Rais MUSEVENI Amvunja MBAVU MAGUFULI - "Unajua Maana ya Chato?"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Rais MUSEVENI Amvunja MBAVU MAGUFULI - "Unajua Maana ya Chato?"
    Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni atafanya ziara binafsi ya siku moja nchini Tanzania, leo Julai 13, ambapo atamtembelea Rais Dk Magufuli kijijini kwake Mlimani, mkoani Geita.
    Akiwa Chato, Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Dk Magufuli.
    #MUSEVENI
    www.youtube.co.... www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
    globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

ความคิดเห็น • 161

  • @mohamedmakanyira8524
    @mohamedmakanyira8524 5 ปีที่แล้ว +10

    Hongera mh Mseveni karibu tz uhiji.

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 4 ปีที่แล้ว +1

    Best attractive speech

  • @shemelsyi208
    @shemelsyi208 5 ปีที่แล้ว +15

    Viongozi wa zamani mnaongoza hamtawali..you Educate but not forciñg in nature!Ahsante

    • @johnkasole4643
      @johnkasole4643 5 ปีที่แล้ว

      John Congo uwaite hatamarais wengine wa africa musaidiyane

    • @johnkasole4643
      @johnkasole4643 5 ปีที่แล้ว

      Shemel Syi kimafikiri yakuokowa wana ichi

  • @joshuaeliya8559
    @joshuaeliya8559 5 ปีที่แล้ว +14

    Museven kaja Hija ya kweli na mahali pa hija ya MUNGU BABA. YAMETIMIA NIKIWA NAONA. ASANTE SANA MUNGU BABA

    • @jonaskilomba4094
      @jonaskilomba4094 5 ปีที่แล้ว

      Kwa Nini umesema ivo nifafanulue nikuelewe maono yako

    • @filbertnashon7160
      @filbertnashon7160 5 ปีที่แล้ว

      @@jonaskilomba4094 😁😁😁😁😁kumbe nawe ujaelewa kma mm,mtu kaja chato afu Joshua anasema Mungu baba yaketimia akiwa anaona😁😁😁😁😁

  • @anordsyliacus9288
    @anordsyliacus9288 5 ปีที่แล้ว +5

    Ur excellence....ur good in history . ... It will be better when u will pedagogise it

  • @philipkomba5525
    @philipkomba5525 5 ปีที่แล้ว +2

    du mzee anahistoria nzuri ya mahusiano ya kibiashara kati ya tz na Ug nimependa sanaaa

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 5 ปีที่แล้ว +8

    Tunakupenda Rais Mseven karibu Tz

  • @emmanuelburchard3153
    @emmanuelburchard3153 ปีที่แล้ว

    Karibu hija Kaguta.Nyegera.

  • @samuelboniphace474
    @samuelboniphace474 5 ปีที่แล้ว +2

    Vizur mheshimiwa.

  • @davidchesco52
    @davidchesco52 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah yan asante mh yower kagut museven umeongea vizur sana nimeelimika sana hatumii nguvu bali akili na history

  • @kainamuragodfrey7428
    @kainamuragodfrey7428 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante Museveni kwa hutba yako ya leo

  • @bahishaalexander3641
    @bahishaalexander3641 5 ปีที่แล้ว +1

    Older but talented president.we love Ugandan their culture also.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน

    huyu M7 ni poa mno..safi sana

  • @kiuwamhina2802
    @kiuwamhina2802 5 ปีที่แล้ว +12

    Kweli daaa!! Raisi museveni anaeleweka sana pande izo, wote kwa umoja wao wanamwelewa, na anaijua Tanzania kama njaa.

  • @lazarosilayo6918
    @lazarosilayo6918 5 ปีที่แล้ว +8

    Hiyooo Kofia Mh. M7 unaishikilia km dhahabu,.. Mwl. Hayati Nyerere alikuwa anashikilia Fimbo mkononi, ww Kofia....!!!

  • @nuranzubail1240
    @nuranzubail1240 5 ปีที่แล้ว +8

    Historia nzuri hutuba nzuri

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen. Baba Mungu awabariki nyote. Amen.

