THE REAL TALK: Undani Kuhusu 'BIKRA' / Zipo za 'KU-FEKI' / Wanaume Hawana MPANGO NAYO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Hii ni 'Safe Space' Ambayo Wanawake / Wasichana (Hata Wanaume) Wanaweza Ku-share Mawazo Yao kuhusu Mambo Mbalimbali Yanayoendelea Kwenye Jamii yetu Kila Siku
    Kutana na Kayla Medy na Khadija Mzee Ambao Wapo Tayari Kushare na Wewe Expirience Yao Katika Masuala Mbalimbali Kama Mapenzi na Mahusiano, Urembo, Elimu, Bata na Mengine Mengi. Hii ni THE REAL TALK YA WASAFI TV (Tazama Kila JUMATANO Saa Tatu Kamili Usiku on Wasafi TV)
    THE REAL TALK: Undani Kuhusu 'BIKRA' / Zipo za 'KU-FEKI' / Wanaume Hawana MPANGO NAYO
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #TheRealTalkWasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 34

  • @user-zt3nj5yj2j
    @user-zt3nj5yj2j 6 หลายเดือนก่อน +12

    Kwel zipo nyingi ila tatizo vijana tunachagua sana kiukwel tunadanganyika na urembo mwanamke mzur haitaji mapambo ili kuonesha kua yeye mzur pia kauli zenu wadada ndio tatizo kua hamuwezi kumdeti mwanaume ambae hana pesa tena mnatusema vibaya mno ndio maan vijana wakizikamata wanawachezea na kuwaacha kwani hawana iman na nyie kabisa kwan wanajua mpo nao kwaajili yapesa to

  • @user-nt8hj3if2p
    @user-nt8hj3if2p 6 หลายเดือนก่อน +5

    nimewakubali Kwa masomoyenu kweli watoto wa 2000 wanacheza lafu sana na akuna wasichan tena wamewazidi adi mama zao na mabibi

  • @tiktokTviral
    @tiktokTviral 6 หลายเดือนก่อน +3

    BONGE LA SHOW BONGE LA REAL TALK BIG UP SANA NA NAJIONA KAMA NIKO MAMBELE HUKO.. BIKRA NI SIFA TU LAKINI WE TAKE IT FOR LEISURE ILOVE THESHOW

  • @ndarnationsoundtz
    @ndarnationsoundtz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Khadija mzee nakubali sana

  • @Igauf3
    @Igauf3 6 หลายเดือนก่อน +3

    Great content for Gen Z however, the name of the show is too common. There are several others with the same name. SEO will pull the popular one.

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 6 หลายเดือนก่อน +6

    Wasafi for life❤

  • @Jafreez
    @Jafreez 6 หลายเดือนก่อน +4

    Big show in town

  • @salmaidris1787
    @salmaidris1787 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli mtupu nimepata funzu shukran kayla

  • @gilleythomas7475
    @gilleythomas7475 7 วันที่ผ่านมา

    There are different types of hymen the one that give bleeding from the first sex and the one that doesn't give bleeding

  • @WillyIshiabwe
    @WillyIshiabwe 25 วันที่ผ่านมา

    Mimi kwangu huwa nahona nikunipa kazi bure tu, ajigawanye na ubinti wake kwanza baadaye aje kwangu.

  • @georgebataze6625
    @georgebataze6625 6 หลายเดือนก่อน +2

    Faida nyingine unapunguza mikosi maana jini mahaba wanashida sana na kizazi chako mwanamke 😂😂😂

  • @RamadhanpMwakilasa-di5hc
    @RamadhanpMwakilasa-di5hc 6 หลายเดือนก่อน +3

    Huu ni mjadala mzuriiii sna 🔥🔥🔥

  • @bintabou828
    @bintabou828 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mje mnitaje jaman mlio niona na usichana wangu😊

  • @loulox9694
    @loulox9694 3 หลายเดือนก่อน

    8.40

  • @shukurumboherwa7191
    @shukurumboherwa7191 6 หลายเดือนก่อน +2

    Salute kbs❤❤

  • @user-dr7de3xp1t
    @user-dr7de3xp1t 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nmependa hiki kpnd❤

  • @dulaKamwel
    @dulaKamwel 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nawakubal can

  • @alainbouba5164
    @alainbouba5164 6 หลายเดือนก่อน

    Ivi kweli hawa wanajiita bad and boujee wakingali bikra kweli??? Baada ya ndoa, kuna tendo la ndoa. Wale ambao wanataka kuolewa kwa mara yapili, hapo tutaongea sasa mahali. Ao ikibidi mwanamkee sasa atowe posa.

  • @salmaidris1787
    @salmaidris1787 6 หลายเดือนก่อน

    Kayla I see you baby❤

  • @Maboki265
    @Maboki265 2 หลายเดือนก่อน

    Nilikua nasikiliza hii interview ila DEM alivosema bikra nakaacha

  • @LynneBille
    @LynneBille 6 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sanaaaaa🎉

  • @user-sk7ip5nw9j
    @user-sk7ip5nw9j 6 หลายเดือนก่อน

    KAYLA namuju bad

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 5 หลายเดือนก่อน

    Qaila cjakuelewa ila hyu Khadija Mzee wahuni washapiga Ua garagaza😂

  • @Ciyara248
    @Ciyara248 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini wa 2000 tu😢😢

    • @AloyceJuma-nc5vf
      @AloyceJuma-nc5vf 6 หลายเดือนก่อน

      we wana mambo mengi sana 😂😂😂 yaani wanafamu mambo makubwa kuzidi wakubwa zao

  • @CROWNMEDIAKE
    @CROWNMEDIAKE 6 หลายเดือนก่อน

    Basataaaa wanaonaa hii amaaa

  • @hadijabintamiri
    @hadijabintamiri 5 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @afterx3172
    @afterx3172 6 หลายเดือนก่อน

    KWANZA NYIE NI MA BIKRA ?

  • @helberthwrld3766
    @helberthwrld3766 6 หลายเดือนก่อน +1

    Watoto WA 2000😂😂😂

  • @ombeniyohaneaustin8415
    @ombeniyohaneaustin8415 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 6 หลายเดือนก่อน

    This talk show should not be allowed on tv. It does not conform with the cultural norms and moral standards to be talking about explicit sexual affairs.

    • @rahmaidd8818
      @rahmaidd8818 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana kinaoneshwa usiku kama wewe huwezi kuncontrol what your kids watch usitupigie kelele

    • @silverman6930
      @silverman6930 6 หลายเดือนก่อน +2

      What’s your point ? Talking about culture and norms as if these kids nowadays don’t know nothing .. stop kidding yourself.