MENEJA WA KIBU ATAJA ALIPO KIBU DENIS, SIMBA SC WANAMCHUKIA, HAJALIPWA PESA ZAKE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • MENEJA WA KIBU ATAJA ALIPO KIBU DENIS, SIMBA SC WANAMCHUKIA, HAJALIPWA PESA ZAKE.
    #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko

ความคิดเห็น • 81

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo ndo utajua kuwa zile kelele zetu juu ya viongozi zilikuwa za kweli

  • @nicholasmwakatali3499
    @nicholasmwakatali3499 หลายเดือนก่อน

    Kibu Denis Prosper ni myovu wa Nidhamu hivyo anastahili kuadhibiwa na club ya Simba sports club. Club ya Simba sc ni club pekee inayoruhudu Wachezaji wanapopata timu kwenda Kufanya makaribio au kusajiliwa Ili mradi mchezaji na club inayo mhitaji ifuate taratibu zilizowekw na club,Caf na FiFA Ili kuepuka kukiuka taratibu. Kibu Denis yeye kajismulia kaona yeye ni Mkubwa zaidi ya club hivyo anastahili aadhibiwe.

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o หลายเดือนก่อน +2

    JAMAAA KAZAMA MAJUU😅

  • @jumannemsengi2195
    @jumannemsengi2195 หลายเดือนก่อน +3

    KIBU ni CONGO au BURUNDI, JEMEDARI ndio aliemuombea URAIA sasa atasema yupo wapiiiiiii na ameiba hela ya MAKOLO, UBAYA UBWELAAAAAAA 😂😂😂😂😂

  • @user-oc9zo3bo6y
    @user-oc9zo3bo6y หลายเดือนก่อน +1

    Kibu unazingua Babu popote ulipo jitokeze umalize tofauti

  • @benardsenguji8254
    @benardsenguji8254 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo baadae ,tutajua kauzwa kimya kimya na Wajanja.

  • @Saidaabdu
    @Saidaabdu หลายเดือนก่อน +1

    Hata ww kiongozi wa kibu ni mwizi na tapeli Kwa nn uchukue hela Kwa Simba Kisha umtoroshe mwizi tu ww

  • @seifntandala9137
    @seifntandala9137 หลายเดือนก่อน +1

    Kibu kasepa nampunga 😂😂😂😂

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu wakala anataka kutrend kama mzee MAGOMA

  • @kelvinissaya3537
    @kelvinissaya3537 หลายเดือนก่อน

    Bwana Jaribu Tena ndio katukosesha wachezaji wazuri kwa kubargain kwake kwenye usajili, unapewa siku 14 Bado hujamaliza deal.

  • @RashidiAlly-et1sg
    @RashidiAlly-et1sg หลายเดือนก่อน +1

    Kibu ameleta utoto sana na hii inaleta shombo katika soka letu la bongo hii ndio shida ya kuwakalibisha wakimbizi

  • @gideonibatangaki1317
    @gideonibatangaki1317 หลายเดือนก่อน

    Wenye hakiri mtajuwa manager wawachezaji kama anawadai nyinyi mkadiri na mchezaji mtahelewana kwenye mazoezi lakini kwenye mchezo atapokea maelekezo kwa manager wake matokeo yanakuwa tofauti,Ivyo viongozi mulituhujumu kutoripa mawakara wanaoleta wachezaji.

  • @AthumanKisoma-k5g
    @AthumanKisoma-k5g หลายเดือนก่อน

    Mh wakimbizi Tena tusiwe tunaropoka maneno

  • @theonasmkoba6121
    @theonasmkoba6121 หลายเดือนก่อน +1

    HEBU NYAMAZENI KIMYA TUONE KAMA ATACHEZA MAHALI POPOTE BILA KUVUNJA MKATABA NA SIMBA. SHERIA MSUMENO

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo timu itakayomchukua Kibu huko Norway itabidi imnunue kwa Simba kwa bei itakayopangiwa. Vinginevyo FIFA itaingilia kati suala la Kibu. Hawa Mawakala itabifi wamwambie Kibu na hiyo timu kwamba watadaiwa na Simba sighning fee.

    • @jumannemsengi2195
      @jumannemsengi2195 หลายเดือนก่อน

      @@charleskuyeko4400 ww hapo KIBU kesha jilipa alikuwa anaidai MALOLO fc madeni ya nyuma kwani yy mjinga hana vielelezo na hiyo hata walala wake anajua ndio maaana anasema majibu wanayo MAKOLO fc wenyewe!!

