MwanaFA - We Endelea Tu (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- #MwanaFA #WeEndeleaTu #SlideDigital
(c) Slide Digital
SMS [Skiza 8091976] to 811
MWANA FA SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.to/mwanafa
Follow Mwana FA on;
/ mwanafa
www.facebook.c...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
Anayesema uyu Jamaa, mistari yake ni ujumbe tosha, gonga like hapa twende pamoja
Watoto waliachiwa wakaharibu bongo fleva...sasa ma Legendary wamerudi...Mwana FA
😂😂😂😂😂😂😂Duuuuhhhh umeniweza 😂
Kabisa
Kabisaaa wale wenye mziki wao wamerudi madogo wengi na wanahippop wanatuandikia kutuchania vitu vya ajabu
Baaas ukweli 🔥🔥
Hawawezi peke yao mkuu
Naona bendera za kenya ziko nyingiiii hayaaa waTz🇹🇿🇹🇿gonga like hapa 🎶🎶🎶🎶🎶💣💣
th-cam.com/video/qcUxdygOk8I/w-d-xo.html
Watanzania unafiki umetujas kwani hujui
Bendera ni mingi sababu Mwana FA ni mkali Ndugu! Kazi kali
😂😂😂😂😂😂
Nice
Noma San sijawahi kukoment ila KW hii ngoma noma
Uyu jamaa ajawai kuchuja mana mziki anaujua xana angekuwa anaupromoti mziki wake km wanavyo fanya wenzie wakina Mondi basi africa nzima kusinge kalika. Weeeeeee ENDELEA TYU. UMEUWAAAAA F. A. SAFI XANA. napenda xana mziki wako napenda xana mziki mzuri. Sichagui wala sibagui nasapoti mtu anae imba mziki mzuri basi
Hata wachawi pia wanafiwa 😂😂😂😂😂😂 sharti nimevaa LA Jana ila gari nmebadilisha #FA unajua kinomaaaa mzeeee like 1000 kwa FA
TANZANIA kimuziki tuko juu East Africa Soma hiyoooo 🇹🇿🔥
FAHAMU || NAMNA VIONGOZI KATILI NA DIKTETA DUNIANI WALIVYOKUFA (2)
th-cam.com/video/iEKdIwy48O8/w-d-xo.html
Kabisa
Wamlambez
This is madness
Hata mchawi Hua anafiwa 😂😂😂
Kama message siipendi na mshoot mpaka messenger 😂😂😂 meen...... Gonga like ya kibabe
hadi tuwatie mimba wake zao ndo wajue tuna Fanya kazi
Ujawahi kukosea mwana FA
Wakikuuliza unaendeleaje wajibu zaidi ya jana....Legendary FA
Kama una amin FA ndo Best MC wa muda wote gonga like twende sawa.
Huyu mzee yupo katika best mc wa all time
atar we endelea 2
@@winnermlaki2520 faya
@@mugadimon3563 mtu mbaya asiye na mambo mengi
Tafata her ira usipig nazo pch
We endelea tuu kuninyima like, team mwana_f_a na team east_cost__team gusa like
Piga kelele km umependa Mwana FA weeweeee🗣🗣🗣🗣🗣🗣
Hao waliodislike ndio wachawi waliodhani Wao hawafiwi😀😀
Kaliii fa is back gonga like km umeangalia zaidi ya mala 2
Tafuta hela ta kutosha ila usipige nazo Picha.. FA mwisho wa mawazo
FAHAMU || NAMNA VIONGOZI KATILI NA DIKTETA DUNIANI WALIVYOKUFA (2)
th-cam.com/video/iEKdIwy48O8/w-d-xo.html
....maisha yanabadilika
Dope song
hao walio dislike wanaujua mziki kweli au wamezoea zile video za marangi rangi na uchi uchii....
this is a good music
Waambie Watoto hawajakua
Hata me nimeshangaa sana una dislike nn sasa hapo
Hao wanao dislike walishazoea nyimbo za mikelele nyingi
Wale wabana pua wapo wapi natamani waisikilize hi ngoma waachane na nyege, wasikie vina humu na mpangalio wa beti ama kweli wenye mziki wao wanasafisha mazingira hi ngoma ukimtwisha dogo janja anadondoka nayo chini hatoi hata mguu
Ndio hivyo...2024 mwisho mwisho
Mzee... umetishaaa. Hakuna hata comment 1 inaepinga hii ngoma.
