Asante Mungu kwa kunilinda tangia January mpaka leo December , asante kwa kulinda familia yangu, asnte Yesu kwa kuwa pamoja nami na kuniponya na magonjwa yote asante kwa kumulinda ally, swaumu, na jamii nzima nakurudishia sifa na utukufu kwa kunilinda na vita vyote, asante mfalme wangu sina kingine zaidi ya kusema asante Yehova 🙏🙏🙏🙏
Video hii imenifanya nilie sana siku ya leo😢 Sijachelewa kuitazama bali nadhani huu ndio muda sahihi! Mtumishi Mungu akubariki sana kwaajili ya mafundisho haya hakika nimejifunza kushukuru hata kwa kile nilichokuwa naona ni kidogo kabisa, nina mshukuru Mungu pakubwa sana. Hata sasa yeye ni EBENEZER🙏 God Bless You ❤
Asante Mungu kwa kunishindia na kunitendea uzima na asante kwa ukoo wangu , Mungu bariki mtumishi wako anaetupa chakula chako cha uzima asante Yesu, asante mfalme, asante, Bwana wa Mabwana, ASANTE YESU MUNGU WANGU KWA KUNILINDA NA KUNIPINGANIA HALELULA 🙏🙏
powerful preach as from today my mouth will be full of thanking God for everything.Thank you servants God use you more to strengthen how soul and to remain strong in Jesus.
Asante sasa Mungu wangu maana mpaka hivi hujaniacha hata second moja katika maisha yangu umenipigania vita vya mchana na vya usiku ijapokuwa nina miezi sita na sinakazi lakini najuwa leo ku pitia maombi na shukrani yangu hii lika kilichokuwa kimefungwa katika maisha yangu ki funguliwe leo katika jina la Yesu kristo
MUNGU NImzuri ,nakupenda Sana NAKUITAJI BABA ,Ahsante YESU KWA KUNIPIGANIA KATIKA VITA UMENIPONYA KANSA NA ROHO YA MAUTI UMENISHINDIA,AHSANTE KWAKUNIPA UHAI,KWAKUNIPA WATOTO WAZURI,AHSANTE YESU KWA KUNIPA WAZAZI WAZURI ,AHSANTE YESU KWAKUNIPA ,NDUGU KAKA DADA WAZURI ,NAKUPENDA YESU AHSANTE SANABAHSANTE KWA KUNIPA CHAKULA ,AHSANTE YESU KWAKUNISHINDIA UMEEWAAIBISHA WOTE WACHAWI WA UKOO WAMEZIHIRIKA UKUTAKA MTUMISHI WAKO NI NIHAIBIKE BABA WEWE UNAWEZA Ahsante YESU KWA UPENDO WAKO KWANGU NAKUPENDA MIMI YESU ,AHSANTE YESU KWA MUUJIZA ,AHSANTE YESU KWA KIPAWA CHA UPONYAJI ULICHO NIPA BABA ,AHSANTE ROHO MTAKATIFU ,AHSANTE YESU ,AHSANTE YESU ,UMENITOA ICU NIMESHINDA MIMI BABA AHSANTE KWA PUMZI ULIYONIPA NAKUPENDA YESU ,AHSANTE YESU
Asante mungu kwa kunilinda kweli mungu nimeona ukinitetea mitego mingu nimetegwa lakini kwa uruma wako uliteguwa miteko yote nakushukuru sana mungu Asante yesuuuu
Asante Mungu kwa kila kitu

Asante yesu kwa yote uliyonitendea, umeuona mkono wako juu ya maisha yangu tangu miaka ya nyuma mpaka sasa Ee Bwana wangu Asante sana
Ameen ameeen
@@holyspiritconnect hallelujah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Asante yesu kwa kunitendea, pastor niombee roho ya kisirani na kukasirika initoke
Bwana yesu nishike mkono
Asante kwa mafundisho haya
Zidi kubarikiwa sana mtumishi 🙏🙏
Asante yesu kritso kwa upendowako nakuitaji wewe pekeeee kritso amen
Asante yesu kwa kuwapa wazazi wangu uzima
Asanti Yesu kwakunugundulia Siri eti naweza kua navyote lakini zisinisaidie mbali ww Mungu wangu unaweza kwa vyote
E mungu nijalie kukua kiroho na nguvu za maombi
Ayaka mushahiri inaonyesha umushukuru Mungu. Tunawafwataka saana mishahiri
Aksante YESU WANGU 🛐 kwa MIUJIZA yote katika maisha yangu ✝️🛐❤️
Mungu uturehemu twakuomba,Ansante Mungu hata kwa wakati huu ninaweza kuongea,kupumua Ansante sana
Ameen
powerful preach as from today my mouth will be full of thanking God for everything.Thank you servants God use you more to strengthen how soul and to remain strong in Jesus.