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje หลายเดือนก่อน +1

    Aende zake kasha vimba kichwa

  • @kisubikilozo6128
    @kisubikilozo6128 หลายเดือนก่อน

    Ichi imebaki na umama ubanguzi nitanzania tu uchi zingine zinaelewa tuleane wa afrika one love

  • @ZabronMajige
    @ZabronMajige หลายเดือนก่อน

    kibu yeye ninani kwenye timu ya simba wamuache twendelee na maisha Kama mastaa wengine walienda lakin simba ipo yeye ninani asiende wamuache asepe

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni shabiki wa Simba!
    Neno nililoondoka nalo hapo, ni "Yanga ukiwa Invoice within 30 days wanalipa" Viongozi wa Simba this is also an Image of the Club ambayo dhamana yake nyie ndo mwaibeba! Ujumbe mzito sana huu!

    • @paulpaschal6185
      @paulpaschal6185 หลายเดือนก่อน

      Mzee Ingekuwa hivyo,usingesikia Yanga wanafungiwa na FIFA kila kukicha,na badala yake ungesikia SIMBA wanadaiwa na kufungiwa...akili za kuambiwa,changanya na zako

  • @AhmedMohammed-xt1dc
    @AhmedMohammed-xt1dc หลายเดือนก่อน

    Sioni sababu Simba waumize kichwa kwani wachezaji kama yeye ama zaidi yake wameondoka na Simba imekuaje wamekufa ? Kina Kagere na wengine wengi hao ni wababaishaji tu na ni bora ameondoka mapema kuliko hao ndio wasaliti . Arudishe wamuachie

  • @elsonmushi9491
    @elsonmushi9491 หลายเดือนก่อน +1

    Kweliii viongozi wa simba ni changamoto mnamlipaje staiki zote bado hamwoni.

  • @gideonibatangaki1317
    @gideonibatangaki1317 หลายเดือนก่อน

    Tulijua tunaviongozi kumbe wanatuharbia time,ukimsikiliza yule bwana utapata majibu,Utafikiri walikuwa hawalipwi kukaria kiti eti nikiongozi.

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 หลายเดือนก่อน

    Hapo mtaanza kutengenisha Sasa garasa na Mali kuldadadeko😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @thomaskitemi3283
    @thomaskitemi3283 หลายเดือนก่อน +1

    Wakongo ndo walivyo

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo หลายเดือนก่อน

    Kibu kaenda kuungana na wazazi wake waliohamia Norway kama wakimbizi na Kisha kuomba uraia na walipewa sasa ni Wanorway na yeye muda si mrefu atakuwa Mnorway.

  • @alimohammedomar3412
    @alimohammedomar3412 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi nyie waandishi washenzi mutaacha lini kutengeneza video na habari za uongo ili tu matumbo yenu yajae? Aibu yenu.

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu หลายเดือนก่อน

    Kibu!kibu!kibu!kibu! ,kuna watu walikua mastar kuliko wewe acha mambo hayo

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 หลายเดือนก่อน

    Kama vipi aende tuu mbona sio mfungaji magoli anasumbua tu diffence basi lkn sio mtaalam wa kufunga magoli

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

    Makolo HAWANA PESA! WAPIGAJI WENGI PALE

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo hapo mmejazana mmekalia umbeya na mkirudi makwenu mnasema mlikuwa kazini? Huko kusema du ndyo kazi mna raha sana watu

  • @elsonmushi9491
    @elsonmushi9491 หลายเดือนก่อน

    Hana hata maajabu lakini alete pesa zetu kama alichukuwa kama hadaiwi tumteme

  • @kisubikilozo6128
    @kisubikilozo6128 หลายเดือนก่อน +4

    Watanzania ibwa sana tena ukija angalia ubaguzi ila wote wangeni wacongo wamejaa wasafi wamakonde mozambiki mpaka nyerere mrudi wa makamba leo munamsubuwa kibu wapumbavu nyie ibwa waafrika amupendagi maendeleo ya wangeni wanafiki masikini

    • @phakundigervas1360
      @phakundigervas1360 หลายเดือนก่อน +2

      Kala kashiba kana kwenye sahani, eti bongo hatupendi wageni! NDIO Maana mnauana kila siku

    • @jdanny497
      @jdanny497 หลายเดือนก่อน +2

      Kuma wewe tulia kibu ni nani t7mempa uraia kwenu hapakaliki..simba haina haja na kibu

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 หลายเดือนก่อน

      Kuna ndugu zenu wengi bado wako huku kwa "ibwa" wamestiriwa na wanakula na kulala kwa hisani ya "ibwa!!" hata hiyo serikali ya huko kwenu ipo kwa hisani hiyohiyo ya hao unaowaita "ibwa!!" Je wewe dada au shangazi yako hana mahusiano na "ibwa?"

