IJUE HISTORIA YA MAREHEMU SHEIKH ALHAD OMAR KAWAMBWA iliyosimuliwa Na SHEIKH ADAMU AHMAD ABDALLAH 02

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 เม.ย. 2022
  • PART 2 SEHEMU YA MWISHO.
    ELIMIKA , ANGAZIKA NA AL AMEEN TV.

ความคิดเห็น • 34

  • @SuleimanMarijani
    @SuleimanMarijani 13 วันที่ผ่านมา +2

    Alhamdulillah history inajieleza vizuri na Leo hii Sheikh Adam hatunae Allah Awajaalie Pepo ya daraja yaa juu Jannatul Firdaus
    Amiiyn

  • @alibabli
    @alibabli 14 วันที่ผ่านมา +2

    Wazee wa zamani wakifanyiana ihsani sana na Allah akiwapa njia kwa wepesi.

  • @hafidhmhmd9065
    @hafidhmhmd9065 2 ปีที่แล้ว +2

    اللهم اغفر له وارحمه وعافه واعف عنه وأكرم نزله ووسع مدخله واغسله بالماء والثلج والبرد ونقه من الذنوب والخطايا كما ينقى الثوب الأبيض من الدنس اللهم آمين

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah akulipe na akujaalie makazi mwema huko katika kaburi lako shekhe

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 13 วันที่ผ่านมา +1

    Amiin,, Masha Allah

  • @Chemba67
    @Chemba67 12 วันที่ผ่านมา

    Sijui lini nitapata kuujua undani wa hayo matatizo aliyoyapata Saidi Hussein Badawi....maana kila anapozungumzwa historia yake , mzungumzaji huishia kusema aliondoka baada ya kupata matatizo ..............inshallah kheir wenda ipo siku tukaipata habari kamili.

  • @mahamuduhassan8511
    @mahamuduhassan8511 2 ปีที่แล้ว +2

    maa shaa Allah tabaaraka rrahmaani hakika ni history iliosheheni mafunzo mengi mno ya kichamungu

  • @ajmilee4204
    @ajmilee4204 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭 Mola wasaameh wazee wetu walipo kosea

  • @khalfanahmad2723
    @khalfanahmad2723 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @RajabSuwed
    @RajabSuwed 11 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Allah ampe Daraja la juu peponi Inshallah

  • @aligmoha9015
    @aligmoha9015 2 ปีที่แล้ว +2

    Maa sha allah allah akuifadhi mzee adam

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 2 ปีที่แล้ว +1

    Inalilah mungu akupe kauli dhabit

  • @machanohajimachano666
    @machanohajimachano666 ปีที่แล้ว +1

    MashaaAllah

  • @iddichaurembo4308
    @iddichaurembo4308 2 ปีที่แล้ว +6

    Innaa lillahi wa innaa ilayhi raajiuna. Allah ampe kauli thaabit Ndugu yangu shk. Alhadi Omar Kawambwa. Nathibitisha. Kuwa yote aliyoyazungumza Shk. Adam Ahmed Abdalla ni ya kweli. Wakati Alipokuwa Jumuiyatul islamiya tulikuwa pamoja. Hiyo ilikuwa kati ya miaka 1955 na 1958 kabla ya uhuru wa Tanganyika.

    • @Assiya39
      @Assiya39 12 วันที่ผ่านมา +1

      Maasha Allah ameupata umri mrefu wenye uchamungu 😊 Duuh iyo myaka ata wazazi wetu walikua hawajaziwa wala mimba zao hazijapatikana 😮Allah atupe umri mrefu wenye uchamungu kama wa sheikh Adam 🤲

  • @kulwamitondwa8777
    @kulwamitondwa8777 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah amuhifadh sheikh wetu na amrehem swahib wake mkubwa na mwalimu wetu sheikh wetu Marhum Sheikh Alhad

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja 12 วันที่ผ่านมา

    Masha allah mungu atawalipaa

  • @kulwamitondwa8777
    @kulwamitondwa8777 2 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah

  • @issakawaya8315
    @issakawaya8315 2 ปีที่แล้ว +4

    Allah amuifadhi ampe pepo ya firdaus

  • @jumabias4917
    @jumabias4917 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @Chemba67
    @Chemba67 12 วันที่ผ่านมา

    Mtu wa nyumbani huyu ...dah ....kila inapotajwa Kisiju , naumia sana.......kwakua wazee wangu wote ambao wenda wangenipa maarifa mengi juu ya hawa Masheikh wakubwa wanaotokea Kisiju wametangulia.
    Mwenyezimungu awarehemu wote , Sheikh Alhad, Sheikh Adam Ahmad, Sheikh Nassor Amran, na wazee wetu wote.......

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 14 วันที่ผ่านมา +1

    sheikh Adam Ana mengi sana ila mwandishi hampi Uhuru

    • @alameentvTz
      @alameentvTz  14 วันที่ผ่านมา

      Mungu amrehemu

  • @kessynassoro2847
    @kessynassoro2847 12 วันที่ผ่านมา +1

    mtangazaji ukifanya interviewmwache uneyemsaili azungumze sio wewe unachukuwa sehemu kubwa ya maelezo as if ww ndiwe unayehojiwa

    • @alameentvTz
      @alameentvTz  11 วันที่ผ่านมา

      Ushauri tumepokea

    • @kessynassoro2847
      @kessynassoro2847 11 วันที่ผ่านมา

      @@alameentvTz interview ina muda wa dakika takriban 35 lkn mtangazaji ametumiatakriban dakika 10 anaongea yeye as if ndiye anayehojiwa na matokeo yake anakata kipindi kwa kuisha muda il hali yeye ameutumia vibaya muda wa kipindi

    • @alameentvTz
      @alameentvTz  11 วันที่ผ่านมา

      Ushuri tumeupokea

  • @mnyengaselemani3257
    @mnyengaselemani3257 7 วันที่ผ่านมา

    Sasa si utusimuliye wewe mbona unaongeya wewe mtangazaji kuliko unaye muoji

    • @alameentvTz
      @alameentvTz  6 วันที่ผ่านมา

      Ushauri mzuri