ENZI ZAKE MWANAHAWA ALI MUIMBAJI GWIJI WA TAARAB UNAZIKUMBUKA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2023
- TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi
#Muuminina #Dida #Juhuditz #Al-Muuminin #Adila
#Mwanacha #Afnania #Stumai #Zuchu
#muminina #Qadiria #zanzibarqaswida #AFNAANIA #DIRECTORONE.T #Future Tz #Wasafi Media #ZMASTORY #Juhuditz #JUMAFAKIH #ZanzibarQaswida #AQAZStudio #Al-muuminin #YasmediaTv #stumai #zbc #tbc #futuretz #youtubeislife #subscriber #youtubeguru #youtubecontent #newvideo #subscribers #youtubevideo #youtub #youtuber #youtubevideos #youtube #youtuber #youtubechannel #revolutionreal #blacksmokeyeye #smokeyeye #glow #glowingskin #discoverunder5k #discoverunder10k
Mashallah!! Aaah nimependa Sana... Old is gold Siku hizo sikuwa duniani lakini her voice and burudani yenyewe 💯 Mwanahawa ni hatari ❤ Mungu akuongezee umri
Furaha tupu, maneno supa sana
Masha Allah Jirani ulitamba kwa wakati wako lakini hadi Leo haijesha Hadhi yako utuuzima na maradhi ndio yaliokuweka kitako. Husahauliki kwa burudani zako.
Hadi raha
Alikua fire wamakadara simchezo
Salam zangu kutoka USA marekani i m is remember home land zanzibar people beautiful
Aisee madam mwanahawa ally omari mungu azidi kukupa umri
Old is gold jamani. Leo zogo na wasanii kufanya uchafu.
Nyimbo alitakikana aimbe mwanaume
Umri jamani ni fumbo
The song is Njoo kwa mtu mkweli
Au wa gulioni alikua fire kwakweli
Hapa malindi wapo kamilikamili first eleven yote ipo hatumwi mtoto jikoni
Yakale ni dhahabu kumbe ezi hizo ulikuwa kimodo misi mwana hawa mwenye shingo ya upanga macho ya gorori
Njoooo kwa mtu mkweli
Beautiful home zanzibar
Kweli wakati ni mali, mfanoBwana Mohammed Ilyas enzi hizo,
Nyimbo ya itwa joo kwa mkweli mwanahawa
Thanks Fatma
Nyimbo inaitwa njooo kwa mtu mkweli
What is the name of the song?
Njoo kwa mtu mkweli