#1. CHAKULA CHA BWANA KAMA MAHAKAMA INAYOMPA MUNGU UHALALI WA KUHUKUMU MIUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @deborahjaphety1662
    @deborahjaphety1662 2 ปีที่แล้ว +22

    Baba.. hautakufa wala hauta maliza vibaya.. wewe umembeba Mungu wa Kweli.. baba endelea kusema kile kilichojaa kwa moyo wa Mungu.. najua nyakati hizi ni za mwisho so wakweli ni wachache na wasemao kweli ni wachache pia.. ila songa mbele baba.. usiwasikilize watu angalia Mungu amekutuma nini duniani pamoja na mamy wangu mzuri.. nakupenda mama na baba wote ninyi ni chombo cha Bwana..

  • @samsonzephania7377
    @samsonzephania7377 ปีที่แล้ว +3

    Bwana akutunzee sana mwalimu Mwakasege, nabarikiwa sana na Mungu kupitiaa masomo yako.

  • @IssaleMmanywa
    @IssaleMmanywa 15 วันที่ผ่านมา

    Naitwa felistar rafaeli baba mungu akubariki nafwatilia sana maubiri Yako nabarikiws sana natamani mungu NAMI anikuze kiroho haswa kujua kuomba sana na kuijua bibilia zaidi namba maombi yeni

  • @jescaasante8185
    @jescaasante8185 2 หลายเดือนก่อน

    Amina baba nabarikiwa na mafundisho yako naomba Mungu anijalie uweza wa kuelewa na kuyashika.

  • @evansamuzi3328
    @evansamuzi3328 ปีที่แล้ว +1

    mafundisho bora kabisa .Ubarikiwe mtumishi

  • @barafumwagloire
    @barafumwagloire ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Sana mwalimu wangu Christophe 💥💥💥💥

  • @FloraMahellah
    @FloraMahellah 10 หลายเดือนก่อน

    Namshukuru yehova kwa ajili yako mwalimu nimejifunza tusipokee chakula cha bwana kwa mazoea asante

  • @beatricelawrance4207
    @beatricelawrance4207 หลายเดือนก่อน

    Naomba msaada Mwl mwanangu anasumbuliwa sana na hii miungu yaharibu masomo yake kwa Neema ya Mungu nimekutana na hili somo naomba akombolewe nipo Ruvuma songea mwanangu alikuwa anapata division one saizi anapata division four anasumbuka Kila siku

  • @magrethbukuku3649
    @magrethbukuku3649 2 ปีที่แล้ว +1

    Najisikia fahari juu yako kalumbu kwa namna ambavyo Mungu ana kutumia. Ahsante tumepata kitu 👌

  • @deborahjaphety1662
    @deborahjaphety1662 2 ปีที่แล้ว

    Pia adui anaona wivu kwa vile mnavofanya huduma kwa upendo na ushirikiano.. pokeeni kuishi miaka mingi kwa jili ya utukufu wa Mungu.. na umoja wenu na upendo wenu usikome hata siku moja kwa Jina La Yesu Kristo Wa Nazareti Mwana wa Mungu Aliye Hai.. Amen Shalom..

  • @StellaJohn-cx7dz
    @StellaJohn-cx7dz 6 หลายเดือนก่อน

    Sharoom Mungu azidi kuwatunza na kuwapa afya njema huduma ya MANA ❤

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Mtu wa Mungu nimepata ujumbe wangu nimebarikiwa. Asante Mungu Baba kuniletea ujumbe kwa wakati kama huu. Amina.

  • @CharonAwenga
    @CharonAwenga ปีที่แล้ว +1

    Bwana Mungu awatiye nguvu baba

  • @JoramTimotheo-i6y
    @JoramTimotheo-i6y 3 หลายเดือนก่อน

    Udumu milele mwalimu,udum katka bwana nakutakia maisha malefu

  • @aloycekaguhi7959
    @aloycekaguhi7959 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen barikiwa Sana baba

  • @damarisabdueli3604
    @damarisabdueli3604 2 ปีที่แล้ว

    Jamani uwanafulahi sana kusikia masomo ya babangu Mungu alibariki sana

  • @bonifacemwakiomrashui7551
    @bonifacemwakiomrashui7551 ปีที่แล้ว +1

    Sikuweza kuelewa mile sacramenti inayofanya kwa ulimwengu was roho,hadi niliposikia haya mafundisho ya mwalimu...

