UONGO WA WASABATO UMEWEKWA WAZI NA USTADHI DANIEL, WASABATO SIYO WAKRISTO PS: MCH. NDACHA, KAISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1.2K

  • @mwendwangero2322
    @mwendwangero2322 2 หลายเดือนก่อน +32

    Muandaaji wa Kipindi Naomba utafute Msabato Mmoja Kujibu hizi hoja ili Tuupate ukweli Wake. Huyu hata Mimi na Mumudu niite tafadhali 😂😂😂

    • @SIMULIZIZONE
      @SIMULIZIZONE  2 หลายเดือนก่อน +6

      @@mwendwangero2322 Waalimu wa Wasabato inakuwa ngumu kuwapata, namsubiri Mwalimu Ndacha au kama nitampata yeyote Tz, atatusaidia

    • @Wamisangi
      @Wamisangi 2 หลายเดือนก่อน

      @@mwendwangero2322
      Jibu la uongo wa siku ya mwisho wa wa dunia kuwa ni 22/10/1844. Imefika au haijafika.
      Mathayo 24:36-44
      Matendo ya Mitume 7:55-56. BWANA Yesu alikuwa mkono wa kuume wa Mungu miaka 1800 na zaidi kabla ya huu uongo.

    • @arnoldpaschal8368
      @arnoldpaschal8368 2 หลายเดือนก่อน

      @@mwendwangero2322 Ni kweli hoja nyingi hapo zinajibika. Changamoto kubwa ya sisi wasabato hatupendi midahalo kwasababu inafanyika kwa mabishano zaidi kuliko mjadala. Kwa mfano jamaa anasema sabato imeanza kwa waisrael walipokua utumwani. Lakini sabato ilikuwepo kabla ya waisrael katika kitabu cha mwanzo 2.

    • @Itambu
      @Itambu 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ww mwenyewe kasome Biblia vzur ujifunze ww kwanza au nitafute mm nikufundshe vzur au mfatie mwl Mwakasege atakusaidia.

    • @SurprisedGlassRose-it1fw
      @SurprisedGlassRose-it1fw 2 หลายเดือนก่อน

      Saasa wewe???, ni mkristo au dini yako ipi, unapinga hata BIBILIA, yenyewe,, je wewe?, ni mpinga kristo???

  • @samueltoo
    @samueltoo 3 หลายเดือนก่อน +11

    Yesu ni bwana wa sabato Marko 1:27,28,Yeye hakuja kuondoa torati wala sheria Matayo 5:17, Mitume waliendelea kutunza sabato Matendo 13:44...Sabato ni mojawapo wa amri kumi za Mungu na ukifunja moja umehukumiwa kwa yote Yakobo 2:10.Sabato ilikuako tangu uumbaji na muyahudi wa kwanza ni Ibrahimu aliyekuja baadaye baada ya uumbaji,hivyo basi Sabato iliumbwa kwa ajili ya mwanadamu na siyo kwa ajili ya wayaudi.🙏🙏

    • @Wamisangi
      @Wamisangi 2 หลายเดือนก่อน +2

      @samueltoo
      Na BWANA Yesu ndiye alitupa uwezo huu Mathayo 18:18-20
      Hakuna Ukristo na kuhubiriwa kwake ni kazi bure kama Yesu asingefufuka siku ya kwanza ya juma.
      1Wakorinto 15:14.
      Kuabudu katika siku ya kwanza ya juma unabii wake uko Kutoka 12:16
      Dhehebu la sabato limeanzishwa katika msingi wa uongo wa tarehe ya mwisho wa dunia 22/10/1844. William Miller na Hellen White walikuwa na pepo la uongo. Maana Roho Mtakatifu hawezi kumuongoza mtu kusema uongo.
      Matthew 24:36-44
      Matendo ya Mitume 1:4-5
      Wapotoshaji hawa wakatafuta hila ya kusema ni makosa ya kutafsiri maono hiyo tarehe lilikuwa ni tendo la kuingia patakatifu pa patakatifu. Wasijue Stephano alisha ongozwa na Roho Mtakatifu miaka zaidi ya 1800 kabla na kusema haya... Matendo ya Mitume 7:55-58

    • @samueltoo
      @samueltoo 2 หลายเดือนก่อน

      @@Wamisangi Hasante mwalimu,nina hakika wewe ni mkristo ambaye hawezi kuua wala kusini hata hauwezi kuiba...jinsi vile amri ya Mungu inavyotuambia,Kwa nini basi Sabato inakua jambo la kukataliwa na iko katika amri kumi za Mungu kama yale mengine?

    • @Wamisangi
      @Wamisangi 2 หลายเดือนก่อน

      @@samueltoo
      Sabato ni nini?
      Mark 2:27-28
      Wakolosai 2:16

    • @amanibwire4423
      @amanibwire4423 2 หลายเดือนก่อน +1

      Marko 2:27-28 kama we ni mwanadam sabatho ilifanyika kwa ajili Yako ni wanyama isiyo wahusu tu ila kama we ni mwanadam huwez ikwepa, Yesu ni owner wa Sabatho huwez mufuata na ukatae kile alicho alichonacho.

    • @TheOngwae
      @TheOngwae หลายเดือนก่อน

      @@amanibwire4423 Hata wanyama inawahusu kwa sababu Mungu mwenyewe alisema, kila kitu katika boma kipumzike! wanyama wa kazi wapumzike...kila mtu apate amani ya Bwana

  • @nicksonazizi1036
    @nicksonazizi1036 2 หลายเดือนก่อน +22

    Ninachowapendea wasabato wanahubiri Neno la Mungu. Ninakubaliana nao kwa sababu wanasema Sabato ilianza kabla ya kuwepo kwa taifa la waisraeli ama pia wayahudi. Wanaamini kuwa Biblia (Agano la kale na Agano Jipya) ni ujumbe kwa Mwanadamu. Wanamwamini Yesu, kwamba ni alikuja kutimiliza Torati lakini si kuifuta Torati. Ndiyo maana hawaamini dini ya Kiyahudi kwa sababu Wayahudi hawamwamini Yesu. Wanaamini pia kuwa Mwanadamu anaokolewa kwa Neema. Jamani hembu fuatilieni mafundisho yao katika Tv ya Hope Channel Tz hapo Kuna mafundisho wanayarusha live kutoka Kihesa kuanzia saa 11 hadi saa 1:30 jioni. Huenda tutawaelewa vema kuliko kusikiliza wengine wanavyowaongelea. Yaani hawana blaa blaa katika kuchambua Neno

    • @jakee2041
      @jakee2041 2 หลายเดือนก่อน

      AMEN. AMEN.

    • @malimachristopher171
      @malimachristopher171 2 หลายเดือนก่อน

      uko sahihi sana

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@nicksonazizi1036 acha kudanganywa sabato lao ilianza muda gani wao walianza marekani Tena mwanamke ndiyo mwazilishi

    • @Elisamehemuono
      @Elisamehemuono 2 หลายเดือนก่อน +3

      Achakudanganya una one kana unajuaukweli iĺauna potosha huwezkuwapoteza watuwamungu wewe nipepo

    • @nuruamry
      @nuruamry 2 หลายเดือนก่อน

      @@audifansisafari5587 usiongee bila kuwa na evidence chunguza maandiko ndio upate la kusema

  • @ndaisabacallixte1499
    @ndaisabacallixte1499 2 หลายเดือนก่อน +14

    Sabbath sia wayaudi ni a Mungu mwenyee ariazisha bustani mwazo yee alufa na omega Roho wa Mungu akunongonezee ujue neno ra Mungu

  • @DafrosaNyamwiza
    @DafrosaNyamwiza 7 วันที่ผ่านมา

    Mwl.uko vizuri nimeelewa sana. Sabato sijawahi kuielewa na sitaki kuielewa ! Duh😢

  • @mosesjoseph730
    @mosesjoseph730 3 หลายเดือนก่อน +17

    Kuna uongo mwingi katika haya mnayoita ukweli, mimi sio msabato lakini hii sio kweli

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 2 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      Tuambie huo ukweli

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      Soma historia ya Helen G white,na aliyeanzisha sabato

    • @Enockbeckbrown-hf6xx
      @Enockbeckbrown-hf6xx 2 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe sn Moses. Umeongea ukweli mtupu. Kuna uongo mwingi mno ktk haya madanganyo ya huyu wakala wa Sh***ni asiyejielewa!

