MwanaFA feat Linah - Yalaiti (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ส.ค. 2014
- #MwanaFA #Yalaiti #Linah #SlideDigital
(c) Slide Digital
SMS [Skiza 8091959] to 811
MWANA FA SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
Follow Mwana FA on;
/ mwanafa
search/top/?...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz - เพลง
Wote waliyo angalia hii ngoma 2024 gonga like ngoma Tamu sana
we still here hahah
Baada ya kupanda jukwani akiwa waziri na linaa nimerudi apaa 🔥🔥🔥
Me too
and me date 19 apr2023
Mimi pia
Pesa taamu kweli ❤
Same here🤓
Nani yupo hapa 2024??👑🎹🎧🎼🎵🎶🎼🔈🔉
Tunaosikiliza hii ngoma may 2024 gonga like za kutosha hapaa👊
Tupo
Baada ya kusikia hili gari lilotumika huku ndani ni la chid benz nimerudi kuangalia❤❤❤😢
Me pia
Hata mimi kwa kweli
Ambao bado wanaona ngoma hii bado ina uhai na kali gonga like
Nimependa mueshimiwa alipo panda kwa stej na Linah na kutunzwa hela na kumpa Linah zote kweli waziri ..❤️🇹🇿
Just lovely
Wapi makofi ya Mheshimiwa Mwana FA 💕🇰🇪
Ahsante mjomba !
Wahuni kama sisi ndo machimbo yetu aya kila siku tupo apa mtatuambia nini 👊👊👊👊
Hamisi Mwinyijuma atabaki kua mshahiri bora katika medani ya hip-hop yaaani anaghani mpaka Mwili unasisimka maashaallah
@kaporo salum kweli kbisaa
Ndo maana tunamwita mwana falsafa
Mwana fa ww unajua sana 2019 mpo
Huu ndio wimbo bora wa mapenzi hip-hop wa muda wote💪🔥
uandishi bora uliowahi tokea,,,,,,,nakubaliana na wewe
Gar y chid Benz, ilikuwa ❤
Baada ya Chid kusema shati na gari ni vyakwake imenije hapa!! That’s life🙏
Tunaosikiliza 2024 gonga like hapa
uzuri wa kujiandikia mistari yako,,,, hatauamshwe usingizini unaimba tu.... Fa alipopanda stage aliimba kama ametunga juzi na niyakitambo wallahi..... muheshimiwa ako so humble and he is very genius 🔥🔥.. love from +254
2020 lakin badoo tunakumbuka vya zaman ❤️❤️ one love weka like twende pamoja
Good lyrics.......
Wanapanga matokeo
dah jaman Hii nyimbo naangalia mpaka leo so sweet 4/10/2021
Like zakutosha kama yupo anayesikiliza hii ngoma 2019
Kipindi hicho wanamuziki wote weusi
nipo tena kutoka congo ,naisikiya mara tanu kwa siku
Rehema Mohamed S
@@sharonmasawe5381 😁😁😁😁
Kali sana 🙏🙏🙏🇹🇿🇰🇪🇺🇸
Jamani tunaosikiliza tena hii ngoma2022...🎶🎶🎶🎧🎧🎧🎧🎼🎼🎼
Just now 30-10-2022 21:36
Am here today, 13/11/22
hahahah 15.11.22
@@robinsonjoseph8119 umetishaaaa sana
Tupo
hapa kabla linah hajawa na ngozi ya kizungu, Like kama unaiangalia tena April 2019
nikweli aisee kabla ya kujichubua kila mtu mwenye ubongo wa mende zama hizi anataka kua mweupe na shepu kubwa😛😛😛😛
Kwani siku hizi ni mzungu?
Hii ngoma haitakuja kuchuja
Daah ngoma Kali paka basi wangapi wanacheki paka Leo December 1 , 2019
Mwana duh unatisha
Neno lako ni taa ya mguu wangu, na nuru ya njia yangu.
Zaburi 119:105.
Inanikumbisha usiku mmoja nimelala kwenye msiba wa mrembo ,mpenzi wangu fatuma mhajiri.
