Mji ni msafi sana kidogo hapana ila ni kamji kadogo sana huwezi fananisha na jiji la mbeya,maana kwa kutembea mwendo wa kawaida iringa waweza kuimaliza ndani ya nusu saa au saa moja.mbeya unaweza kuimaliza kwa kutembea mwendo wa kawaida siku mbili au ,zaidi ya siku mbili.
@@bahatimwangoka5346 kinacholinganishwa ni uzuri sio ukubwa na udogo ,haya mbona mwanza ni kubwa kuliko mbeya lakini mwanza ni nzuri kuliko mbeya ,mbeya ndio jiji la hovyo na wanambeya hawaelewi maana ya jiji ,juzi tu nilikuwa hapo bustani ya jiji imewashinda kuitunza ,nenda bustani ya manispaa ya Iringa inavyotunzwa na watu wanavyolilakisi
Beautiful city
Lovely mountainous city
GOD’s creation 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Iringa iko Vizuri sana Wahehe hawapendi Majigambo from Mwanza Tz
Kweli dear wangu
Umepangwa vizuri, natamani ingekuwa jiji
Sweet home 🥰🥰😍forever
Mji umepangwa poa sana, sema wenye kwao hawajui kutamba nao
Umenena sahihi
Mara y kwanza kuona iringa mungu bariki kuzuri sana
Karibu Sana mpendwa wetu, Marehemu wetu Mafhufuri hakukosea aliposema ni kitovu cha utalii mikoa ya Kusini, kunavutia Sana
From arusha
Iringa my favorite place
nawapenda kwa kuisapoti stone au iringa town
Mji ni msafi sana kidogo hapana ila ni kamji kadogo sana huwezi fananisha na jiji la mbeya,maana kwa kutembea mwendo wa kawaida iringa waweza kuimaliza ndani ya nusu saa au saa moja.mbeya unaweza kuimaliza kwa kutembea mwendo wa kawaida siku mbili au ,zaidi ya siku mbili.
Iringa kimajengo iko vizuri kuliko hata mbeya
Kabisa ndugu yangu
Mbeya ikasome
Nawapenda sana mno
Home sweet home
Kamwene
co smart
Since when did Iringa became a city ? Who approved the upgrade?
One day Yes ni kubwa nzuri na safi, wanaichelewesha tu
mbona umechukua juu
Sio mbaya
💌
Ni pazuri sana, kubwa kuliko Arusha.
Arusha ni Kubwa Kuliko Iringa
We arusha ni kuzuri mno.
Acha ujinga wewe unafananisha iringa na jiji la arusha
@@barakawilson2664 hahahaaaa jmn hata mimi MICA ni mjinga hahahaaa
Acha bang kaka
Tatiza hawa jamaa zangu wanajinyonga Sana..... hahahahaaaa
Siyo kweli ni utani tu kwakuwa Mkwawa alijishuti ili wajerumani wasimuue
Home paleee
Uchukuaji wa picha uhusishwe na kamera ya ukweli.
Town , not city
covis club kenya ltd asante mwanang bora umesema
@@kingnicky2568 inatakiwa kuwa Jiji maana Kuna majiji yamepitwa
Mji mdogo sana uwo
Una wivu mji mkubwa sana , we we kwenu wapi? Nimezunguka Tanzania nzima nimeona, Iringa kubwa sana
Iringa mjini huwezi kukuta nyumba za udongo au kusongamana na kukosa njia ya kufika jengoni, pole kwa wivu, tena mkubwa sana, wivu utakutesa sana
Huyu ana wivu bana, Iringa ni kubwa karibu kushinda Arusha.
Napajua vizur sana tofauti mnavyo ijua nyie mimi kwetu uko nimezaliwa uko nimekulia uko kwetu kiesa ila kwasasa naish Moro nafanya kaz chuoni suA
dadangu liliani ilinga ajapanuka pia ujatembea mikoa mingi kushnda mimi ilinga imejengeka seem moja tu mjini peke yake uku China amna kitu polini
Pazuri kuliko mbeya
Kweli aisee hata mm naona hivyo.
Huwezi linganisha Mbeya na mji mdogo kama Iringa
@@bahatimwangoka5346siyo kweli Iringa Ni kubwa kuliko mbeya isipokuwa mbeya pop kubwa kuliko Iringa, poleni mnakasumba
@@bahatimwangoka5346 kinacholinganishwa ni uzuri sio ukubwa na udogo ,haya mbona mwanza ni kubwa kuliko mbeya lakini mwanza ni nzuri kuliko mbeya ,mbeya ndio jiji la hovyo na wanambeya hawaelewi maana ya jiji ,juzi tu nilikuwa hapo bustani ya jiji imewashinda kuitunza ,nenda bustani ya manispaa ya Iringa inavyotunzwa na watu wanavyolilakisi
Mbeya nyumba za uswahilini nyingisana. Mbeya mji uko barabaran