mpaka leo msimu wa nyimbo mya ya Mbio nipo nasikiliza hii seduce duh, hakika hili jiwe lilikuwa ni jiwe la mauaji, #mbio. Ambao tuko pamoja kote tujuane sasa natoka hapa naenda kuangalia video yake ya MBIO
Halijawahi kutokea dude kama hili Dunia nzima Wazungu watakuja kuligundua liko so hot miaka 50 ijayo na litampa King uking wa Dunia #PopoteAlipoKingcommentna Likeyanguuuuyooooh.
Nyimbo hii imetulia yani unaweza kuagalia na wazazi na watoto kweli ww ni king kiba huwa hubatishi nyimbo zako zote hazinaga matusi wala kuvaa vichupi .Good job ali kiba
Alikiba you are something else you just bit "eneka" in one week while that song was on market in 3mouths Big up Even WCB naelewa wana uwoga sana kwa hilo nani anakubali kama alikiba kazima eneka tuachane na zilipendwa gonga like twende
kiba watu wanakupenda sana .ukwel hiz rekod unazoweka kwenye music wa bongo na africa nzima znaweza kuchukua hata karne nzima kuzivunja .....madale huko hawalali wanawaza kukushusha..lakin cc tuko nyuma yako . .....tunata kufkia mwezi mmoja tufkishe milion kumi ..kwa kas hii tunafkisha...
Melissa Mfaume ndoo maana #King aliamua telekeza nyimbo yake na Patoranking aliona ujinga. Kwahiyo Malkia alikuwa anataka King akiachia Song na Patoraking nayeye aachie nyimbo hiyo. Kumbe jamaa anacheza na ajili?
Hii ni ngoma kali itapenya pole pole na hana haja ya kutoa wimbo mpaka mwisho wa mwaka ujao,tatizo watu wanapenda vitu rahisi vinavyochuja wiki mbili,hongera King Kiba
+akida simba Nafikiri Wizkid ndiyo aliwahi kugonga milioni ndani ya saa 24,wengine hawajawahi hata Davido hajawahi.Hata Diamond hajaifikia hii.Ile salome ilitimizaga milioni ndan ya 3 days
Tulieni niwaambie kwa nini huwa nasema kuwa kiba ana akili na afanya kazi akimuhofia Mungu, Dont do like that,you're too smart dada,anamaanisha usikubali wewe mdada kuchezeshwa nusu uchi kwani upo smart na video inaweza pendwa hata kama wadada hawato vaa vibaya,"dadas ure too smart vaa kwa heshima, love u kiba.
Please kingkiba fans tufikishe 3million to show diamond yakuwa usidharau mtu yeyote mafans wa alikiba let do this i love you so much may God bless you long life king kiba👌
who else is in love with this part of the song, "Too smart dada😍😍 they call me heartbreaker na majina mapya kila moja amenipa, wananiita kipusa ohoooo wapaswa kichwa.....😍😍😍😍
Hellow King iyo nizaidi ya fire natamani uwo wimbo uchukue nafasi ya wimbo wa taifa yani Tanzaniax2 its means ikipigwa hiyo ngoma raia yeyote harusiwi kukaa lazima asimame liweni kosa la jinai kudharau ilo dude pasuwavichwa #Seduce me#
Imetoka dodo imefunika na kufunga kila kitu mpk sasa hakuna Song Limeingia trending kwa masaa 5 mpk sasa alaaaaaaaaaaaaa wakaungana na quarantine yao bado king is king 👑 tuu
king atabaki kuwa king tu nautabiria makubwa nyimbo hii Jana nimeenda club umepigwa na umetoka Jana watu wamecheza hatari kwanza nyimbo naickia mpk rohoni ndo watamfananisha na waimba kwaya wale kibiti kwaya hawamuwezi waende tu zimbabwe
Nnachokupendea king huwa unawapa nafasi sana mamodel weusi karibia nyimbo zako zoteee, yaanii hii club banger hadi Bi mkubwa kaniambia iwekee repeat hiyo nyimbo😂😂😂 alafu ananiuliza hivi huyo alioimba ni nan vileee? 😂😂😂 nkamwambia anaitwa kipusaaa 😂😂 akasema kweli huyo ni kipusa sio kwa nyimbo kalii hiviiii 🏃🏃🏃🏃
Yaani nimeenda msikitin nimerudi Bimkubwa bado kaweka repeat 😂😂😂,eti anapenda kipande kile cha Despacito, nkamuuliza unaelewa akaniambia Ali kiba atanielewesha, nimecheka mpaka njaa imeniuma.... 😂😂😂😂