    • @Steven-y8h5g
      @Steven-y8h5g 26 วันที่ผ่านมา +1

      Ule unabii uliokosewa wewe mwenyewe umeshasema hawa kuwa wasabato na ndo maana heleni G white white alirekebisha na kusema ni kuingia patakatifu

  • @ceogeolandgroup7543
    @ceogeolandgroup7543 2 หลายเดือนก่อน +8

    Basi tunaomba bibilia ibandilishwe iseme vile mnataka. Kwa sababu. Hampingi kuhusu zaka na sadaka lakini kuhusu sabato na vyakula... Mungu aliiweka sabato yesu hangempinga baba yake

  • @DAVID-hc1ov
    @DAVID-hc1ov 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mwalimu wa uongo. Zaburi 119:105,115,155 sabato iko miongoni, Yakobo 2:10-11

  • @antonyndege6173
    @antonyndege6173 2 หลายเดือนก่อน +2

    Soma matendo 16:12-15... matendo 13:13-16....Luka 23:53-56....Isaya 58;2-14..
    56:1-7.... Isaya 66:22-24....waebr4:1-14...

  • @tediusmwafongo4862
    @tediusmwafongo4862 3 หลายเดือนก่อน +12

    Danganya watu wa Mungu tu, mwenye watu wake anakuona. Mungu atusaidie sote ili atutoe upofu wa kiroho wa aina hii! Ngoja mtangaziwe kwanza amri ya kuabudu na ndipo utakapojua kuwa ulikuwa hujui

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน +1

      ndugu,
      "tokeni kwake enyi watu wangu wala msishiriki maovu yake"

    • @Wamisangi
      @Wamisangi 3 หลายเดือนก่อน +2

      Dhehebu lililo simikwa kwenye msingi wa uongo wa siku ya mwisho ya dunia tarehe 22/10/1844. Uongo wa Hellen White na wenzake.
      Shetani ni muongo na baba wa huo. Dhehebu la shetani linalotumia biblia kama ambavyo shetani alivyo mjaribu Bwana Yesu kwa kutumia Neno la Mungu.
      Unabii wa siku ya kwanza ya juma uko wazi Kutoka 12:16.
      Hakuna Ukristo kama Bwana Yesu asingefufuka siku ya kwanza ya juma. 1Wakorintho 15:14.
      Dhehebu la shetani linapambana kufifisha siku Kifo na Kaburi vilipo shindwa.

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 3 หลายเดือนก่อน +3

      Agano jipya ni la nani.

    • @Wamisangi
      @Wamisangi 3 หลายเดือนก่อน +2

      @jumamustapha8254
      Ni la Mungu wa Mbinguni na lilitolewa Unabii wake na Manabii wa Mungu tangu kale. Si kama lile jengine la maono/ndoto za mapangoni za majini na mapepo.
      Yeremia 31:31-34
      Ezekieli 36:26-27
      Waebrania 8:6-13
      Jeremia 31:31

    • @JULIUSGEPART
      @JULIUSGEPART 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@DanielSamson-h4vpeke yako toka

  • @KamiliusPius
    @KamiliusPius 8 วันที่ผ่านมา

    Asante jaribu kuwaonyesha Hawa ndoo wamepotoka yaani hawaelewi kabisa,!!!!.
    Lakini ukwelindoo huo.

  • @libangakennedy9254
    @libangakennedy9254 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hatuokolewi kwakuishika sabato ila kwakumkubali yesu kristo kuwa BWA ❤na mwokozi wa maisha yako, yatosha

    • @evansmogusu8113
      @evansmogusu8113 3 หลายเดือนก่อน

      Soma yohana 14:15-20

    • @evansmogusu8113
      @evansmogusu8113 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yohana 14:15-25

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kama unamkubali Kristo kwanini hutaki kuzishika amri zake kwa mujibu wa mafungu ulopewa hapo chini.?
      Hebu tuache unafki wa kiroho. Niwakati wa kumwabudu BABA katika roho na kweli.

    • @mabenaluca6824
      @mabenaluca6824 2 หลายเดือนก่อน

      Unaamini hukumu ipo siku ya mwisho!?

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 2 หลายเดือนก่อน

      @@mabenaluca6824 Ndyo naamini.

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aksanti saaaana mtumishi wangu.kwakunielewesha.tayari unibatize.sabato si ya wakristo ni kweli kabisa

    • @ICIRORETV-v9x
      @ICIRORETV-v9x หลายเดือนก่อน

      Utajitambuwa wewe mwenyewe bila kusoma Bibliya ni bule hautaelewa maongo za wa cungaji siozawabibliya

    • @SelestiniAlfonce
      @SelestiniAlfonce หลายเดือนก่อน

      @@ICIRORETV-v9x wamoja hao

  • @dennisngetich1149
    @dennisngetich1149 3 หลายเดือนก่อน +4

    If you are reading my comment, I pray that you may find the truth about God. The world has altered everything including the calendar and it continues to do so. May God the creator give you wisdom.

  • @KamiliusPius
    @KamiliusPius 10 วันที่ผ่านมา

    Aminaa!!!! Hiyo Injili Mwlmu.

  • @GeorgeMwampamba
    @GeorgeMwampamba 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akusaidie ukupatie macho ya liroho😮 🎉

  • @CosterMachangu
    @CosterMachangu 26 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mtumshi mungu akubariki🙏🏾🙏. Sabato acheni ubishi👈👈.

  • @landelinusbyabato2512
    @landelinusbyabato2512 3 หลายเดือนก่อน +3

    Baada ya Yesu kufufuka 👇Matendo 13:42 Na walipokuwa wakitoka, wakawasihi waambiwe maneno haya sabato ya pili. 43 Sinagogi ilipofumukana, Wayahudi na waongofu watauwa wengi wakashikamana na Paulo na Barnaba; ambao, wakisema nao, wakawatia moyo kudumu katika neema ya Mungu. 44 Hata sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.

    • @angaliatz
      @angaliatz 3 หลายเดือนก่อน +2

      Waebrania 4:1-13

    • @angaliatz
      @angaliatz 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hiyo unayo taafsiri kama sabato ya pili kwa Kingereza ni next Sabbath...kwa lugha ya kisasa sabato ijayo...Nini maana ya Sabato labda tuanzie hapo....

    • @angaliatz
      @angaliatz 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ukiangalia uumbaji SABATO , ni ilisiku ya saba amabayo Bwana Aliibariki nakuitakasa ...English Sanctified... Alifanya iwe siku kuu... yaani HOLY DAY ...ndipo neno HOLIDAY ... Lilipotolea maana...

    • @AloyceNzilano-p4y
      @AloyceNzilano-p4y 27 วันที่ผ่านมา

      You are very wrong

    • @angaliatz
      @angaliatz 27 วันที่ผ่านมา

      @@AloyceNzilano-p4y then tell me where and tell me what's right...