Wimbo huu ulikuwa unapigwa redioni "
Siwezi sema sana nakumbuka upo uliko " tuko pamoja"😌
Pole sana
pole sana
Pole sana
Ooooh inauma sana , pole sana kaka
Tuliokuja kuangalia shati na gari ka chidbenz tujuaje kwa likes😂😂
Mimi
Nishasema sipend mapenz napenda mapenz nawe usinikatae utaniumiza Nina biashara nawewe love kwa mwana fa
Hii Ngoma Ni Tamu Hasa Ukiwa Singo Umekunywa kisungura...
08/3/2020 like kama bdo unaielewa nyimbo
Tupo
Japokua ni Copy lakini MwanaFA hii umeipiga kinoma Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ,
Keeping the good music alive,,,
Keep it Up Bro ,,, UNAKIPAJI ,,
Ame copy wap
@@agreyraban8859 It a remix..originally ni nyimbo ya taarab
Don't call it a copy man...itsa remix
@@agreyraban8859 malika swahili
Hii sio copy amefanya sampling bro
Kumbe hawa walifunga ndoa 2020 watching 😂😂😂
2024 na nyimbo bado kama mpya vile🔥
Heard the song today June 2024, repeated it severally, this is a masterpiece, much love from Kenya
Wapiiii wanaosikiliza na kusomaa comment 2020
"Sipendi mapenzi,napenda mapenzi nawe"....2023💣
Baada ya Lina kumpandisha Mheshimiwa imebidi nije niangalie hii video upyaaa❤️😔😢
mm pia
Kweli kabisa mana kule ni kama tumeonjeshwa!
Well, sang this dong. The best.of lina and mwana Fa
nani karudi kuiangalia baada ya kujua OPEN ROOF GOLF 4 Volks Wagen ilikuwa gari ya CHIDY BENZ iliyotumika
Dah nakumbuka 2012 tumetoka kumaliza Form 4
Nampigia sim mchumba wangu Ester tunaanza kuimba mwanzo mwisho mi mwana Fa ye lina😁
Popote ulipo Ester nakutakia maisha marefu..
Thanks Mwana Fa &Lina for the memories ❣️❣️❣️
🤣🤣🤣🤣
😂
Stori zako nmepata ex wko ester
Usiache kuvaa nguo ndefu ivi vimini waachie vicheche mwanamke kwetu staraa wanaovipenda sio wote🔥🔥🔥
Hivi mimi ndo wa kwanza 2020 eehhhee????
Still one of my favorite hit..🙌🙌🙌
Respect ✊🏼 bro...
1/1/2024 kumbe Gari ilikua ya Chidii
Kama bado unasikiliza huu wimbo 2021 gonga like twende sawa
Dah namwona Chid benz ndani ya kanzu moja matata sana, wimbo hatari sana huu
"You my sunshine, my moonlight and everything i dream about" 2024
Nani anasikiliza huu wimbo 2020 agonge like chap
Nipo
Keep the good music 🎶 a life,, all the from 254.nipo
Nipo
@@classicosama7569 maisha inaenda kasi mpaka inaacha wa2
Yan kila cku I must listen to this best song
this song was made for generation to come no wondr this insane generation can not visualize it, keep the music alive bro. who is here with me 01st march 2020 the coolest sunday.
Who watch 2019........?
Naibu Waziri wewe ni mkali Toka kitambo... Heshima kwako
2019 tupo tupo
Credits kwa bi Kidude (RIP) for the chorus & hook. Kazi nzuri sana. Toa shaka na wasiwasi moyoni!
Sikuachiii Leo na kesho peponiiiii,
Ahaaaa ahaaaa I love you!!
Toa shaka na wasiwasi moyoni,tooa shaka na wasiwasi moyoniii, kukwepukaa hilo haliwezekani nitakushika leo na kesho peponi 2021 hyo
Binamu majina mengi mi nakuita herode we endelea tu🔥🔥hip hop
Mwana FA,love ur kiswahili rap...2018 still rocking
Tulikokujaa kusikiliza hiii ngoma baada ya Lina kumpandisha Mh jukwaani 2023 tujuaneeee✌️✌️✌️
kipindi icho wanamuziki wakiwa na ushirikikiano kama ilo gari lilikuwa la chidi benzi
huwa naic raha sna nikisikiliza huu wimbo
Yoyote 2024 anaepata vibe apa ??