Hiyo sauti yako tu inanifanya nakosa ucngizi nikikumbuka seduce me naamka naangalia yaan hyo sauti tu nakojoaaaaa hivi kiba kwann unajua hivi jibu ni kipusa unstopable
dyuuuuuhhh wabongo siyo wa sport sport aiseeeeeeeee🙌🙌🙌🙌🙌 nataka nikale karanga diamond getini kwa kiba 😁😁😁😁 maaaana najua Wasafi wamebakiza karanga tuuuu mziki hqkunaaaa 😂😂😂😂😂😂 kibaaaaaaaaaaaaa mwaaaaaahhh am too smart dyadyaaaaaaa
Fala ingine ilidhani ikitoa ngoma simultaneously itacover seduce me. hahaha. king atabaki kua king. kwanza pastor wetu amesema opening hymn next sunday ni seduce me
Halafu wale 254 #teamkiba tuko na creativity sana. Kama tu king mwenyewe. Ukienda kule kwingine I guess utapata team254 mark register hapa, sijui team free WiFi mark register hapa na copy & paste zingine kibao. Wenzao huku tunalipia faimba. No wonder wanasema tumehack TH-cam. Hahaha
Mimi ni Fun Wa Diamond lakini kama kitu ni mzuri iambiwe ni mzuri... Good job alikiba.. Wacha nirundi kule kwetu kwa waaaasafi kama kitu ni poa ipewe sifa
Binafsi nimependa mtazamo mpya wa video nilikuwa nimechoka na wasanii kuazima nyuma ama hoteli za kifahari kushoot movie wakiwa na wanawake waliojibleach mpaka meno.
Kevin Nganga wewe dio Fala get the fuck out of this page if u aren't kiba fun.eda huko kwa zilizopedwa dio maana anagagana na wa mama wazee huyo diamond wenu🖕
Piga kazi kiba nyimbo ipo poa sana nakupa big up kijana komaaa achana namaneno ya waimba tarabu maana kuna nyimbo nimeisikia inamajina ya watu matupu hakuna lamaana
Kiba Ctak bana😭😭😭😭😭Mpaka nalia mimi Kwa furaha kiba bana acha kuimba mm nalia 😭😭😭😭😭wimbo mtamu Sana jamani wimbo unanisahaulisha shida, mapito yani najiona tajiri mimi wimbo shibe Huu kiba thank you so much 😭😭😭😭😭I feel crying more and more utafikiri unaninong'oneza wuuuuuuuuuuuuuh
2M viewer 3days ikimaliza wiki si 7M shikamooni 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nimegawa bure!!!! Sio kwa style hii!! Twende sawa watoto wa TZ na Kenya majirani zetu!!! Mwendo wa kulike na comment tu!!!🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
Team kiba mnalala sasa...... mbona amuoni video....... Team Dom..... inakuja ...... kwahiyo keep on watching as many times as u can..... we were a head 0f them 900000..... now it's 800000....... pull up ur socks guy's let keep the same speed as before ......
Yaaani wasafi wamegeuka vietnam afu king kawa commanda... Si unajuaga zile movies zetu za kivita star mmoja anapambana na vietnam 10000 na bado anaqashinda
Wale wa 2024 tujuane kwenye like apa
🔥🔥
❤❤❤❤
🤴
Still jam 2024
❤❤❤😂
2024 TUJUANE
mpaka leo msimu wa nyimbo mya ya Mbio nipo nasikiliza hii seduce duh, hakika hili jiwe lilikuwa ni jiwe la mauaji, #mbio. Ambao tuko pamoja kote tujuane sasa natoka hapa naenda kuangalia video yake ya MBIO
February 18 2021 ukiangalia huu wimbo niachie like please maan duh
❤❤❤❤ Alikibaa
GONGA #LIKE KAMA NA,WW UMEIPELEKA HI VDO 1M CHINI YA MASAA 48
#KINGKIBA *kpenzi cha watu*
sisi tulitaka utoe nyimbo we umetoa album ... !!! hahahahah Goooooooooooooooooooooood KIPUSAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Emanuel M Lyaruu 😂😂😂
Emanuel M Lyaruu 😂😂😂😂😂
🙌🙌🙌
Emanuel M Lyaruu 🤣🤣🤣🤣
sawa mzeee
Kila dakika nipo huku naangalia one million itafika saa ngap
Rebeca Kihwelo in 1 hour
Rebeca Kihwelo ndani ya nusu saa tutahit target ... Endelea ku re view😇😇😇
Rebeca Kihwelo ww team domo au?
