TUMIA YA LATIF KWA IDADI HII UONE MAAJABU YAKE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2021
- Wasiliana na Sheikh Nassoro Muhammad kwa namba hizi 0717749113 kwa Maswali, ushauri na kwatiba za kuwatoa majini na vifungo mbalimbali
⚫️ WASILIANA NASI MIRAJ KHAN ( WHATSAPP +255 713 730 907), ( +255 745 661 711)
⚫️ Email: buikhan21@gmail.com
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh!
Hakika sheikh umesema kweli
Naomba kutoa ushahidi juu ya hili jina TUKUFU LA YAAA LATWIIIF
mimi nilifululiza kwa muda wa siku 7
Nililisoma mara elfu 16
Naamka usiku saa 9 na kuswali haja kisha kuanza kulitaja mara 16elf
Wallahi shida yangu siku ya 8 ilitatuka
Allah kareem
Allah akujalie umri uzidi kutupatia faida kwa mambo mengi kupitia kitabu kitakatifu cha Allah innshAllah.
Mubarak 🙏 shukar 🙏 allahuma Salli Allah Muhammadin wa aale Muhammad till the Day of judgement 🙏
Asante Sana shekhe kwahiyo hiyo idadi ulisema inatakiwa ifanyike kwenye kikao kimoja au laa...
MashAllah. Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu shehe
Masha Allah
Sheikh ..hv tunafanya moja Kwa moja au unaxoma chache alaf nyingine.. unaweza kumalizia baadaey
Shukran Sana Sheikh kwa
Uffafanuzi huo . Allah akupe kila lakheri.
Allahumma amin
Allah akulip kheri shekh
Jazaak Allahul kheir! Waalaikum salaam wa Rahmatullahi wabarakatuh
Mashaallah shekh wetu allah akufanyie wepesi ktk kutufikishia mazuri
Allahumma amin
Alhamdulillah
Maaashalaahhh
Maashaallah
MashaAllah
Shukran sana shekhe mwenyezi mungu aendelee kukulinda ameen inshaallah
Allahumma amin
innshallah
Masha'Allah
Mashallah
Shukran
بارك الله فيك
Waalaikumu salam wa rahmatullahi wa barakatu
Mashaallah
Shukran
Shukran
Maashallah tabarakallah
Hamna waqti maalum sheikh
Mungu akubariki .Niko na swali sheik hii elfu 16,641naweza isoma kwa vibande ama pale nikikaa siwezi ondoka mpaka nimalize .naomba unibu inshaallaah
Ni kwa kikazi kimoja sheikh
Unatakiwa kufanya Kikao kimoja tu
🙏🧎