    • @jdanny497
      @jdanny497 หลายเดือนก่อน

      Zenge hawa wanategemea wanawake kuishi

    • @oliverwhite1676
      @oliverwhite1676 หลายเดือนก่อน

      Mbona Kama unaubaguzi acha hizo

  • @YunusuKantangayo
    @YunusuKantangayo หลายเดือนก่อน

    WEWE AHMED ALLY TUNAKUOMBA NA TUNAKUSHAULI UWAAMBIE UONGOZI WOTE WA SIMBA UTUSIKILIZE WAACHANE NA MSNULA AMEISHA KWISHA TUNAMTAKA SALIMU TU KTK LANGO LA SIMBA BASI

  • @AllyHussein-so1hr
    @AllyHussein-so1hr หลายเดือนก่อน

    Ubaguzi uko wapi hapo? Kachukua mpunga halafu analeta ushamba wa kule alikotoka mnamtetea. Arudishe pesa halafu aende zake.

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 หลายเดือนก่อน +1

    😮MAKOLOBOI JANJA JANJA SANA, NA SUBIRINI TAR 8 TUWABINUE HADI MSHIKE ADABU ZENU

    • @ramseyrmsy3366
      @ramseyrmsy3366 หลายเดือนก่อน

      Umeskia hapo vizur kwamba Kibu hadai

    • @alexandernyambo7739
      @alexandernyambo7739 หลายเดือนก่อน

      @@ramseyrmsy3366 Sio Kibu tu.... Hujasikia huyo wakala anavyo wadai pesa za wachezaji wengine? Amewafata Zambia, Misri, Morocco na hata Mwanza, mnamzunghsha tu 🙀 nyau ninyi....
      Ndo maana mmelaaniwa milele na hamtapata ubingwa miaka 10 na mtakuwa mwakarobo siku zote hata kwenye vikombe vya kugombea kuku 🐔

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 หลายเดือนก่อน

      ​@@alexandernyambo7739Sasa ujanja hapo uko wapi? UTOPOLOOOOO kama UTOPOLOOOOO mjikuta nani? Hamna jipyaaaaaa😅😅😅

    • @alexandernyambo7739
      @alexandernyambo7739 หลายเดือนก่อน

      @@taseleli9181 Mnamzungusha wakala mnadhani ni litimu la baba yenu eeeeeh? Makolo wote ni mipanya buku tu

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee kama kunafiche fiche ya hujma basi asomewe ahalbadri ajipange

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

    Kwa maana hiyo,Simba hawana pesa😂😂😂😂 ndo maana hata usajili wao wa kuokoteza!

    • @ramseyrmsy3366
      @ramseyrmsy3366 หลายเดือนก่อน

      Umeskia hapo kua Kibu hadai hata kidogo

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 หลายเดือนก่อน

      Wakuokoteza kwa maana ipi acha hizo wewe una pesa?

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

      @@ramseyrmsy3366 Kibu anaidai Simba ela nyingi! Achana na mkataba,maneja wake, Carlos, anaidai Simba malimbikizo! Nyie , KUNA issue hamuambiwi na wagumashi wa Makolo!

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

      @@taseleli9181 ndio mimi nina PESA siishi bongo pi bro! Angalia wachezaji wote waliosajiliwa ndugu yangu,nani wa million 200? Nani katoka timu ya CAFCL? Rudi kwa Yanga,angalia usajili wao na bei zao! Na wametoka wapi na nani asiyejulikana ktk mpira wa Africa? Subiri tarehe 8/8 ndo utajua

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 หลายเดือนก่อน

    Ukweli meneja mwizi mchezaji mwizi

  • @kadegeasilitv-zt9bv
    @kadegeasilitv-zt9bv หลายเดือนก่อน

    Kibu denis ni mwixi👉🙏

  • @eliudmfumbilwa3675
    @eliudmfumbilwa3675 หลายเดือนก่อน

    Ninachokiona hapa kibu kauzwa ila Simba hawataki kutoa taarifa mapema

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 หลายเดือนก่อน

    Hawa mameneja wanajifanya kama wao ndio wamemfundisha mchezaji kucheza mpira, kazi nikula pesa za wachezaji .acheni hizo tabia