Rebeca Kihwelo tayari one million 💪💪💪
Rebeca Kihwelo ishafika m moja. ado naangalia hapa
Halijawahi kutokea dude kama hili Dunia nzima Wazungu watakuja kuligundua liko so hot miaka 50 ijayo na litampa King uking wa Dunia #PopoteAlipoKingcommentna Likeyanguuuuyooooh.
Nyimbo hii imetulia yani unaweza kuagalia na wazazi na watoto kweli ww ni king kiba huwa hubatishi nyimbo zako zote hazinaga matusi wala kuvaa vichupi .Good job ali kiba
mariam bb umeongea point
Trueee
nice
mariam bb Anajielewa mzee wa Yoooh!! Sio wale wanuka maziwa 😀😀😀
mariam bb sio zile za kubinua matako na vichupi... Kuiga nje sana
Alikiba you are something else you just bit "eneka" in one week while that song was on market in 3mouths Big up Even WCB naelewa wana uwoga sana kwa hilo nani anakubali kama alikiba kazima eneka tuachane na zilipendwa gonga like twende
erick nsabi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻👑👑👑🙌🏻🙌🏻
Saida Choti thanks
erick nsabi respect
erick nsabi 😂
🔥🔥❤👌
Hii ngoma Nailaani Haitozeeka Kamwe
Wow
Kama Mpya Kumbe... Hizi ndo kazi za Utu Uzima
Like kama Umekubali Ngoma Haitozeeka
I don't like that, I'm too smart Dada. it makes me feel better
seduce me #####😁😁😁
Nomaaa sana huu unyama
Unainje ukikaludia
Baada ya kutazama Heat nyingine ya King nikahamia hapa kuseduce Alikiba ni King haswaaaaaa kwenye Bongofleva.
kiba watu wanakupenda sana .ukwel hiz rekod unazoweka kwenye music wa bongo na africa nzima znaweza kuchukua hata karne nzima kuzivunja .....madale huko hawalali wanawaza kukushusha..lakin cc tuko nyuma yako . .....tunata kufkia mwezi mmoja tufkishe milion kumi ..kwa kas hii tunafkisha...
M4 inatakiwa jaman!
Mungu ni kwema, tutafika tu!
Nassoro Mussa umesikia wimbo wao na pantoranking siuelewi
Melissa Mfaume ndoo maana #King aliamua telekeza nyimbo yake na Patoranking aliona ujinga. Kwahiyo Malkia alikuwa anataka King akiachia Song na Patoraking nayeye aachie nyimbo hiyo. Kumbe jamaa anacheza na ajili?
upo vizuri nakupenda sana kaka
king kiba fans ,mnanifurahisha tumerud tena #1 ila tuna jisahau tukaze tuweke record ata zaid ya wik 2 tuwe apo,lets keep watching tusichoke
Adam Hashimu -Safiiii...
+karim issa yap tukaze si unaona yani tukiwa bze kwa mda tukamata namba ytu tukisahau wanapanda so nikukaza tu , let's keep good music alive
+karim issa yap tukaze si unaona yani tukiwa bze kwa mda tukamata namba ytu tukisahau wanapanda so nikukaza tu , let's keep good music alive
Adam Hashimu sawa sawa
Adam Hashimu okay
Hii ni ngoma kali itapenya pole pole na hana haja ya kutoa wimbo mpaka mwisho wa mwaka ujao,tatizo watu wanapenda vitu rahisi vinavyochuja wiki mbili,hongera King Kiba
some how but,,,,,,,,,
Omari Bahali poa sana hiii ngoma ananikosha sana ndg wang big up sana my King Kiba
Marco Mwaimu huyo ndo king
Kwa song hiii wallah kusikiliza sichoki nazidi kupata wazimu
2024 n we still vibing to this jam💥💥
😊😊😊😊😊
balaaaa❤
King sio MTU mzuri hawezi kumuacha malkia wangu salama ona sasa wanaimba taarabu ha ha ha ha mtoto Wa ommy dimpoz haelewi elewi
mustaph yassin umeona ee
mustaph yassin safii
Ambaye bado anaangalia hii nyimbo mpaka Leo agonge like yake hapa
kaliii
Who still watching in 2019??
