Mtwara town Driving Tour - Gas City (Tanzania)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ค. 2022
- Mtwara Town (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region located in southeastern of Tanzania.
Remember to subscribe to my channel for more videos.
#daressalaam #africa #art #bgmi #comedy #funny #gaming #hindi #jimin #kids #love #zoom #xbox #youtubeshorts #youtube #whatsapp #instagram #indian #tanzania #kenya #london #newyork #zanzibar
Safi sana kitambo sana mtwara sio kwetu mtwara ila nime kaa sana nyumbani lindi
Thank you very much, waiting for more videos
Please keep making more videos
Huu mji unatakiwa utengenezwe uwe sharp kufanana na miji inayozalisha gasi na mafuta duniani.
Khaa sitamani ata kwenda uko mtwara kumelala kumepoa sio poa haah ndo gesi inakotoka kupo ovyo sana duuh
Ebwana asante sana Kwa ripoti nzuri nimependa Sana kujua mkoa WA Mtwara
Asante sana nduguangu 100% ya video hii ni mtaa yangu aisee nime enjoy sana nikiwa DUBAI. UBARIKIWE
I am From Mtwara too...
I am Makonde By Tribe,
Hello Mtwaraaaa💪
Mambo vipi kaka. Nimefurahia hii video
Kumepoa sana....
Watu laki 1 kidogo.mno.tena.mkoani ahaaaa pagumu mno
Thanks for sharing. Keep it up// 🇲🇿
v nice video Thank you for sharing, Gratitudes
Nimefurahi sana kuona mji wa Mtwara.
Nimekumbuka mbali sana aisee
the real view of coastal life I used to live in tandahimba for five years
Tz so beautiful. watching from KE
Yes..Thank you very Much..I really appreciate 🙏
Amna hata magari mengi😂😂😂😂
Wewe una gari
Nice bro idea yako nzuri
Thank you
Asante. Video nzuri kaka👍🏽
Asante sana Bro. Nashukuru Sana
Wana gas, bahari, border na Mozambique etc na wanaweza kujenga bandari kubwa sana, Mtwara inatakiwa kuwa mkoa mmoja tajiri sana, wanahitaji sana Bank kubwa ili capital iweze flow na vyuo na sehemu za kutoa elimu ili watu wawe knowledgeable waanze kupiga deal za uhakika, ila barabara nzuri kuliko sehemu nyingi Tanzania, kila la kheri Mtwara
Thank you very Much..I really appreciate 🙏
Unaona eeh, kweli Mungu hakunyimi vyote, pamoja na kuwa na idadi ndogo ya watu, mji wao wa Mtwara una barabara za lami kuliko miji mingi maarufu ya Tanzania
Kabisa
Asantee saaana kaka nahisi km nimeiona.mtwara yote
asante kaka godlove m.
Shukrani sana kaka
Mtwara kumbe bado sana makazi yako scattered sana
Unapaswa ujuwe mtwara sehemu gani na yeye karekodi hyo video siku gani, Mfano ata Dar es salaam maeneo ya posta siku za juma pili kunakuaga swali kabisa, yan population ndgo. So magari sio ishu chukua content
Asante kaka. namisi Tanzania Mtwara sana. From Korea kusini.
Shukrani sana kaka..Tanzania inazidi badilika.kila kukicha yaani.
Good job Wadau 👍
Thank you very Much..I really appreciate 🙏
Dah am happy kuona kuona madaba - mdenga maeneo yangu ya ukuaji
Shukrani sana Kaka. Ndio mtwara hiyo
Tittle za video zako ziwe kwa kiswahili kama unataka more views
Mbona serekali wamejikatia mapande makubwa kubwa namaofisi Yana mashamba makubwa
Daah Nyumbani hapo
Pongezi kwako bro
Shukrani sana kaka 🙏
Nangwanda sijaona
Sikuingia kule kati kaka
Nzuri kaka,
From India
Thank you Brother
@@godlove20 Kaka can you do a favour? Can you show naf beach,mikindani and Indian community
I will try my best brother next time Nikiwa mtwara nirecord video in those areas.
Soi mtwala Bali Mtwara. R na L.
Thank you very Much..I really appreciate 🙏
Rudi tena mpanda kumenoga
There is also a place called mikindani in Mombasa.
Kukona wasichana wazuri huko mtwara?
Kawaida tu sema wasichana wa mtwara wanajua mambo sana..wamakonde na wangoni siunajua sifa yao kubwa.
asante kaka godlove m.
Shukrani sana