ZIARA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI RUKWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Rukwa ambapo anafungua na kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali ya Rukwa na Wilaya zake
Pongezi Mh Rais kwa kazi nzuri, hongera sana, kazi kwetu wananchi kufanya kazi kwa bidii
Mungu azidi kukubariki Rais wetu mpendwaaaa Mh. John Pombe Magufuli....Sisi Watanzania tumekuelewaaa
Tumekuelewa sana Mhe Rais John pombe Magufuli
Kiongozi tuliyemtaka tumempata hatuna budi kumuongezea muda zaidi angalau miaka 20 katiba sio Msahafu Ibadilishwe!!!!
JPM kipenzi cha wanyonge
KAZI KAZINI"SALA NA KAZI"
Hivi ziara hiyo ni ya kichama au serikali? Tusionyeshe ujinga wetu kwa kutopambanua hilo. Ziara ya kiserikali inapambwa na bendera za taifa na ya kichama hupambwa na bendera za chama.