Kiba unajua mzee baba
Your the best king👑
Mchujo hakuna hapa kama imetoka jana
Kabla siku mbili,yaani ndani ya siku moja jamaa kesha gonga milioni
Hakuna msanii wa bongo aliyewahi kufikia rekodi hii
superbrain jojo sio bongo tu bali afrika nzima
+akida simba Nafikiri Wizkid ndiyo aliwahi kugonga milioni ndani ya saa 24,wengine hawajawahi hata Davido hajawahi.Hata Diamond hajaifikia hii.Ile salome ilitimizaga milioni ndan ya 3 days
kweli unajua kupend maana huna shobo!!! nakukubali sana nawanao kuchukia watasubili sanaaaa tyuuuu!!!
cyo tz mzee Africa mashariki na kati kwa mujibu wa Sony mzee baba #jojo
+Simon Mtuka Ok ok om
2024 anyone?
❤
❤❤
✋🏿
❤
😅😅😅
Wana 254 tuko ndani kuliko watz,,,aye!!kumbuka kuni#seduce
Cydah cannielevha seduced u
NDAAAAANIIIIIII....NDAAAAANIIIIIIIII...NDAAAANNNIIIIIIIII...fix our political famous accent
Mambo nihajra alikimbi nunoma San
Cydah cannielevha pamoja 254
Cydah cannielevha apo kabby umenena kabisaa
Video Kali ni tofauti na zingine zote haina vichupi vichupi Wa makalio makubwa big up Kiba kwa kuangalia mila zetu na desturi
Tulieni niwaambie kwa nini huwa nasema kuwa kiba ana akili na afanya kazi akimuhofia Mungu, Dont do like that,you're too smart dada,anamaanisha usikubali wewe mdada kuchezeshwa nusu uchi kwani upo smart na video inaweza pendwa hata kama wadada hawato vaa vibaya,"dadas ure too smart vaa kwa heshima, love u kiba.
David Vicent Munishi umeuwa
mh ndio maana yake au umefikilia2
2023 and i still vibe to this song like it was made yesterday ❤love you king kiba
Almost the end of 2023 and the vibe of the song is at its best
Huyu Kiba hatari aisee...... Naskia wale 7 stars zilipendwa taarabu" wamepanic kule
Juu tu sana !!!! wapi likes za wazito wa King'Kiba +254???
Davvis Mk upo wp ww
Davvis Mk nikoo
wow very nice songes
Radhiaabdallah Radhia niko mombasa county 001 !!
Team kiba forever.nyimbo poa sana
Joyce Kahigwa Ali King 👑
+first writter 🔥🔥
Joyce Kahigwa woyooooo
Wale wa 2024 tujuane kwenyelike apa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂
Kumbe familiar
Tuongezee bidii kufika kesho iwe na 2 M. God works in a mysterious way
Brayton Sangs umeona ee. kila ukiiangalia utadhani mpya
Jacquiline Tenth jaman wanakalibia kutufikia kwahiyo tuzid she
jackline tuko pamoja me mpaka you tube wameanza kunizila nabado nazid kuangalia
haiwez fika
+Eben manning baki kushangaa paka wew saiv 1.6M nyoko kabisa
kiba we kiboko baba nakupenda mpaka naumwa.nyimbo unacheza hutokwi jasho jamani loooh. hujawai kumuacha mtu salama watajuta kukufahamu Safari hii
taratiiibu
Pasua kichwa
alikiba hajawah kumuacha mtu salama jaman eeehh saluuuuuute
mm napita kila baada ya saa 3 nachek viewers duu this is king kiba buana
omario awesi good ilaitabidi upite baada ya lisaa maana king kanyosha sanaa
C umekosa kz
omario, kama mm yan kila baada ya nusu saa nachek pia
jamila cheyo mm kila dakika tatu apa nipo
midakika
King ni nin unachowekaga kwenye nyimbo zako kila tunapo zisikia zinakuwa mpya
Please kingkiba fans tufikishe 3million to show diamond yakuwa usidharau mtu yeyote mafans wa alikiba let do this i love you so much may God bless you long life king kiba👌
Hellenah Willykeystar okay
Hellenah Willykeystari itafika tuu dea
Safiiii....kazi kazi
Hellenah Willykeystar uwiiiiiiiiiiii Ali utatuuuwa
Khadija Khadija Atatuuwa na mazishini hatokuja
Nahis maskio yangu ntayapasuaaa leooo.... Baba mwenye nyumba ajiandaeeee kwa kelele kudadeki
dabas abdul uko Kama mim napiga kelel wallah
+joyce john hahahaha naskia kama roho haijatulia ivi yan
Yaani hatari ndani ya saa moja viewer kibao kweli huyu ndo king wetu.ali k fo reaaaaaaaaaal
dabas abdul hahahaaaq kama nakuona
duh we ni level nyingine king kiba
who else is in love with this part of the song, "Too smart dada😍😍 they call me heartbreaker na majina mapya kila moja amenipa, wananiita kipusa ohoooo wapaswa kichwa.....😍😍😍😍
Rio Mo meeeeee
Rio Mo me 🙌
The song is doooooppee
they call me heart breaker
Rio Mo Anasema "I am too smart dada" sio too small data. Wimbo ni mzuri mnoo kwa kweli.