  • @ICIRORETV-v9x
    @ICIRORETV-v9x หลายเดือนก่อน

    This is a beast speach from Roma Chatholic and aghano kale na jipya zinafatilia kila binadaam Yesu kristo ni Mwana wa koondo ndo mungu arianzisha kwajili ya uwokovu wa kilabinaadam

  • @TheHillsResourceCentre
    @TheHillsResourceCentre 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ndugu, nimefuhi, kwa ukweli huu umeanza kujua, lakini kuna ukweli zaidi ya hii ningependa ujue. Tafadhali ukipata nafasi unitafute.

  • @Kahiterigain
    @Kahiterigain 4 วันที่ผ่านมา

    Soma kitabu ya yeremia 20:12 mungu anasema nimawapa sabato yangu kua ishara kati yenu n'a mungu..

  • @ChrisGoe-e8t
    @ChrisGoe-e8t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mzeeee Mungu akurehemu hujui kitu uelewa wako nimdogo sana.

  • @KamiliusPius
    @KamiliusPius 8 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa Mwalimu

  • @SaimoniJames-ii6rk
    @SaimoniJames-ii6rk 2 หลายเดือนก่อน +6

    Ukikataa angani lakale unakataa na umbaji wa Mungu pole sana mtumishi Mungu akusaidie

  • @ngala2424
    @ngala2424 25 วันที่ผ่านมา

    Sunday law,ina maana Siku ya Jua,Kuabudu mungu jua,hadi leo,wanaoabudu jumapili,wanafuata Papa Silvester, kutoka siku ya Jumamosi kwenda siku ya Kwanza Jumapili.Kamwe Yesu,hakuanzisha siku ya Jumapili kama siku ya ibada.Hivyo Ndugu Daniel,soma taratibu na kwa uhakika Mungu atakuokoa,kutoka Babeli kuja nuruni na Bwana akusaidie uione Nuru ya Bwana aliye hai.

  • @mnasamgoya5704
    @mnasamgoya5704 3 หลายเดือนก่อน +7

    Rejea uumbaji wa Mungu katika kitabu Cha mwanzo utaelewa Mungu alipumzika baada ya umbaji

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน

      Ndugu, "tokeni kwake enyi watu wa Mungu wala msishiriki dhambi zake".

    • @PascasiMunishi
      @PascasiMunishi 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ilikuwa siku gani

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 2 หลายเดือนก่อน

      @@PascasiMunishi Ilikuwa siku ya saba. rejea, Mwanzo2:1+2.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      Na ye hajakataa ila hatutakiwi kuoanudi siku

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@DanielSamson-h4vsiku ya 7 ni ipi?
      Soma pia agano jipya vzr kuhusu kuabudu!
      Halafu tuambie Yesu alipowajibu ,'mimi ndie Bwana wa sabato 'alimaanisha nn?

  • @geofreymichira1138
    @geofreymichira1138 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe unapoteza watu Wa Mungu soma biblia vizuri.kuhusu sabato soma mwanzo 2:2-3.Exdous 20:8,Mark 2:23-27 omba Mungu akupe roho mtakatifu aweze kukuongoza uweze kuelewa Maandiko matakatifu.

  • @ladivabasel8910
    @ladivabasel8910 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yakobo 1:27
    Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.

    • @Enockbeckbrown-hf6xx
      @Enockbeckbrown-hf6xx 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tuwasaidie yatima tukiwa ktk dini gani? Tukiwa wabudha? Waislam? Waabudu mababu? DINI YA KWELI NI SDA

    • @AloyceNzilano-p4y
      @AloyceNzilano-p4y 27 วันที่ผ่านมา

      SDA siyo dini ya kweli kabisa, kumbuka ilianza kwa unabii wa uongo na uzushi na inaendelea na uongo na uzushi mpaka sasa!

    • @Enockbeckbrown-hf6xx
      @Enockbeckbrown-hf6xx 27 วันที่ผ่านมา

      @@AloyceNzilano-p4y Labda umejichanganya au umechanganyikiwa. SDA haijawahi kutoa unabii wa uongo labda umemaanisha Mashahidi was Yehova, Wapentekosti, na wengineo!

    • @Enockbeckbrown-hf6xx
      @Enockbeckbrown-hf6xx 27 วันที่ผ่านมา

      @@AloyceNzilano-p4y Labda umejichanganya au umechanganyikiwa. SDA haijawahi kutoa unabii wa uongo labda umemaanisha Mashahidi was Yehova, Wapentekosti, na wengineo

    • @Enockbeckbrown-hf6xx
      @Enockbeckbrown-hf6xx 27 วันที่ผ่านมา

      @@AloyceNzilano-p4y Labda umejichanganya au umechanganyikiwa. SDA haijawahi kutoa unabii wa uongo labda umemaanisha Mashahidi was Yehova, Wapentekosti, na wengineo

  • @amosikasanga97
    @amosikasanga97 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina nimebalikiwa

  • @samsonmutai1601
    @samsonmutai1601 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mwalimu hujui unachoongea acha kucheza na watu ambao Yesu aliwafia utaulizwa

    • @samuelmwaura9449
      @samuelmwaura9449 2 หลายเดือนก่อน

      Ni mwalimu wa wapi. Mpotevu. Mungu akulehemu.

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k 3 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa mchungaji Daniel, ni kweli YESU KRSTO alileta wokovu na wala sio dini, dini ni kaburi la kumpeeka mtu jehanamu, yohana 1:12 , siku ya jumapili ni siku ya ushindi ya kufufuka kwa BWANA wetu YESU KRISTO, ndiyo sabu tunaenda kanisani , na tuliokoka ni wafuasi wa YESU KRISTO , na YESU kwetu ni MUNGU yohana 1:1-3, na kwa JINA la KRISTO YESU tunatoa mapepo, Na DAMU ya YESU inatutakasa inatusafisha tunapotubu

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 หลายเดือนก่อน +11

    Yesu ni mkuu kuliko sabato. Yeye ndiye muhukumu wa yote.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 3 หลายเดือนก่อน +1

      Alıpokufa kwa siku 3 nani alikua muhukumu?

    • @ttebmailliwhcit
      @ttebmailliwhcit 3 หลายเดือนก่อน

      @@RubenMtuwaMungu-bz8ee he's the Lord of the Sabbath.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      Asante Yesu ndio mwisho wa Sheria
      Hawaelewi wasabato Bado wako kwenye sheria

    • @farajangwema4663
      @farajangwema4663 2 หลายเดือนก่อน

      Yah tupo kwenye Sheria na hatutaziacha kamwe tutazishika Hadi mbinguni​@@christinewomanoffaith5479

    • @AloyceNzilano-p4y
      @AloyceNzilano-p4y 27 วันที่ผ่านมา

      Ee! MUNGU wasaidie wasabato kuelewa kati ya: kuhesabiwa haki sheria na kuhesabiwa haki kwa Imani. Yaani mpaka leo bado mnaangalia jua, badala ya kumwangalia YESU! POLE SANA Mnatia huruma kwa vile hamyajui wala nyakati

  • @Shadiasemdami
    @Shadiasemdami 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe. Pasatta

    • @chotark1881
      @chotark1881 หลายเดือนก่อน

      Huyo ni muhuni mmoja katumwa huyo Hana hoja blahblah

    • @christianahia2680
      @christianahia2680 หลายเดือนก่อน

      @@Shadiasemdami hujui chochote wewe.hujui hujui Acha.Sabato ilikuwepo na hii ndio kweliiii.Yesu kristo ndiye Bwana wa sabato.wasabato ni wakiristo.wewe hujuelewi

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe ni mwalimu mzuri,wanaokutusi ni wale Tu waliomfukuza YESU Kwa masinagogi Yao ni kizazi hicho ila endelea kutoa elimu na ninakuombea,

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu akufumbue macho uone mbele mana wewe ni kipofu wa kiroho pia.

