BADILIKA _ Mwinyi Mpeku I Dongo I Naomba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 เม.ย. 2022
  • Director of Photography: Eddy Best
    Boom Swinger: Dinyo JF
    Editor: Eddy Best
    Ass.Director EddyBest
    Director: Said Majumba
    Tafadhali SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT ili uwe wa kwanza kupata video zetu mpya.
    #jufefilmproduction#Comedy#Pemba@jufefilmtz
  • ตลก

ความคิดเห็น • 198

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 2 ปีที่แล้ว +19

    wazanzibar wengi wakitoa filam sio kwamba wanategemea iwatoe kimaisha au kibiashara. hapana. wanafanya hivo kuburudisha watu na kuelimisha jamii na kuendeleza utamaduni wetu tofauti na wabongo wapo kimaslahi Zaidi na ukiangalia michezo ya kibongo haina stara hata kuangalia na wazee wako huwezi jinsi wanavo kaa uchi wanapotosha jamii

    • @nassorhaji2637
      @nassorhaji2637 2 ปีที่แล้ว +1

      Fantastic kabisa uko sahihi kabisa ndugu yangu

    • @mwanaishakhamis8069
      @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว +1

      Swadakta 👌🇰🇪 county mambasa 001

    • @user-zu4vs4jo8c
      @user-zu4vs4jo8c ปีที่แล้ว +1

      Kabis sis wazanzbar hatuna tamaa za ovyo ovyo

    • @alisalum8073
      @alisalum8073 ปีที่แล้ว +1

      Upo sahihi bro

  • @zuleikhaissa684
    @zuleikhaissa684 2 ปีที่แล้ว +8

    🤣🤣 Naomba unavisa nakupenda bure

  • @AlliSuleiman
    @AlliSuleiman 2 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali wangu naomba

  • @salimsaleh6423
    @salimsaleh6423 2 ปีที่แล้ว +4

    Aliye sikiya kustiriyana ni huku huku agonge👍

  • @AlliSuleiman
    @AlliSuleiman 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera naomba

  • @thuwaybah5679
    @thuwaybah5679 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha eti sijui kama wafagia au wachora😁😁😁nawakubali 💯💯💯

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 2 ปีที่แล้ว +4

    kumbe dongo Quran anaijua mashallah

  • @vumawimbibeachtv4712
    @vumawimbibeachtv4712 2 ปีที่แล้ว +4

    kazi mzuri sana... ila makunde yumo...? namkubali sana dogo... Zaid ya kingwendu 😃🤣🤣

  • @omarabdallah372
    @omarabdallah372 2 ปีที่แล้ว +3

    wallahy filamu nzuri sanaah Ma Shaa Allah

  • @SalumZakia-vy1lt
    @SalumZakia-vy1lt 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 weee naomba unavituko et mbona huninyamazish

  • @casnayharuni7022
    @casnayharuni7022 2 ปีที่แล้ว +2

    Dongo umeupiga mwingi mashallah. Goro na makunde pia. Mzee Mwinyi nimependa hekima zako uko vzuri hongera pia.

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 2 ปีที่แล้ว +3

    Naona wataja mayai tu vitu vyengine hutaji😂😂😂😂😂

  • @ahmedmikidadi4962
    @ahmedmikidadi4962 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahhhahahahahahahahahahhah acha nicheke tu

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣 🤣 🤣 🤣 Wagalagalaa weeee arafu mbona uniuliziiiii
    Kuuliza hiyo Kwioooo🤣🤐😆😆😆😆👌👌👌nawapenda mie❤️❤️❤️😘😘😘

  • @KHADIJA-l6f
    @KHADIJA-l6f 24 วันที่ผ่านมา

    Mapezi ndiyo hayaa jamani

  • @mustafamohd8503
    @mustafamohd8503 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dongo safi sana

  • @mussashamis3301
    @mussashamis3301 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani naomba anajua mugu atamlipa kwa elimu yake ya kuelimisha jamii yetu

  • @malak-lz6kx
    @malak-lz6kx 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah filam nzr sna nyie mnaelimisha jamii kwa Africa yote.