King kiba mfalme wa wafalme alikiba bado tunafata video mpaka sasa
King kiba 🔥🔥🔥haufanyi kilichofanywa unafanya kinachostaili kufanywa
Uko vizur sana kiukwel safi saaana
I love alikiba so much ..anaimba nymbo hana makeke mengi ..much love
good
Mungu akuzidishi miaka 20000ya kuishi dunian Aliy wetu and we love soooooooooooooo much
Vizur ccter kiba noma et?
Pasua kichwa
Chriss Danny Alikiba hiv we.binadam upo?
Hellow King iyo nizaidi ya fire natamani uwo wimbo uchukue nafasi ya wimbo wa taifa yani Tanzaniax2 its means ikipigwa hiyo ngoma raia yeyote harusiwi kukaa lazima asimame liweni kosa la jinai kudharau ilo dude pasuwavichwa #Seduce me#
hahahahahahahahahhahahahahahahaha
sakina Omary hahahah
😘😘😘😘😘😘
hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha h
sakina Omary hahahahah umeniamsha dudeee
Imetoka dodo imefunika na kufunga kila kitu mpk sasa hakuna Song Limeingia trending kwa masaa 5 mpk sasa alaaaaaaaaaaaaa wakaungana na quarantine yao bado king is king 👑 tuu
Q
#seduce me unachezeka popote...kiba jmn uwiiih...nakupnda hta ukiimba mabata madogo2..pop it in!
Ntully Godfrey kweli kabisa ntully
James Sinani kama kawa aiseeh kiba nouma
king atabaki kuwa king tu nautabiria makubwa nyimbo hii Jana nimeenda club umepigwa na umetoka Jana watu wamecheza hatari kwanza nyimbo naickia mpk rohoni ndo watamfananisha na waimba kwaya wale kibiti kwaya hawamuwezi waende tu zimbabwe
Selua Hafidh Majid ha ha ha ha hata hawafanani
kingkiba ulitoa ahadi kwetu kwamba seduce me ikifika 10M utaliamsha ahadi ni deni tumefikisha sasa
Kadogo.. pasua kichwa
I am from Jamaica and I totally don understand swahili but hii ngoma maze naisikia nikirudia rudia..kiba umeweza maze..u the baddest
Miss Yenna 😁😁😁😁😁😁😁 nimecheka kifala aiseee
Miss Yenna 😁😁😁😁😁👆👆👆👆nafwa mie
hahaha
Miss Yenna 🤣🤣🤣🤣 watanzania cc n levl zingne aloooo, hii jamaica lazma itakua manzese darajan pale
Miss Yenna hahahah
2022 bado inabambaaaaaa wananita kipusaaaah oooh pasua kichwa🇹🇿💪
Nnachokupendea king huwa unawapa nafasi sana mamodel weusi karibia nyimbo zako zoteee, yaanii hii club banger hadi Bi mkubwa kaniambia iwekee repeat hiyo nyimbo😂😂😂 alafu ananiuliza hivi huyo alioimba ni nan vileee? 😂😂😂 nkamwambia anaitwa kipusaaa 😂😂 akasema kweli huyo ni kipusa sio kwa nyimbo kalii hiviiii 🏃🏃🏃🏃
Moudy weezy hilo LA kutumia mamodel weusi namuunga mkono na mguu kabisa
Moudy weezy umetisha sana, msalimie bi mkubwa
Moudy weezy ahsante kaka ludia tena
😂😂😂😂😂
Yaani nimeenda msikitin nimerudi Bimkubwa bado kaweka repeat 😂😂😂,eti anapenda kipande kile cha Despacito, nkamuuliza unaelewa akaniambia Ali kiba atanielewesha, nimecheka mpaka njaa imeniuma.... 😂😂😂😂
Hiyo sauti yako tu inanifanya nakosa ucngizi nikikumbuka seduce me naamka naangalia yaan hyo sauti tu nakojoaaaaa hivi kiba kwann unajua hivi jibu ni kipusa unstopable
nisheeedaaah
umetisha Rebeka 😂😂😂
Rebeca, nimekupenda bureee
Rebeca Kihwelo hahahahaha rebeka kihwelo
Rebeca Kihwelo I love u
Ali kiba utaniua mwenziooo.. Mara ya 23 nasikiliza jaman..
