TAZAMA BAJAJI KAMA RANGE, INAUZWA MILIONI 13, SPEED 120, SITI NNE, TAIRI NNE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 278

  • @kuluthumuzalari
    @kuluthumuzalari ปีที่แล้ว +8

    Kwa kweli hii habari nzuri sana,lla baada ya kumtaja Mama nimefika nduki.

  • @FaridiMohamed-dd4hr
    @FaridiMohamed-dd4hr ปีที่แล้ว +9

    Wengi kwenye comment naona wanaandika roho mbaya tu kama rahisi c mtengeneze za kwenu ckujui hunijui ila kaz nzur brother mungu akutangulie katika kazi yako

  • @samtelah7578
    @samtelah7578 ปีที่แล้ว +2

    Jitihada za😀😀😀😀🙌🏿🙌🏿

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 ปีที่แล้ว +6

    Mzee Umevaa Tshet Hio Umeletewa Na Mzamini Nini Uvae Unavyotangaza Bajaji Huo Upinde😹😹

    • @cantonaiddy6042
      @cantonaiddy6042 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @lyimoej7198
      @lyimoej7198 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hatari sana.
      Kitu cha LGBTQ +

  • @ankoharunacomputers9709
    @ankoharunacomputers9709 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wa Range hao.. But gharama ipo juu sana... Bora umenunua hata Gari linaloeleweka.

  • @BoiSlee
    @BoiSlee ปีที่แล้ว

    "Usalama ni mkubwa sana kwasababu inatairi nne." 😂😂 Kwa mantiki ya huyu jamaa, kwahiyo Eicher ni salama sana kuliko Tesla Truck. (4:05)

  • @medidaudi8335
    @medidaudi8335 ปีที่แล้ว +4

    Kwa USA 🇺🇸 si kweli hakun mamb kam hayo. Labda huko china 🇨🇳

    • @TheDonn007
      @TheDonn007 10 หลายเดือนก่อน

      Bora hata na wewe umesema😂😂😂 maana hananikela kila akitaja akisema ziko marekani

  • @TheDonn007
    @TheDonn007 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna kitu kama hicho marekani
    Hapo umetudanganya

  • @Stan-103
    @Stan-103 ปีที่แล้ว +44

    Huyu jamaa ni mhuni sana😂😂 hii gari inaitwa "BAJAJ AUTO RE60 " yeye kachukua bodykit za mchina za kma range, ndo anatuokota zipo Marekani

    • @frankezakayo4447
      @frankezakayo4447 ปีที่แล้ว +1

      ASA wewe nae mbona unafahamu yote hayo!!!

    • @shaqdizo7678
      @shaqdizo7678 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 huku marekani hata sijawahi kuziona

    • @revmwakifwamba9812
      @revmwakifwamba9812 ปีที่แล้ว +4

      Sasa mtu kajitangaza Sasa wewe wivu unatoka wapi mbona husema kuwa unazijua mpaka mtu mwingine aseme hebu kaa kimya wewe mwenzako kathubutu

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 ปีที่แล้ว +6

      Usafiri uko vizuri ila tatizo hayo mapicha uliyo bandika huko nyuma Kuna watu sio shabiki wa Lissu na hamshabikii Mbowe Wala Samia na anaichukia siasa kabisaa kutokana magumashi ya Nchi hii ushauri wangu kwako ondoa ushabiki na ukeleketwa ili ufanye kazi Zaid watu wamechoshwa siasa mbovu za Nchi hii.