  • @j_gh812
    @j_gh812 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akulinde zaidi rais museveni na akubariki zaidi

  • @newchapteroriginal7282
    @newchapteroriginal7282 5 ปีที่แล้ว +7

    Hakika Hija ya MUNGU BABA iko Tanzania , your correct Mh President Museveni

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 4 ปีที่แล้ว

    Mimi ni Mtanzania lkn Museveni anaijua Tanzania kuliko Mimi

  • @braysonchalamila1655
    @braysonchalamila1655 5 ปีที่แล้ว +3

    Napenda uje kuwa tunu na kumbu kumbu nzuri kwa viongozi wajao na sipendi uje uishie kama Gadafi au Bashiri. Mungu akupe mwisho mzuri na uufrahie uzee wako. Plz mzee wetu zingatia hilo

  • @jaredmutego6884
    @jaredmutego6884 5 ปีที่แล้ว +6

    Kenya Rwanda Kenya tananzania Uganda iongee kiswahili

    • @wilsonlyakungi2157
      @wilsonlyakungi2157 5 ปีที่แล้ว

      Jared Mutego

    • @ibrahimwario3177
      @ibrahimwario3177 5 ปีที่แล้ว +1

      @Jared Mutego kwli yko Kiswahili ndo lugha zetu za kitaifa km africa mashariki na km viongozi wetu ya waafrika wangeshikana km mandugu ningependa Kiswahili iwe lugha yetu ya kiafrika tuachane na lugha ya wakolini (kimombo) tujivunie uafrika tuishi km mandugu

  • @williamsonbais9131
    @williamsonbais9131 5 ปีที่แล้ว +20

    hakika mseven unaeleweka zaidi bukoba,, kiganda /kinyankore ni kihaya kabisa leo nimeamini

    • @vhiedkc859
      @vhiedkc859 5 ปีที่แล้ว

      williamson bais kiganda tofauti na kihaya
      Kinyankole kitoro ndo kinafanana na kihaya
      Wanyankole wana “R” wahaya wana “L”

    • @denizapatrick5308
      @denizapatrick5308 5 ปีที่แล้ว

      williamson bais

  • @jeanmubemba1204
    @jeanmubemba1204 5 ปีที่แล้ว +5

    Raiasi museveni ana akili sana ,huwa nampenda sana,tusidanganywe na wazungu eti raisi mwisho miaka kumi ni ujingga,rais kama museveni au magufuli hata akitawala mika 23 ni sawa kabisa,waafrika amkeni! bg up marais wetu tunawapenda sana,MUNGU AWALINDE

  • @apostleemmanuelmabuga8148
    @apostleemmanuelmabuga8148 5 ปีที่แล้ว +1

    Umri Some times huleta wisdom Mseven ana experience nzuri Sana Hata kuhusu tz kiukweli

  • @aaronpaul2687
    @aaronpaul2687 5 ปีที่แล้ว +4

    good is good mseven God bless you. watanzania tumemsikia pres uga tujitengenezee yajira sisi wenyewe sio unamalza university macho kwa serikali unataka ajira ajira 444000 je zitawatosha watu 44million mseven in short ameeleweka.

  • @magotomarwa7816
    @magotomarwa7816 4 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @jofreykivambe2644
    @jofreykivambe2644 5 ปีที่แล้ว +1

    Umeeleweka vyema mzee wetu

  • @remigiusyustinian200
    @remigiusyustinian200 5 ปีที่แล้ว +1

    Kihaya unakifaham vzr Sana

  • @ezapesambili2130
    @ezapesambili2130 5 ปีที่แล้ว +3

    Ubwato cc waha wa kigoma tumekuelewa vizur

  • @jacoblaiser7634
    @jacoblaiser7634 5 ปีที่แล้ว

    Mhe Museven wewe ni kiongozi. Umekomaa vyema katika uongozi. Hongera

  • @jumakatema6348
    @jumakatema6348 5 ปีที่แล้ว +7

    mhe museveni ni ndg wa Kweli wa Tanzania.

  • @lypoma179
    @lypoma179 5 ปีที่แล้ว +8

    Haaaa... haaa!! Sebo ameenda kutafuta tausi zake nne pia...kama zenye uhuru alipewa.

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 5 ปีที่แล้ว

      Aisee una majina ya mtoto wangu anaitwa Atieno Achieng.... Jaluo wa Tanzania

  • @melikielavelline6858
    @melikielavelline6858 5 ปีที่แล้ว +1

    Kiswahili ni uko good

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 ปีที่แล้ว +2

    Ongeeni yoooote, Lakini Mungu ndie mpangaji wa yote, Chato ni Tanzania yetu hii hii, badala ya kushukuru na kumshukuru Mungu kuidhinisha URais wa Mh. Magufuli, kabisa na akili timamu mtu UnaComment kua ni dikteta, Kweli nimeamini kunguru hafugiki, Lakini Mungu ndio mwenye Nguvu atamlinda kwa ulinzi wa KiMungu, Aamina.

