TAARAB. Mwanahawa Ally - Rabbi Nilinde . Official Audio

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 141

  • @user-ci1sv3ij7q
    @user-ci1sv3ij7q 3 หลายเดือนก่อน +19

    Tuliko hapa baada ya kuhojiwa na zamaradi tv tujuane

    • @shanisuleiman7824
      @shanisuleiman7824 3 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😅😅 tupooo

    • @lonnmutta2073
      @lonnmutta2073 3 หลายเดือนก่อน

      nipo

    • @user-fl7mr4dt1p
      @user-fl7mr4dt1p 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂❤❤🎉🎉

  • @aminakassim7486
    @aminakassim7486 9 หลายเดือนก่อน +6

    Napumua, Nahema sina chuki nao, wazi naungamaaa❤❤❤

  • @mishiswaleh4476
    @mishiswaleh4476 4 ปีที่แล้ว +11

    Moyoni sina shaka,,semeni munayo taka mupo kwenu nipo kwangu 🤫♥️♥️♥️

  • @KhadijaNgozi-ln4ww
    @KhadijaNgozi-ln4ww หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi..akuponye..mwahawa.aliy..nyimbo..zinabusara

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 4 ปีที่แล้ว +11

    Tamu mnoo hii ndo nyimbo bora kbs ya taarab kwangu naipenda sana......

  • @siriwaziri2607
    @siriwaziri2607 4 ปีที่แล้ว +5

    Tarab naipenda nilikuwa naitafuta,shukran bi hawa

  • @fadhilampita2655
    @fadhilampita2655 4 ปีที่แล้ว +5

    Kila mja na liziki,paaambe ttu

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +11

    Najua walisema tangu nipo tumboni kwa mama
    Na wakaendelea kusema nulipo zaliwa mengi walisema
    Bado watasema mpaka mwana ndan inshallah salama

  • @KisimaTv99
    @KisimaTv99 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tangu juzi nautafuta huu wimbo. Hatimaye nimeupata. Shukrani sana kwa kutuwekea hapa

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 4 ปีที่แล้ว +6

    sitishiki kamweee husda zao washindweeee na walegeee

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +10

    Semeni mnayotaka mpo kwenu nipo kwangu hayawi mnayo taka
    Mpo kwenu nipo kwangu
    Muyapangayo pangeni hamutonibadilisha
    Ndio Mimi na nyinyi ndio nyinyi
    Sote waja wa manan hamtonitisha

  • @ramlalithomusa1431
    @ramlalithomusa1431 4 ปีที่แล้ว +5

    Tueke na ya sabah Salum. Yaimba hiviii. Ikiwa yametendeka labalaa na mimi sija husika naktaa

  • @rasykizanjbari4996
    @rasykizanjbari4996 4 ปีที่แล้ว +5

    Rabbiy nilinde na wenye nia mbaya kwangu asante mwanahawa ally

  • @queenofswords5118
    @queenofswords5118 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mashabiki zake....bi mwanahawa anahitaji usaidizi wenu anaumwa mukiweza mumsaidie na yy

    • @oscarjulius5723
      @oscarjulius5723 4 หลายเดือนก่อน

      Tunataka mawasiliano yake

    • @lonnmutta2073
      @lonnmutta2073 3 หลายเดือนก่อน

      @@oscarjulius5723 rakama tayari ziliwekwa

    • @lonnmutta2073
      @lonnmutta2073 3 หลายเดือนก่อน

      sawa hapo

    • @BimkubwaJuma-ew5dg
      @BimkubwaJuma-ew5dg 3 หลายเดือนก่อน

      Ànqnmmamkakakakwkfjannnnjj😅😮😮⁸9àq0😮yjuuuuuuuii4p8o88

  • @mariamhamza6376
    @mariamhamza6376 3 หลายเดือนก่อน +2

    Swadakta❤ Bi mkubwa

  • @aminakombo1181
    @aminakombo1181 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante bi mwanahawa nyimbo pambee

  • @ramlalithomusa1431
    @ramlalithomusa1431 4 ปีที่แล้ว +4

    Woow asante wallahy nime furahi sanaaa kuipata

  • @fadhirampita5200
    @fadhirampita5200 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wa Mia upata Mia ni kesi isiyo jaji❤️❤️2023 bado konki

