ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nanga mimi ni fan wako mda tu, tangu serious funny mulipokuwa na kina bagobigo na hamis kabo. Fanya ununue camera kali, mda wako ndio huu acha kushoot shoot na simu mzee.
Mtangazaji msichana DILEKTA/ LELI ndio nini hadi umefika hapo inakuwaje kushindwa kutamka maneno hayo madoogo katika usahihi wake??
Halafu anaingilia maongezi bila focus ya swali lililopita,vicheko unnecessary,nadhani anahitaji kujitafuta na kujiskiliza sna kabla ya kwenda hewani
Fundi umeme nanga 😊
Huyu nanga ni noma sana anahtajika asogezwe juu sana
Nanga mie nakuelewa
Mwisho nimeipata interview😢
Uncle mnonko sana huyu #mamamae