  • @YusuphMdaki
    @YusuphMdaki หลายเดือนก่อน

    Kibu hovyoʻoo

  • @user-qo6bk1zs8m
    @user-qo6bk1zs8m หลายเดือนก่อน +1

    Wewe wakala umeamua mambo kwa njaa zako mkataba utakubana chezea sheria wewe

  • @madangibura1070
    @madangibura1070 หลายเดือนก่อน

    huyu anajisumbua. atapata changamoto na anajiangusha mwenyewe

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 หลายเดือนก่อน

    Kibu kwa nn ulimpa ulaia wakati wakongo wasumbufu

  • @NurdineAfai
    @NurdineAfai หลายเดือนก่อน

    Kitenge naona moyo unakuma ukitaka majibo yawe tafauti.

  • @MusaZuberi-z3u
    @MusaZuberi-z3u หลายเดือนก่อน

    Achunguzwe kibu na chama lao ni moja zichunguzwe sm zao lazima wanawasiliana?

  • @user-ec7us6vf6w
    @user-ec7us6vf6w หลายเดือนก่อน

    Kwanz kibu mkimbiz uyo

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el หลายเดือนก่อน

    Uyo mpuuz tu anatigisha kibiriti atarudi.

  • @AthumanKisoma-k5g
    @AthumanKisoma-k5g หลายเดือนก่อน

    Mh wakimbizi tena

  • @SuzanKameta
    @SuzanKameta หลายเดือนก่อน +1

    Duuuuh hii ni hatari Tena Aibu

  • @bakarimakalo7128
    @bakarimakalo7128 หลายเดือนก่อน

    Simba inavifaa vya kutosha, Kibu sio mchezaji wa Kusumbua kikosi cha Mnyama. SASA hivi Simba ni Ubaya Ubwela tu.

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

      Hamna ela😂😂😂😂

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje หลายเดือนก่อน

    ila akumbuke aliko toka

  • @saidmansoor8528
    @saidmansoor8528 หลายเดือนก่อน

    !!!!?????.????????????? waulizwe viongoz wanajua kibu aliko

  • @HusseinaliPereketeke
    @HusseinaliPereketeke หลายเดือนก่อน

    Tunachozungumza, je kibu kachukuwa mpunga wetu ama la?! Na kama amechukuwa na ww umemuuza ulaya basi rudisha pesa yetu, hayo mengineni yakwako na viongozi wa simba, tunazungumza ishu ya kibu, so kama simba hawakulipi basi nenda ukafanye kazi na yanga kaka

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

      Amekwambia BIASHARA NA UPENZI NI VITU VIWILI TOFAUTI! kuna ugumu gani kuelewa hapo? Simba pesa hamna! Huyu dili la Kibu analijua! Kwenye mikataba ya wachezaji kuna kitu kinaitwa BUY OUT CLOSE! Kibu anaweza kununuliwa huko Norway from simba! Wakalipa! ,ni ela ndogo sana! Huyu jamaa analijua hilo, Kawa mstaaraaab tu kimaongezi asiharibu reputation yake, believe me,anajua sakata zima la Kibu! Nafikiri,haelewani na viongozi wa Makolo, wamempiga, anawakomia pia! Unafikiri Kibu katafutiwa na nani timu huko Norway!? N yeye!

  • @hamisimtente2126
    @hamisimtente2126 หลายเดือนก่อน

    Ww ni muogo tu kbu ni mali ya simba

  • @sosmakanya4901
    @sosmakanya4901 หลายเดือนก่อน

    UBAYA UBWELA NDO HUO

  • @rogersdavis3058
    @rogersdavis3058 หลายเดือนก่อน

    Anamkataba halali wa simba alaf unasema harudi ng'oo hivi wewe ni kuma la mamaako mtoa post au shida unataka watamazaji

    • @jumannemsengi2195
      @jumannemsengi2195 หลายเดือนก่อน

      Punguza matusi mtafute JEMEDARI aongeleeee labda utaelewa UBAYA UBWELAAAAAAA 😂😂😂😂

    • @jumannemsengi2195
      @jumannemsengi2195 หลายเดือนก่อน

      Eeeeeeh JEMEDARI ndio anajua alipo 😂😂😂😂UBAYA UBWELAAAAAAA 😂😂😂

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma หลายเดือนก่อน

    KIBU D MPILA ANAO ILA HAKILI HANA😂😂😂😂😅

  • @JumaHeri-ph8bl
    @JumaHeri-ph8bl หลายเดือนก่อน

    KOKOTE ALIKOKWENDA HATOCHEZA NG'OOOOOO!