    • @OmbewaJeremiah
      @OmbewaJeremiah 2 หลายเดือนก่อน

      Waebrania 4:8-9
      [8]Maana kama Yoshua angaliwapa raha, asingaliinena siku nyingine baadaye.
      [9]Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu.
      Ndugu pambana na imeandikwa!

  • @shshygibb2236
    @shshygibb2236 2 หลายเดือนก่อน

    Wazi wazi seems...ushuhuda ninao pia Niko St Pölten Niederosterreich ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna point hapo,

  • @MichaelaPhilip-q9k
    @MichaelaPhilip-q9k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niliwahi kuwa msabato vikanishinda mambo sikuyaelewa kabisa nikirudi kwa ukristo tu
    Wasabato wanachoamini na wakristo wanachoamini siku ya mwisho MUNGU tu ndiye atatoa hukumu ya kweli 🙌🙌

    • @elibarikimaganga9571
      @elibarikimaganga9571 2 หลายเดือนก่อน

      Hukutaka kujifunza zaidi na kufungua akili yako kuupokea ukweli

    • @ObadiaMabagala
      @ObadiaMabagala หลายเดือนก่อน

      Kuna mambo uliyafuata kwa wasabato nahukupata na hukwenda kujifunza juu ya ukuu was Mungu

    • @MichaelaPhilip-q9k
      @MichaelaPhilip-q9k 7 วันที่ผ่านมา

      @@elibarikimaganga9571 mambo ya Hellen G . White ndo sikuyaelewa kabisaaa. Ila ninachojua ni kitu kimoja tu siku ya mwisho kila mtu atahukumiwa kwa matemdo yake Wala hakuna ubishi hakuna mbwembwe itapeleka mtu mbinguni

  • @ZabronMagufwa
    @ZabronMagufwa 3 หลายเดือนก่อน +7

    Anaepinga sabato,anapingana na torati ya Musa, zaburi ya daud, Injili ya YESU na hata Quran ya waarabu

    • @agliventures
      @agliventures 3 หลายเดือนก่อน

      @@ZabronMagufwa nyie wenyewe hamshiki sabato ya musa

    • @samxx411
      @samxx411 2 หลายเดือนก่อน

      Quran sio ya waarabu kuna waarabu hawaijuwi qurani ila qurani ni ya waislam...waislamu wote wanaijuwa qurani

    • @AloyceNzilano-p4y
      @AloyceNzilano-p4y 27 วันที่ผ่านมา

      Kwa kuwa Torati ilitolewa kwa mkono wa Musa: Neema na kweli zilikuja kwa mkono wa YESU Kristo. Je! Ni kipi bora zaidi?

  • @tacysage
    @tacysage 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wee ni mpotoshaji sana Mungu akusaidie

  • @PaulVotebinbalola-bf9uu
    @PaulVotebinbalola-bf9uu 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo juma pili imeandikwa wapi katika maandiko kwamba ndio Itakua Siku takatifu ya Mungu? Soma Ezekiel 22:26

  • @katanathoya416
    @katanathoya416 3 หลายเดือนก่อน +15

    Wewe si wa Mungu kabisaa, huongei yaliyo ya Mungu Bali ya shetani, ushindwe pamoja na huyo shetani wako

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @jacoblopeyok-i3i
      @jacoblopeyok-i3i 2 หลายเดือนก่อน +4

      kweli huyu amepungua.sabato ni agano la milele na imesalia kwa watu wa mungu kama muhuri.

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sabato ni agano la kale wanfuata iliokweli mimi ni muisilamu lakini shelia nyingi zakisabato nizakiisilamu ndiomana wanaojiita wakristo wengi zinawashinda

    • @happynescostat7420
      @happynescostat7420 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@jacoblopeyok-i3iAMINA❤

    • @NickieMaina
      @NickieMaina 2 หลายเดือนก่อน

      Swali langu ndogo katika amri kumi ni ipi iliyoondolewa tuache kukasilikia Saturday iliyo sabato na kama unaipinga nakushauri kapige sherehe kabisa juu uzima WA milele hauoni

  • @benjamintwagirayezu718
    @benjamintwagirayezu718 หลายเดือนก่อน

    Huu mchungaji bado haja soma biblia. Yesu ni mfalume wa sabato na ni mfalume wa wayahudi. ❤ N'a wayahudi walipo kuwa hawaja kuwepo,sabato tayari iri kuwepo. Asome kitabu cha mwanzo!! Na Yesu hakubadili sabato kamwe Bali Siku zote alipo kuwa duniani alitii sabato.

  • @user-rh4ou2kx6h
    @user-rh4ou2kx6h 3 หลายเดือนก่อน +5

    unapaswa kujua kuwa sabato haikuwa kwa wayahudi.
    1.sabato ilianza na Mungu mwenyewe alianzisha baada tu ya kumalizia kazi yake ya Uumbaji. siku ya Saba akastarehe akaibariki na kujitakasa ni kabla ya wayahudi.
    2.sabato ni amri ya nne katika amri kumi.
    3.sabato ni siku halisi yaani jumamosi Wala sio jumapili au ijumaa.
    4.Bwana wa SABATO ni Yesu Kristo.
    yapo maelezo mengi ila kwa Leo nikomee hapo.

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo ni mpotoshaji ndugu, "tokeni kwake enyi watu wangu wala msishiriki maovu yake".

    • @Wamisangi
      @Wamisangi 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kutoka 12:16

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน

      @@Wamisangi soma hoyo sura yote uelewe kwanini alisemea hzo siku mbili then utajua nini alimaanisha. Mwisho soma kutoka20:8--11.

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน

      Amina.

    • @Wamisangi
      @Wamisangi 3 หลายเดือนก่อน

      @DanielSamson-h4v
      Nasoma Biblia kwa kuongozwa na Roho Mtakatifu si majini na mapepo kama Wiliam Miller na Hellen White walio danganya siku ya mwisho wa dunia ni tarehe 22/10/1844 ambayo hatujui inafika lini?
      1Wakorintho 15:14 ikisomwa na Mathayo 18:18
      Siku ya kwanza ya juma imefunguliwa kwa Funguo za Ufalme wa Mbinguni tulizopewa na BWANA Yesu. Na Yeye Mwenyewe alishinda Kifo na Kaburi Siku hiyo.
      Acheni kuwa na akili kama za wale waliotaka kumuua Gideon.