    • @eng.danielwinani7439
      @eng.danielwinani7439 5 ปีที่แล้ว

      Binuru Sm kaka uk sahihi achana na wavta bang walxha choka na maixha wapumbaf2 cjui wametmwa kama hawana cha ksfia wakae watlie

  • @bigirimanabahati8256
    @bigirimanabahati8256 5 ปีที่แล้ว +5

    Muze museveni nakwamini sana

  • @marthamgeyekwa8413
    @marthamgeyekwa8413 5 ปีที่แล้ว +2

    Mali izalishe ajira, safi sana

  • @deevon3364
    @deevon3364 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee Uko makini Sana nimekuelewa vizur kabisa kuhusu
    Mandeleo
    Utajili
    Kazi
    😂😂😂😂😂😂😂

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 5 ปีที่แล้ว +10

    Watanzania woote WA DUBAI LEO KWA WAGANDA TUNA PUNGUZO LA BEI MUSEVEN KASHATANGAZA

    • @salumrashidabdullashmely2558
      @salumrashidabdullashmely2558 5 ปีที่แล้ว +2

      Bei ya nini?

    • @cypmkutubi3109
      @cypmkutubi3109 5 ปีที่แล้ว

      Sijakupata vizuri ndugu, kwamba Watanzania watapunguziwa bei kwenye maduka ya Waganda?

    • @jonierubea1416
      @jonierubea1416 5 ปีที่แล้ว +1

      Mkuu manyota me nimepata punguzo Kwa mganda Hapa Naif deira huwez amini

    • @manyotaskipper5765
      @manyotaskipper5765 5 ปีที่แล้ว

      Salum Rashid Abdulla shmely haupo Dubai usingeuloza bei ya Nini kwa waganda

    • @manyotaskipper5765
      @manyotaskipper5765 5 ปีที่แล้ว

      Kyangwe Suba haupo Dubai hasa Miata ya Deira ungejua ninitunamanisha kutoka kwa waganda Baniyas squire hadi albaraaa

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 5 ปีที่แล้ว +1

    👏🔥🔥🇹🇿

  • @sayilameck6930
    @sayilameck6930 5 ปีที่แล้ว

    Babu M7 ni mwl mzuri wa history

  • @abuuashyam8417
    @abuuashyam8417 5 ปีที่แล้ว +2

    ahh..kumbe uyu jamaa anaongea kiswaahiliii

    • @allymngwaygo8987
      @allymngwaygo8987 5 ปีที่แล้ว +1

      Amesoma UDSM huyo jamaa anajua kiswahili sana tu

  • @jumakatema6348
    @jumakatema6348 5 ปีที่แล้ว

    bunsinsi. 😃😃😃😃👏👏👏👏

  • @juliusjohn9453
    @juliusjohn9453 5 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni Mwalimu, umetoa elimu ya uchumi.

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 ปีที่แล้ว +8

    Haha haaa kasheshe ipo kwenye "
    ng'ombe na ngombe '

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 5 ปีที่แล้ว +3

    Mnyamwezi (muungwana) ,sasa mliobakia ni wajakazi na watwana,mtusamehe jamani.

  • @josephmwabange9633
    @josephmwabange9633 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaani kaongea Kinyakyusa kabisa Kama Bwato na Bwalwa,Lusisi nimeshangaa sana

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii itakua ni chato cha pombe tu. Si unaona hata Magu anaitwa pombe

  • @marthamgeyekwa8413
    @marthamgeyekwa8413 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa tafakari ya lugha

  • @djonetz2730
    @djonetz2730 5 ปีที่แล้ว +3

    Mseven naona anaelewa lugha yangu kinyambo kitupu obwato _chato mwasibha MTA _habari zenu yaan nimeona ni lugha yangu kabhisa busisi _sisimizi alfu empazi _siafu yaan kama tunavyoongea ss

    • @adamngazira658
      @adamngazira658 5 ปีที่แล้ว

      Hata mm mzinza ni sawa na ww na mganda

    • @juliusjustin4813
      @juliusjustin4813 5 ปีที่แล้ว

      Ni lugha ya wtu wote waeneo la kagera na sisi wahaya tunamuelewa kwahyo hakuna kitu hapo

  • @richardnyeura3015
    @richardnyeura3015 5 ปีที่แล้ว +3

    Mbona maneno yoooote yanaeleweka katika kijita pia 😨😨😨

  • @danielmwijage3045
    @danielmwijage3045 5 ปีที่แล้ว +3

    Watu ambao hawafahamu Museveni ni mhaya ukifuatilia historia

    • @djonetz2730
      @djonetz2730 5 ปีที่แล้ว

      No huyu mnyambo kabhisa make mhaya aongei hivi make hata ukifuatilia histolia wanyambo wametokea uganda

    • @benobuyoya8675
      @benobuyoya8675 5 ปีที่แล้ว

      @@djonetz2730 No yeye in muhima ndani yake kuna watutsi na wanyankole

  • @shedrackbwatota5799
    @shedrackbwatota5799 5 ปีที่แล้ว +1

    Obhusisi, obhwato, bhwanga, Niwemughizi. Wankolaho iwe msizawe! Whebhale kwiza omwihanga lyitu.