Asantee Yesu naona mkono wako ukinipigania Kila siku Kila saa nashkuru Mungu Kwa wema wako 🙌🙌🙌🙌
Ameen
My favorite man of God . He touches u so deep with the word of God ! Powerful am so blessed
Ameen
Mungu nipe moyo wa unyenyekevu
Asante sasa Mungu wangu maana mpaka hivi hujaniacha hata second moja katika maisha yangu umenipigania vita vya mchana na vya usiku ijapokuwa nina miezi sita na sinakazi lakini najuwa leo ku pitia maombi na shukrani yangu hii lika kilichokuwa kimefungwa katika maisha yangu ki funguliwe leo katika jina la Yesu kristo
Barikiwa sana mtumishi🙏🙏🙏🙏
Asantee mungu❤🙏🙏
Thank you God for this far 😢🎉🎉🎉🎉
MUNGU NImzuri ,nakupenda Sana NAKUITAJI BABA ,Ahsante YESU KWA KUNIPIGANIA KATIKA VITA UMENIPONYA KANSA NA ROHO YA MAUTI UMENISHINDIA,AHSANTE KWAKUNIPA UHAI,KWAKUNIPA WATOTO WAZURI,AHSANTE YESU KWA KUNIPA WAZAZI WAZURI ,AHSANTE YESU KWAKUNIPA ,NDUGU KAKA DADA WAZURI ,NAKUPENDA YESU AHSANTE SANABAHSANTE KWA KUNIPA CHAKULA ,AHSANTE YESU KWAKUNISHINDIA UMEEWAAIBISHA WOTE WACHAWI WA UKOO WAMEZIHIRIKA UKUTAKA MTUMISHI WAKO NI NIHAIBIKE BABA WEWE UNAWEZA Ahsante YESU KWA UPENDO WAKO KWANGU NAKUPENDA MIMI YESU ,AHSANTE YESU KWA MUUJIZA ,AHSANTE YESU KWA KIPAWA CHA UPONYAJI ULICHO NIPA BABA ,AHSANTE ROHO MTAKATIFU ,AHSANTE YESU ,AHSANTE YESU ,UMENITOA ICU NIMESHINDA MIMI BABA AHSANTE KWA PUMZI ULIYONIPA NAKUPENDA YESU ,AHSANTE YESU
Nimeenda ujumbe wako mbona wewe kama Mimi jaman,mungu wetu nimzur mno tena haelekzeki hatakido.
So powerful ❤️ i will always thank my God in every situation 🙏❣️
Ahsant san mungu wa mbingu na nchi maan umenitendea mengi ambay kwa akil zang nisingewez narudish sifa na utukufu wako eeeebwana mungu kama uishivyo
Amen Asante Mungu kwa kunilinda🙏🙏
Nashukuru Mungu kwa yote uliyonitendea
Ameen
Pastor inocent hiyo wakati ukiachs kazi ulikuwa daktari?
