NYOYO ZIMEFURAHIKA NA SWALIENI ZAWALIZA | MADRASAT KHAYRIYYA - HASSAN UWESU NA AHMAD KIONZI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 พ.ย. 2021
- Kaswida Nyoyo zimefurahika ni moja ya Kaswida Mashuhuri Afrika ambayo imetungwa na kutiwa sauti na Marhum Habib Asayyid Sharif Hussein Badawiy kisha ikachanganywa na Kaswida Mashuhuri pia Afrika "Swalieni" ambayo imetungwa na kutiwa sauti na Marhum Sheikh Ali Mzee Komorian.
M/Mungu awarehemu Wazee wetu hawa na awasamehe makosa yao. - บันเทิง
Daaah😭😭😭😰😭 mpk namkumbuka shekh tajiri mgazinja..
Mashaallah may allah bless you and all muslims
@suma Lee Allah azidi kukuongoza katika njia zilonyooka Ameen
ni mapenzi t sumalii amejawa nayo kwa dini ya Allah na Mtume wake, Allah atujaalienasi, Allah azidi kuwa nawe Suma inshaAllah.
Allah amlaze mahali pema marhum shariff hussein Badawy amuweke na mtume wke
Hiii inanikumbusha mzee wetu badawi allh ajalie Pepo jina ukovizuri
Mashallah pongezi kwa mshika nai
Allah awarehemu wazee wetu walitengeza haya mashair
“aaaaaaamin
Namuona Imamu wangu masjid Idrissa Sheikh OMARY
Mashallah jazakumullah kheir
Mtumi huyo sifa zake hazielezeki wallah ♥️♥️
Mashaallah
Ma sha Allah. Allah amzidishie kila la kher
namuona suma lee na machozi yanamtoka kabisaa maashanllah
Unaweza ukazimia wallah
Ajabu asifiwa mtume Muhammad s,a,w lkn utalikuta jitu lachukia kwa kusifiwa mtume s,a,w
jamani nimeinjoy mpaka Nalia subhanallah
Ya marhaba
Shee mungu akulipe mema yote yaduniani mpa siku ya mwisho
Masha ALLAH
Subhanallah
YAA SALAAM
Wachache wanaelewa haya maneno wengne wanaona kama stareh tu 😥
😭😭😭😭😭
الله الله
💥💥💥
Vitah
Maawa vitaa
Mashaallah
Kaka waambie vijana helps hao watulize camera WANATUNYIMA UTRAAAAMU
yaallaah
🔥🔥🔥👌
Mkono kwa mkono hadi peponi
Shekhe kujata apo km namuon
Vitta ni vitta murra kimaru kwenye nai
Kuna baadhi ya watu sioni hata haja ya kuwajibu maana kama waona watu wamepotea siuwaache tu na mambo yao maana hata ukipiga kelele bado hawakuoni una maana yoyote zaidi ya kuwa wanakuona unabweka tu waache na bidaa zao halafu uone kwa mungu ni nani ataingia peponi wa kwanza na kwa taarifa yako kuna mawalii wamewaona mawahabi wakiadhibiwa kwenye moto ... imeisha hiyo
hilo neno imeisha hiyo lipo kwenye kitabu gani
Sufiiiiiiii sumaleee katoka kwenye tabu kaingia kwenye balaaa
Ulaaniwe mshenz ww
Ulaaniwe mshenz ww
@@ameirameir4930 mshenz wewe unaezua katika dini
MASHALLAH 😍
Hii inaitwa kupenda mtume 🤣🤣🤣
Ya Allah 😂😂
Bidaaa hizo alizo sema Bachu
Hata ye bachu mwenyewe bidaa vile vilee
lazima tumsifu mtume wetu na tumpende kama wewe umeona ni bida'a kamsifu mamako na nyanyako
Watu wazima na akili zenu mmekaaa apo mnababaikaaa
Ulaaniwe
@@ameirameir4930 na Allah hawezi kunilaan utasubiri,,,,, ilo laitwa dua la kuku
Maaashaallah maashaallh maashaallh
😭😭😭😭😭