🔞"MNAWAPA WAUME ZENU KILA SIKU❤️ NDIYO MAANA WANAKOSA NGUVU - MPE JUMATATU na ALHAMISI" - CHOLAGE🔞🔞

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • 🔞"MNAWAPA WAUME ZENU KILA SIKU❤️ NDIYO MAANA WANAKOSA NGUVU - MPE JUMATATU na ALHAMISI" - CHOLAGE🔞🔞
    #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO#KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 20

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 หลายเดือนก่อน

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @AhmedMohamed-no1fj
    @AhmedMohamed-no1fj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Assalam alaykum vip hali yako mama nashukuru kwa mafunzo yenu ila naomba mulete na wababa watuwazima nao watoe mafunzo kutufunza

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uyo mme wng umpngie cku catakua anapiga kelele njiani

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi natembea na mumeo njoo uniulize nampa nini mumeo wacha kufuja ndoa za watu na kuwafanya wenzio watoke nje ya ndoa huo ni uzinifu unapokuja kwenye kipindi zungumza maneno ya maana na yenye busara

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 3 หลายเดือนก่อน

    Lkn kweli habiba anasema

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kutakuwa huyo wako unaempa ratiba ana mapungufu usuwatoe watu kwenye reli hiyo siku wewe unapomwambia unaumwa yupo kwetu michepuko maana ndio hatusikii kuchoka

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ushenzi mtupu msinyimane mpeane kwa kisasi mpate faraga ya kuswali, acha kipotosha

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 3 หลายเดือนก่อน

    muache ujinga,,mwanaume hapendi kupangiwa1,,,2 kikawaida,,mkala mkashiba vizuri na mnapendana lazima msikie akshi,,,tena siku iz madem ndo wanapenda mchezo kuliko wanaume,,mngetafuta mada

  • @salutariuskessy6264
    @salutariuskessy6264 3 หลายเดือนก่อน

  • @user-mw5xs2wx8n
    @user-mw5xs2wx8n 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa kungwi ww bora nikae usungo

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 3 หลายเดือนก่อน

    Jumatatu na Alhamis uwa nafunga suna' Sa cjui itakuaje

  • @respiciusndyanabo366
    @respiciusndyanabo366 3 หลายเดือนก่อน

    Je km anataka kwenda Kwa mpl ataniambia?

  • @kimwerimwerondo708
    @kimwerimwerondo708 3 หลายเดือนก่อน

    Tusilaumiane😅

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano 3 หลายเดือนก่อน

    Ujengewe mnara habiba

  • @Mina.15
    @Mina.15 3 หลายเดือนก่อน

    Nonsense 😂

  • @mwatimeabdallah3523
    @mwatimeabdallah3523 3 หลายเดือนก่อน

    Muongo

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 3 หลายเดือนก่อน

    Jengewa Sanamu lako Dodoma City's

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 หลายเดือนก่อน

    Ujinga wako akichepuka atakwambia wewe ukute anachepuka na jiraniyako akija kuomba chumvi wanakonyezana kujifanya sisi tuulize sisi tunaemjuwa huyo mume wako usitake ukafa na presha😮😮

  • @husseinally6699
    @husseinally6699 3 หลายเดือนก่อน

    We ndo unaharibu ndoa za watu
    Hivi nani kakuambia tendo la ndoa lina ratiba?
    Maana ya kua mume na mke nini?