    • @Stan-103
      @Stan-103 ปีที่แล้ว

      @@revmwakifwamba9812 Umesikiliza video nzima au unabwabwaja bure

  • @tembatembele5332
    @tembatembele5332 20 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah ❤ kazi nzuri

    • @hot2music
      @hot2music ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/fEjoxeRyNKU/w-d-xo.htmlsi=0rz7ABFTq-HfEnJZ

    • @allyniga5889
      @allyniga5889 ปีที่แล้ว

      ilove u

  • @Yusufumoses-w5y
    @Yusufumoses-w5y ปีที่แล้ว +5

    Haya mungu atujalie maisha maref tutaona mengi Sana baada ya miaka kazaa

  • @AllyFazili
    @AllyFazili 11 หลายเดือนก่อน

    bajaji Iko vizuli sana tunaletewa changamoto mafundi

  • @philippeter198
    @philippeter198 11 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri lakini mzee aongee na watu vzr bajaji za kawaida hazina gear tano ni nne tu za kwenda mbele ya tano labda reverse kama itahesabiwa

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤mashallah

  • @DM_15
    @DM_15 ปีที่แล้ว

    Yes niliwai kuiona kwamtandao nikajaribu kuagiza garama zakodi nausafiri zinazidi beiya chombo hapoa ndoonilikwama

  • @lvanyDaniel_pw7kk
    @lvanyDaniel_pw7kk ปีที่แล้ว +1

    Mungu abaraki kazi ya mikono yako

  • @Stan-103
    @Stan-103 ปีที่แล้ว +7

    Marekani haiwezi kuwa na vitu kma hvo, hvyo tunatengenezewa Africa

    • @RoseMayige-gn9qb
      @RoseMayige-gn9qb ปีที่แล้ว

      Hakuna USA hata nchi za Ulaya, zitakua huko China na nchi zingine za Asia na Africa.

    • @ikouwasi7644
      @ikouwasi7644 ปีที่แล้ว

      We umetembea marekani yote

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 ปีที่แล้ว

      Marekani wako focused kwenye vehicles za umeme. Si kwamba wanashindwa ila focus ya uchumi wao haiko huko

    • @Stan-103
      @Stan-103 ปีที่แล้ว

      @@ikouwasi7644 Kasome vehicle import regulations au (VIR) ya US ndo utajua namaanisha nn, mfano marekani kuna sheria kwamba kila vehicle itakayotumika iwe na safety standard ya atleast 3 star according to NHTSA

    • @Stan-103
      @Stan-103 ปีที่แล้ว

      @@jasonwatz7457 Ni kweli lakini huo ni mpango wa miaka ya mbele kwamba kufikia 2050 kila vehicle iwe electric, lakn mpka leo petrol cars bado wanatengeneza, hio bajaji nimekataa kwamba haiwezi kwenda marekani kwasababu ya rating ya safety standard kwenye umiriki wa gari hio sheria imetolewa na NTHSA

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania ndio wanaroho zamajaribio

  • @vanny387
    @vanny387 ปีที่แล้ว +1

    Izo Babaj uku south africa ziko nyingi sanaa lakini zinamwonekano kamo uyo ila zina langi la jaune

  • @IgnasOlgwanae-jz9fg
    @IgnasOlgwanae-jz9fg 9 หลายเดือนก่อน

    Bajaj ipo vizuri issue ni bei swa na y gari😅

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 ปีที่แล้ว +3

    Mama Mungu akubaliki umewafrahisha wafanya biashara Tanzania wanaraha Tanzania saaafi mama samia hoye

  • @aubreykasoyaga1665
    @aubreykasoyaga1665 ปีที่แล้ว +3

    Marekani hakuna Takataka kama hiyo

    • @TheDonn007
      @TheDonn007 10 หลายเดือนก่อน

      Kabisa 😂😂😂

  • @UpendoSimon-q2o
    @UpendoSimon-q2o ปีที่แล้ว

    Ama kwl Tanzania tuko juu bajaji Kama range duuu Safi sanaa

  • @rehaniabeta
    @rehaniabeta 9 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia hapo kaingia VP

  • @Bakari_motors7
    @Bakari_motors7 ปีที่แล้ว

    Big Boss Itambo

  • @EliezaRichard
    @EliezaRichard 11 หลายเดือนก่อน

    Sijaipenda

  • @michaelsylvestre8475
    @michaelsylvestre8475 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa kavaa rain bow🌈 simuelewi 🤭