  • @victorcheprot5017
    @victorcheprot5017 หลายเดือนก่อน

    “The lips of the wise disperse knowledge: but the heart of the foolish doeth not so.”
    - Proverbs 15:7 (KJV)

  • @kemuntobagaka9825
    @kemuntobagaka9825 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wewe umepotea kubali ukweli uokolewe, hakuna mahari kwa bibilia Sunday is aday of worship.nakuhurumia sana.genesis 2:1-3 only God himself started the Sabbath

    • @AloyceNzilano-p4y
      @AloyceNzilano-p4y 27 วันที่ผ่านมา

      Sabato mliyonayo ninyi si ile aliyoianzisha Mungu, wala si ile ya Manabii katika Agano la Kale, bali mmejitengenezea ya kwenu yenye muundo wenu unaokinzana na sabato ya kale

  • @msadikijustinekimaro8073
    @msadikijustinekimaro8073 2 หลายเดือนก่อน

    Danieli Mwankemwa, Ubarikiwe Nakutafuta sana mtu wa Mungu, Pastor Kimaro, Mza

    • @IskariMasawa
      @IskariMasawa 2 หลายเดือนก่อน

      @@msadikijustinekimaro8073 ni miongon mwa walimu wa uongoo sana na anapotosha watu

  • @B...boy_tz4352
    @B...boy_tz4352 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akusamehe tu kwakweli ila naamini iposiku utaujua ukweli

  • @nevershymagava6940
    @nevershymagava6940 วันที่ผ่านมา

    Ebra.8:13 ,9:11-15 unaweza elewa vizuri nini maana yakutimiliza
    Yesu alikuja kukamilisha mapungufu ya Torati maana agano jipya ni makamilisho ya kile Mungu alikusudia kiroho soma Galatia 3:15-29

  • @MkJj-m7g
    @MkJj-m7g 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hujui kama hujui.

  • @geofreykato3976
    @geofreykato3976 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mmoja kaka. Usabato, Uislam, Uroma, UKKKT, nk wote tunamtegemea yeye aliye mbinguni. Hakuna dini bora wala dhaifu ingawa nyie mlioweza kupata muda wa kusoma vitabu vya Mungu mnataka kutuchanganyia habari. Kazi njema

  • @frankpeter4178
    @frankpeter4178 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kiimani na uelewa Msabato mmoja ni sawa na Wachungaji kumi wa kilokole,
    (hivi ni wapi YESU alimega mkate jumapili badala ya Ijumaa....?)

    • @elishamgoja8291
      @elishamgoja8291 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio, Yesu alimega mkate siku ya pasaka usiku kabla hajakamatwa usiku huo na akaangikwa msalabani siku ya ijumaa. Na yeye mwenyewe akasema sitakunywa tema zao la mzabibu hadi nitakapokunywa pamoja nanyi mbinguni. Huyu mwalimu hapa anasema kinyume cha mambo.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      Hapana naktaa wasabato wamekarieishwa doctrine ya Helen G white,hawana akili ya kusoma neno la Mungu na kukitegemea
      Hawaelewi mambo ya kiroho kabisaa

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@elishamgoja8291haya tuambie kwann wasabato hawana meza ya Bwana?

    • @elisharuben7681
      @elisharuben7681 2 หลายเดือนก่อน

      Wasabato wanavowaogopa walokole hivo

    • @IskariMasawa
      @IskariMasawa 2 หลายเดือนก่อน

      Watu wanaoongoza Kwa kusoka maandiko ni wasabato Wala siyo madhehebu haya mengine​@@christinewomanoffaith5479

  • @ngala2424
    @ngala2424 25 วันที่ผ่านมา

    Waliomuua maaskari wa Kirumi soma vizuri na Mungu akuokoe

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 2 หลายเดือนก่อน +3

    Barikiwa mtumishi kwa kufafanua ukweli wa Biblia

    • @MATHAYOMSIGALA
      @MATHAYOMSIGALA หลายเดือนก่อน

      huyu jamaa anajua biblia lakini hataki kuku baliana na ukweli wa hiyo biblia

  • @perezakinyi6039
    @perezakinyi6039 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa Neema akuonekanie unaposoma neno lake

  • @danielngogo8285
    @danielngogo8285 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wapendwa wa Bwana mwalim natamani nikufanye mwanafunzi wangu, kama upo tayali nambie,.

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana kwa kufafanua❤❤❤ Mungu akutangulie

  • @deusdedithhenry1524
    @deusdedithhenry1524 3 หลายเดือนก่อน +5

    Baada ya pentecoste mitume waliendelea kuitunza SABATO.
    Wapi walipoitunza siku ya jumapili au wapi Yesu aliibadili amri ya MUNGU.!?

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 2 หลายเดือนก่อน

      Tupe maandiko

  • @LaughKey-f8x
    @LaughKey-f8x 3 หลายเดือนก่อน +2

    Simulizi naona unamkubali sana Mwalimu Ndacha sematu kazi yako inakubana kua pande moja😂😂😂 Mungu akubariki Ndacha n Mwalimu wa kweli hao wengine bado tuwachunguze

    • @karimuabdala3234
      @karimuabdala3234 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ndacha hana hoja wala elimu ya kiroho na huyu danieli ni hivyo hivyo pia

    • @LaughKey-f8x
      @LaughKey-f8x 3 หลายเดือนก่อน

      @@karimuabdala3234 hayo n maoni na upeo wako bro ciezi pinga

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน

      Na waenende kwa sgeria na ushuhuda, ukiwa hawaenendi bila shaka kwao hapana hasubuhi.

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@karimuabdala3234Yeyote anaehubiri apimwe kwa maandiko.

    • @LaughKey-f8x
      @LaughKey-f8x 3 หลายเดือนก่อน

      For u can say that but for me I can see Ndacha as a good example among the true prophets of god

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman 3 หลายเดือนก่อน +8

    Bwana yesu Mwenyewe alisema akuleta dini mpya amekuja kukamilisha torati, itakuaje injili iwe agano jipya!!!

    • @MasterTulo
      @MasterTulo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama alikuja kuikamilisha inamaana ilikuwa haijakamilika haya lete sasa hayo mapungufu yaliyokuwepo kabla ya yesu kuja😂😂😂😂

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 3 หลายเดือนก่อน

      Agono jipya limetoka wapi na wakati gani?

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 3 หลายเดือนก่อน

      Hakuna kitu kinacho itwa agano jipya huo ni uzushi wa Kalam za wapotoshaji, upo sahihi yesu hujui kitu Kama hiyo, ni upotosha wa poul na washirikina wengina

    • @MasterTulo
      @MasterTulo 3 หลายเดือนก่อน

      @@kamanapomo7029 duh basi ww inaonekana ni mbumbumbu maana hata vitabu vya manabii vinazungumzia kuwa mungu ataweka agano jipya na mwanadamu yaani huyo paulo hajazaliwa tayari manabii walishaongea tena sio nabii moja ni wengi tu

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 3 หลายเดือนก่อน

      @@MasterTulo Bado huo ni utabiri, swali bado lipo pale pale agano jipya limetoka wapi na limeandikwa na nani? na ni Nabii yupi aliekuja na agano jipya?

  • @GetmaxMedia
    @GetmaxMedia หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu naomba,muelewemambo haya
    Mimi msabato hapa baadaya ya kusoma bibilia na kungalia jinsi mungu aliumba Dunia nilipata haya
    1.Mungu ni muumbaji
    2.alito agizo liwe mwongozo wetu
    3.alitupa sabato ishara ya mausiano yetu na yeye,ili tujue yeye ni muumbaji
    4.Aliwakumbusha taifa teule Israeli kutosahau ishara hii( sabato).
    5. Christo mwenyewe alikuwa msabato alifanya alitenda miujiza nyingi.
    6. Paulo alifanya ibaada siku ya sabato Acts 13:42,,akatuandikia katika Hebrew 4:9, imesalia Raha ya sabato kwa watu wa mungu....naomba mchukue muda wenu msome bibilia vizuri..asome catechism ajue vizuri.
    Mtaelewa TU mara mtakapoongoswa na roho
    Dan 12:1-4....the wise Will understand!

