ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kama suou haikutiwa chunvi haitaleta ladha nzuri NAOMBA ❤❤❤❤ makopa ya hongera hayo
NAOMBA NDANI YA NYUMBAAAAMAKOPA KAMA YOTE KWA NAOMBA ❤❤❤❤❤
Kama kawaida, likes za Warda hapa.
Kazi mzuri fumbua macho inatufumbua sana kwakweli hongera sana Tam Mau na wadau wote mnaofatilia ep hii
Kwakweli kikundi kipo sawa NAOMBA uko vizuri sana
Wow Naomba is back I'm so excited to see you again my lovely artist 🎉👏
nakukubalini kazi zeni nazifwaatilia san japo nipo mbali na zanzibar ila tuna jifunza vingi kupitia nyny 🥰🥰🥰🥰
Woyoooo star wetu pendwa Naomba final amerejea binti anajua uyu mashallah
Dongo anashadidia kumbe anahitaji ajitwike yeye. Lkn Mau kafanya hikma na kuepusha jazba😂.Good message
ha😂😂atishia kujamba wakati aharishaa😅😅😅
Ahahaha 😂dongo weee huna aadabu eee😂
Nawomba unajua wew unachangamsha sanaa vidio zenu yani ukiwa haupo mambo km yanafifia tunashukuru kw kurudi
Daah dogo balaaa😂😂😂😂😂
Eti mijicho usinitafute Naomba bana wakati naye anayo mijicho 😅
😂😂
Dongo makes me to much happy❤❤❤
Nimefurahi kumuona Tena naomba
Tunahitaji pia kumuona mwinyi mpeku mara moja moja
Naomba usitake tutolea mtu roho 😂
Oyoooo💪💪 numbe one
Naomba we are happy for you❤
Hiii kali kulikoo😂😂😂imeenda shulee...C choki kuingalia kila wkti...
Naomba kaja na barka dkk 14 leo
NAOMBA KIBENDERAAAAAA ❤❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂dongo ndogo ety nvidole😂😂😂😂
Mau mpemba umetisha bossi wangu 😂😂😂😂😂😂
Wa kwanza leo Kuchek Zanzibar home land ❤❤❤❤
Maeneo ya wapi??
Shukran wote mnatupata burudani na mafunzo ndani yake pia ham kusahau silka na ghulka zetu ❤❤
**Hhhh mashaallah, Wardah kweny taarifa uko vzr 4**
Dogo anajua kuact sana mashallah
Heeeee warda kiboko kwa kupeleka umbeya
Hatimae leo namuona tena NAOMBA ❤❤
Jamanii Muda wangu wakuangalia ndo huu
Rizikii leo sija kuona
Naomba leo karudi hapo bado mwinyi mpeku na bi suria
Nawomba naona umerudi tena nashukuru kwa kurudi
Naomba binti kibendera 🎉🎉🎉
Tunamtaka na kiswabi ❤❤
Naomba kibenderaa❤❤❤
Warda sin za umbea zinampendeza kweli
Mpleka umbea nimependa mwendo😂
Rizikii umezimiwa wafii
Kazi nzuri wazee
😂😂😂 sema wee dada ulofikisha habar kwa naomba umbea umpitilza
❤❤❤❤to much love
Yule si nke ni jini😂😂🙌
Leo tumefurahi tumemuona tena naomba
NAOMBA miss you so much dear❤❤hongerani sana team MAU🎉🎉🎉
Watu njooni mzigo mpya tayari
Leo nna furaha kumuona NAOMBA
warda yup vzr
Mkusanya ushuru 😂😂😂😂😂😂😂😂naomba mkusanya ushuru
Mama MTU karudi mjengoni
Dah kali sana
Waoooo❤❤❤❤❤❤
naomb nakukubl❤❤❤❤❤
mashallah shukran
Nice
Naomba leo yupo.
❤❤❤❤😊😊😊😊😊
He naomb alikua wap
Eti ntaanzima😂
Asanteni kwa mafunzo
Naomba nimekumiss
Hatupoi
Dongo hunaa aadaabbuuuuu 😂😂😂
Dongo hodariii sanaaaaa
Naombaaa♥️♥️♥️♥️
Leo dada wa Oman kachelewa
Hahahaha naona simuoni
😊😊😊
❤
❤❤❤🥰🥳
Mau mpemba😂😂😂😂😂
Mleteni kati kiswabiiii
Dongo umekalia kiushari ushari tu
Kuna mtu anaotea
Naombaaaaaaaaaa❤
Mahabu ya Nuhu samaki kutiwa kwenye safina ili wasife kwa maji
🎉🎉🎉🎉
😂😂😂 mijicho usimtafut mwenzio
😂😂😂
Hahahahahahhaha
😂😂😂😂
Upo kimya
Hatar
Huu mzigo ni 🔥
Dongo huna Adabuuuu
Sasa nauliza kwani mwinyi mpeku yuwapi siku hizi???
Wa mwazo leo
Tukusaidie nini
Yani yaleo imezidi uzuri kwasababu kaingia staa naomba ila warda unajua kufikisha habari za uongo
😂
Kama suou haikutiwa chunvi haitaleta ladha nzuri NAOMBA ❤❤❤❤ makopa ya hongera hayo
NAOMBA NDANI YA NYUMBAAAA
MAKOPA KAMA YOTE KWA NAOMBA ❤❤❤❤❤
Kama kawaida, likes za Warda hapa.
Kazi mzuri fumbua macho inatufumbua sana kwakweli hongera sana Tam Mau na wadau wote mnaofatilia ep hii
Kwakweli kikundi kipo sawa NAOMBA uko vizuri sana
Wow Naomba is back I'm so excited to see you again my lovely artist 🎉👏
nakukubalini kazi zeni nazifwaatilia san japo nipo mbali na zanzibar ila tuna jifunza vingi kupitia nyny 🥰🥰🥰🥰
Woyoooo star wetu pendwa Naomba final amerejea binti anajua uyu mashallah
Dongo anashadidia kumbe anahitaji ajitwike yeye. Lkn Mau kafanya hikma na kuepusha jazba😂.Good message
ha😂😂atishia kujamba wakati aharishaa😅😅😅
Ahahaha 😂dongo weee huna aadabu eee😂
Nawomba unajua wew unachangamsha sanaa vidio zenu yani ukiwa haupo mambo km yanafifia tunashukuru kw kurudi
Daah dogo balaaa😂😂😂😂😂
Eti mijicho usinitafute Naomba bana wakati naye anayo mijicho 😅
😂😂
Dongo makes me to much happy❤❤❤
Nimefurahi kumuona Tena naomba
Tunahitaji pia kumuona mwinyi mpeku mara moja moja
Naomba usitake tutolea mtu roho 😂
Oyoooo💪💪 numbe one
Naomba we are happy for you❤
Hiii kali kulikoo
😂😂😂
imeenda shulee...C choki kuingalia kila wkti...
Naomba kaja na barka dkk 14 leo
NAOMBA KIBENDERAAAAAA ❤❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂😂dongo ndogo ety nvidole😂😂😂😂
Mau mpemba umetisha bossi wangu 😂😂😂😂😂😂
Wa kwanza leo Kuchek
Zanzibar home land ❤❤❤❤