    • @Abuu2645
      @Abuu2645 ปีที่แล้ว

      Huon mawingu ya mvuaa😅

  • @victorronald1449
    @victorronald1449 ปีที่แล้ว +3

    Acheni upumbavu Yani uache crown ununue bajaji mnapigwa😊

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 9 หลายเดือนก่อน

      Tatizo ni wese ,wese kila siku unakwanguka ila hii lita 2 unaenda town unageuka

  • @mg_panther
    @mg_panther ปีที่แล้ว +2

    Hizi gari zina toka china ila jamaa ana ongea kama vile yeye ndo ame i dizaini 😂 daaa nihatali

  • @denisnchimbi
    @denisnchimbi ปีที่แล้ว +3

    Nzuri sana hizo very low cost, zitanunuliwa nyingi sana hapa Tanzania

  • @htx1873
    @htx1873 ปีที่แล้ว

    MAREKANI HAKUBA BAJAJ 😬😬 Hii PIA ISINGERUHUSIWA KUUZWA MAREKANI. Hizi hazitoruhusiswa USA ports .

  • @ezekiamgimbaofficial5694
    @ezekiamgimbaofficial5694 ปีที่แล้ว

    Juzi nimeziona kariakoo

  • @fahadomar5809
    @fahadomar5809 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana ila nasisi huku Zanzibar tunajitaji jee, amejipangaje kuingiza Zanzibar

  • @randomtube3002
    @randomtube3002 9 หลายเดือนก่อน

    Ndoto yangu ya kumiliki Range Rover imetimia mgenistua mapema kabla Ex wangu hajajua nikamlipue nayo 😂😂😂😂😂

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 ปีที่แล้ว

    Saafi sana mzee

  • @Silyvesta
    @Silyvesta ปีที่แล้ว +18

    Hiyo ni aibu kubwa kwa wenye range rover hahaha 🤣🤣🤣

  • @dstaroficial
    @dstaroficial ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni gar kwann utuambie bajaje tupe kigezo

  • @hancymachibbula4355
    @hancymachibbula4355 ปีที่แล้ว +1

    Nilipenda kusikiliza lakini niliposikia tu anashukuru mama kwa jitihada zake ikabidi nitoke nduki

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 9 หลายเดือนก่อน

    Zipungue bei kidogo

  • @hamisishabani8864
    @hamisishabani8864 ปีที่แล้ว +4

    Nimekuja kusoma comments wale wanaokataa marekani hakuna ivi vidudu tuko pamoja

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 ปีที่แล้ว

    Kaziiendelee Amiiin.

  • @BEVARYMUTALE
    @BEVARYMUTALE ปีที่แล้ว +1

    Millard ayo naomba Mimi Niko Zambia naitaji moja

    • @FredrickKinyua-bh1hs
      @FredrickKinyua-bh1hs 7 หลายเดือนก่อน

      Pesa ngapi ya kenya.nahitaji kununua hiyo gari

  • @tzinvestigate5002
    @tzinvestigate5002 ปีที่แล้ว

    umeanza vizuri ila ulipo ila ulipo fikia kuanza kumuongelea mkata umeme mnyonyaji wa wanyonge mwenye roho mbaya
    mwenye ubaguzi
    asie mwogopa mungu
    kiongozi anaejali furaha ya familia yake tuu
    anae tutesa watanzania
    na sikui kwanini alizaliwa hapa bora angezaliwa comoro
    kiufupi acha kupigia kampenzi hilo jitu kisa limekupa pesa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤯😏

  • @josephservicechannel2734
    @josephservicechannel2734 ปีที่แล้ว +1

    Wambie tunazigitahitaji sana

  • @vintagemusicgroup9236
    @vintagemusicgroup9236 ปีที่แล้ว +3

    A motorcycle (motorbike, bike, or, if three-wheeled, a trike) is a two or three-wheeled motor vehicle steered by a handlebar from a saddle-style seat.
    Kwanini inapewa usahili wa ‘MC’ (Motorcycle) wakati hilo ni gari?