Legendary... nakuita Hamisi
kama umetazama hii ngoma zaidi ya mara 40 WE ENDELEA TU!!!👊👊👊sema nn FA weeeee niii maaafyaaaaaaaa!!!!
We endelea tu
Kama ngoma umeielewa kama mm gonga like🔥🔥🔥🔥
Waambie "Vizur zaidi ya jana, Vizur zaidi ya wao" mak hao
Mwana fa we endelea tu maana ukitoa unatoa bila kuboa, watoto wanaochafua mziki wanakujua kua we noma ,wape habari wenye habari zao 7bu kwa Mungu hakuna majungu....we endelea tu
subira haivuti bangi haigongi nyagi inavuta kheri tu haijawahi kubugi 🔥🔥🔥 nice jam
"anaejifanya anakuamua anakushika upigwe babu,mtie mitama siku nyingine ashike adabu" #weeendeleatu
Hili lijamaa linajua thamani ya mb zangu
kwa ngoma hii Kwanini nisimalize bando
👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪💪💪
Endelea tuu Bonge LA nyimbo,falsafa katisha
Hahaha! Hata mm nimerudia zaidi ya mara 20..kweli huyu mwana FA
Nalikubali kubwa mwana fa from Kenya+254 kama unamkubali mwana fa ngonga like hapa big bro 😘😘😘😘
its we ni mwanafalsafa maana duuh watoto hawawezi elewa ila ss wakongwe tunakupata 100%
Tuliorudia kuitazama hii video weka moto🔥🔥🔥🔥
We endelea tu kuachia Ngoma kimya kimya. Keeping the good music alive
#WeEndeleaTu
anasema nini hapo eti, ...............,kishua au kimtaa ni kucheza na number kama mtu mbaya Salah.
Hilal Mtangi mbna biti zilezile
ChoirMaster❗️
Mi nna mungu we endelea tuu safiii fa
Ngoma ilivyo kali kuna watu pia wame unlike nashindwa why ama vile hawajui good music........#falsafa wenye wanamkubali falsafa wanipe like twende wote
I beleve in you Mwana Falsana lazima tujifunze kwa waliofanikiwa ili nasi tufanikiwe i swear nitatafuta pesa na nikipata Sipigi nazo picha ng'ooo
We endeleaa tu
FAHAMU || Msitu hatari zaidi duniani || kuna viumbe wa ajabu (Romania)
th-cam.com/video/Sd6ZVMsxLxY/w-d-xo.html
Show
JD online
@@josephdaudi4471 nam
Kbsaa
Wa kwanza ku comments gonga like kama unamfatilia huyu jamaa 💥🔥🔥
Habily Boy huwa akosei mwamba%√
FAHAMU || Msitu hatari zaidi duniani || kuna viumbe wa ajabu (Romania)
th-cam.com/video/Sd6ZVMsxLxY/w-d-xo.html
Msanii wangu bora wa hip hop tanzania ,,we endeleea kunifurahisha tuu
duh, hatari sana huyu jamaaa Hamis Mwinjuma, since namjua sijawahi kusikia akiharibu, big up mtu mbaya, james bond, ur my best rylist
Hapa ndo unapoweza kutofautisha kat ya MwanaMUZIKI na MSANII.
