni mengi uliotenda asante sana

  • @mwajumaleonard2132
    @mwajumaleonard2132 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏 Mungu akubariki sana Mchungaji

  • @Immanuelsichone
    @Immanuelsichone 11 หลายเดือนก่อน

    Amen Pastor nimebarikiwa sana kwa haya mafundisho nakufata kila siku niko nnchini Zambia

  • @lydianyachama2286
    @lydianyachama2286 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏🙏🙏
    Asante pastor Kwa mafundisho mazuri... Mungu akuongeze nguvu na akubariki zaidi

  • @lilianlima8609
    @lilianlima8609 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen, Amen tutashukuru kwa sauti kuu, Mungu akubariki Pastor kwa kuruhusu huu ufunuo wa shukran, shetani anaaibika kwa kuona matendo makuu na ya ajabu Mungu anayotutendea, jina la Bwana libarikiwe na kuhimidiwa sana, asante Yesu🙏🙏🙏 sitanyamaza

  • @dianarobert7953
    @dianarobert7953 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akutunze, akubariki Sana pastor.

  • @raelsarange638
    @raelsarange638 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏 glory and honor be to God, thank you Lord infact you have done for me AMEN 🙏🙏

  • @TuliaIpopo
    @TuliaIpopo ปีที่แล้ว

    Ameen nabarikiwa sana na mafundisho pastor ❤

  • @jaredmayaka2993
    @jaredmayaka2993 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen and Amen glory to God, God has done something in my life one day I will tell pastor my testimony

  • @eustina837
    @eustina837 2 ปีที่แล้ว +1

    Asnte pastor Mungu akupe nzuvu kwa kazi yake

  • @salomekemunto8217
    @salomekemunto8217 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeni pastor barikiwa

  • @kwambokakwamboka8382
    @kwambokakwamboka8382 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakusikiza from Saudi Arabia,I lov ur sermon pstr

    • @HuldaMadulu
      @HuldaMadulu 8 หลายเดือนก่อน

      Nimeelewa namna ya kumshukuru kwa sauti kuu makambi ya mwaka huu nitamshukuru Mungu kwa mema yote alionitendea n mengi hayahesabiki

  • @kemuntojackline2267
    @kemuntojackline2267 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏 Asante sana

  • @reginasedede2322
    @reginasedede2322 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana pastor

  • @froline5209
    @froline5209 2 ปีที่แล้ว +2

    Thanks pastor for your sermon

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina sanaa Mungu atusaidie

  • @Theodora-k3h
    @Theodora-k3h 8 หลายเดือนก่อน

    Pastor barikiwa sana na mahubiri pia naomba unikumbuke kwenye maombi Mana Kila nililofanya halisongi mbele natamani lingine

  • @perisbosibori2249
    @perisbosibori2249 2 ปีที่แล้ว +2

    Thank you Pastor for this wonderful teaching. Blessings.

  • @joharissa2020
    @joharissa2020 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina nabarikiwa sanaaa nikiwa uku ilaq

  • @Mtem-m5s
    @Mtem-m5s ปีที่แล้ว

    Amina munguakubariki

  • @asiliachannel2090
    @asiliachannel2090 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen be blessed Pastor David

  • @ramamwanjala7350
    @ramamwanjala7350 2 ปีที่แล้ว +1

    AMEN PASTOR

  • @hellenratemo2813
    @hellenratemo2813 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen let's thank God for everything God bless you pastor

    • @franciselectronicrepair2823
      @franciselectronicrepair2823 2 ปีที่แล้ว

      Amen umeni Fungua ufahamu Wangu PASTOR Atukuzwe MUNGU WA MBINGUNI.

    • @patrickmuhangi4071
      @patrickmuhangi4071 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina pastor Bwana akutumie kwa viwango vya juu kabisa,unanitia moyo kumtafuta Mungu kwa bidii.

  • @mgoledaudi6051
    @mgoledaudi6051 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sana 🙏🙏🙏

  • @judyalex1237
    @judyalex1237 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen Amen Amen 🤲🤲👏🔥💪

  • @somenimaira3381
    @somenimaira3381 2 ปีที่แล้ว +1

    It's so powerful, I'm blessed.