    • @AloyceNzilano-p4y
      @AloyceNzilano-p4y 27 วันที่ผ่านมา

      YESU kama angekuwa msabato asingeshitakiwa kwa kuvunja sabato

  • @felixvedastus9780
    @felixvedastus9780 3 หลายเดือนก่อน +3

    Marko 2:28
    Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.
    Marko 6:2
    Na ilipokuwa sabato, alianza kufundisha katika sinagogi; wengi waliposikia wakashangaa, wakisema, Huyu ameyapata wapi haya? Na, Ni hekima gani hii aliyopewa huyu? Na, Ni nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikono yake?
    Luka 4:16
    Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome.
    Swali: tuwambie hapo Yesu hakuwa msabato? Kama hakuwa Kwa nn biblia inasema akaaingia hekaluni kama ilivyokuwa desturi.

    • @princeandersoz439
      @princeandersoz439 3 หลายเดือนก่อน

      @@felixvedastus9780
      Is it a sin to worship any other day apart from saturday and Sunday?

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน

      Ndugu huyo siyo kwamba hajui, anajua ila kazi yake ni kupotosha wengine. "tokeni kwake msishiriki maovu yake".

  • @JustinNditijeJoseph-b8z
    @JustinNditijeJoseph-b8z 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi wa Mungu kwa ufafanuzi wako huu nzuri kuhusu siku ya 7 ambayo ndo sabato na siku ya 1 ya juma ambayo ndoo jumapili,ubarikiwe sana kabisa

  • @maxmillianmarwa5943
    @maxmillianmarwa5943 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi nimemwelewa kweli kabisa. Mungu akubariki kwa kuelimisha wakiijua kweli itawaweka huru

  • @jamesonyango2653
    @jamesonyango2653 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidiye upate kweelewa mandiko

  • @MzaziMwidete
    @MzaziMwidete 2 หลายเดือนก่อน +12

    Pole sana unapoteza nguvu na wkt bure !! Unachoongea ni pumba tupu ! Mungu akurehemu hujui utendalo.

    • @francismauya6110
      @francismauya6110 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@MzaziMwidete Hapotezi Muda wanao elewa wanaelewa, kutokuelewa kwako kusiwe sababu ya kusema anapoteza Muda

    • @DamasNakei-bb7le
      @DamasNakei-bb7le 2 หลายเดือนก่อน +4

      Kwa nini una mwelekeo wa kutukana? Kwamba anaongea pumba tupu? Halafu useme, Mungu akurehemu? Mbona wa kurehemiwa ni wewe maana huonyeshi uvumilivu. Hekima inakutaka kuwa kimya kutunza ulimi au siyo?

    • @MzaziMwidete
      @MzaziMwidete 2 หลายเดือนก่อน

      Yeyote anaepunguza au kuongeza amri 10 za Mungu, anapotosha (mwongo) .Hapo tusi halipo ! Huo ni ukweli unaouma..

    • @CharlesKalisa-p1g
      @CharlesKalisa-p1g 2 หลายเดือนก่อน

      @@DamasNakei-bb7le hakika

    • @MeshaMgumya
      @MeshaMgumya หลายเดือนก่อน

      Mheshimu MUNGU acha matusi

  • @elishamgoja8291
    @elishamgoja8291 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwalimu anapungukiwa na kisomo. Hebu tumujulishe kuwa aliyebadilisha siku kutoka Jumamosi siku ya saba hadi Jumapili siku ya kwanza ya juma ni mfalme Constatini wa Rumi(Rome) wala si Yesu au wanafunzi wake. Ikiwa haamini asome historia kabla kuja hapa mtandaoni ma kuwapotosha watu. Katika katikasimu ya kikatoliki pia inataja vizuri sana kuhusu aliyebadili siku ya ibada. Anachohitaji huyu mwalimu ni masomo zaidi.

    • @MwanneMshiba
      @MwanneMshiba 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu hajui hata historia, walioibadili sabato hukiri wao wenyewe, huyu Ni mchumia tumbo anatafta riziki kupitia trending za mibishano ya mihadhara kwa hivyo achana naye hutamuweza Ni mpumbavu

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq หลายเดือนก่อน

      Wewe ndiye haujui chochote mtumishi Yuko sawa.

  • @AggyBoke
    @AggyBoke 3 หลายเดือนก่อน +7

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Pole ndugu mchungaji si wewe ni shetani ndani yako.

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน

      Hujakosea.

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi naomba point za kupinga tufahamu msiingize ushabiki wa dini ili nasi tujue

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@DanielSamson-h4v Mimi nisaidieni point sio mnafanya mashindano ili nasi tujifunze

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 2 หลายเดือนก่อน

      @@GeraldMyuku Pointi gani tukusaidie.?

  • @MeryMbwambo-i4j
    @MeryMbwambo-i4j หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akusaidie maana hicho unacho kiongea hukijui Muombe Roho Mtakatifu akuongoze ujue nn Mungu anachotaka kwako

  • @amielraphael2927
    @amielraphael2927 3 หลายเดือนก่อน +10

    Ukimskiza vizuri huyu mzee utagundua kwamba Anabifu kubwa sana na wasabato sijui Alifanywa nini maskini daaah Mungu amsimamie

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@amielraphael2927 Ukimsikiliza roho wa Mungu aliye ndani yako utaelezwa kwann anaponda wasabato.

    • @katanathoya416
      @katanathoya416 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@amielraphael2927 shetani lazima atete na watu wa Mungu, shida ni shetani aliye ndani yake ndo mana aongee hivyo

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@katanathoya416 jamani kwenye mtandao watu wengi wanaangalia toeni point sio kukataa mafundisho ili tujifunze na tusuojua

    • @AloyceNzilano-p4y
      @AloyceNzilano-p4y 27 วันที่ผ่านมา

      Mwankemwa hana bifu na mtu, bali anaufunua ukweli wa Agano Jipya

  • @kangamule2167
    @kangamule2167 8 วันที่ผ่านมา

    Muchunganji NUNGU akubarik sana, wanao pinga wasome wakolinto 3vs11. Wasikuumize kitcha tunawajua taari

  • @njiasalamatv4794
    @njiasalamatv4794 3 หลายเดือนก่อน +5

    UNATUMIA NGUVU KUBWA SANA KWA ELIMU YA CHINI HATA MFUMO WA KANISA LENYEWE LA WASABATO NA MAMBO YAKE HUJUI

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน

      yan mpaka anavuja jasho

    • @ObadiaMabagala
      @ObadiaMabagala หลายเดือนก่อน

      Kwanza anajua historia ya kanisa la wasabato? Au anabwabwaja TU na kupotosha watu? Mungu amsaidie

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq หลายเดือนก่อน

      Dhehebu la wasabato ni la wahuni Fulani hivi.

  • @sarahmosiori9774
    @sarahmosiori9774 3 หลายเดือนก่อน +2

    REVELATION 14;12, HERE IS THE PATIENCE OF THE SAINTS: HERE ARE THEY THAT KEEP THE COMMANDMENTS OF GOD, AND THE FAITH OF JESUS CHRIST.

    • @AloyceNzilano-p4y
      @AloyceNzilano-p4y 27 วันที่ผ่านมา

      Commandment of GOD is not ten commandments, but the whole WORD of GOD is the commandment of GOD

  • @AnyelwisyeKalesi
    @AnyelwisyeKalesi 3 หลายเดือนก่อน +4

    Asante Mwankemwa kwa majibu yako. Nipate namba yako. Sijakuona siku nyingi.