    • @cleophacephelician6739
      @cleophacephelician6739 ปีที่แล้ว +2

      Haya ni nagari sema, wanafanya uhuni kuyaita bajaji ili kukwepa ushuru mkubwa bandarini.

    • @sumatanjunior231
      @sumatanjunior231 ปีที่แล้ว

      Yaaani tuna nchi ya ajabu sana.

  • @real_ziz
    @real_ziz ปีที่แล้ว

    Kenya ilikuja walioiita v8 lakini ilikua matairi matatu hakuvuma sana sizioni sasa nafikili watu hawakununua coz ziliuzwa ghali

  • @kamole3
    @kamole3 ปีที่แล้ว +14

    Mungo huyu jamaa, hakuna kitu kama hii marekani.

    • @mkutanopaul4773
      @mkutanopaul4773 ปีที่แล้ว

      Mie niko Marekani na Hakuna kauchafu kama hako. Japo niko Marekani vijijini lakini hapa hazipo. Nimetembea miji mikubwa Kuna scooters sio bajaji. Polaris Slingshot ndio bajaji pekee hapa

    • @omarjuma2937
      @omarjuma2937 ปีที่แล้ว

      ​@@mkutanopaul4773hbr kaka naomba namba yako kuna jambo tuongeee

    • @wilfredmlaki822
      @wilfredmlaki822 ปีที่แล้ว

      Mpumbavu sana huyu! Hakuna uchafu kama huo america

    • @ZANZICTSOLUTIONS2
      @ZANZICTSOLUTIONS2 ปีที่แล้ว +1

      Mbona mnalalamika sana kuna mtaa Tanzania unautwa Marekani jamani 😂😂😂

  • @maalimmadi6030
    @maalimmadi6030 ปีที่แล้ว

    Maashallaah😊

  • @bongoreview1738
    @bongoreview1738 ปีที่แล้ว +13

    Mawazo yangu ya kununua Range nimeairisha bora ninunue TESLA
    Yani Range na Bajaji zifanane 😂

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange ปีที่แล้ว

    Wawekeze waje kutuletea ushoga maanawabongo mkitajiwa marecan km mmtajiwa pepo

  • @EmmanuelMasaka-d9g
    @EmmanuelMasaka-d9g ปีที่แล้ว

    Acha kutu chota bac mzee hiv marekan unaichuku liaje et nchikubwa kubwa ile imiliki uchafu kama huwo kuwa siryz mzee watu washindwe kupanda treni za mwendo kasi wapande hizo bajaji kweli

  • @gladysmsele4291
    @gladysmsele4291 ปีที่แล้ว

    Jamani madam President naomba ninunulie kama hii nateseka sana siwezi kutembea miguu jmn nisaidie birth mate wako

  • @aloycesteven5998
    @aloycesteven5998 ปีที่แล้ว

    Mbona kavaa flana Ina rangi za kuumiza macho

  • @richytarimo4656
    @richytarimo4656 ปีที่แล้ว +4

    sikasikia ujamuuliza Ina ac na hili joto la dar salam😊😂😂😂

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 ปีที่แล้ว +5

    Hiyo ni gari siyo bajaji, msitudanganye. Na matrafiki wata deal nazo kama magari mengine.

  • @kamgishaisaya4763
    @kamgishaisaya4763 ปีที่แล้ว

    Ziko poa, bali wanatakiwa kushusha bei zake nasi tuta nunua

  • @hassanluhwago3978
    @hassanluhwago3978 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa si mkweli kwanza Bei IPO juu tofauti sana mara mbili ya bei halisi ok ndo Bongo😅

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION ปีที่แล้ว

    Sema serikali usimsait pres directly

  • @fanuelsappa3598
    @fanuelsappa3598 9 หลายเดือนก่อน

    Ofisi sehenu ngani

  • @chibudangote0126
    @chibudangote0126 ปีที่แล้ว

    @snash tz fanya preview

  • @gasperymisungwi960
    @gasperymisungwi960 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa alishawahi kunizingua, uaminifu kwenye biashara ni issue aisee! Labda amebadilika kwa sasa