Ma legendary are back with a bang💪💪💪💪,we endelea tu 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii ngoma hatari sana....inapaswa kupigwa remix na malegends karibu wote..awa watoto waskuiz wanazingua sana....thanks for good music
Noel Philip Mollel real
Uko sawaaa
Hizi flow za kigadhabu achia warabu
disi hip hop za wenye hip FA Whatsap
Miendo ya ngamia juu ya maji eeh ya filauni
Huku tunakanyaga tamu na kutetema,
Kwangwaru kwa mademu sio mchezo Wa kusema
From Kenya this Extravaganza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
second home kenya salute
mmbuyu ulianza kaa mchicha ila mchicha haujawai kuwa mmbuyu💣
Dah naombeni like hata moja jmn
My big brother FA hujawahi kuyumba the best lyricist of all time
Mc KobaTz kabisa
Amua mwenyewe Utazika? Utasafirisha? (mwana FA).
Hahahahahaha big daddy #mtu mbaya #mwanaFa #big dady #mwanafalsafa # we endelea tu. We jamaaaa unatisha kama EBOLA ✈️✈️✈️
Kichupa na nusu🔥🔥 falsafa unajua mpaka unajua tenaaaaa
Mwana FA ni Manufaa ❤❤❤❤from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
mwana MUZIKI hutoa ngoma bila kiki msanii ndo huangaika na kiki#WE ENDELEA TU#fa
Mw AF mm nakupaa big up wimbo endelea tu . Umetimia mashair na biti imetimia ila. IPO ndogo
"anayejifany anakuamua anakushik upigwe babu, mtie mitama skuingine ashik adabu" 🗣🗣Faaalsaaafaaa hatar sanaaa
kama umerudia zaid ya mara kumi gonga like here
Mm
Nmekuelewa man
Hatareee mazeeee mwanafa is back
Nakupend xana mwanafA .....unajuwa kaka. Anayebixha mbana pua.
All the way from 🇰🇪 the legend is back with a great message❤️❤️💯
Heshimu pesa baada ya dini ......... We endelea tyuu... Eeh bhn gonga like hapaaa
Huwezi kutupangia. Tushavuta sana milango iloandikwa push..na trust me inafunguka..
You always make music feel easy maana mistari migum ila unaitema kama umezaliwa nayo. Big up FA.
Keeping th good music alive.
Maisha siyo lazima yakubali kwani unayadai??? 😀 #falsafa ...we endelea tu...🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hii nyimbo bhana. Ukisikiliza mashahiri kwa umakini beat linakuacha. Ukinogewa na beat mashahiri yanakuacha. Huu ndio unaitwa ufundi. Mmesikia nyie waimba mapenzi. Fundi FA
Anayejifanya anakuamua anakushika ili upigwe mtie mitama Siku nyingine ashike adabu 😂😂😂😂😂
Binam huku ni zaidi ya kujua
👏👏👏👏👏👏👏👏
nipeni like Hata 20 tu jamani
Huyu mtu hatar broo
Kwani nyimbo umeandika wewe?
Likes za nini? 😎🤔
Sisi ndio wagosi tunaweza uza Ng'ombe kwa kesi Ya kuku lazima tushinde big up Mwana FA mgosi wa ndima Kama mbwayi mbwayi tu
Hatufeligi kindezi wagosi wa tanga
Mshaanza ukabila mnataka kutambika au
@@johnsonjoshua6707 😂😂😂
🇹🇿 🇰🇪 Ni Rehma za Mungu tu na maamuzi yake.. Kwa Mungu hakuna majungu mi nina Mungu.
Mkongwe wa Hiphop Afrika!
Hata wachawi wanafiwa we endelea tu
Haujawahi kufel bro,, nakukubal Leo kexho mpaka milele
Daa!bonge la hit 🔥👊💥Subira haivuti bangi!......