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahah😆😆Bwana akilala hamkiii

  • @aminamasoud6127
    @aminamasoud6127 ปีที่แล้ว

    Bebeyy be eeee 😅😅😅😅ni

  • @maryamnassoornassoor3336
    @maryamnassoornassoor3336 ปีที่แล้ว

    duh jmn wazaz mutunyamzishe tukija na vilio muctupige 🤣😀😃

  • @sadabkari5532
    @sadabkari5532 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba weee umenifurahisha 💕💕💕

  • @kassimcassidy
    @kassimcassidy 2 ปีที่แล้ว +1

    Filamu yenye mafunzo makubwa sana,big up from 254

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 2 ปีที่แล้ว +3

    Naomba ameicheza nafasi yake kiuwezo mkubwa, mbarikiwe nyote katika utafutaji wa riziki👍👍👍

  • @hadharaalli5201
    @hadharaalli5201 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahhahaaa asnaten wanyumbani mimenitoa mawazo huku niliko wallah

  • @mustafamohd8503
    @mustafamohd8503 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee mwinyi inaonesha mtt wake kweli maana anajua kumuumbua

  • @salumkhamis305
    @salumkhamis305 ปีที่แล้ว

    Daaaah move za naomba hakuna mbaya yuko vizuri kweli

  • @rashidsaid-sy1nr
    @rashidsaid-sy1nr 8 หลายเดือนก่อน

    Mzee mwiny upo vzr nakukubal sn

  • @rahmaabdulrahman5592
    @rahmaabdulrahman5592 2 ปีที่แล้ว +1

    Mnafundisha voo

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 2 ปีที่แล้ว

    Hahaha, hongeren sana. Dongo mzgo huuwezi uo acha nije kukusaidy

  • @zerotv-ds9xg
    @zerotv-ds9xg ปีที่แล้ว

    Mwinyi heshima kwako baba kaz ni poa japo nahisi kuna pande hamzitazami zaidi

  • @rambazojournalist666
    @rambazojournalist666 2 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri, ila picha haina ubora

  • @yassirmunir7512
    @yassirmunir7512 ปีที่แล้ว

    Jufe film mnajitahidi sana. Kazi zenu nzuri sana. Musichoke ipo siku mtafanikiwa

  • @maryamalli9090
    @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว +1

    Wake wa siku hizi Hawa mpaka Pemba kumebadilika siku hizi

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana Maashaallah Baaraka llahu feeq . .

  • @habibhamza9766
    @habibhamza9766 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mafunzo mazuri sana ndoa zinahitaji subra ndugu zangu ila kwa sasa ndio haipo na huu mchezo ndio yaliyopo matupu

  • @Alikidu
    @Alikidu 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah!! Jufe uko sawa..
    Hii inafundisha haaaaswa

  • @shafiikhamis2336
    @shafiikhamis2336 2 ปีที่แล้ว +2

    Fantastic, mi nimeona jambo moja hapa...
    #MwinyiMpeku bila shaka alienda kwa mtoto wake kumchunguza Mume kama hakidhi vigezo alivyokua akivifikira yeye...kile cha uhuni, bangi, na mengine...
    Hile scene ya malumbano kati ya #DongavsNaomba...
    Haikukaa poa sana....soon baad ya Mzee Mwinyi kufungua mlango, Naomba alimpiga jicho baba yake tjen ndo akaanza malumbano na mume wake...nae Dongo pia alikua akihusiha malumbano kwa kumuangalia mzee Mwinyi...haikupendez kias fulani
    Basi kungekua na option mbili
    1. Wangeanza malumbano kabla ya mzee kuingia (wakat yupo nje), then yey ayakute tu malumbano
    2. Basi hata hiyo baada ya kuingia....wngechukua walau dakika 2 kwa wstan nd wakaanza kugombana pasi na kumtupia jicho mzee...hata kama kila mmoja akilin mwake inampitikia kua kila akifanyacho mmoja wetu kipo kweny "Script' na tunakielewa
    Nadhani alicho akitafut #Mwinyi ni ushahid tu kutoka kwa mkwe wake #Dongo jinsi anavyoish na mkewe...
    Nawasilisha...

    • @archidukeofficial501
      @archidukeofficial501 2 ปีที่แล้ว

      🙈..🙉...🙊..

    • @mohammedibimkubwa4947
      @mohammedibimkubwa4947 ปีที่แล้ว

      Mawazo yako ni mazuri, ila nahisi hukuelewa. Walichomaanisha. Ni kwamba mke alifanya vile Ili kusudi kumuadhirisha Kwa mzazi wake Ili aonekano kuwa mwanaume hamshuhulikii.