Muse Marwa nguvuu ni moja kuusikiliza mpk tupasuke vichwaaa
Muse Marwa mim ishapita 50
Mi zaidi ya 100 haki nimeusikiliza tangu ukote mpaka sasa hivi
Muse Marwa badooo ongeza m naangaria mpaka matangazo kabra ya nyimbo kila napopata mda niko hewan
Wananiitaa misifaaa ohhh pasua kichwaaaaaa duuu utadhani nyimbo imetoka jana kinggggkibaaa
Wameamua kuungana kwaajili ya king kiba daaàh umetisha king k
jaiross elisha Kiba ni tisho
Lukers Orenge hatari
Yaan whole day niko naangalia this video mpaka bando liishe
Brayton Sangs hahahahahaha itakua😂😂😂
Brayton Sangs aendeleee hivi hivii asitoe nfoma mpaka tummisss mama hii itaishiiiii
Lightness Manosa pamoja👏👏👏
Lightness Manosa tuzidi kuview dada ifike 1 million tuwadunge midomo
Issa I see you .....kwenye mziki mzuri
Hii nyimbo imewafanya wanaume sita wakavaa mawigi #SeduceMe
Rajabu Kasuka hahahahaha halloooooow
ha ha ha ha ha kweli akitoa nyingne watavaa madira
Rajabu Kasuka hahhaah no comment babaa😁😁😂
Rajabu Kasuka 😃😃😃😃
Rajabu Kasuka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂lol
Ooh I love this song ,the beats and everything.
dyuuuuuhhh wabongo siyo wa sport sport aiseeeeeeeee🙌🙌🙌🙌🙌 nataka nikale karanga diamond getini kwa kiba 😁😁😁😁 maaaana najua Wasafi wamebakiza karanga tuuuu mziki hqkunaaaa 😂😂😂😂😂😂 kibaaaaaaaaaaaaa mwaaaaaahhh am too smart dyadyaaaaaaa
Views 1.9 tujikaze mpka saa kumi tuwe n m2
duh wewe noma
Shamimu Idrisa kabsaa ndugu
kibaaa kipenz cha watu
hehehe hatareee
A year down na ngoma bado yatesa mitaani nchini kenya....kama wamkubali kiba gonga like tuzidi kuonesha upendo
Milion 10 bado tu jmn tupate nyimbo nyingine ya taifa
Vipi kwniii
Tufunge mwaka na Seduce Me, my all time best of Kiba...+254 kama kawa
mamaeeee kibaaa fundi haki ya mungu hii ngoma hatariii 🎶🎶🎶🎶👊💉
Hamphrey Alphonce hataaaar hyu jamaaaa🔥🔥🔥
hatarii hii ngmaaa kama ulaya
kiba kweli wewenifundi hatalii nakukubali
Hamphrey Alphonce acha unafiki kaimba utumbo haman kitu, watu kama ww hamfai mnasifia utumbo tyu
Hamphrey Alphonce 😂😂😂😂dah sio kwa kumpa mbichwa uko sasa kaimba nini
Japo kuwa sijui kiswahili ila mzee baba umetisha sana Huku Pakistan tunautumia kutulizia vita hata waasi wakiuskia wanasahau kupiga mabomu yao
Shirima Leodiga 😂😂😂😂😂
Shirima Leodiga wachaaa...mzeee....😁😁😁😁😁
Shirima Leodiga 😂😂😂yako kali
hahaha sawa wasalimiee
Hahaha atar xx apo umeandika lugha gan
Fala ingine ilidhani ikitoa ngoma simultaneously itacover seduce me. hahaha. king atabaki kua king. kwanza pastor wetu amesema opening hymn next sunday ni seduce me
umeona ee kumbe ndo wajatupa mzuka wangoma kupasua
nice song
+Hidaya Jumanne kwikwikwi najua kupenda hapa hakuna eneka wala zilipendwa hapa ni seduce me Jay nishawishi nikupende hidaya follow on wasap 0757474501
MJ TV haha..... Ati paster wenyu amesema sunday..........
