@@edsonndomba1049 hawezi kumpa maisha kiumbe aliyekula, akaenda chooni, na akafa! Maisha yake kampa Mungu Mtukufu aliyemuumba yeye, mimi, wewe na viumbe wengine wote akiwemo kiumbe-nabii issa au Yesu. Yeye anamuamini issa nabii /Yesu, na maisha yake kayakabidhi kwa Mungu aliyemuumba Yesu.
@@edsonndomba1049 huyo yesu kwetu sisi ni Nabii Issa na ni Miongoni mwa Mitume wa Mungu Kua makini na mwili wko usijakaadhiba kesho cku ya Kiama ktk Moto Wa Allah ambao kuni zake ni watu na mawe
Dah nakumbuka mbali sanaaaa wakati nasoma chio nyumbani mbezi kwa mzee Kisanduku enzi izo wakati tupo wajukuu wengi Wa Kisanduku kabra atujatawanyka Inshaallah mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwemaa
J'ai apprécié ce Maoulide car il parle à la 👅 langue Nationale, comme ça tous les Nationaux peuvent le comprendre, à d'autres. National qui le lise en Arabe🌹 alors que beaucoup de personnes ne comprennent pas cette langue merci
wanaomkubali MTUME MUHAMMAD SWALLALLAAGHU ALAYHI WASALLAM tujuane hapo kwa like.
mashaAllah
MashaAllah
Nasikia raha sana kwa swala ya mtume wangu nabi wangu kipenzi mtume Mohammed
MPE Yesu maisha yako raha itazidi maradufu
Maashaallah
Huna baya caroline karibu katika dini ya haqi..😊😊
@@edsonndomba1049 hawezi kumpa maisha kiumbe aliyekula, akaenda chooni, na akafa! Maisha yake kampa Mungu Mtukufu aliyemuumba yeye, mimi, wewe na viumbe wengine wote akiwemo kiumbe-nabii issa au Yesu.
Yeye anamuamini issa nabii /Yesu, na maisha yake kayakabidhi kwa Mungu aliyemuumba Yesu.
@@edsonndomba1049 huyo yesu kwetu sisi ni Nabii Issa na ni Miongoni mwa Mitume wa Mungu
Kua makini na mwili wko usijakaadhiba kesho cku ya Kiama ktk Moto Wa Allah ambao kuni zake ni watu na mawe
Mashallah mashallah mashallah
Allah akuhifadhi ya akhiy
Hiyo ndiyo maulidi khaswaa kiarabu na tafsiri
Dah nakumbuka mbali sanaaaa wakati nasoma chio nyumbani mbezi kwa mzee Kisanduku enzi izo wakati tupo wajukuu wengi Wa Kisanduku kabra atujatawanyka Inshaallah mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwemaa
Sheghe naomba namba ya mwalim hapo tunajambo letu Almadrastul Ridhwaa dodoma tunamuhitaji inshaallah
Mashah allah Mwenyezi Mungu akuzidishie umri mrefu akuhifadhi inafurahisha saaana.
Baada ya kulike comment zote acha na mimi niseme mashaallah
MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH
Alhamdulillah ALLAH AKUHIFADHI INSHAALLAH. AMESOMA VIZURI SANA AMECHANGANYA MAHADHI NA YA KISOMALI MASHA ALLAH
Mashaa Allah tabaarakallah Allah akuzidishie kipaji Mashaa Allah nimependa
Masha Allah!! Douh Alhabiiib twayyyib Allah akuongoze mpaka raha wallah
Mashallh mungu akupe umri mrefu kaka na sauti nzuri zaidi nakuepushe na maovu akujalie uwemiongoni mwa watu aliowandalia pepo inshallah yarab
Masha allah allah akuhifadhi mfumo wa usomaji huu wa milango unaenda kupotea.
Mashaallah Mwenyezimungu akuzidishie kipaji chako
Mashaallah Allah aku zidishie
Asalam aleykum ndugu zangu katika imani mwanyazi Mungu awabariki sana na kuwalipa mema hapa duniani na kesho akhera amina
Masha-allah allah akuja'alie mwisho mwema
Mashallha mungu akuondoshee kila lenye uzito
Mashaalaaa mukisoma hivi kiswahili na kiarabu haki ni vizuri sahaa honhera
Masha Allah..nakumbuka wakat nasoma chuon tukisoma ...
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah akuzidishie Kila la kher, amazing voice
Mashaallah
Masha a llah raha sana, siku hizi watoto wetu hawafundishwi maulid jamani madrasa
mungu amrehemu mwalimu wangu alinifuza sana huo mlango
Dooooh Raha sanaaaaaa wallah
Swallallahu alayhi wasallim .