    • @mohammedibimkubwa4947
      @mohammedibimkubwa4947 ปีที่แล้ว

      Unakumbuka alienda kuongea uogo wa baba yake

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllaah tabaraAllaah kweli kazi zuri sana
    Shukran kwa mafuzo mazuri yaani

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว +2

    Kunikumbusha mbali ninamtoto wa ami yangu akilia husema mbanahuninyamazishi basi na cheka haaaaaaaaa

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah inamafundisho👌

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallaah shukuran ujumbe umeshatufika great sana

  • @salymking1892
    @salymking1892 2 ปีที่แล้ว +1

    Safiiiii

  • @aliabdallahali6995
    @aliabdallahali6995 2 ปีที่แล้ว +1

    Bebe la too 😃😃😃😃😃🙃😃

  • @mulhatmassoud6034
    @mulhatmassoud6034 2 ปีที่แล้ว

    Hahhahhaha Naomba nakupenda mama yang mieeee kwa kukopa ni hatari ila unajua mmy uko mwee 💋💋💋❤❤❤

  • @mohdhakim8216
    @mohdhakim8216 2 ปีที่แล้ว

    Shukran wapemba wenzanguuu fantastic 😊😊😊😊

  • @samiramohamed5925
    @samiramohamed5925 10 หลายเดือนก่อน

    Dah Dongo yupo vxur sana kwa kweli.Naomba nae dah namkubal sana.hababaishwi na Camera.Mxee mwinyi nae ndo ohoo usiseme.yuko poa ssnaaaa

  • @rashidmohammed9875
    @rashidmohammed9875 2 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe uwafikie wote unao wahusu🤣🤣🤣🤣

  • @mfuu9160
    @mfuu9160 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣 naomba bwan 🤣🤣🤣🤣

  • @mohdabdallah5195
    @mohdabdallah5195 2 ปีที่แล้ว

    I love my pemba good job 👏 👍 ❤ 🙌 💓 ♥

  • @abdallaaboud3818
    @abdallaaboud3818 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera

  • @sadabkari5532
    @sadabkari5532 2 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhhhh 😀😀😀 bebeeeeee bybeeee

  • @jumarisasi7160
    @jumarisasi7160 2 ปีที่แล้ว +5

    Salam ziwafikie wenye tabia hii

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 2 ปีที่แล้ว

    Mchezo akiigiza dongo na akawa mkewe huyu mwanamke unanoga mmooooo kwa7bu wanaendana sana
    Mchezo mzuri na unafunzaaa

  • @ibrahiym_khan7984
    @ibrahiym_khan7984 2 ปีที่แล้ว

    Hhhhh mashalalh, nimepitwa kdg kuitazama

  • @latifahasani8929
    @latifahasani8929 ปีที่แล้ว

    Masha Allah napenda sana movies zenu

  • @hsali4082
    @hsali4082 2 ปีที่แล้ว

    Muko vizuri san ila mwakaa sana

  • @leilaalii3109
    @leilaalii3109 2 ปีที่แล้ว +2

    Hahaahaa Bebe kaingia mitini😁

    • @salumkhator8897
      @salumkhator8897 2 ปีที่แล้ว

      Hapo hakukuwa na option nyengine zaidi ya hiyo

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

      Ingekuwa ww ungefanyaj😂😂

  • @allymohammed7323
    @allymohammed7323 2 ปีที่แล้ว

    Nyotee nawakubali Ila makunde hatari

  • @shamsaalrahbi5573
    @shamsaalrahbi5573 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂❤️❤️❤️Aaa

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 5 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂❤🎉🎉🎉😮😮😮

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

    Hatari kwl kwl 😂😂 mwanamke usikione kitu tyr umekitamani, alaf eti sy kuishi hapa tumepapenda tuu