  • @jaqlinejack641
    @jaqlinejack641 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana

  • @ElishaLaitayo-r7f
    @ElishaLaitayo-r7f 28 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @HappinessRichard-qe8se
    @HappinessRichard-qe8se ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe san

  • @boazdhahabu876
    @boazdhahabu876 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi wa mungu

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 ปีที่แล้ว

    Powerful nipo mahakamani

  • @onelovedjonlinetz5989
    @onelovedjonlinetz5989 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe

  • @emanuelmoshi7414
    @emanuelmoshi7414 2 ปีที่แล้ว +3

    Tunaomba muweke namba 2 yake hii imeishia katikati

  • @prisca4612
    @prisca4612 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen!!!!

  • @mielmianda2780
    @mielmianda2780 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwakweli ninajiuliza ndaonaka mutumishi wamungu mwakasege Christopher siku gani. Niombi yangu siku zote mbele za mungu

    • @Daudimoll8609
      @Daudimoll8609 2 ปีที่แล้ว

      Usijali mpendwa kama unamwona mungu katika maisha yako basi mungu atakusaidia na pia amesikia ombi lako utamwona tu huyu mtumishi wa mungu Christopher mwakasege

    • @mielmianda2780
      @mielmianda2780 2 ปีที่แล้ว

      Nilisha pima niwezavyo kwenye mutandao lakini siya pata ata kumuongelesha. Kila wakati ninajiuliza ndafanyaje ile nifikie kumuona. Nizungumuze naye.

    • @mielmianda2780
      @mielmianda2780 2 ปีที่แล้ว

      @@Daudimoll8609 kwakweli mu nisaidie mu mufikishie iyi ombi. Langu. Kwasababu maneno kwenye simu ao kwenye message siwezi weza eleza sababu ao lengo langu lakumuona. Kama unapata nafasi yakumuona muambie kwanihaba yangu Ninaaja sana

    • @mielmianda2780
      @mielmianda2780 2 ปีที่แล้ว

      @@Daudimoll8609. Tena ninachuluru kuniongelesha tena ninachukuru kwasababu tuko najina moja. Namie jina yangu Samuel

  • @hermanemmanuel1953
    @hermanemmanuel1953 2 ปีที่แล้ว +1

    AMINA HALELUYA.

  • @eaglecrown6470
    @eaglecrown6470 ปีที่แล้ว

    Amina 🙏🏿

  • @emanuelmoshi7414
    @emanuelmoshi7414 2 ปีที่แล้ว

    Mubarikiwe

  • @theresialubida161
    @theresialubida161 2 ปีที่แล้ว

    Amina Amina Amina 🙏🙏

  • @alimajuka5196
    @alimajuka5196 2 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi wa Bwana

    • @farajalaizer6556
      @farajalaizer6556 2 ปีที่แล้ว +1

      MUNGU aendelee kukutunza mtumishi wa MUNGU AMENI.

    • @alimajuka5196
      @alimajuka5196 2 ปีที่แล้ว +1

      @@farajalaizer6556 Amina Baba napenda sana mafundisho yako maana napenda Sana kukua kiroho

    • @ikanaelmshana8182
      @ikanaelmshana8182 2 ปีที่แล้ว +1

      Amen mtumishi wa Mungu barikiwa sana Hakika tunateseka sana swala la miungu
      Tusaidie tuvuke tutoke katika hii Miungu kwa Damu ya Yesu

  • @ngwalumusobi4431
    @ngwalumusobi4431 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @elibarikijohson7694
    @elibarikijohson7694 2 ปีที่แล้ว

    Tumunyana nalengi

  • @danielmlwafu4380
    @danielmlwafu4380 ปีที่แล้ว

    Live sauti ya roho

  • @rithersospeterkati2303
    @rithersospeterkati2303 ปีที่แล้ว +1

    AMEN AMEN.