  • @joycegeorge4712
    @joycegeorge4712 2 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed man of God

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen powerful teachings

  • @rosenanjalawafula6803
    @rosenanjalawafula6803 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen pst

  • @MathewBayyo
    @MathewBayyo 11 หลายเดือนก่อน

    Pastor nashukuru naomba msaada wa maombi mimi Emanuel john Anthony maombi ya msaada

  • @lucaspengo310
    @lucaspengo310 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika pasto umenena ilineno kwa ajil yangu nanimejifunza kitu mmi ni msabato lkni Mambo yangu hta mwenyewe na yashangaa tena ktka swala la utoaji moyo ni mgumu sna kila wakat

  • @phinawatwego5279
    @phinawatwego5279 2 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaaaaaa

  • @ufalmeunakuja5665
    @ufalmeunakuja5665 2 ปีที่แล้ว +1

    BARIKUW PASTER

  • @pendomartin1809
    @pendomartin1809 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @amnamax8676
    @amnamax8676 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @kwambokakwamboka8382
    @kwambokakwamboka8382 2 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God🙏🙏

  • @amnamax8676
    @amnamax8676 2 ปีที่แล้ว +1

    Mamangu anaishi kwa madeni tu,hadi anauliza Mungu kwani mama alikosea wapi,though naumia rohoni sana simu amezima kabisa hapatikani

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu atende muujiza

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu atende muujiza

    • @amnamax8676
      @amnamax8676 2 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga amen naamini pastor

    • @amnamax8676
      @amnamax8676 2 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga good evening,thanks pastor imgn hii siku nililala vizuri,I think ilikua kitu saa sita,it was my first turn from a deep sleep;so ile kuturn nikafungua macho nikaona Jesus amekaa next to my bed with a smiling face nikasema thanks Jesus, thanks for being with us na nikafunga macho usingizi ikanipeleka,then I had a dream on the same day time tukienda nyumbani kwetu kuombea mamangu,ukafanya maombi tena tukaondoka.kufika kwa njia tena nikaona umegeuka umekua Bibi mzaa mama ukasema ni hadithi ndefu though nilikua nimefika mwisho zingelipa madeni tena,lkn tangu hiyo siku moyo inanisukuma nilipe sometimes nikikumbuka vile kijana alivunjika wakamweka kwa nyumba mpaka mguu akaoza😢😢😢na furthermore wasamaria wakatoa mtoto kwa nyumba kupeleka hospitali hawapo 🤔mtoto akafanyiwa operation ya kwanza hawapo 😭😭😭😭after two hrs ingine tena hawapo naumia sana,though nikumbuke kwa maombi.

  • @martinmuremi5335
    @martinmuremi5335 2 ปีที่แล้ว +2

    Tusk tan kenya

  • @messagerkambale5830
    @messagerkambale5830 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @chance0709
    @chance0709 2 ปีที่แล้ว +1

    Pasta hapo uli danganya 2+2=4
    Na 2x2=4
    Tuna jua hesabu. Ulisema haiko sawa kivipi? Wakati yote jibu ni 4??

    • @yohanaanthony3422
      @yohanaanthony3422 2 ปีที่แล้ว

      Ndugu acha kukosoa watumishi wa Mungu bila busara.

    • @damalismagawa2997
      @damalismagawa2997 11 หลายเดือนก่อน

      Amesema tofauti ipo kweny kujumlisha na kuzidisha mtumishi

  • @mwimamachumu6771
    @mwimamachumu6771 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @esternaftari8286
    @esternaftari8286 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @stevenodegi7947
    @stevenodegi7947 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @kissanselu8569
    @kissanselu8569 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @elizabethgodfreytondo3052
    @elizabethgodfreytondo3052 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @phoebemukolwe7287
    @phoebemukolwe7287 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @LinetOngadi
    @LinetOngadi 2 หลายเดือนก่อน

    Amen