Hongera Mhe daktari Magu lkn kama ni mm ntasema wakubwa wenzangu wenye hoja nakaribisha kupinga au kuboresha hoja hizi. Lkn kubwa zaidi kabisa hapo ni kama pasenti moja tu ya shida na maagizo ya jumla haweki mikakati ya kutosha ya kata na DC au RC kuwasikiza Wananchi kwa strategy ya register.
Zakayo wa kenya uko wapi upate mafunzo masuri pure kuriko yare ya total man wa uganda my broz nizadiki pure kitakuramba ukue kama total man mwili urigeuka mamba my broz
Ukita cha ulaisi kalime wewe, wakulima pigeni pesa mumenyanyasi sana, watu wanakaa mjini tu wanataka nafaka zishuke bei, wakome nawao walime washushe bei.
zawadi ommary Amemuuliza ni.wa chama gani maana kamuona amevaa Jezi ya chama chá mapinduzi. pia dawani ni jembe anajua kujieleza wana Dumila awajakosea kuchagua.
Mimi ni miongoni mwa wanaokukubali mh.
Mwenyezi Mungu akuzidishie afya,
Rais wa wanyonge. Mwenyezi Mungu Akulide na Akubariki.
Diwani uko vizur!
Hongera Mhe daktari Magu lkn kama ni mm ntasema wakubwa wenzangu wenye hoja nakaribisha kupinga au kuboresha hoja hizi.
Lkn kubwa zaidi kabisa hapo ni kama pasenti moja tu ya shida na maagizo ya jumla haweki mikakati ya kutosha ya kata na DC au RC kuwasikiza Wananchi kwa strategy ya register.
God Bless You Mr President
walio sikia NAJUA UNALIA VIZURI HATA KWA MUME WAKO ULIKUWA UNALIA HIVYO like hapaaaa
Amina ubarikiwe mh rais
diwani nimekuelewa uko vzr
Hakika hatuta pata raisi kama huyu mungu akulaze mahali pema peponi
Ones of the best president in the world
Siamin kama kuna Rais atakuja tokea kama ww dua za wa Tz tuzidishen mungu aendelee kukulinda
Kwa yale maigizo labda!
Mh mi binafsi kura yangu chukua kabisa sibabaishwi na mikogo ya watu wengine
Allah bless maguful
The president💪💪🤜🤜🫱🫱💪💪💪hakuna kama magufuri Tanzania yangu mungu akuweke peponi😭😭😭😭😭💪
R.I.P our president 😭😭
We shall always remember DR JPM 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 Rip.
Nakukubali sana baba mzazi mtetezi wa wanyonge na chuma cha kazi
Angekua Hadi sasa ingekua mbele Africa mbele🎉
Nikisikia sauti ya magufuli huwa nalenga machozi
Nin mkubr sana naww kam unmkubr. sem ndio
One of Super President in the world 🌍
Mungu akuweke janha tuall fardos
Unaweza hisi Mungu kakosea kwasbb ya kifo hiki ila tubaki katka imani
Mungu msamehe mja wko huyu apate Pepo njema ameen
Huyu Mzee kaongea point Sanaa sio mkifunga ndoa mwanamke akiwa Hana eshima nikuachana nahuyo mwanamke Hana nidham
niko na mzee huyu
Best president of african country ❤
❤❤❤❤❤
Raisi magufuli hakubaliki san
Baba.tutakumbuka kwa.mengi.uliyafanya
Mungu amuweke makifuli mahali pema alifanya kazi Tanzania ni James kutoka Kenya
Diwani huyu kaeleza vizuri sana tena kwa mpangilio, swali, kwanini Idara ya Maji wasiweke visima kadhaa kama pesa iliyotolewa ni zaidi ya bilion 2???
Mweheshimiwa we piga kazi tu
Asante sana rais wangu
2024😢😢
God blees you mr president magufuli
Huyo Mama kapiga sound mpaka kapigwa mpunga wa milioni moja.
😂😂
Makifuli alikua kusema na kutenda❤
huyu mama alikuwa kichefuchefu kweli anavyoonekana
Jembe kama hili kutoke itachukuwa mda xana❤
Zakayo wa kenya uko wapi upate mafunzo masuri pure kuriko yare ya total man wa uganda my broz nizadiki pure kitakuramba ukue kama total man mwili urigeuka mamba my broz
Rest easy dady
Hewas thepresident of century in Africa R.I.P
Ninakumbuka Mungu Amrehemu!
😢😢😢
Mzee wa wantu kweli
Dah! Anamuuliza Chama? Kama hii imekukera hii gonga like
Haina shida kuuliza hivyo
Ge nz power muwe mwenendo kama huu wa pombe makaburi rest in peace my broz rada wabunge wakenya nyinyi n wafisadi mutupu
Ukita cha ulaisi kalime wewe, wakulima pigeni pesa mumenyanyasi sana, watu wanakaa mjini tu wanataka nafaka zishuke bei, wakome nawao walime washushe bei.
Kabisa wakulima tulikuwa hatuna maana asante Rais
Duh!!"ntakukumbuka daima
Akuna rais Kama magufuli apatanzania nahatutakuja kumpata tena mwenyezi Mungu hampekauli sabint
Rest easy mr. President the best leader in this universe
Wewe mama unathurumu wanaume. Wako.
Pumzika kwa amani mshua
Kumwelewa magufuli ilitakiwa akili nyingi sana mie mpaka leo
Hatotokea kiongozi kama john pombe magu
Eeeeeee magufuli jmaniii nilikupendaaa upeooo
Mungu aendelee kukutunza uko uliko.
Watu wazuri wafa wanawacha akina total man wakenya wanapumua mabroz
Hakuna kama magu
Guma
Rest easy General Magufuli ni changamoto ktk taifa aitopotea na chemsha bongo ya uongozi wakuigwa
Kadogori wimbo magereza
Dah R,I,P uncle baba john magufuri
we will remember you forever!
Lusaka sambia
Hii furaha tuliipata sjuw tena kuna rais atailudisha
😭😭😭🇹🇿
Daa basi tu inaumaaa mnoo kila nafsi itaonja mauti
Jembe latanzania pumzika kwaamani
Ivi kama mgufuri atakuja kweri
Kwa sasa maroli yanasomba wanafunzi
😅😊
kwakwel ww ulikuwa kiongoz bola
Azam
Ulazwe mahala pema peponi mkuu waanchi
Apo babangu situtauziwa debe moja kwa elfhamsin
Kalime kwahiyo mkulima zaid kuumia we hapana
2025
Magu hakika alikuwa jembe
Ko
watu wazuli hawadum
Mbona unauliza wachama gan
zawadi ommary kwasababu kaongea point
Mh,sisi wenye Nyumba tusipangiwe Bei ya kupangisha na sikia Kuna utaratibu unakuja Muda si mrefu wa kutubana sisi wenye Nyumba.
Mtani wangu magu si ungenipa riftu twende wote Dodoma kwetu
Kwani rais ni wa chama gani?
zawadi ommary Amemuuliza ni.wa chama gani maana kamuona amevaa Jezi ya chama chá mapinduzi. pia dawani ni jembe anajua kujieleza wana Dumila awajakosea kuchagua.
Siamin kama kuna Rais atakuja tokea kama ww dua za wa Tz tuzidishen mungu aendelee kukulinda
😢😢😢
Lusaka sambia