To be the new ELON MUSK, you honestly need to go back to school, the same way Elon Musk did to specialize and specifically be able to design and make prototypes of TRANSAXLES, build proper body of a motor vehicle etc. This only helps to shows how TZ is still so deeply buried in stupidity and lack of tech know how. We cannot even investigate the similar paths our peers like kenya, uganda, nigeria and others have taken and how much they accomplished in the auto industries. To be able to transition to higher ground tz needs to take steps to revisit our fallen industries like cotton, UFI, sisal and others to see how it all got where it is, and if it can be possible to resuscitate.
Nakupongeza ndugu Masoud kwa kuweza kuiishi ndoto yako pamoja na akili mbaya ya baadhi ya watu kuunda uongo kwa nia ya kukushambulia... Industrial development is the strategic issue, it means it should be in the gvt plans with succession even when rulers change. It can happen as a nation we fail underway but we stick on the trial and error. The problem with African people they lack proper ideology and a framework to work within because of the education system which destroys the invention nature of human being...China overcame this via a proper process till becoming the second World largest economy. Without this lets keep enjoying "trending" issues and people....
Kipanya mbona hii ni Carbon Credit Project, kwanini usitafute investor wa Carbon Projects?? Maana hii project itashusha carbon emission kwa kiwango kikubwa.
Mhunzi ni asili ya jina MPONZI asili yake ni dodoma ila makao yetu ni Iringa na hivyo sisi ni wahehe Babu yetu alikuwa mfua vyuma anaponda wakawa wanamwita mponzi hadi leo ni jina letu la ukoo
Yeye akitaka ashirikiane na makampuni Duniani ambayo yanatengeneza magari waanzishe 'assembly line' kuunganishwa magari. Kwasababu Tanzania haijafikia maendeleo ya viwanda ya kutengeneza magari (Auto Industry). Huwezi ukawa kwenye Nchi ambayo Haina industry ya kutengeneza magari alafu wewe ukatengeneza! Hizi ni stories za bongo!!
This brother is G.O.T, alot of appreciation to you KP. Keep it rolling
Nakukubali Masoud Kipanya, wewe ni mmoja kati ya watu wanaojielewa
Maa shaa Allah, keep it up Brother
Pambana haya mambo yanawezekana KP. Wenzetu Uganda hapo sasa hiv wanaunda bus za kisasa kabisa za umeme na diesel pia kupitia kampuni yao Kiira Motors
Hy ni msomi tajiri anajua kuelezea vzr jambo lolote
To be the new ELON MUSK, you honestly need to go back to school, the same way Elon Musk did to specialize and specifically be able to design and make prototypes of TRANSAXLES, build proper body of a motor vehicle etc. This only helps to shows how TZ is still so deeply buried in stupidity and lack of tech know how. We cannot even investigate the similar paths our peers like kenya, uganda, nigeria and others have taken and how much they accomplished in the auto industries. To be able to transition to higher ground tz needs to take steps to revisit our fallen industries like cotton, UFI, sisal and others to see how it all got where it is, and if it can be possible to resuscitate.
Masoud ndo mtu muhimu kwenye nchi ata ikitokea moyo wake umefeli anataka kufa mimi natoa moyo wangu ili aendelee kufanya makubwa katika nchi hii
😂😂😂 sawa brother
😂😂😂yani ukufe ili Masoud aishi
Aisee mungu akupmbnie ktk upambanaji wako..
Fanya Kaz kaka
Mimi mwenyewe wa muhimu sema hujaniona tu Wala hujanisikia!!!😂🎉
Nakupongeza ndugu Masoud kwa kuweza kuiishi ndoto yako pamoja na akili mbaya ya baadhi ya watu kuunda uongo kwa nia ya kukushambulia...
Industrial development is the strategic issue, it means it should be in the gvt plans with succession even when rulers change. It can happen as a nation we fail underway but we stick on the trial and error. The problem with African people they lack proper ideology and a framework to work within because of the education system which destroys the invention nature of human being...China overcame this via a proper process till becoming the second World largest economy. Without this lets keep enjoying "trending" issues and people....
🎉
Mtangazaji umezingua hapo. Huyo ni sawa na baba yako. Kumwambia heshima yako haijakaa sawa. Ulitakiwa kusema SHIKAMOO tena kwa herufi kubwa.
Kipanya mbona hii ni Carbon Credit Project, kwanini usitafute investor wa Carbon Projects?? Maana hii project itashusha carbon emission kwa kiwango kikubwa.
nchi haina support ya kueleweka
Kichwa kama kichwa
Nimekua najiuliza huyu bro mbona hazeeki maana katuni zake nimeziona tangia naanza kupata akili enzi za mzee ruksa, ila jamaa anaonekana bado kijana
Mhunzi ni asili ya jina MPONZI asili yake ni dodoma ila makao yetu ni Iringa na hivyo sisi ni wahehe
Babu yetu alikuwa mfua vyuma anaponda wakawa wanamwita mponzi hadi leo ni jina letu la ukoo
Serikali inawasapot akina mwijaku kuliko akina kipanya
Hamna kugunduwa gari ni copy and paste from USA &.china hamna kitu hapo hiyo.ni fix kama kawaida ya mtu mweusi
Kuwa makini unadalili ya kua na roho mbaya, ni vema kutoa ushauri na si kutweza watu, hali ww huna ulilo jaribu tukaliona
Tanzania yangu na hawa ni watu wake😂😂😂
Wewe ni fala mmoja hivi ambaye huna nyumba wala mbele yaan kapupu
Yeye akitaka ashirikiane na makampuni Duniani ambayo yanatengeneza magari waanzishe 'assembly line' kuunganishwa magari. Kwasababu Tanzania haijafikia maendeleo ya viwanda ya kutengeneza magari (Auto Industry). Huwezi ukawa kwenye Nchi ambayo Haina industry ya kutengeneza magari alafu wewe ukatengeneza! Hizi ni stories za bongo!!
kwa hyo wachina wanavyotengeneza sahizi waligundua wao MAGARI.? Una akili kama ya viongozi wengne Bongo
Nimekua najiuliza huyu bro mbona hazeeki maana katuni zake nimeziona tangia naanza kupata akili enzi za mzee ruksa, ila jamaa anaonekana bado kijana