Dah vijana wameharibu bongo flavor.... Asante ma legendary
Mm ninavyoon hii ndio itakua ngoma boraa sanaa katika huu mwakaa nani anabishaaaa
Tafta hela zakutosha ila usipege nazo piacha😊👏👏👏
heshima kwako FA umekaa chini ukaumiza kichwa na kutoa nyimbo yenye ujumbe uliojitosheleza
Springs Media
🙌🙌🙌
one of the best in E.A without a doubt! Hujawahi kutuangusha mafans wako!
Nilikua nangoja sana Mzazy FA utapakua nini na lini but umeangusha mzigo mkali FA yuleyule misemo full kujiachia
The one man Army 🔥🔥🔥🔥🇰🇪👏👏👏 najua kuna wenye wameanza kustuka juu hii real hip hop come back💕🔥
Dingi waonee huruma vijana,utawachubua Sana magoti daaaaah #Heshima
tafuta hela za kutosha, ila usipige nazo picha, maisha yanabadilika, kausha ntakufundisha,pozi za kigoloko lazima zitakufelisha, amua mwenyewe utazika au utasafirisha.hahaaaaa bando langu nalitumia huku salut kwako kaka mkubwa f.a
Huyu Ndoo msanii namba 1 Bongo nzimaa hatarii gemuu imemisi hizi kaziii sio zogooo la Vumbi
Bonge la nyimbo kama unamkubali mwanafa like hapa twende Sawa 👌🏼👌🏼
Kimewaka 🔥🔥🔥🔝 gonga like twenzetu na burudani🎬
Amua mwenyewe... Utazika utasafirisha.......umetishaaaa
Kenya tumekubali waambie wakanyange polepole wasije wakajikwaaaaaa!
Hawa ndoo ma legends sasaaaa.. mziki safi
Mamaaaaaeeeeee hii ngoma unakopea mkopo kabisa Bank 😂
Hata kama hukipendi kukiheshimu inabidi🙌
Wangapi wamepata vibes za 2010
👇
Kaka umewaza nini...... Tanga juuuuuuu
unasikiliza wimbo hunajifunza huundio mzikiambao ukisikiliza lazima uludietena. Siowimbo mzimamatusiii daayani binamu ukojuuu watukama nyinyihuwa huwahamuishi kwasababu ya mziki balimzikiunaishi kwasasababu yenu. wimbooo huu
sawana nyimbo 200 mpiya zilizoingia sokonihivikaribuni nawatoto wanaohalibu mzikiiiii.
Nimerudi tena kuomba like we endelea tu kuninyima like
Imenyooka Mzazi, Kali i sei
Kisasi hakitanitibu ila na ww utakuwa umeumia!👏👏👏👏😁
Daah duniani hamna mtu mwembamba F.A sasa hivi na ye kawa mbavu
'Amua mwenyewe utazikwa utasafirishwa'
Miruzi mingi mbwa sipotei we endelea kuskiliza utaelewa tyu
Bro @Mwanafatz respect.. Ni rehema za Mungu tu,na maamuzi yake tu..🙏
"Ukiwa mkubwa utataka uwe kama mimi shati nilovaa la jana lakini gari nimebadili" Bro wee mkali
Toka mwanafalsafa,mwana Fa mpaka Fa,,nakubal sana Ghostwriter,Ngoma ni kali sana
Tuliikumbuka hii sauti na imeludi kwa kasi ya hatari 👑👑👑 nakuele mfalme mwana f.a we endelea tu kutuletea mistari bora Tanzania
Wapi likes hapa Toka + 254🇰🇪 Bado Mwana FA ako juu ama vipi GONGA 👍
Kaka ujawai kuniangusha.....
Oyooooooo... Wanao amini kwa MUNGU hakuna majungu.. waendelee tu... Like mingii hapaa
We endelea tyu kwa mungu amna wanafki
Kizazi sana hili goma hata sichoki kuliona TH-cam
yeah, umetukumbusha kuwa wewe ni Legend... big up FA.. Hip pop shule tuliimisi sana.