Mungu ni mwaminifu saana 🙌
Ameen, such a powerful message from God, eeh Yesu Nakushukuru, naomba nisamehe pale ambapo sikuonesha moyo wa shukrani 🙏
Ni kweli ni kweli Mtumishi hivi vyote ni vya kupita bila Yesu si kitu si kitu kwàngu oooooh my God nakutafuta uso wako Mungu Kwa bidiii
So powerful nd touching😢 teachings, thanks be to God 🙌🙏🙏
ASANTEEEEE YESU AMEEN🙏🙏🙏
Jesus, You're All I want and All I will ever need 🙌🙏🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Asante mungu kwa kunilinda kweli mungu nimeona ukinitetea mitego mingu nimetegwa lakini kwa uruma wako uliteguwa miteko yote nakushukuru sana mungu Asante yesuuuu
Ameen
Asante mngu kwa yonte ulie nintendea naomba ulinzi wako. Nilalapo niamkapo shetani ashindwe kwajina layesu
Ahsante Yesu kw umbali huu,
Eee ee MUNGU nakushukuru sana kwa kuniepusha na Kila Mabaya yatakayo nikuta Asante bwana yes..u...
Nisaidie Yesu
Amen
Yesu nina kushukuru ktk nyakati zote maishani mwangu.Ahsante Mungu wangu! Nakuhitaji kila cku kila saa Yesu!
Thank you JESUS 🙏🙏🙏
Ameeeeeeeeen🙏🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi
Amen Amen 🙏🙏
Nakuhitaji yesu
Asante yesu kwa neema yako siku hii ya leo❤
Ameen Ameen Ameen 🙏🙏🙏
Amina mtumishi Asante Kwa maombi manzuri nijifunze kumshukuru mungu Kwa Kila jambo
Amen mtumishi
Asante YESU Wangu
Asante Yesu,Mungu azidi kukuinua utukufu hadi utukufu
God bless you pastor, I'm blessed
Ee Yesu wangu nakuhitaji kuliko kitu chochote.😢
Asante yesu kwa ulizi na punzi ninayo ivuta kwa sasa
Allelujah glory
Ameen
Asante mungu kwa kuniepusha na mitego ya maadui zangu..umekua mwanga wa miguu yangu na familia yangu
Ameen
Amen!
ASANTE YESU
🙏🙏🙏
Asante Mungu kwa mambo makubwa ulionitendeaa pasipo mm kujua
Ameen
Asante YESU kwa neema yako
Ameen
Thank you God
Asante Yesu Kwa mafundisho haya
Ameen
Ahsante sana YESU 🙏🏾
Ameen
Amen 🙏 🙏
🙏🙏
Asante sana mtumishi mungu azidi kukuwezesha
Yeeees
🙏🙏🙏
Ameen 🙏 nimebarikiwa na somo
Ameen
Asanteh YESU wangu
Ameen
Asante YESU KRISTO
Ameen
Ahsantee Yesu 🙏
Ameen
Asante kwa mafundisho mungu akubarki san mtumishi
Ameen
Amen
🙏🙏🙏
Asante Yesu
🙏🙏🙏
Barikiwa sana Mtumishi 🙏🙏
Ameen
Aman
🙏🙏🙏
Amen... I have given thanks to Lord for safe delivery...may God protect my son
Ameen ameeen
Glory to Jesus Christ
Amen
Amen 🙏🏾
🙏🙏🙏
Ameen
🙌
🙏🙏🙏
Ameen baba
Mko wapi wapendwa nahitaji kufika hapo saada
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mutumishi naomba number njiunge kwa group ya watsup
Unapoangalia na kusikiliza hili somo kuna namba ameweka ya wasap tuma ujumbe humo. Atakuunga kwenye group 🙏
+255652796450 (WhatsApp)
Ubarikiwe sana
Amen amen asante
Asante sana yesu kwa yote uliyonitendea ni mengi sana nakushukuru sana yesu wangu🙏🙏🙏🙏🙏
Asante yesu
Ameen
Amen 🙏 🙏
Amen
Amen 🙏🙏🙏
Ameen
Amen
🙏🙏🙏
Asante Yesu
Ameen
Amen
🙏🙏🙏
Ameen ameeen
🙏🙏
Amen
🙏🙏
@@holyspiritconnect God bless you pastor innocent Morris 🙏🏻🙏🏻🙏🏻💯💯
Amen
🙏🙏🙏
Amen
🙏🙏🙏
Amen
🙏🙏🙏
Amen
Amen
Amen
Amen