hahah I wish I could attend dat service
Watch out the king will blow alladem away...only time...unapendwa baba...kenya sana
Halafu wale 254 #teamkiba tuko na creativity sana. Kama tu king mwenyewe. Ukienda kule kwingine I guess utapata team254 mark register hapa, sijui team free WiFi mark register hapa na copy & paste zingine kibao. Wenzao huku tunalipia faimba. No wonder wanasema tumehack TH-cam. Hahaha
hahahaaa
MJ TV yes team kiba
MJ TV Achana nao hao
MJ TV Anzisha system nyengine tuko sawa tuu
Halima Sali. mambo
5million wow tunasonga team kiba
Ha ha ha ha wanaumwa so mchezo jesh la m2 mmoja yan kuna wa2 wanajua kuimba jaman awatumiagi ata nguvu..we kiba utantoa roho
Kiba ngoma kali mno
yaaani mambo yetu mdogo mdogo
EDGAR MAPUNDA me hoi king ninouma
Mimi Timu mondi. Ila hii song daah Alikiba ulitisha sana kaka
Corona inizuii kutazama hii ngoma Kama bado na wewe una itazama gonga like tujuane 💯
hana mpinzani😂😂😂kiba fo real
mixer ladha kibao❤❤❤i like
Mkali wa bongo fleva king wa hizi kazi hakuna wakufananishwa na wewe tz
Mimi ni Fun Wa Diamond lakini kama kitu ni mzuri iambiwe ni mzuri... Good job alikiba.. Wacha nirundi kule kwetu kwa waaaasafi kama kitu ni poa ipewe sifa
Charles Ndungu #seduceme #king
Img huyu jamaa amefikisha 1 million viewers na siku moja
Charles Ndungu ushabik wenye faida ndugu usipende kujiumiza sikilza na angalia kizuli chochote
doddy rangai umenena ukweli 👑 wake WA kway tupa jalalni stey with king rockstar
Charles Ndungu 👍
Dahaa king kiba fundi sana ,nyimbo zake znaish nyimbo haish utamu hadi leo
Very nice King kiba leo mziki wako umepigwa hapa belgium kwenye tv ya hapa very nice......
Rayyan Ibra umeskia eeh!!chezea kiba weyeee
safi
Rayyan Ibra@good 🎶
gud
sana mwana
Alikiba all the way...... Who is here listening and reading comments
antony mosomi mm
ok
antony mosomi meeeee....kiba is bae
From uganda
Binafsi nimependa mtazamo mpya wa video nilikuwa nimechoka na wasanii kuazima nyuma ama hoteli za kifahari kushoot movie wakiwa na wanawake waliojibleach mpaka meno.
Faiz Abdallah nimekusoma broh...bongo tumekalili
King ninouma
Faiz Abdallah ukweli kiba ako tafauti nao
fala kabisa,nyimbo ya AJE alikodesha hoteli pia,uzushi tu huu
Kevin Nganga wewe dio Fala get the fuck out of this page if u aren't kiba fun.eda huko kwa zilizopedwa dio maana anagagana na wa mama wazee huyo diamond wenu🖕
Wee Mungu akusimamiee ......ningekuwa na mafumbaa ningekupa kama zawadiiii
Nipo kibiti magaidi wamesimamisha Vita wanacheza ngoma💯
Derrick Siga nicheke niongeze siku za kuishi
Derrick Siga 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Derrick Siga 😂😂😂😂😂😂😂😂
haha we kweli bhange haha
Kituuu safii kabxaaa %%100 had wenzetu wanaamua kuimba kwaya
hahahah
Mario Mlowe hazard jr wameanzisha kwaya
+Edward Dickson mlg daaaaaa acha😀😀😀😀
Hahaa
mbavu zangu wana sio kwa dis hizo
so alikiba is here making it big in vevo na mondi bado ako youtube na fans wake wanaleta ubishi...kiba is the king
tell them folks
Wananiita kipusaa oooh Pasua kichwaa
Piga kazi kiba nyimbo ipo poa sana nakupa big up kijana komaaa achana namaneno ya waimba tarabu maana kuna nyimbo nimeisikia inamajina ya watu matupu hakuna lamaana
Abdallah Abassi umenichekeshaa hahaa utadhani ni bolingo
hahahaha afadhali kumbe kuna wenzangu tulioyaona mauza uza
HaaahaasTeam WCB,,mtakufa,,,ndo wimbo gani huo sasa,,,,wasaf shida yaan,,,haaaahaaa kakaaa kimya karbuni mwaka mzma saiv anarud nakit hakieleweki,,,acha mzki,,karb wcb wKupe mistari
kwa iyo ile ndio mumeona nyimbo! nyimbo inataja majina ya watu km tuko sensa ndio nyimbo gani ile
Maggie Tuwa mashairi ya kutaja majina ya watu nyimbo nzima au unamaanisha mashairi gani??