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 2 หลายเดือนก่อน

      Namimi naomba namba yake na mimi

  • @micknessnantanga695
    @micknessnantanga695 2 หลายเดือนก่อน

    Soma zaidi na Mungu akusaidie kuelewa maandiko vizuri

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤Barikiwa sana Mtumishiiiii Chapa sanaaa Tukopamoja

    • @jumamnyonge2148
      @jumamnyonge2148 3 หลายเดือนก่อน

      Labda abarikiwe na Paulo baba wa wakristo ila Mungu hawezi

    • @meshackpaul4978
      @meshackpaul4978 3 หลายเดือนก่อน

      Paulo mwenyewe alikuwa msabato matendo 2​@@jumamnyonge2148

    • @OmbewaJeremiah
      @OmbewaJeremiah 2 หลายเดือนก่อน

      For if Jesus had given them rest, then would he not afterward have spoken

  • @levispaultitus8623
    @levispaultitus8623 2 หลายเดือนก่อน

    Sabato ni aina ya sadaka ya siku ambayo Mungu alipumzika baada ya uumbaji kilichotendeka ndani ya hio sadaka ya siku ni kuifanya siku ya saba kuwa takatifu kwahio ilitengwa kwa kusudi maalumu la Mungu mwenyewe, Mungu alipenda wanadamu kuifuata sheria hio kiroho. Panua ufahamu kuelewa baada ya hapo kila kilichotengwa kikatakaswa kinabeba sifa ya sabato mfano sadaka iliyotakaswa inaweza kuitwa sabato, Yesu akasema mimi ndiye Bwana wa sabato hakuwa anazungumzia siku ya sabato alimaanisha kati ya vyote vilivyotakaswa kama sabato mimi ndiye mkuu wa sabato zote maana yake utakaso wake ni juu ya takaso zote. Hapa ni swala la ufahamu dini na kuabudu havihusiani na tafsiri ya Neno Sabato KIROHO,
    Kuwepo kwa wasabato maana yake waliotengwa na kutakaswa kwa kusudi maalumu la Mungu kwahio ili msabato awe msabato inampasa kulielewa na kuliishi kusudi la kutakaswa kwa sabato asipolielewa usabato kwake ni bure na walio nje ya kusudi la sabato ya Kristo hao ni waasi wa sheria ya sabato. Kwahio kuwa msabato ni lazima kwasababu ni sheria ya Mungu mwenyewe. Kwahio ukiitafsiri sabato KITHIOLOGIA utakwama. Mwenye kuelewa ni mwenye Roho wa Mungu mwenyezi.

  • @isaiahkiplimo3831
    @isaiahkiplimo3831 3 หลายเดือนก่อน +3

    katika mwanzo 2.4 sabato ilikuwa tangu uumbaji wakati wayaudi hawakuapo je Adamu alikuwa myaudi?

    • @isaiahkiplimo3831
      @isaiahkiplimo3831 2 หลายเดือนก่อน +1

      sabato ilianza toka uumbaji sio ya wayahudi . kataika manzoni wayahudi hawakuapo

  • @VJSizya
    @VJSizya 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ni mweupe sana, ila yote kwa yote Mungu amsaidie, anachokifanya huyu ndio exactly alichokisema Yahusha katika kitabu cha Mathayo 24:11.
    Pia ni muongo sana, Sabato haikuwekwa kwaajili ya Wayahudi. Jamaa ni mweupe sana.

  • @SylvesterLuhamba-gi3bc
    @SylvesterLuhamba-gi3bc 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbuka umesema mwenyewe kuwa wiliam Mila aliyeanzisha vuguvugu hakuwa msabato sasa unaungnishaje William na wasabato?

  • @kiconnection
    @kiconnection 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤, Mtumishi hongera! Sana umefafanua vyema namshukuru ROHO MTAKATIFU wa Mungu, kunifikisha katika chanell hii maana nimepitia vifungu vingi sana kuanzia KUTOKA 20, na Luka 23 & 24, pia MATENDO YA MITUME 20:7 na ninepata jibu kuhusu sabatho ya kweli, ATUKUZWE MUNGU WETU, Mkuu wa Vyote atuonyeshaye na kutufundisha katika kweli yote kupitia njia mbalimbali ambazo yeye Mungu Hutuongoza katika kweli yote🙏

    • @IskariMasawa
      @IskariMasawa 2 หลายเดือนก่อน

      Usidanganyike na mafundisho ya huyu Daniel mwamkimwa anafundisha uongo

    • @IskariMasawa
      @IskariMasawa 2 หลายเดือนก่อน

      J.pili hivi karibun itatangazwa kisheria watu wote kuabudu ulimwenguni kote na ndiyo itakayoiongeza dunia

  • @Enockbeckbrown-hf6xx
    @Enockbeckbrown-hf6xx 2 หลายเดือนก่อน +5

    Imani ya Waadventista Wasabato ndio IMANI pekee YA KWELI

    • @peterleonard1441
      @peterleonard1441 2 หลายเดือนก่อน

      Una moyo wa jiwe. Hata baada ya kusikia ukweli huu unangangania uongo wa Ellen G. white aliowajaza.

    • @Enockbeckbrown-hf6xx
      @Enockbeckbrown-hf6xx 2 หลายเดือนก่อน

      @@peterleonard1441 Sawa niko tayari ku-debate na wewe mpaka umenionesha HICHO unachodai ni “UKWELI” wa hawa wajanja wa TH-cam. Ni ukweli gani ulioumaanisha bro? Karibu

    • @mathiasmichael9915
      @mathiasmichael9915 2 หลายเดือนก่อน

      @@Enockbeckbrown-hf6xx Hakuna Imani ya wasabato, Wala wakatoliki Wala waangilikana Wala waludhelani... Ila Kuna Imani Kati ya Mwanadamu na Mungu wake. Badilisha mtazamo wako Kama unaishi hivyo ushapotea tayari.... Waebrania 11 itakuelewesha vizuri juu ya maana ya Imani..... Hacha kufananisha Mira na desturi na Imani

    • @Enockbeckbrown-hf6xx
      @Enockbeckbrown-hf6xx 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@mathiasmichael9915 kuna imani MOJA ya kweli. Zingine ni potofu. Mfano ni wewe mwenyewe. Unaamini kuwa huyu jamaa anayelichafua kanisa la Waadventista wa Sabato amepata kibali mbele za Mungu, unaamini kwamba ni mtumishi wa Mungu ilhali ni wakala wa Shetani. Hii ni imani MOJA? La hasha.

    • @Enockbeckbrown-hf6xx
      @Enockbeckbrown-hf6xx 2 หลายเดือนก่อน

      @@peterleonard1441 uongo gani bro?

  • @ShadrackSungura
    @ShadrackSungura 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanzo 2:2
    Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya akastarehe siku ya saba akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
    Kutoka 20:10
    lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana Mungu wako
    Marko 2 27
    Akawaambia Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu si mwanadamu kwa ajili ya sabato.

    Kasome biblia uielewe kwa umakini pastor na mungu atakubariki ulimwengu ote unaitambua siku ya sabato

    • @Kahiterigain
      @Kahiterigain 4 วันที่ผ่านมา

      Soma kitabu ye yerimia 20:12 sabato ni alama ya mungu munagu anasema Nîmes wapa sabato yangu kua ishara kati yenu n'a mungu

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hao watu wa mataifa si wafuasi wa Yesu bali wa Paulo

    • @Abonike
      @Abonike 3 หลายเดือนก่อน

      Kwan Paul alihubiri kuhusu nani?

