Hizi qaswida za siqa ni nzuri sana zinanikumbusha ALMADRASAT IPTADAIYA KAWE .Mashaallah..Hapo nasikia dufu zote ..kuanzia KIBAKU..TAHTI...CHANYANYO...DOUBLE BASE...na BASE YENYEWE...hakika hii ilikua vitaaaaaa
Hawawezi kukuelewa ni kuwaombea tu kwa mungu. Unajua niliposikia Sumalee kaacha mziki, karudi kwny dini nikajua dini kweli kumbe bado yuko kwny uzushi. Allah amkamilishie safari yake maana bado Inshaallah
koba da wallah sijui niseme nn khatari
Allahumaswali wasalimaaleeeeee naam koba
ALLAHUMA SWALII ALEYH
Maashaallah, namuona marehem Omar mung amunondolee Adhab za kabri
Omar ndo yupi hapo?
Mashaallah
maa shaa Allah
mashallah
Enzi zangu za Laghwi hizo 😮
Nice qasda
Wa2 wa vtta hawa wallah
duuuh hawa watu khatari sana Wallaahi vittaaa
Hizi qaswida za siqa ni nzuri sana zinanikumbusha ALMADRASAT IPTADAIYA KAWE .Mashaallah..Hapo nasikia dufu zote ..kuanzia KIBAKU..TAHTI...CHANYANYO...DOUBLE BASE...na BASE YENYEWE...hakika hii ilikua vitaaaaaa
maalim koba fundi
Vchwa vlikutana yahya, sumalee
ni viiiiiiiiiiiiiiiiita
koba da yan kama mtiti
nakumbuk mbali cn nikiwa Ali madras Rauf iliop tandal uzuri
hatari
ukiona mtu anaongelea enzi ujue amekwisha
Hivi kweli kamahawa Ukiwambi maulid bidaa watakuelewa kweli? Maana uzushi umewakaa kwenyedam
Hata ww ni uzushi
Hahahahahaha ukiwa mjinga
Unapata tabu sana kasome kaka #saidi mrisho maana una uhaba wa elimu sana
Hawawezi kukuelewa ni kuwaombea tu kwa mungu. Unajua niliposikia Sumalee kaacha mziki, karudi kwny dini nikajua dini kweli kumbe bado yuko kwny uzushi. Allah amkamilishie safari yake maana bado Inshaallah
Hata mamako pia mzushi
Enzi zangu za Laghwi hizo 😮