Mimi nitafurahi siku kiongozi wa sketa ya technolojia akisema mwanamchi mwenyewe ujuzi wa kutengeneza atengeneze arafu alete kwenye maonesho ya 7.7 naiman nafsi yangu itafurahi sana, maana ni mengi natamani kushangaza inchi yangu, Me nasubiri maneno mazuri ya kuansha isia zetu, kazi nzuri bro masoud
Allah amuweke huyu mja, watoto wengi wanazaliwa na akili kubwA halafu inauliwa na system yetu ya elimu,mnakaa darasani miaka mingi kua mabingwa wa kukariri sio kuwekeza akili zetu katika kipind chote cha masomo kuleta mambo mapya kutatua changamoto zinazotukabili
Tunachohitaji watanzania ni program kama shark tank watafutwe watu wenye uwezo then watu wenye products zao wapresent kwao na kupropose deal ili tathnia ikue.
Kwa viongozi wapi ?Hawa wa kila kukicha Kodi juu sahau labda waondokane na wivu cz toka amezindia gari ya kwanza wangekua niwatu wanawawatu wao support wangesha muwezesha kitambo sishangai hapo tu Kuna baadhi ya viongozi wanatamani wampige Pini chezea ngozi black

Masoud kipanya tunu yetu ya tanzania big up bro
Allah amuweke huyu mja, watoto wengi wanazaliwa na akili kubwA halafu inauliwa na system yetu ya elimu,mnakaa darasani miaka mingi kua mabingwa wa kukariri sio kuwekeza akili zetu katika kipind chote cha masomo kuleta mambo mapya kutatua changamoto zinazotukabili
Serikali wekeni hela hapo, miaka mitano tu tutakuwa tunaongea lugha nyingine
Haya mambo ya kitaalamu huwa ni magumu sana kuyaongelea. Kazi ya hisabati kwa wanafunzi ni kufunua logical and critical thinking.....
Fafanua tujifunze ndugu!!
Tunachohitaji watanzania ni program kama shark tank watafutwe watu wenye uwezo then watu wenye products zao wapresent kwao na kupropose deal ili tathnia ikue.
Huyu kumbe anafan kubwa Sana mamba masud kipanya
Tunaitaji serikali kuweka pesa nyingi kama billion 10 kwa ajili ya kutengeneza vitu kama hivyo
Kipanya kama unasoma comment tengeneza bajaj za umeme achana na magari maana hawakuelewi bado ila bajaj ukitengeneza ya umeme unauza mapema sana
Kipanya mm ningekuomba Tu utengeneze bajaji yenye kubeba watu wanne Tu uizindue
Alafu mnamlinganisha na mwijaku kweliii
😂😂😂
alafu unakuta VETA wanazulula tuu na mawaziri wao
Huyu bro anauwezo mwingi sema namna yakunya kile kilichopo ndani yake kutokana na uwezo wa pesa
Hebu wizara liangalieni jambo la huyu mtu. Hebu muwezesheni huyu awe na kiwanda.
Kwa viongozi wapi ?Hawa wa kila kukicha Kodi juu sahau labda waondokane na wivu cz toka amezindia gari ya kwanza wangekua niwatu wanawawatu wao support wangesha muwezesha kitambo sishangai hapo tu Kuna baadhi ya viongozi wanatamani wampige Pini chezea ngozi black
Mtu maarufu pekee TZ akiongea lazima uhisi kuchukua peni na karatasi ili uchukue nondo
I wish nikutane na huyu mtu.
Braza wewe ni hazina ya nchi viongozi wa 🇹🇿hamlioni hili au mpaka wa🇰🇪 waseme "KP"wakwao ndo mstuke
Au hizi hzi za mafuta uziwekee mfumo wa umeme tunangoja kwa hamu