  • @WelldanneSiwatu
    @WelldanneSiwatu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki saaaaana baba naamini

  • @WillyAlfred-n4t
    @WillyAlfred-n4t 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani unaturuhusu tuibe Mchungaji ? Maana usiibe ni amri ya agano la kale

  • @yonamwakanyamale5023
    @yonamwakanyamale5023 27 วันที่ผ่านมา

    Muongo wazi wazi. Hajui biblia.
    1. Baada ya Yesu kufufuka. Mtume Paulo anasema, imesalia Raha ya Sabato kwa watu Mungu. Waebrania 4:9
    2. Mitume walifanya ibada siku ya sabato. Matendo16
    3. Yesu anasema Sabato imefanyika kwa ajili ya wanadamu
    4. Yesu aliabidu siku ya Sabato
    5. Siku ya bwana ya Ufunuo ni siku ya sabato
    6. Agano lililoanza kua kuukuu na kuanza kutoweka ni agano la ondoleo la dhambi kwa kutumia wanyama, kifo cha Yesu ndo Agano jipya
    7. Mkristo ni mfuasi wa kristo na anaemwamini Yesu, wasabato wanafanya hivyo
    8. Hakuna andiko linalosema tusali siku ya kwanza ya juma yaani jumapili,wala Yesu hakusema popote wala kuanzisha siku ya jumapili.

  • @thomasdushi1944
    @thomasdushi1944 3 หลายเดือนก่อน +2

    Acha kupotosha watu wa mungu unamtetea shetani awe juu kuliko Bwana

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน

      Ndugu, "tokeni kwake enyi watu wa Mungu wala msishiriki maovu yake".

  • @richardwavenza373
    @richardwavenza373 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ebr 4:9 Basi imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu

  • @TheAlman
    @TheAlman 3 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu jamaa ndio mwehukuliko wote bora ndacha kuliko huyu 😂😂😂😂😂😂

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 หลายเดือนก่อน +2

      We kafiri hujui chochote afu hii mada haiwahusu mbwa nyiyi

    • @PascasMathew
      @PascasMathew 3 หลายเดือนก่อน

      Pokea dozii hiyo

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 หลายเดือนก่อน

      @@PascasMathew dozi ipi🤷

    • @MasterTulo
      @MasterTulo 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu mwalimu yupo sahihi ndacha yupo kwenye torati wakati agano jipya linamtambua yesu na waabuduo halasi hawaabudu ktk siku

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 หลายเดือนก่อน

      @@MasterTulo sio siku Roho na kweli , shida yà wasabato na ndacha wanachangqnya vipindi

  • @CharlesMwangi-i8j
    @CharlesMwangi-i8j หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Daniel I,sabato haikwanzia utumwani.YESU alikuwa mkristo na akasema yeye in msabato hats diye mfalme was sabato Danielu hajasoma biblia vizuri

  • @amosmalakyese-i4q
    @amosmalakyese-i4q 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wasabato Hapa ndipo tuelewe kua mavuno ni mengi watenda kazi ni wachache. Tusimchukie wala kumshambulia bali tumuombe Mungu atusaidie kuwaelewesha kwa upendo, kazi ya uongofu ni ya Mungu mwenyewe.

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 3 หลายเดือนก่อน

      Nikweli lakini huyo ni mpotoshaji mana ukweli anaujua na mafungu anayafahamu. Hawa ndyo manabii wa uwongo.

  • @kitumainikubatu3182
    @kitumainikubatu3182 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo ndilo neno la Mungu, usikiapo unabarikiwa. asante sana mtumishi, na Bwana yesu akubariki.

  • @erickagwe8841
    @erickagwe8841 3 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu kumbe hata hawajui hao waitwao wasabato, na huenda hajui mengi tu!!!

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu si ni mwalimu wenu anakuwanga kwa muhadhara na kina ndacha😂

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 3 หลายเดือนก่อน

      Wanakuwa pamoja wanapozuwia watu wasislimu​@@SheeMaryam.M

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@SheeMaryam.M😂wakati wa kuwapotosha watu Ndacha anakuwa mkristo mwenzake,wakimaliza anamkana 7×70

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M 3 หลายเดือนก่อน

      @@ZayyanaBamuni 😂😂😂

  • @ChristopherJohnbatista
    @ChristopherJohnbatista 2 หลายเดือนก่อน

    Excellent father

  • @msafiriaugustino2957
    @msafiriaugustino2957 3 หลายเดือนก่อน +3

    omba Mungu urejee kwa ibada ya kweli kabla mlango wa rehema haujafungwa tutakuombea kwa ajili ya ubaya na hila za shetani but is your choice kupotea nakupoteza wasio na neno la MUNGU au kurejea kwenye kweli

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 3 หลายเดือนก่อน

      @@msafiriaugustino2957 kama we ndio umepotea je?

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq หลายเดือนก่อน

      Mlango wa wezi siyo wa rehema maana wasabato mna fundishana umbea tu.

  • @amedesamki425
    @amedesamki425 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwake mwa anapotosha ukweli wa kihistoria kanisa la kikatoliki lilipiga marufuku sabato mwaka 364 a.d na amri ya pili na pia Yesu hakusulibiwa siku ya Ijumaa bali siku ya Jumatano na kufufuka siku jumamosi

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sielewi ata kidogo bora story za p ddy kuliko hii 😡

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 3 หลายเดือนก่อน

      @@Kuminamoja1995 Ha ha haaaaaa! Weee kiboko ila mambo ya P dd usiyafuatilie maana muda umekwsha sasahv ulizia na fuatilia kujua hbr za uflme wa mbnguni maana muda umekwsha, c umeskia vta ya Israel na palestina na kuondolew waislam ktk mskit wa AlAqsa? hii ndy ishara ya mwsho kbisa itakayotamatisha kpnd cha neema!

  • @maryachuti4997
    @maryachuti4997 2 หลายเดือนก่อน

    Was abanto wanashika amri za Mungu na imani ya Yesu, sabato nayo ilikueko tangu mwanzo ikasaulika, sababu ya kua utumua. Tena Yesu hajawahi badilisha sabato! Sabato kabarikiwa, katakana, ikapewa wanadamu waitunze kwa kutii Mungu.

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M 3 หลายเดือนก่อน +12

    Kweli quran inabaki kuwa ya ukweli "wametalifikiana wao kwa wao" ni hayo tu.. sadakallahu Adheem

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 3 หลายเดือนก่อน +2

      Nyie makafiri , mazezeta msiokua na akili hapa kuna elim kubwa mbwa nyie , Daniel anazungumza conptepx na Amunetix

    • @machindafadhili3186
      @machindafadhili3186 3 หลายเดือนก่อน +2

      Quran haijawai kuongea neno litakalo tokea bali yaliokuepo, ni adithi tu.
      Mambo yote yalio andikwa ndani ya biblia yanaendelea kutokea. Kwa mfano kubadili majira, siku ya kuabudu, manabii wa uongo...

    • @machindafadhili3186
      @machindafadhili3186 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@francisjoseph1074matusi sio muhimu ndugu yangu bali kuelimisha

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M 3 หลายเดือนก่อน

      @@machindafadhili3186 hadithi za mtume tunazo nyingi na dalili alizosema karibu zote zimetokea kwa mfano, vita vya Palestine, ushoga, vijana kukufa pre -mature deaths, magolafa yatajengwa, pombe, zinaaa, wanawake kutembea uchi, mitetemsho ya ardhi, e tc. Kama haijatokea sema ni uwongo..

    • @SheeMaryam.M
      @SheeMaryam.M 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@francisjoseph1074 Hana pia bibilia imetangulia kukuita ww kafiri kama huna habari

  • @kennethmurage3625
    @kennethmurage3625 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huu ndiyo ukweli kabisaaa! !!!!!