  • @daudimhoha320
    @daudimhoha320 ปีที่แล้ว

    Haleluyaaa🙏🙏👍

  • @LuciaMilulu
    @LuciaMilulu 3 หลายเดือนก่อน

    Kongamani la 16 siku ya kwanza

  • @Daudimoll8609
    @Daudimoll8609 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @bilugwemwanzije
    @bilugwemwanzije ปีที่แล้ว

    Neema na maarifa zikuangaze mtumishi !!?

  • @lightnesskweka4774
    @lightnesskweka4774 2 ปีที่แล้ว

    Hi seminar Iko wapi et. Jaman 😢🇮🇱🇹🇿🇮🇱🇹🇿👏👏🙏🙏🙏🙏Ameen

  • @magrethbukuku3649
    @magrethbukuku3649 2 ปีที่แล้ว +1

    Somo linalo endelea baada ya hapa tunalipataje maana hapa inaonekana kuna utamu unao endelea mbele. Kindly assist

    • @lusajokibona1868
      @lusajokibona1868 ปีที่แล้ว

      Mwalim Mungu aendelee kukutia nguvu, maana umebeba jumbe wa watanzania, kutoka kwa Mungu, mimi nafuatilia masomo yako hakika nimekua kiimani

  • @jamesmhondele4508
    @jamesmhondele4508 2 ปีที่แล้ว

    Ni bukoba sehemu gani??

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว

    Haleluyaaa

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani clip imekuwa fupi.....tunaomba full mafundisho haya ili nasi ambao hatupo bukoba tuweze kuona hukumu ya miungu inayotufuatilia

  • @jamesmhondele4508
    @jamesmhondele4508 2 ปีที่แล้ว

    Ni lin kongamano hili limefanyika??????

  • @neemasanga5333
    @neemasanga5333 2 ปีที่แล้ว +1

    BABA UNAJUWA KUMNADI MKEO
    ILI KUWAKELA WATU MAKUSUDI
    MAANA MIMI NINAJUA YEYE
    NDO CHANZO CHA CHANGAMOTO
    ZINAZOENDELEA KWENYE NCHI
    KIPINDI HIKI, HUDUMA YENU
    KWA SASA NI IKABODI WATU
    WAMEJITAHIDI KUKWAMBIA
    UNAONA WANAKUONEA WIVU
    HONGERA KWA KUANZA VIZURI
    POLE KWA KUMALIZA VIBAYA😭.

    • @damnotijaphet8248
      @damnotijaphet8248 2 ปีที่แล้ว +2

      Mungu akusamehe bure ndugu yangu

    • @PASTOR_SHITINDI
      @PASTOR_SHITINDI 2 ปีที่แล้ว

      Huyu sikuhizi roho mchafu ndoo anafanya kazi Kwanza hajabatizwa

    • @janelunanilo162
      @janelunanilo162 2 ปีที่แล้ว +3

      Toba na rehema haya ndio maombi yangu kwa Mungu juu yako Neema sanga Mungu akurehemu

    • @janelunanilo162
      @janelunanilo162 2 ปีที่แล้ว

      @@PASTOR_SHITINDI ww uliyebatizwa tushirikishe na ss what is so special in U????

    • @princesmaile3565
      @princesmaile3565 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu atusanehe kwakuwa hatujui tulitendalo, kwani watu wa Mungu hatusomi biblia? Mfano mzuri yesu alikula na adui zake unajua kwanini? Na je Kuna mtu mwenye uhakika kuwa huyu mama ni ibirisi au ni mtu wa shetani usihukumu utahukumiwa twaweza kuhukumu Kwa kimwili yaani upande wa kibinadamu wakati rohoni Mungu anamwona ni mtu mwema, isitoshe Mungu katupisha katika Hilo ili tumludie maan binadamu akishiba hamkumbuki Mungu ila akiwa na njaa anamkumbuka Mungu 😥

  • @beatricelawrance4207
    @beatricelawrance4207 หลายเดือนก่อน

    Naomba msaada Mwl mwanangu anasumbuliwa sana na hii miungu yaharibu masomo yake kwa Neema ya Mungu nimekutana na hili somo naomba akombolewe nipo Ruvuma songea mwanangu alikuwa anapata division one saizi anapata division four anasumbuka Kila siku

  • @alimajuka5196
    @alimajuka5196 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi wa Bwana

  • @WilfredNassari
    @WilfredNassari 8 หลายเดือนก่อน

    Ameeen