  • @mariamsalum5426
    @mariamsalum5426 4 ปีที่แล้ว +12

    Teeeena kilicho chema ni chema asali si kama maji 😅❤❤

  • @thurayyathurayya1007
    @thurayyathurayya1007 4 ปีที่แล้ว +8

    Rabbi nilinde Yeye ndio ngao kweli😍🤲

  • @ruqayabakari788
    @ruqayabakari788 4 ปีที่แล้ว +6

    Twakupata mamy, safi sana

  • @imanissa6991
    @imanissa6991 4 ปีที่แล้ว +4

    Rabbi nilinde

  • @ilhamsadiki5951
    @ilhamsadiki5951 4 ปีที่แล้ว +6

    Nilinde daima👏 rabii☺

  • @shardalove1159
    @shardalove1159 4 ปีที่แล้ว +6

    Manenooo👌👌pambee

    • @hawayusuf2950
      @hawayusuf2950 4 ปีที่แล้ว +1

      Ma Shaa Allah ma Shaa Allah napenda mashairi yako yalo kwenda shule nautaratibu wake yani bonge la song hawakomboi🔥🔥🔥🔥🔥✨✨🔥👌

  • @happyantonyantony8228
    @happyantonyantony8228 4 ปีที่แล้ว +7

    Pambe tuu Asante kwa Ujumbe mzuri ubalikiwe Sana ALLAH akuongoze

  • @hamidaissa4769
    @hamidaissa4769 3 ปีที่แล้ว +1

    Sina cha kusema juu ya hili song linavyonikonga moyo wangu najua mwenyewe

  • @hassanali4838
    @hassanali4838 4 ปีที่แล้ว +6

    Dadangu huyoooo.

  • @ziadamawazo8421
    @ziadamawazo8421 4 ปีที่แล้ว +4

    Tuwekee na Nisipokuona nalia ukiwa,jua raha sina mgonjwa nakuaa...

  • @ummufatma5722
    @ummufatma5722 4 ปีที่แล้ว +1

    Yasaatir yaraaab

  • @hadijalukasmdeg9987
    @hadijalukasmdeg9987 4 ปีที่แล้ว +4

    mambo shatashata 👌👌👌imenoga 🎧🎧🎧🎻🎻🎷🎷🎺🎺🎺📢 📢📢📢

  • @fadhilasleiman
    @fadhilasleiman ปีที่แล้ว +2

    Mama umenikosha kwa maneno mazuri

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 4 ปีที่แล้ว +14

    Fanya mpango wa mama shughulu naipenda sana

  • @azizaathuman2986
    @azizaathuman2986 4 ปีที่แล้ว +4

    Niliitaka sana hii👌

  • @halali_ya_naseeb
    @halali_ya_naseeb 4 ปีที่แล้ว +5

    santhaaaaaa💃💃💃💃💃💃

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +11

    Marjan Sempa weye ni nouma
    Umeleta bonge la songi,Sarut kwako
    Tupe vitu vzur kama hivi

    • @marjansempa
      @marjansempa  4 ปีที่แล้ว +3

      Ushasema! Abdulhamid

    • @lecool2350
      @lecool2350 4 ปีที่แล้ว

      Yaani Vitu vake Konki sana

    • @mvoih4854
      @mvoih4854 4 ปีที่แล้ว

      @@marjansempa kuna wimbo mmoja Aisha Masanja unaitwa Usijisahau na dunia hebu utafute na uuweke!!

    • @marjansempa
      @marjansempa  4 ปีที่แล้ว

      @@mvoih4854 mbna siujui huo wimbo

    • @HamisaYusuph
      @HamisaYusuph 25 วันที่ผ่านมา

      Tuekee na mzomeeni mnoko ​@@marjansempa

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Namoyoni Sina shaka hiyo ndio Imani yangu

  • @damariam7497
    @damariam7497 4 ปีที่แล้ว +7

    Nilinda yarab🤲 Santa mummy kazi njema Allah akujalie afya utupe mzik mzuri.

  • @abdulhamidsuleiman4953
    @abdulhamidsuleiman4953 4 ปีที่แล้ว +9

    Si kwa pupa si haraka taratibu mambo yangu
    Na halitonifika kila apangalo Mungu
    Na moyoni sina shaka hio ndo iman yangu
    Bure kujipa wahaka na kujitia machungu

  • @calacoswailer629
    @calacoswailer629 4 ปีที่แล้ว +7

    Sauti ya Raha, Burudani na Kupumbaza. Kiumbe kimepewa sauti ya kumtoa nyoka pangoni