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 5 ปีที่แล้ว +6

    Mu 7 upo sahihi kabisa magu oyee

  • @abdilahmtipa4828
    @abdilahmtipa4828 5 ปีที่แล้ว

    nmekusoma museveni

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 5 ปีที่แล้ว

    Huyo ndo rais museven, ..mtemi Wa Uganda, hahhhh

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว

    Jamani minajua kua likizo ni kulalaaaa hadi usingizi unaisha. Mi ningekua magu ninge lalaje

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 5 ปีที่แล้ว +1

    Tupo poa

  • @fabianmahenge2949
    @fabianmahenge2949 5 ปีที่แล้ว +5

    Bwato kinyaki mtumbwi maneno yote aliongea yanaendana na kinyakisyu

    • @eliusgration4150
      @eliusgration4150 5 ปีที่แล้ว +1

      Fabian Mahenge hata kihaya ni bwato

    • @ibrahimtatock5725
      @ibrahimtatock5725 5 ปีที่แล้ว

      Heko Raisi mseveni uko vizuri

    • @franceobed7463
      @franceobed7463 5 ปีที่แล้ว

      Dah we ni mnyambo mseven kabisaa iyo ni lugha yetu wanyambo

    • @juliusjustin4813
      @juliusjustin4813 5 ปีที่แล้ว

      @@franceobed7463 hakuna lugha ya kinyambo ni lugha ya watu wajamii ya kagera hiyo wanoitwa wahaya

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 5 ปีที่แล้ว +1

    What is the motive of this visit?

    • @felixmwasongwe8043
      @felixmwasongwe8043 5 ปีที่แล้ว

      You want to know for what

    • @brother_majesty
      @brother_majesty 5 ปีที่แล้ว

      Wanajaziana philosophies na kubadilishana mbinu za udikteta

  • @vedastusukovzrmrnaykiyoger5978
    @vedastusukovzrmrnaykiyoger5978 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongera kwa kuja

  • @frankmnale1900
    @frankmnale1900 5 ปีที่แล้ว +3

    Mbn kama wakerewe na waganda wanaingiliana maneno

    • @mathiaskisinza7007
      @mathiaskisinza7007 5 ปีที่แล้ว

      frank mnale ndo walewale sababu wakelewe wametoka uganda

    • @frankmnale1900
      @frankmnale1900 5 ปีที่แล้ว

      Mathias Kisinza
      Mi na uraia wa TZ

    • @heraldloshi1864
      @heraldloshi1864 5 ปีที่แล้ว

      Wabantu.

    • @tegezdomin8363
      @tegezdomin8363 5 ปีที่แล้ว +1

      History iko hivi wakerewe wametokea uzinza Geita,history ya wazinza niwahaya na waganda,wakerewe katika hali ya utafutaji kwakutumia mitubwi wakapata kisiwa ambacho kilikuwa hakina watu wakaishi hapo

  • @hajimbombe2869
    @hajimbombe2869 5 ปีที่แล้ว

    Ongera rais was jamuhuri ya mungano wa Tanzania kwa Nazi nzuri

  • @jumakatema6348
    @jumakatema6348 5 ปีที่แล้ว

    babuuuuu mu7

  • @tedayani6065
    @tedayani6065 5 ปีที่แล้ว +1

    Museveni anaongea swahili kama lunyakore. .

    • @sophiagabriel5726
      @sophiagabriel5726 4 ปีที่แล้ว

      wewe onaongea English kama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sylasoswald343
    @sylasoswald343 5 ปีที่แล้ว +1

    kweli uyu amekaa kwetu kyerwa, lugha yake ndo lugha ya wanyambo
    obhusisi
    empazi
    obhwato
    abhalunganwa (waungwana)
    chikoloni(kikoloni)
    chi (ki)
    chihistoria
    chiwanja chikubhwa
    kweli karibu chato karibu kyerwa aswa kamuli na rwabigaga 😁😁😁😁😁😁😁😁

    • @juliusjustin4813
      @juliusjustin4813 5 ปีที่แล้ว

      Hakuna kinyambo hapo nikutfta identity iliyopotea kwasababu wasubi,wanyambo na wengine wote wanaongea lugha mmoja ya kihaya inayitofautiana kidgo kidgo kutokana na mazingira

