PROPHET IPM AWEKA HADHARANI ALICHOKIFANYA MAMA RWAKATARE NA ASKOFU GWAJIMA/HIZI NI SIKU ZA MWISHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 35

  • @ORG960
    @ORG960 11 วันที่ผ่านมา +1

    Ipm uko sahihi sana, ila nafikili siyo sawa kuongea mabaya ya watumishi wa Mungu kwasababu ww unafikili unatengeneza kumbe unatengeneza tatizo zaidi kwenye ufalme wa Mungu, ndiyo maana police hawaongei hayo unayo sema coz yatatengeneza crake katika jamii so km unao ujasili wa kuwaface watumishi wenzako bac wafuate na kuwaonya, pia nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya, Asante.

  • @TasloSanga
    @TasloSanga 24 วันที่ผ่านมา +1

    Umetisha kwa mistari ya mwisho🎉🎉🎉

  • @deosjosephat5467
    @deosjosephat5467 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa hilo la kuwawezesha waumini! nakupa BIG UP, nikiwa kama muumini wa kanisa flani nilijaribu hilo likanitokea puani!

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba 14 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa upande wa rohoni siasa sio zambi lakini sio sawa kuingia kwa siasa maana inakunyonya kiroho, pengine sijui vema lakini muangalie gwajima kabra ya kuingia kwa sisa na mtazame pia sada

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 26 วันที่ผ่านมา +2

    Anamuongelea mke wake badala ya Yesu😮😮

  • @MSELAWAYESU-ld1oh
    @MSELAWAYESU-ld1oh 22 วันที่ผ่านมา +2

    Daaaa.we sio poa

  • @Gwenoboy
    @Gwenoboy 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kweliase

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba 14 วันที่ผ่านมา +1

    1wakirinto 10:23

  • @revocatusevarister6879
    @revocatusevarister6879 21 วันที่ผ่านมา

    Aminaa

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 26 วันที่ผ่านมา +1

    We baba huko sawa,kweli???kua na mke hakuondoi zinaa,baba damu Yako inasoma Nini,kama ujajikana baba mule mule

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 18 วันที่ผ่านมา +1

    Na msuluali wake ulivombana kiasi hiko mbele yaa et profet😂

  • @shadyaomary
    @shadyaomary 26 วันที่ผ่านมา

    Im getting a point

  • @PaulinaSengasu
    @PaulinaSengasu 22 วันที่ผ่านมา +2

    Mchungaji utaniuwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abdallahmsuya5112
    @abdallahmsuya5112 14 วันที่ผ่านมา +1

    Ilo la kusema mkeo mtundu halitosis sawa , yan kila nkipita kwenye page yake mkeo hata hafananiii ,unamdhalilisha dada etu

  • @WistonMlomo
    @WistonMlomo 4 วันที่ผ่านมา

    Wewe tapeli mkubwa mwizi

  • @paulojohn9608
    @paulojohn9608 23 วันที่ผ่านมา

    IPM umesema kweli kaka wanayo kupinga niwajinga tu hawaelewi chochote

  • @georgekyando885
    @georgekyando885 25 วันที่ผ่านมา +2

    Biblia ilishasema mtawatambua kwa matendo yao. Tueni makini sana na hawa wasaka tonge.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 18 วันที่ผ่านมา

      Matunda.....hakusema matendo

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 26 วันที่ผ่านมา

    Bora Pi didy kuliko gwajima

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 26 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu ni mfanya biashara ktka jina la Yesu😢 wajinga ndio waliwao

  • @ukhtyrayyan7884
    @ukhtyrayyan7884 18 วันที่ผ่านมา

    Yaani wakirsto wanamikasa nyie jamani hadi hawa watumishi vinajitia utumishi waongo wakubwa

  • @PaulinaSengasu
    @PaulinaSengasu 22 วันที่ผ่านมา +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 27 วันที่ผ่านมา +8

    Sasa unamwambia naninkama mkeo kama mtundu, si u qmdhalil8shq hovyo maana hayo yenu nyie ya ndani kisa cha kutangaza nini au unataka watu wakahakikishe. Mchungaji wewe lakini unachunga nini hapo sasa. Hayo ya ndani ni yenu malizaneni wenyewe chumbani.

    • @yohanakateko
      @yohanakateko 26 วันที่ผ่านมา

      Mmmmmmh

    • @Maduga_gang
      @Maduga_gang 22 วันที่ผ่านมา

      Hata hii kweli asingesema

    • @jennytugara9470
      @jennytugara9470 19 วันที่ผ่านมา

      Dunia tuliopo ndugu ya chumbani hayapo. Ukitoa ya chumbani unalipwa utalala njaa? Ndio Dunia tuliopo get it kama wewe yako unaona ni siri yako basi kaa nayo na jaribu kuyabakiza moyoni mwako!!!

    • @RacheleRamadhan
      @RacheleRamadhan 19 วันที่ผ่านมา +1

      Nakupenda sana mchungaji

    • @BakariHamisi-h1h
      @BakariHamisi-h1h 15 วันที่ผ่านมา

      Vuil

  • @ChariteBila
    @ChariteBila 11 วันที่ผ่านมา

    Aksanti muchungazi, kuhusu ndoa je mutu anaeza akavunja ndoa kwakutafuta Salama yake?

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 26 วันที่ผ่านมา

    Yeye mchungaji ana maana ya kuwa mcheshi kuongea

  • @JojoJoji-h8g
    @JojoJoji-h8g 26 วันที่ผ่านมา +4

    Mbona huyu jamaa amekuwa mropokakaji au ndyo unareuka unaongea ongea ujinga ulitudanganya unaponya ukimwi kumbe ulikuwa mpigaji kwa sasa umeshakusanya mihela umewauzia watu maji mafuta ya dhahabu mtumishi anaropoka watumishi wa mtandao

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 26 วันที่ผ่านมา +1

    MWANDISHI WA HABARI. NIMEKUPENDA SAANAAAAA KWA SWALI LAKO NI UKWELU. WANAHUBIRI VITU AMBAVYO WENYEWE HAWAVIISHI