NYUMBA MOJA# Part 2 / Dongo I Naomba I Kake Simba I Goro I Makunde
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 เม.ย. 2022
- Director of Photography: Said Negro
Boom Swinger: Dinyo JF
Editors: Eddy Best/Said Negro
Ass.Director EddyBest
Director: Said Majumba
Tafadhali SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT ili uwe wa kwanza kupata video zetu mpya.
#jufefilmproduction#Comedy#Pemba@jufefilmtz - ตลก
Hongereni nyote mlioshirikna kuandaa hii filam
Jufe mko vzr kuturejesha ktk uhalisia wet ila tatizo mnachelewa sana dongo unachucherewesha utam
Mnafny vzr sana hongeren kwa ilo na hususan kipenz chngu naomba big up dada yng
Kazi mzur pia tunafrah kwa kutuharakishia kutuletea sehwmu ya pili
Munajuwa sna tena sana wa pemba wenzangu
Kwakwel wanawake wanabilic maana hapa nimejifunza kitu
Oya dongo nakuona unavyo chimba mikwal
😂😂😂😂😂 wapemba raha nyie nimecheka peke yangu kama chizi mpya
Maashaallah mwenyzmung awazidishie Man nmeipend san mmeleng mule mul ktk jamii yet
Jamanii kiswabii yuwapiiii hizi ndiosehemu zakee
Mushawakwaza ndugu zetu wapemba sasa sijui itakuwaje 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ma Shaa Allah nawakubali sana Jufe
Vizuri sana,ila kiswabi kakosekana hapo
Baada ya huduma na hasara .shemegi tena yuwateuwa vyakula mmh🤣🇰🇪
Yani mnajuwa had natamani
Kujiunga nanyi
Yan sichoki kuangaliaa munanifurahisha kwel🤓
Dah unapoishi na nduguzako kwa mkewako au mumewako umakini unatakiwa kwaasilimiya 100% lichaivyo mutajikuta ndowa inavurugika mutaachana nabado mnapendana mh mtihanihuu wallahi
Muko vizuri sana Dngo na wenzako
💯💯💯🔥🤝
😂😂😂😂😂si kwa kula daku hilo
Simba uko vizuri nakukubali sana
Tamuu. Wapemba wenzangu
Kazi nzur MashaAllah 🔥🔥🔥
December twaja januari twandoka 😂😂😂😂😂😂
Mashaaa allah kazi mzuri👍
Tunamuomba kiswabi jamani, hizi scene ni za kiswabi Mwenyewe yaan bila ya kiswabi hainogi kabissa
Big up xn 💪💪💪👊
Kweli kabisa
Mmmmh mtihani kwakwelinuroho haufai kabisaa
Nawapenda sana kazi nzuri😍
Yani nyie bwana 🤣🤣🤣🤣 Masha Allah, Allah awake na awazidishie vpaji vyenu, vzidi kukuwa Insha Allah
Amin,shukran
Jamani leteni nyengine haraka mm nime penda dongo na kaka yake hawaja tetereka vituko vyoote ivo vya wake zao na shemeg zao ila wame simama pamoja safi sana yani
Poaa sana napenda mno lov from Chwaka zanzibar
Maishallah pongezi nyingi sanaa kwenu💘💞
Mwinyi yuwapi jamaa na kiswabi
Kazi nzuri saaana All the way from riadh
hii kali umejitahid sana tupe sehemu inayofuata
Big up dongo... kaz nzr
Ah weeee daku ishaliwa hahahahhahahhaaaaaa
Aaaah weeee daku ishaliwa!!???
Nilikuwa naisubir kwa ham
Much respect to you guys🙌🙌🙌🙌
✊
Haa we! Daku ishaliwa
Mnazingua mpk leo cku ya tatu hamjatuma sehem ya tatu
Jamaa kajifanya mjanja Kala ftari vijana wamekula daku
Salamu makunde rafiki yangu namkubali sana
Ramadhan yatelea tuuu 😂😂🤣
Funga na Iman jaman 😅😅😅😅
Kaz nzur
hongereni sasa ya 3
Kaz kaz nawakubali vijana wenzangu
Hahahaha.. daku ishaliwa
Aaaa icho kweli kifaru hahahaaa
Daku ishaliwaaa ●●●●
Hahahaha😂😂kilamtu mjuaj wakupiks😂😂😂
aaaar weh daku ishaliwa😂😂😂😂
Safi San kz nzr muendelezo pls. 🥰🥰🥰🥰
Hawo ndo wanawake
Hiiii ni hatari maana mchumi mara moja aanguka chini
Movie kali sana
MashaAllah tabarakallah
Jmn nilikua naisubiri km namsubiri konda nilomuachia chenji yang stendi 🤣yaan jmn jmn nyinyi mwankosh loho
Home is not place.it's feeling
Maa shaa Allah
Kampikia makuti enheee
Nzriimnooo
Filam nzr snaaaa.
😄😄😄asntn sana
Hatari goro makunde
Nazingojeya nyingine tukijaaliwa
Naona. Mskiti wa Mwitani Maashaallah
Ww wa kwetu kweli nakumic wete jmn😭
Masha Allah
Muendlezo bhna msichlweshe
Jmn hapo wanapokula mbn waidi ya wanawake kuingia hamn tunakuja kuwaona t washakaa kweny kula lkn waid yao yakuingia hamn....
Yanga mpo vizuri
🤣🤣🤣🤣
Jamani ya tatu
Kichokochwe team
Good job
Good work
Mwacherewa kutoa nibora kwakila siku mutoe
Lini itaendelea
Mashallah
Kiswabi jaman yupo wapi mbona vipaji munavitupa hivo au yupo bize siku hizi
Mke wa simba ana gubu
Mayugwa na ww umekuwa mpemba unakichorA vizur kipemba upo sawa
Kwan simpemba au maana anaongea Kama Mpemba halis kbsa
@@sephania8085 si mpemba mmakunduchi huyo anaekti tu yupo katka kazi yake
nakubali kazi ticha wangu sai majumba ila scene za usiku tu nafikir zingewekwa tu light ya mbali halafu kwenye kuediti ukaeka giza coz baazi zimetoka na noise ni mawazo yangu tu hayo pamoja sana mwalimu.
Jaman mbona kitatange simuoni
Good work 🔥
Part 3 plz
mamb mazuri
Tuwekeeni
Kambini kichokochwe
😂😂😂😂😂
Hahahaa🤣🤣
Yuko wapi kitatange na mheshimiwa mwinyi mpeku
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️❤️💪🏽
👌🥰
Mke wakake simba hata katika uhalisia anaonekana anaroho mbaya na mdomo ndio huhuo..
Maigizo hayo mpaka unasema hivyo basi huyo ndiye mwigizaji mzuri sana katika uhalisia basi usimchukie na inawezekana wazi hasiwe hivyo ufikiriavyo
Next
👀😍
Aaaaa weee daku ishaliwa??
,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍😍
😍😘👏💯
Masha Allah movie ya kwetu pemba ni mzuri mnoo 💯👏