NYUMBA MOJA # Part 1 / Dongo I Naomba I Kake Simba
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 เม.ย. 2022
- Director of Photography: Said Negro
Boom Swinger: Dinyo JF
Editors: Eddy Best/Said Negro
Ass.Director EddyBest
Director: Said Majumba
Tafadhali SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT ili uwe wa kwanza kupata video zetu mpya.
#jufefilmproduction#Comedy#Pemba@jufefilmtz - ตลก
Kama umeisikia Wete gando nipe like kama zote...hongera JUFE Maashaallah
Nakubal
well done😂
uhalisia mtupu wa maisha yetu sasa hii ndio sanaa ya kuburudisha na elimu ndan yke
MashaAllaah tabaraAllaah yaani mafuzo tosha kwa jamiii
Mashaallah mashaallah mnajua mnajua na tena maisha yetu uhalisia wetu imependeza sna hongereni kwa kazi nzr .
Kumbe kwetu pemba kuzur sana huo mchezo unani kumbusha sana ujanani kugombaniana madishi ya makoko😀😀😀😀
Hongern sana nimefurahia sana kuona Pemba imekuwa imara namna hii
Tena imara kwelikweli ndugu yng
Makunde basi ndoo mpaka uvae kanga ya shingo
Wageni ni barka kutoka kwa Allah Kila mja ana mlango wake wa rizki, Nabii Ibrahim alayhi Salam alikuwa Kila siku anamuomba Allah apate wageni
Kidini ugeni ni siku tatu.
Kaz nzur
Kazi mzuri sana Masha'ALLAH
Mm napenda hiyo rafuzi
Shukran kwa sapot na maoni yenu tunayafanyia kazi
Manaake ncheke kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dongo bebamzigohuwo mtihauliwi ntundazee,mtulake halimtapishi😂😂
DAAAAA DONGO YANI MOV MZUR WAPEMBA WENZANGU MUMENIKOSHA ASA
Dada ajuwa pika lakini na shemegi ajuwa let's🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kazi nzuri sn Allah azidi kuwapa manufaa. Is a really Pemba culture
Hahaha bahamad aloo msg mzur sana
Kazi nzur sna
Mashaallah watu wa kambini kichokochwe big up kwa mzee kabakaba
#mashaallah
Safi sana yani mchezo mzuri mnooooooooooooo sana halafu mrefu una pat one na tow yani dah👍👍
Ahaaa weee sio kwa kibonge hicho anakubugia huyoooo
Fantastic big app verey fun 🤣🤣🤣 wapemba nyiye muna furahisha lakini sikuhizi muna bowa hamuleti vitu marakwa mara tulokuweko bali tukionakwetu tunakuwa happy
Mashallah
Kazi nzr vijana
Hii combination naikubali
Hahaha masha allah
Hongereni saaana Jufe kwa kazi nzuri saana.
Hahahahaja ipo sawaa sana
Maashallh kaz kaz
Kazi nzuri Congratulation
Waaww hii hapana mtavunja ndoa jamani ....mwanaume unafaa uwe shujaa kutafuta rizki sio kijumba hodi haiii.....maisha ya Sasa sio kama zamaniaisha magumu🙌
Mashaallah filam nzuri nimecheka mpaka basi
😂
Hongereni sana kwa movie mzuru
Kaz nzuri
Mashallah nice movie 😂😂
Safi sana muendelezo tafazali
Ndugu wa tabia hizi siwataki ng'ooooooooooooooo...
Hatar mubwa sana
😂😂😂Huyu kake simba nihatari
Naomba Masha Allah cjakujua wallah
Mzuri sana
Great from jufe nice
Safi sanaaaaaaaa nime furahi sanaaa
Tena muendeleee
Masha Allah .... Allah awepe wepesi katika kazi ili muilimishee zaid .. amin
Mashaalah kaz nzur
Sehemu ya pili inakuja kaa tayar
Hongereni sana Allah awazidishie
Nchele nrefu 🤣🤣🤣🤣🤣 naomba nakukubal we mwenywe unajua🥰
Lakini Dada ajuwa pika
Na shemegi ajuwa leta
Naomba nakupenda bure dadaangu yani unanifurahisha sana eti mchele mrefu🤣🤣
Dada ajua pika na shemeji ajua leta🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Duuu, ugeni ju ya ugeni 😁😁😁
Movie nzur sana jaman.
Ila kwann mnakaa mda mref mpk mtoe movie nyingine hadi nyingine
hata sijui nikoment nini maana hakika imeakisi uhalisia wa maisha yetu good job, Lkn yuko wapi kiswabi kachara na mwinyi mpeku
Mashallah tupeni sehemu ya pili
Nakubali
Kiswabi yuma
Et wao sukar Nanaz tu
Nihukuuuuuuuuuu😃😃😃😃😃😃
Hongeren San kz nzr. 🥰🥰🥰
Hahaha good job JUFE
Hatare fire 🔥🔥
mnatuacha sanaaa basi japo kwa mwezi mara 2 sie tu tayari
Good work....bwege ktika ubora wke..nimekubali kz
Hahaha dada nampenda huyu hataki mchezo
Ata mm nampenda
Interesting brothers
Allah akuwekeni na wengine wafaidi
Hahahhaha good work jufe
njadida kwa dogo dogo kushaumia wallah
ramadhani ya mwaka huu mbona hatujapata kipindi kizur kama hiki 2023?
Ndo kwanza amwita na mama
mmeua wajuba😁
Mashallah Allah s.w awabariki
Sikwaungeni huo😂😂😂
Hhhhhhhh nipo iringa tz
MashaAllah ❤❤❤
Nangoja muendelezo in sha Allah
safi san naomba pt 2 yake
Ila nitabia yetu hii wapemba.ni kutumiana tu
Good jop
Good job
Hongeren sana Jufe kwa kutupa tena furaha kwa mara nyengne
Hatuna mpango wakurudi leo walakesho .hahahaah
Director je hakuliona hlo
To be continued
nawapenda nyote kazi nzuri sana ilove pemba
Mineno meusi
Nyumba yangu mm niyaserekali atakaekuja chakula kimo kishachopikwa atakula hamuna atapika mwenyewe
😀
Hiii ni hatari wageni kwa kundi kiboko ya mwenye nyumba
Kwakweli nanapata vyema nikiwa Canada hakika nawapenda Sana ndugu zangu
😂😂😂kitumbo
Facts
Mm mpemba lkn hii clip nimeipenda sn iwafikie ndugu zetu munaosafiri kwa makundi kwenda kwa madada zenu walioolewa mnatutia aibu wapemba
Awo wanaokutiaa aibu ndo wanakufungulieni riziki
Msiwe na uchoyo
Wageni ni barkaaa
@@shariffaabdalla2170 sio kwa staly hiii filamu hii ni fuzo
Kweli
Wewe ni mchoyo
Yaaani ktk filam Kali hii imebeba nafas ila TU muendelezo jaman mpaaka tujekusahau
Shukran,muendelezo unakuja
😂😂😂😂make kwnza ncheke apo