  • @jeffhard5773
    @jeffhard5773 ปีที่แล้ว

    Usafiri uko vizuri ila tatizo hayo mapicha uliyo bandika huko ondoa ushabiki na ukeleketwa ili ufanye kazi Zaid kuna watu sio shabiki wa Lissu Mbowe Wala Samia wamechoshwa na siasa mbovu za Nchi hii ushauri wangu kwako ondoa ushabiki na ukeleketwa ili ufanye kazi.

  • @tanzaniacarschannel6975
    @tanzaniacarschannel6975 ปีที่แล้ว +10

    Kuhusu gari hii kutumika marekani si kweli..this is not legal car to be used in America.. also for 200cc engine to consume 1lt per 28km that is so inefficient engine.. probably a small gas gazzler

  • @EmmanueliShokho
    @EmmanueliShokho 3 หลายเดือนก่อน

    Hamtoi kwa mkopo

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ ปีที่แล้ว

    Ili ni guta bhana 😂😂😂😂😂

  • @CharlesLeoMgaya
    @CharlesLeoMgaya ปีที่แล้ว

    Anamtaja Mama kila mda utadhani ndo amemsaidia kuimport😂😂😂😂 si normal busness hii jamani. Sasa na anaenunua ndege atamtaja Mama mara ngapi???

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว

    Tanzania sihami

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 ปีที่แล้ว +1

    Uliposema Kuwa Zinatumika Marekani Hapo Umeleta Miyeyusho Mzee,Marekani Hakuna Vitu Kama Hivyo,😹😹

  • @kisrahcogar8538
    @kisrahcogar8538 ปีที่แล้ว +8

    Aache upumbavu huyo America hawatumii hzo v2, hajielew huyo ndo mana kavaa t-shirt ya upinde 😂

  • @BabaFai-b4l
    @BabaFai-b4l ปีที่แล้ว +1

    Huyo anaeojiwa mbona kavaa flana inabendera ya mashoga😮😮😮

    • @desolz3809
      @desolz3809 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 11 หลายเดือนก่อน

    hv nyie range mnaijua au mnaisikia?

  • @meetanzania263
    @meetanzania263 17 วันที่ผ่านมา

    Namba ya simu yenu

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u ปีที่แล้ว +1

    We tukome wamarekani!!! Hatuna upuuzi Kama huo huku🤣

  • @vintagemusicgroup9236
    @vintagemusicgroup9236 ปีที่แล้ว

    Ni kinaifanya isajiliwe kama ‘Motorcycle’?

  • @sumatraveler1957
    @sumatraveler1957 ปีที่แล้ว

    MAREKANI HUKU AMNAGA BAJAJI MZEE .

  • @morjanoman5181
    @morjanoman5181 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda Sana kaziyenu toeni namba ya smhiliatakaeitaji ajue mnapatikana mkoa gani na mtaa gani

    • @mahadhimohamedi
      @mahadhimohamedi ปีที่แล้ว

      Zıpo k.koo msimbaz pale

    • @mahadhimohamedi
      @mahadhimohamedi ปีที่แล้ว

      Ona hata wanaitest ktk barabara ya mwendokasi hapo

  • @ashrafurwegoshora4227
    @ashrafurwegoshora4227 ปีที่แล้ว

    Hii bongo hata siiyelewi,masoud katengeneza gari aijulikani ilipo,hii takataka inapigwa promo

  • @LucasThomas-j9z
    @LucasThomas-j9z ปีที่แล้ว

    Hapa sas nimegair kununua Range😂bora ninunue landrover haiwezekan ifananae na Range weng watanitambia

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 ปีที่แล้ว

    Sheria iwe Kali kwenye ufundishaji na upatikanaji wa leseni kabla hawajaanza kutuua barabarani

