Women Matters (1): Mapenzi ya kizazi kipya - Unaweza KUMUOA mwanamke uliyempata sehemu za starehe?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Women Matters kwenye sehemu inaangaza mahusiano ya kizazi cha sasa. Wageni ni Max Rioba (CEO wa Swahili Flix) na mtangazaji mkongwe na mshereheshaji mahiri Taji Liundi. Lillian Mwasha pia anapewa company na Babysky

ความคิดเห็น • 79

  • @serianjamal8254
    @serianjamal8254 5 ปีที่แล้ว +8

    Yeah deffenetly i met my Husband night club ilikuwa birthday yangu 13 years ago akanioa na akanichukua Uk na tuna watoto wanne na tunapendana sana, by the way nakipenda kipindi chenu nawapenda wote Lilian na baby sky nawaangalia kutoka bedford Bedfordshire Uk.

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 5 ปีที่แล้ว +11

    True!!true!!true Max. Ukweli mtupu kabisa. Mwanamke akitaka kuwa na dhamaani mbele ya mwanaume!!! Funga miguu kabisa. Good point 💪💪💪💪💪💪💪💪💪and the honesty.

  • @josephinefelix5910
    @josephinefelix5910 4 ปีที่แล้ว +1

    Ni vizuri mtumie kiswahili zaidi kuliko kingereza ili watu wote waelewe tunapenda tujifunze mnajifaidisha wenyewe

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 5 ปีที่แล้ว +3

    Babysky apo mwisho umenichekesha nakupenda sana mpole mwenywe virgo mwenzangu

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 5 ปีที่แล้ว +13

    Lillian you need to bring him back !.. Max he got brain 🧠

  • @mariasenzighe5395
    @mariasenzighe5395 5 ปีที่แล้ว +7

    Jaman mpunguze vingereza tunashindwa kuelewa vzr na kubarikiwa na mnachosema

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 5 ปีที่แล้ว +9

    Mnaharibu wasichana sex before marriage sio sahihi. Wanawake tujitunze.

  • @jovitharwabizi7282
    @jovitharwabizi7282 5 ปีที่แล้ว +2

    kipindi kizuri sana big up aunt lily

  • @dinahrwebangira4740
    @dinahrwebangira4740 5 ปีที่แล้ว +1

    Napenda hiki kipindi jamani asanteni sana kinanifungua na mengi kwakweli

  • @mamysaad4955
    @mamysaad4955 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimekisubiri kwa mda mrefu sana hichi kipindi musiwe mukituchelewesha hivyo wengine tunashikwa na homa nawapenda sana na nishabiki wenu mkubwa.

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 5 ปีที่แล้ว +5

    Kingereza wengine hatujui hapo ndo mnakosea

  • @gillianpeterpeter8182
    @gillianpeterpeter8182 5 ปีที่แล้ว +2

    Max yupo cool nimependa swag zake 😉😉

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 5 ปีที่แล้ว +3

    Nawapenda ila niliwamis sana❤❤❤

  • @saidakessy3175
    @saidakessy3175 5 ปีที่แล้ว +4

    ♥️♥️👏👏Love women matters big up

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว +1

    Mie nawapenda

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani kaka Taji da siku nyingi zasiku nakuona hapo

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

  • @christinahenga2875
    @christinahenga2875 4 ปีที่แล้ว

    Vipindi vizur sana dada lilian but kiswahili kinabidi kitawale zaidii

  • @lightinesskalist5413
    @lightinesskalist5413 5 ปีที่แล้ว +1

    womens matters nimependa Sana maana mmenifundisha kitu kikubwa sana

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 5 ปีที่แล้ว +4

    This Max , is a white guy in the black skin... I really enjoy listening him❤️

  • @pandungozi1072
    @pandungozi1072 4 ปีที่แล้ว

    safi sana aisee!