Mimi nimeusikiliza na kuutaza Leo baada ya kuitazama perfomanc yao
Hii ni shule..nyimbo ya vizazi na vizazi...
Honestly this is the best piece of art I've ever heard in my life, Im happy
Kama umemuona Sheta ameng'ata mdomo dondosha like hapa
Kitambo namwona shetta kushoto kulia chid benz tixha sana mh mwana fa
2024 Tuje tumuangalie Mheshimiwa 🎉
2023 still the same 🔥🔥🔥🔥🔥
Linah was perfect at collabos, almost all of them were hits
Daaah!! Hapo zaman Raha sanaaa samahan jaman tushiriakiyan kwa kulike
Chid benz anasema hiyo gari ni yake na shati pia ni lake .. jamaaa ana moyosafi sana kama ni kweli .. Mshike mkono Chid
February 2023 jeeping the good music alive anyone??? With the rhythm
Ume tisha mueshimiw hakika ume nimaliz ulivyo panda jukwa na nime kuj kutua hapa baad ya kule
Dah! Baada ya kujua hili gari lilikuwa la CHIDIBENZ
Sikuachi leo na kesho peponi 2018😍😍😍😍😍
Nowma xanaa kama kunaambae anatazama nyimbo hii 2019 hebu gonga like twende xawa
Hi glory
Bonge la ngoma👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽
Maisha nimapambano 8 miakailiopita sasa mh pendachako chanzo nisanaayake ndioiliomtambulisha maashaallah
2022 and still the good music as new from the box
naombeni like mbili kwa mnaosikiliza hii kitu 2019 ?
Si ushasoma nakupenda wacha masihara
Kuna haja gani nikushikie fimbo ili nikusikilize kama gorrila
Mie ni mtu na mapenzi yangu nishaacha zamani usela
Una matatizo najua na mie nina yangu huku
With together from this moment with them through
Nikikukosea nisute nipige vibao nizodoe ninunie kwa siku kadhaa ila ninachoomba usinikimbie
Gari ya Linah inahitaji serious wheel alignment aisee.... Usukani mpaka umegeuka
Mwana FA, to me he is one of the all time best bongo fleva artist
Mwana Fa did alot of justice to this jam. It is one of the oldest swahili song he did some mastering and until tomorrow it'll be that song. Classic and timeless
Keeping the good music alive! Bonge la bongo flava
Waziri still yupo vizuri!!!!!!
we sakafun me ukngon mbio zangu aziend mbar!!!! duuuuuuu ♡♡♡♡ fa nice song
Umetishaa man
fa fa
Baada ya kusikia gari lililotumiwa lilikua la chid benzi nimeludi na nikamuona mwamba alikuepo ndani
Namuona mwanangu Rashid Makwilo na shetta
007 bad boy mwana fa.. 🔥
Namuona chid mda uo yuko kibonge .
Gone are the days Tanzania led the hiphop movement in east Africa. Bongo flavor was so beautiful. Love from Uganda
Till now bro we led others they follow
Sure
++×1₩+++₩+₩+)+++)++++₩++₩+)++₩+₩
Mwana FA anatisha sana … hizi punch alizomwaga humu … mwanamke anaejielewa hawezi pinga …
Chid Benz My Brother I see You .
Kama unaitizama 2019 na bado inabamba gonga like twende sawa
Xaiv kaw mzung
Like ziwe kam zote kwa 2019
Hakika nilijua ni korabu ya juzi kumbe yamda
Tulokuja kutazama hi ngomaaa baada ya show ya Lina na mwana fA kwenee mliman city
Am 2019 watching,,, who else thumbs please,,,,
Km unaamini hi ngoma bado inaishi like twenzetu
mwana Fa...hatungi tena mashair kama haya cjui alioteshwa...duh!.
Amaa kweli usikate tamaa ya maisha kwakua huijui kesho yako pia usimdharau mtu hujui atakua Nan kesho naibu wazir amenifunza kitu na😂 kunikumbuaha mbali xana
Someone in 2021 💪🏾💪🏾💪🏾...my Best Engeneer Artist In 🇹🇿