BIZMAN - Rushwa Kwenye Bongo Fleva | Bila Pesa Nyimbo Hazipigwi - Part 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Sehemu ya mwisho ya mazungumzo yetu na Bizman. Amezungumzia rushwa na changamoto kwenye muziki wa Bongo. Amezungumzia safari za Ulaya za Inafrika Band na mengine mengi. Usikose!
    #bizman #bongoproject #bongofleva #tanzania #inafrika
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 1