  • @user-ww6wb5uf8m
    @user-ww6wb5uf8m 3 หลายเดือนก่อน

    Alla atampa afwa njema

  • @kinyokinyo4638
    @kinyokinyo4638 4 ปีที่แล้ว +4

    Tenna

  • @abdulomar2750
    @abdulomar2750 3 ปีที่แล้ว +2

    Yarrabi tulinde milele daima na Familia yangu

  • @neemagambere9987
    @neemagambere9987 4 ปีที่แล้ว +3

    santaaaaa

  • @aishasalum2963
    @aishasalum2963 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwanahawa mama nakupata vizuri kutoka Dubai buzabi 😗😗

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 3 หลายเดือนก่อน

      Msaidie kipenzi chetu

  • @razackkambi2839
    @razackkambi2839 4 ปีที่แล้ว +12

    Pambe tuu raby nilinde🙏

  • @aminamzinga2737
    @aminamzinga2737 3 ปีที่แล้ว +1

    Ii nyimbo inaukosha Sana moyo wangu

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 4 ปีที่แล้ว +7

    Marjan tuletee na last warning ya mwanahawa Ally

  • @didakeita2429
    @didakeita2429 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupata uzuri mamy Allah akuweke💖Rome Italy

  • @kinyokinyo4638
    @kinyokinyo4638 4 ปีที่แล้ว +3

    Hapo sw pambe

  • @ashuranjoka2354
    @ashuranjoka2354 3 ปีที่แล้ว +1

    Rabbi nilinde nawenye nia mbaya kwaku

  • @masikamohamed6897
    @masikamohamed6897 2 ปีที่แล้ว +4

    old is gold

  • @faridaseif8025
    @faridaseif8025 4 ปีที่แล้ว +2

    Nice taarabu

  • @mamafalid3241
    @mamafalid3241 4 ปีที่แล้ว +2

    Hatinaye nimeipata hii nyimbo nimeangaika mnooo duh! thank you so much mwaaaaaaaa!

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 ปีที่แล้ว +5

    Mambo yangu hayo Marjan nampenda sana Mwanahawa Ally
    Mkongwe na mjuzi wa haya mambo
    Nyingine tena 😀

    • @marjansempa
      @marjansempa  4 ปีที่แล้ว +1

      Ushalonga

    • @hamadienest9352
      @hamadienest9352 4 ปีที่แล้ว

      خسن موس
      Mamaangu mwanahawa nakupenda Sana mungu Akupe maishamalefu

  • @alainals3907
    @alainals3907 ปีที่แล้ว

    Big up bi mwanahawa kwa mara ya kwanz kuiskiliza lkn mambo moto...dida frm 🇦🇪

  • @HusnaHassan-qg8pl
    @HusnaHassan-qg8pl ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nizuli sana

  • @Weirdguy777
    @Weirdguy777 7 หลายเดือนก่อน

    kweri kila mja na liziki yake

  • @erickmabongah1986.
    @erickmabongah1986. ปีที่แล้ว +1

    What a great piece of work. Please post Mkataa pema by East Africa melodies.

  • @mariamkhamisi9162
    @mariamkhamisi9162 8 หลายเดือนก่อน

    Hapa patamu woyoooo

  • @mariamsalim7772
    @mariamsalim7772 2 ปีที่แล้ว +1

    mashallah endelea kutuwekea za kale tuburudike😄🙃

  • @hamismberwa5672
    @hamismberwa5672 4 ปีที่แล้ว +1

    Kash kash nakuchakachua kwao

  • @yusufumwasha548
    @yusufumwasha548 4 ปีที่แล้ว +6

    Naipenda sana

  • @azizaathuman2986
    @azizaathuman2986 4 ปีที่แล้ว +3

    Tramuuuuuu👌

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 4 ปีที่แล้ว +5

    👏👏👏👏

  • @fatmaalmujhairu1977
    @fatmaalmujhairu1977 4 ปีที่แล้ว +1

    Pambeeee

  • @mashaallahsounds8207
    @mashaallahsounds8207 4 ปีที่แล้ว +8

    Marjan uko Vizury

    • @ruqayabakari788
      @ruqayabakari788 4 ปีที่แล้ว

      Pambe sana mamy mwanahawa ally kwa ukarimu wako wa nyimbo,yenye ufunzo mzuri, lnshaallah mungu azidi kukupa kipaji zaidi na ukulinde na maadui,🤲🙏

  • @user-tv4jv1yy8k
    @user-tv4jv1yy8k 6 หลายเดือนก่อน

    Maneno mazuri kabisa ❤❤❤❤

  • @mwanahawasaid1561
    @mwanahawasaid1561 4 ปีที่แล้ว +11

    Santeeeeeeeeeeee

  • @shedyreginald2150
    @shedyreginald2150 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameen Rabi nilinde