  • @sendarokhatwibu5107
    @sendarokhatwibu5107 4 ปีที่แล้ว

    HABARI.
    Mimi napenda sana kipindi hiki lakini unavyokiendesha kwaku tumia lugha ya kiingereza wewe muongozaji na washiriki wako ndio tatizo mimi nipo nje ya Tanzania .Ushauri wangu tumia kiswali kwakua sisi watanzania ndio lugha yetu tusiwe watumwa wa fikra kutothamini chetu.

  • @lexsonchengula8219
    @lexsonchengula8219 5 ปีที่แล้ว +2

    mwenyewe huyo jamaa ni mzungu nini mbona kingereza sana!

  • @petermponzi411
    @petermponzi411 5 ปีที่แล้ว +2

    " You look awesome"

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 5 ปีที่แล้ว +3

    Wow! amazing show ♥♥

  • @pauldeligo9081
    @pauldeligo9081 5 ปีที่แล้ว +1

    #womensmatters..❤👍 kipindi kizur sana

  • @groryeliah3625
    @groryeliah3625 4 ปีที่แล้ว +2

    Punguzeni vingereza jaman sisi waswahili heeeee

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 5 ปีที่แล้ว

    P1 sana WOMEN MATTERS

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 5 ปีที่แล้ว +1

    My best show aghaaaaaaaa💃💃💃💃💃💃

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 5 ปีที่แล้ว +1

    💥💥💥✌ women matter

  • @muhamedwardah5144
    @muhamedwardah5144 5 ปีที่แล้ว

    Nawapenda😍😍😍😍😘😘😘

  • @gloriousn6425
    @gloriousn6425 5 ปีที่แล้ว +7

    Ndoa?? 😆😆😆😆😆
    It’s called One night stand
    millennials na ndoa wapi na wapi?🤣🤣🤣
    Ukiona wameoana wamefata HARUSI siyo NDOA,if you know you know 😆😆

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 5 ปีที่แล้ว +2

    Lilian you look stunning sis❤️

  • @roseedwin2966
    @roseedwin2966 4 ปีที่แล้ว

    Babysky unapenda kucheka shogaa

  • @kabintspesho639
    @kabintspesho639 5 ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuri Sana tunajifunza mambo mengi mazuri

  • @maryannajoseph3087
    @maryannajoseph3087 5 ปีที่แล้ว +1

    I love max 😊

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂mapenz n sehem yoyote bwan ila leo jmn😂😂

  • @faaali244
    @faaali244 5 ปีที่แล้ว

    Asanteni

  • @Niceness_Juliaa
    @Niceness_Juliaa 5 ปีที่แล้ว +1

    love you girl lili.

  • @tynercolin5060
    @tynercolin5060 5 ปีที่แล้ว

    Aisee mko vzur

  • @adelynkemmyichaka8170
    @adelynkemmyichaka8170 4 ปีที่แล้ว

    Max said it all, bring him next time

  • @luluvictor5769
    @luluvictor5769 5 ปีที่แล้ว

    GOD bless you dears@womenmatters

  • @aliciadas5050
    @aliciadas5050 5 ปีที่แล้ว

    Max iko sahihi

  • @janejoseph9009
    @janejoseph9009 5 ปีที่แล้ว +4

    Tumieni kiswahili achen kuchanganya lugha kama kingereza bas ongeeni kingereza kama kiswahili bas ongeeni kiswahil

  • @glorymushi3025
    @glorymushi3025 5 ปีที่แล้ว

    Hahahahahahahahaahahahaaha eti inategemea na gari gani jamani maisha Haya

  • @muhamedwardah5144
    @muhamedwardah5144 5 ปีที่แล้ว

    Nime jifunza

  • @severafabian6737
    @severafabian6737 5 ปีที่แล้ว

    Kidhungu mno!

  • @lucyjohn7904
    @lucyjohn7904 5 ปีที่แล้ว +3

    badilikeni hatutaki kiingereza tumieni lugha yetu tamu ya kiswahili mana ndo lugha ya kila mtanzania na istoshe ndo weng 99% tunaielewa.. mbona nchi za wenzetu wanatumia lugha zao mama ktk mahojiano jaman,watanzania tunafeli wapi daa.