  • @edsonmbilinyi8551
    @edsonmbilinyi8551 5 ปีที่แล้ว

    Kopo na mfuniko🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @habibumallanga6392
    @habibumallanga6392 5 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania cyo ijjah uku umekuja kwa rafki bhan ijjah wafananisha na uku

    • @ayubually5084
      @ayubually5084 5 ปีที่แล้ว +1

      Amesema kisiasa na kwa yy

    • @joshuaeliya8559
      @joshuaeliya8559 5 ปีที่แล้ว

      Yuko sahihi kabisa, kaja hija ya MUNGU BABA.

    • @ngendoclaude5057
      @ngendoclaude5057 5 ปีที่แล้ว +1

      Mr president, nakukubali sana, ila naomba urudishe uhusiano mwema kati ya Nchi tsko na Rwanda, bila kusahau Burundi na Congo, ilikudumisha amani afrika mashariki na nakati.

    • @Mwinyi79
      @Mwinyi79 5 ปีที่แล้ว

      Chuma hichoo...Museveni!

    • @deusmauka9626
      @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว

      Yupo sahihi

  • @babakendrickjackson1586
    @babakendrickjackson1586 5 ปีที่แล้ว +1

    Wajita mpo obhwato

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 5 ปีที่แล้ว +3

    Duu museveni eti hijjah jamani tuachie dini yetu

    • @shabanmiraj2258
      @shabanmiraj2258 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa km wameipenda hijja ya kiislam wasilim tu

    • @reachthegoal7624
      @reachthegoal7624 5 ปีที่แล้ว +3

      Acheni kukariri hilo ni neno linalomanisha kuabudu kwa kumbukumbu sasa nyie mnaona ni neno la kiislamu tena? Inawezekana mkawa marufu kulitumia lkn sio maana yake kuwa ni neno la dini. Sawa na mtu kulalamika kuwa Agano ni neno la kikristo, sio kweli. Agano ni mkataba au makubaliano.

    • @omarbosiomar8608
      @omarbosiomar8608 5 ปีที่แล้ว +2

      @@reachthegoal7624 so he was coming to perform pilgrimage to tz ajabu

    • @omarbosiomar8608
      @omarbosiomar8608 5 ปีที่แล้ว +2

      @@reachthegoal7624 nyie mwafanya hijah wapi je kitambo ikamilike kuwa hijjah wafaham masharti yake so tunapo sema tuachie dini yetu tuna maana

    • @kiswahilikitukuzwe2547
      @kiswahilikitukuzwe2547 5 ปีที่แล้ว +2

      @@omarbosiomar8608 Alikuwa mkimbizi Tanzania enzi za Iddi Amin.

  • @jeanmubemba1204
    @jeanmubemba1204 5 ปีที่แล้ว

    KAMA KAWAIDA YAKE KUCHEKESHA NDO MAANA MPAMIRE ANATKUTANIA HAHAHAHAH

  • @benardkibet9290
    @benardkibet9290 5 ปีที่แล้ว

    Watanzania wajinga wanasupport dictator Museveni! Alipigwa mawe Kenya 🇰🇪

    • @freelancer6368
      @freelancer6368 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂Kenya hatufugagi

  • @paull8659
    @paull8659 5 ปีที่แล้ว +7

    Museveni ni Dikteta mwingine, hataki kuondoka madarakani. Ni lazima aje kumsuport pontentially uprising new dictator.

    • @alexkabeho5609
      @alexkabeho5609 5 ปีที่แล้ว +5

      Huna hoja looser

    • @sadypindua581
      @sadypindua581 5 ปีที่แล้ว +5

      unajua maana ya neno dikteta au unajisemea tu

    • @samsonmwijage1602
      @samsonmwijage1602 5 ปีที่แล้ว +7

      Paul you are the looser. Udikteta huoini kwa mbowe (division 0 form vi) ambaye alijipachika uenyekiti 2004 hadi leo 2019 takribani miaka 15 hataki uchaguzi!!!!!!

    • @yessecharles3155
      @yessecharles3155 5 ปีที่แล้ว +5

      Hujitambui boss

    • @mpondaahamida2146
      @mpondaahamida2146 5 ปีที่แล้ว +5

      Ushauri wa bure wahi mirembe kabla vitanda havijajaa

  • @anordsyliacus9288
    @anordsyliacus9288 5 ปีที่แล้ว +1

    Ur excellence....ur good in history . ... It will be better when u will pedagogise it