    • @MohamedMwishawa
      @MohamedMwishawa 11 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @BGBRO-T
    @BGBRO-T ปีที่แล้ว

    Acheni Uhongo, Marekani ya wapi utazipata hizo wewe 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SamweliMwalyungu-du5ln
    @SamweliMwalyungu-du5ln ปีที่แล้ว

    Ss tuna weka na mizigo juu

  • @shafiismaily9223
    @shafiismaily9223 ปีที่แล้ว

    Wachina balaaa😂

  • @IsackDuma
    @IsackDuma ปีที่แล้ว

    Hiyo t, shirt ya huyu jamaa

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 ปีที่แล้ว

    Idea nzuri kibiashara ila ulipomtaja tuu mama umenikata stimu kabisa na siwezi endelea kuangalia

  • @giftkyando602
    @giftkyando602 ปีที่แล้ว +2

    NIMEJARIBU KUSOMA COMENT KILA MTU ANASEMA UYUU MUONGO MALA AZIPO MAREKEN MMEFIKAA MAREKANI KWENYEWE😂😂😂

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 ปีที่แล้ว +17

    Hizi ni gari
    Kuhusu kubeba abiria watuachie sisi. Humo mbona hata watu kumi wanaingia

  • @luqmanndagula245
    @luqmanndagula245 ปีที่แล้ว

    Kwanini hizi dili za kutengeza bajaji msimpe masoud kipanya (kp)😂😂😂

  • @BenLeeBl
    @BenLeeBl ปีที่แล้ว

    Sifa zikizidi ni ufala....katumia hela yake kuagiza bajaji ushuru kalipia then anamshukur raisi.......afu acha kudanganya watu usa hakuna hizo takataka

  • @sumatanjunior231
    @sumatanjunior231 ปีที่แล้ว

    Eti Marekani hahaha watu waongo. Marekani hakuna Bajaj bana cause DOT hawajaruhusu hio kitu.

  • @ابوذر-د8ك
    @ابوذر-د8ك ปีที่แล้ว +1

    Hio nguo vipi hizo rangi za, reimbow nineshituka au ndio kakuletea muwekezaji 😂😂😂

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 ปีที่แล้ว

    Furahieni wawekezaji Toka nje lini wtz mil60 watengeneza magari ni aibu wtz hatujui kutengeneza hata yebo tunatengenezewa na wawekezaji

  • @JuliusChambo-t4c
    @JuliusChambo-t4c ปีที่แล้ว

    Mbn husemi kuwa unaweza safir umbali gan tusije nunua kwa ajili ya safar za vijijin kwetu

  • @salumjabir813
    @salumjabir813 ปีที่แล้ว

    Mama katoka wap sasa....uchawa wakikuda huo

  • @cosmasdaud
    @cosmasdaud ปีที่แล้ว

    Huyu mwamba ni mbunifu, asihusishe china sasa

  • @cantonaiddy6042
    @cantonaiddy6042 ปีที่แล้ว +1

    Hizi co Bajaji ni gari, Bajaj ni Tajiri 3

  • @msatibongonyuzi14
    @msatibongonyuzi14 ปีที่แล้ว

    Hizo ni kanjanja za kukwepa ushuru wa gari 😂😂 hiyo ni gari sema nimekukubali mwana kwa kuwa sahv tutakuwa na magari ya ushuru lahisi kwa mgongo wa pikipiki
    Ya usajili wake utaanza na MC imekaa unyama sana😂😂😂😂 janja sana ww

  • @jumaakalama4719
    @jumaakalama4719 ปีที่แล้ว +1

    Mbona wananivuruga kwan hiz bajaji au gari?

  • @RajanMunisi
    @RajanMunisi ปีที่แล้ว

    Bora uziite Viporojo vitakuza jina langu la Kiporojo so mimi nimependekeza ziitwe viporojo au Kiporojo

  • @fasanitztiri5371
    @fasanitztiri5371 ปีที่แล้ว

    Safi ila mngeongeza ibebe angarau watu 6 milioni 13 nyingi