  • @evalinedaniel9043
    @evalinedaniel9043 5 ปีที่แล้ว

    kipindi kizur sana nakipenda

  • @hasnaabduly4945
    @hasnaabduly4945 5 ปีที่แล้ว +1

    Max punguza kimombo kaka jamanii

  • @zainabukassim9924
    @zainabukassim9924 5 ปีที่แล้ว +1

    Maxrioba ....God zoom u....not for this bad heart.....

  • @hasnaabduly4945
    @hasnaabduly4945 5 ปีที่แล้ว

    Lili umependeza kweli leo

  • @esterkapinga8541
    @esterkapinga8541 4 ปีที่แล้ว +1

    Msituchanganyie lugha bwna

  • @delphinasenge3321
    @delphinasenge3321 5 ปีที่แล้ว

    Jamani kiingilishi chenu hicho loh

  • @omaryrajab9862
    @omaryrajab9862 4 ปีที่แล้ว

    Kingereza kimezidi jamaniiiiiiiiii

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-nm1je5pt4u
    @user-nm1je5pt4u 4 ปีที่แล้ว

    ruga zenyewe kuzierea nishida jaribu kuongea kiswahiri

  • @dorcasdavid6640
    @dorcasdavid6640 5 ปีที่แล้ว +1

    I love the show

    • @mbozibukuru2592
      @mbozibukuru2592 5 ปีที่แล้ว

      Vip hali zenu? Kwakweli mnajikaza Sana

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 ปีที่แล้ว

    Dahaa mtiani mumenifunza

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 4 ปีที่แล้ว

    Ongeeni kiswahili acheni upuuzi na udwanzi huo.

  • @priscillaamossen8249
    @priscillaamossen8249 5 ปีที่แล้ว +5

    Max here in Europe both man and women we do sex for satisfaction, not for a marriage 💥

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini a man hana unconditional love sasa watu siwanabadilika adi kuzeeka sasa uwe na hair style iyo huna freedom of your own looks si utumwa men pls give women some break nyie sio Mungu

  • @nestorymashaka3194
    @nestorymashaka3194 4 ปีที่แล้ว

    mbona max unaongea saanaa

  • @nibiziblandina4410
    @nibiziblandina4410 5 ปีที่แล้ว +2

    Kipindi chenu kizuri kinaelimisha ila angekuwepo anti sadaka

  • @nasraabdi1529
    @nasraabdi1529 4 ปีที่แล้ว

    🤔🤔🤔🤔

  • @esterkapinga8541
    @esterkapinga8541 4 ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuli ila mnatuvuluga

  • @phancypeter9139
    @phancypeter9139 5 ปีที่แล้ว

    Kipind kizur but mmekuwa selfish mnaongea sana kiingereza mmenipa kazi ya kutafsir kila kitu khaaa

    • @aminajuma1435
      @aminajuma1435 4 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha kabisaaa ndiotatizo la kusomasana hadi tunashindwa kuwa wazalendo wa lugha yetu

  • @belingtonminja7088
    @belingtonminja7088 5 ปีที่แล้ว +1

    warudi tena wa speak about men pia matatizo yao

  • @raheemamkambha6013
    @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว

    Nili wamic

  • @agnesbruno7396
    @agnesbruno7396 5 ปีที่แล้ว +1

    English nyingi sana inaboa

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 ปีที่แล้ว

    Waarabu wanaita maono ya ghafla/ya mwanzo.Sex kwenye gari, ni fungu la kukosa hilo, Washindwe na laana yao.

  • @sharonndowo6922
    @sharonndowo6922 5 ปีที่แล้ว

    Waooo kila mtu anajaribiwa na tamaa zake mwenyewe

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 5 ปีที่แล้ว

    Kingereza wengine hatujui hapo ndo mnakosea