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 2 ปีที่แล้ว

    Etii bebe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sina mbavu

    • @yayeissa4128
      @yayeissa4128 2 ปีที่แล้ว

      Hhhh mimi kwanza nimeskia bibi...kumbe bebe

  • @aishaseif7852
    @aishaseif7852 2 ปีที่แล้ว

    Nakuuliza wewe mijicho 😀😀Manake kwanza ncheke

  • @ghostlion1999
    @ghostlion1999 2 ปีที่แล้ว

    Nakuuliza weye mijicho 🤣🤣🤣 hapo pamenimaliza

  • @jumakhalid2219
    @jumakhalid2219 2 ปีที่แล้ว

    Muko vizuri jufe hongereni kwa elimu km hii nzuri

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana pia ina maadili

  • @sumaiyasalim9966
    @sumaiyasalim9966 2 ปีที่แล้ว +1

    Bebe🤣🤣🤣🤣

  • @zerotv-ds9xg
    @zerotv-ds9xg ปีที่แล้ว

    Mda wote mnajadir ndoa2 watoto je

  • @allykhamis1677
    @allykhamis1677 2 ปีที่แล้ว

    Tutaeleweka tu

  • @issaofficialvideo6375
    @issaofficialvideo6375 2 ปีที่แล้ว +5

    🤣🤣 Masha Allah,, kazi nzuri
    Hongera Mwinyi na vijana wako wote mulioshiriki kuiandaa hii kazi .. Na pia nimpongeze "Edi best kwa story yake bomba kabisa.. Allah awape kila la kheri....Ipo cku Allah(s.w) atawafikisha pale munapo taka mufike..Insha Allah....
    Mm napenda kuwapa saport kila mnapo towa new job kwasababu hii kazi naikubali vbaya na naitaka sana.. Lakini Insha Allah Kwa kila alie na lengo zuri nao hii kazi Allah atamnyanyuwa, INSHA ALLAH
    ''SAY AMEEN'"

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @abdulkadirally8569
    @abdulkadirally8569 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂 Mbona huninyamazishi

  • @hamxik0096
    @hamxik0096 2 ปีที่แล้ว +1

    1st

  • @kpryezy8161
    @kpryezy8161 2 ปีที่แล้ว

    Jufe mupo juu sana films zenu zinafundisha sana MashaAllah,wallah ndugu zangu mnajuwa sanaaa big up jufe

  • @abdulfirstzanzibar4599
    @abdulfirstzanzibar4599 2 ปีที่แล้ว

    Bebe beibeeee

  • @mohamedfakii4524
    @mohamedfakii4524 2 ปีที่แล้ว

    Dongo my brother

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 2 ปีที่แล้ว

    Weleeeeooo 🤣🤣

  • @aishaabdi2059
    @aishaabdi2059 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahahahahaha mbavu zangu

    • @jimj8285
      @jimj8285 2 ปีที่แล้ว

      Wee Aisha Abdi unacheka nini sasa? Wee kalia Kula bariis na hiliib! Basi! Nyooo!!!! Weee no harkaaa!!! Tu!!! Khumayadhaa!!!

  • @sistajoy1
    @sistajoy1 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂🤣🤣👏👏

  • @zuberkhamis1369
    @zuberkhamis1369 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @mohdmaalim8452
    @mohdmaalim8452 2 ปีที่แล้ว

    Nawafatilia nikiwa pande za Sikonge Tabora mmenikumbusha nilipotoka nimefrai sana.

  • @ajuahaoowbw3230
    @ajuahaoowbw3230 2 ปีที่แล้ว

    Naomba mijicho kama dume wa gari

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 2 ปีที่แล้ว

    Bebe 😂😂😂😂😂dawa yaaako

  • @muharramkassim5716
    @muharramkassim5716 2 ปีที่แล้ว

    Kiswabi mbona hamumshirikishi sikubizi Yule jamaa fundi

  • @mustafamohd8503
    @mustafamohd8503 2 ปีที่แล้ว

    Umejua kumpata anajua kulia hyo dada

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 ปีที่แล้ว

    Wa fayagia au wachoraa

  • @jillokomora
    @jillokomora 2 ปีที่แล้ว +2

    From Mombasa 🇰🇪 napenda sana movies zenu bravo👏

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 2 ปีที่แล้ว +1

    Dongo fundiii, Kiswabi fundiii, Mwinyi Mpiku Fundii, Kachara fundiiii, Makame Nuhusi Fundiii, Mau Mpemba Fundiii na nyoteee mafundii hongeren sanaaa❤️❤️❤️❤️🧡🤍🤍

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 2 ปีที่แล้ว +1

    bebebe kazi nzuri sana

  • @halimahamad8780
    @halimahamad8780 2 ปีที่แล้ว

    Mung atawasaidia nyote

  • @hsali4082
    @hsali4082 2 ปีที่แล้ว

    Kuna hamiraaa tomatoo

  • @mohamedfakii4524
    @mohamedfakii4524 2 ปีที่แล้ว

    Asante mwinyi!!!!

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 2 ปีที่แล้ว +1

    muko vizur ila tu tatizo mnacherewa kutoa filam tunataka vitu karaka haraka

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo pesa na udhamini michezo inahitaji pesa ndugu

  • @auroxenterprises8003
    @auroxenterprises8003 2 ปีที่แล้ว

    Mupiga mwinyi hatari

  • @zuhuraomar8849
    @zuhuraomar8849 2 ปีที่แล้ว

    Inamafunzo

  • @nasseiral-wardy9579
    @nasseiral-wardy9579 2 ปีที่แล้ว

    Kiswabi hatujamuon muda tena

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 ปีที่แล้ว

    Bebeeee🤣🤣🤣🤣

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 2 ปีที่แล้ว +1

    👍