Mashallah mashallah jazakallahulkhair
Manshaallah Allah akuripe kila la khery
Haki nimefurahi Sanaa mungu akujalie uzidi kutusomea kuran kama hii haki mpaka mchozi yanidondoka Kwa furaha vile ulivyosoma
Mashaalla mwenyez mungu azidi kukubariki
Allahumma Swalli wasallim alaa Nabiyyinaa Muhammadin
Allahu maswalli wasallimu alayhi Allahu aqbar
Allahumma swalli wasallima a'leyyy dooooohhhh allah akuzidishie killa khayr
Mashaallah shekhe wa mkuranga unatukonga moyo wapenzi wa mtume Mohammad swallalwahu Alayhi wassalaam
J'ai apprécié ce Maoulide car il parle à la 👅 langue Nationale, comme ça tous les Nationaux peuvent le comprendre, à d'autres. National qui le lise en Arabe🌹 alors que beaucoup de personnes ne comprennent pas cette langue merci
Translate in swahili language national tanzania
I appreciate you
Aslm alkm ww..... Masha Allah!!!!!! Ya salllaaaaam. Masha Allah, tabarakallah.🌹
Baraq Allah fii umri yaa ustaadh
Mashallh
Mashaallah
Nyie wandengereko, mmekosa majina mpaka mnairana majina ya konokono walioharamu kwa wamakonde ? Uko vizuri NG'ONYO. . Swallallaahu alayhiiiii
Mashaa Allah ustadhi Allah akuhifadhi.
Masha allah Masha allah raha sana Masha allah
Mashaallah baraka llah ustaz unaviweza vibwagizo❤❤❤❤❤❤
Mashaallah❤❤
Maashaa llaah
Allahuma swali ala Ali Mohammed wala Ali said Mohammed
Mashallah
Ungejifunika
Wallwahi ukifa huozii mashallah 🙏🙏🙏
Dada yanga Bint makanga?
Mashallah mola akubarik kiukweli faslu hiyo umeitendea haki huchoki kuiskiliza
Nimefurahi sana kuona mapennz haya haya. Mtukufu wa daraja na tusibabaishwe na hawa watu ambao uislaam aupo kwny damu na elimu ya dini hawana
Mndengereko atatia ghunna hapo jicho lake lote kwenye hela tu. Allaahumma swallii wasallim wabaarkialaaayh.
Allah akbar
صلى الله على محمد صلى الله عليه وآله وصحبه وسلم
maashaa allaah allaah amzidishie
Mwenye sifu husifiwa anajua
Mashaallah,Allah amzidishie Krerri,INSHAALLAH
Maashaallh
Mashallah jazakallahu khaira al-akhy
Watu huna cha kuwaambia kwa mtume wao
SWALALLAHU ALAIHI WASALLAM!
Manshaallah❤🤲
Mashallaah
AllaaHumma Swalli 'Alaa Muhammad Wa AaliHi Wa SwahbiHi Wasallam.
Masha Allah Allah akuzidishie
Mashallah mashallah Allah akuhufadhi
Mashallah..
muweke na namba yake yukimtaka aje kusoma kwenye maulidi zetu huku mtaani tumtafute ili azidi sambaza elimu hiyo Insha Allah
Maashaaa Allah
Manshallaah mashallah mashaallah
Ahsantukum
Daah allah umuhifadhi siku ya kiyama
Mashaallah allah akulipe kwakila jambo inshaallah🙏🙏🙏😍
Wallah ustadhi anajua mpaka basi
Maasha Allah
Allahummaswali Wasalimalay
Mashaallahaaa Ali ustadhi waa mkurangaaa
Woooooow aaah sielew niandikee nn Mashaallah mashallah mashallah mashallah
Masha Allah Allah akulinde
Mashallah mungu ajaze iman 7:09
Maa shaa Allah
Mashaallah
Najikuta mwili wanisisimka Allahu akbar
Mashaaalllah
@@abdulmohammed5551 alhamdulillah
Mashallah swalalahu alinnabii,M'mungu akulipe panapostahili
Haichoshi masikioni wallah raha mpaka nyoyo inasisimka
iko
Mash aallwaaa
Ustadhi allwaa azidi kukupa ujuzi kulingania Dini yetuu
Na vizazi vyetu wafuzu kulingania Dini ya ALLWAA
Shekhe nakupenda Kwa ajili ya alla
Mashaallah Allah Akbar ❤❤❤
bismillahi maashaa ALLAH
Masha allah
Allaahumma swali wasallin alyk
Allahuma saliy wasalalim alee
Jazaaq llah
Mungu akudumishe
Masha Allah, Allah akuhifadhi
Mashaaallah...
Jamari
Muhamedi
Darodi
Mashaallah mashaallah
❤ Masha Allah mung akutunze
Mashaallah swalunnabii
A
Mashahllha
Allah Akbar
Masha-allah watusisimua wallahy uongo Dhambi
Masha Allah
Swalu ala raslulahi
MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH
SI MCHEZO SAAAAFI SAAAAANA SHUKRAN
Mashalwah kipenz hd raha usingzi unakutoka
RAHA SANAAA
Mash a Allah
Mwenyezimungu amjaalie kila la kheri katika Maisha yake na pepo iwe makaazi yake aamiiina
MashaAllah mpaka machozi yanitoka kwaraha
🙏🙏🙏
Mashaallah
Jazaqa llahgayra
Swallualaa Nnabii Mohammad ya habibikum
Allah amlipe Kheri Inshallah
Allahumma swalli alaa MUHAMMAD waala ali MUHAMMAD
Bidaa Allah awaongoze
Allah Akbar
Tumswalie mtume
Wallah Raha
Mashaallah
Namba za za msomaji
Twamuhitaji