  • @bjtv_001
    @bjtv_001 ปีที่แล้ว +3

    favourite song 💯%♥️

  • @winniedaudi4670
    @winniedaudi4670 4 ปีที่แล้ว

    My favourite song inanikumbusha Lango la jiji Magomeni 🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️😜😜😜

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 4 ปีที่แล้ว

    Kelele yake Mwanahawa Ally weeeeeeeeeeeeweeeeeeeeeee

  • @fadhilasleiman
    @fadhilasleiman ปีที่แล้ว

    Mwanahawa mama Hadi rahaaa

  • @saumuislamali8409
    @saumuislamali8409 4 ปีที่แล้ว +2

    Kat
    U

    • @naimakhan6089
      @naimakhan6089 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa.rabbi nilinde

    • @naimakhan6089
      @naimakhan6089 4 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah uko juu manenoz

  • @abdulyiddy358
    @abdulyiddy358 7 หลายเดือนก่อน

    Napumua nahema sina chuki nao 👌

  • @darinimatimbwa785
    @darinimatimbwa785 4 ปีที่แล้ว

    Rabbi nilinde mie

  • @mesasaid2128
    @mesasaid2128 4 ปีที่แล้ว

    mwanahawa ally twaomba ulete youtube channel yako,,mama wanikoshwa mwanao kwa nyimbo zako za kistaraab..mkenya halisi kutoka kule mombasani hadi raha

  • @mariamhamisi3909
    @mariamhamisi3909 ปีที่แล้ว

    Uko juu mama

  • @riznajuma7861
    @riznajuma7861 ปีที่แล้ว

    Hasidi upoo

  • @tukaeseif4966
    @tukaeseif4966 9 หลายเดือนก่อน

    Kuna nyingine kaimba bi mwanahawa ally inaitwa Sina chuki nao

  • @anissaabdalla2294
    @anissaabdalla2294 4 ปีที่แล้ว

    Na mahasidi
    In Shaa Allah

  • @salimismail2746
    @salimismail2746 4 ปีที่แล้ว

    Nilinde ya rabbih, kumthu mama mwanahawa.

  • @halimayahya1948
    @halimayahya1948 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @zeiddysuleiman8187
    @zeiddysuleiman8187 4 ปีที่แล้ว +6

    👌👌👌💕

    • @mishiswaleh4476
      @mishiswaleh4476 4 ปีที่แล้ว

      U kill it momy tokea zamani nakupenda bure,Rabbi atulinde sote 😘

  • @robertmuumba29
    @robertmuumba29 3 ปีที่แล้ว

    Rabi nilinde

  • @mwanamisiomar443
    @mwanamisiomar443 4 ปีที่แล้ว

    ♥️♥️♥️🇰🇪🔥🔥🔥🔥📢

  • @maimunakassim3327
    @maimunakassim3327 4 ปีที่แล้ว

    Tamu sana

  • @halimakibwana9289
    @halimakibwana9289 3 ปีที่แล้ว

    Semeni mpaka mtiwe kaburini

  • @fatoumaahmed7670
    @fatoumaahmed7670 4 ปีที่แล้ว +8

    Merci beaucoup 💃💃💃💃

  • @latb2747
    @latb2747 4 ปีที่แล้ว +3

    yaan km usizeeke wewe bibi

    • @mariammkali1403
      @mariammkali1403 4 ปีที่แล้ว

      Mama mungu akulinde sanaaa asanteeh

  • @wamszeal
    @wamszeal ปีที่แล้ว

    Amin 🙏

  • @haydarhamad6532
    @haydarhamad6532 3 ปีที่แล้ว +3

    Очень хороший Таараб😂

    • @yahayatwaha2750
      @yahayatwaha2750 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂umenipa tabu san kusoma

  • @maimunakassim3327
    @maimunakassim3327 4 ปีที่แล้ว

    Mtabaki walikola walikola

  • @millienyarluo4281
    @millienyarluo4281 3 ปีที่แล้ว

    Nice😁

  • @mtumwadaud4549
    @mtumwadaud4549 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzur sana

  • @adiajaffaray4952
    @adiajaffaray4952 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @juniormwendwa2974
    @juniormwendwa2974 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤️

  • @halimakibwana9289
    @halimakibwana9289 3 ปีที่แล้ว

    Bure Yao mahasidi

  • @lonnmutta2073
    @lonnmutta2073 ปีที่แล้ว +1

    Rabbi nilinde

  • @mariamjuma9484
    @mariamjuma9484 4 ปีที่แล้ว +1

    Ntaipata haki popote itapokua kabisa siteteleki hahahahaha pambe