Duu kiba we kiboko baba yaani ngoma lako sichoki kulisikiliza seduce ndiyo habari ya mjini
Matha Mbasa Raphael tuko wengi cute, tusioichoka hii ngoma, tena leo tusilale mpaka tufikishe 4M au unaonaje???
Sawa kabisa
tuko macho mida ya wanga lazima tufikishe 4M
Matha Mbasa Raphael umeona ee
Nimeona mama
1 million viewers please bcoz your the king team Kiba piga aaaaaaaaa keleleeeeeeeee
Stephano Kimaka oyooooo
Stephano Kimaka oyooooooo ila tusipunguze speed
Stephano Kimaka
Oooooooyyyyy kiba kapasua
Stephano Kimaka 1.3M by 12:30 am on 27th
jane James oyooooooooooooooooooo😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
#Seduceme#was pasua kichwa by then watu walikusanya kundi zima kupambana na huu wimbo#seduceme the history song🔥🔥🔥🔥
Anayekubl leo/kesho tutafikishaaa 3M views gongaa likeeeeeeeeee _____#king kibaaaa wapasueeeeeeeeee
Kipunga_ thedon_tz inshaallah
Yeahhh lzm zfk keshoo
Kipunga_ thedon_tz tutafikisha tu
Hii nyimbo ndan ya xiku tano itavunja rekod ya aina yk ,,,kiukweli hii nyimbo ni noumaaaa xanaaaa
Kiba nomaa
Hii imefanya wanaume 7 wanevaa wigs duh...ukitoa nyingine watavaa heels mpaka wapake lipstick kabisa. I can't wait
MJ TV ha ha ha ha ha
MJ TV noma Sana
MJ TV 😀😀
امينة مكوزي the first to
Naona leo watu wamelala,hamken jmn ,shadya uko wap mamy hamka na wengine aliy amesem seduce me
nimetoka leba nipo na mwanangu hapa anasikiliza seduce me gonga like hapa kama ungependa mwanangu awe team kiba
Babymarry Charles James has said it
Wananiita kipusa oooh pasua kichwa
ajmal
Babymarry Charles James pa1sana
@@ajmalshee6504 hggzdhjnzZ
Unbeatable, unstoppable,undisputed King, unforgettable hits,never old.
Kiba Ctak bana😭😭😭😭😭Mpaka nalia mimi Kwa furaha kiba bana acha kuimba mm nalia 😭😭😭😭😭wimbo mtamu Sana jamani wimbo unanisahaulisha shida, mapito yani najiona tajiri mimi wimbo shibe Huu kiba thank you so much 😭😭😭😭😭I feel crying more and more utafikiri unaninong'oneza wuuuuuuuuuuuuuh
Esther Michael 😂😂😂😂😂
Esther Michael .Umetixha ccter xaluti kwa kiba
ha ha ha ha ha
poleee sanaa
cijapenda hata kidogo chefuuuuuu
Gonga like kama tuko pamoja 2019
.🔥🔥🔥
2M viewer 3days ikimaliza wiki si 7M shikamooni 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nimegawa bure!!!!
Sio kwa style hii!! Twende sawa watoto wa TZ na Kenya majirani zetu!!! Mwendo wa kulike na comment tu!!!🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
Ernest Ndauka Hakuna kulala leo
Ernest Ndauka umeona ee mpaka wanyooshe miguu
Shadya Shaban what I hell as hold up😀😀😀😀😀pasuwa kichwa
Kwisha habari yao!!! Hati wakisema tuna nunua view ila safari hii wamekoma!!! 💞💞💞💞💞
naipenda hii nyimbo aisee
Sema hii ngoma ilishiba melody, lyrics, vyombo yan ipo 98% perfect.
Team kiba mnalala sasa...... mbona amuoni video....... Team Dom..... inakuja ...... kwahiyo keep on watching as many times as u can..... we were a head 0f them 900000..... now it's 800000....... pull up ur socks guy's let keep the same speed as before ......
alfani mlawa true
alfani mlawa true mm hapa nimeamua kupiga kambi hadi tufikishe 10M before mwezi uishe
Minira Jebril ila watu wame slow....sio kama mwanzo
but sai wameamka ....tunaendelea tu kuview mm hapa sibanduki
Minira Jebril me pia sibandukw
Kenyans we love kiba...ngoma tamu hii
Wwwwww alikib ako poa san
Ushasema
Ann Muthoni Njuguna Yap!
great song....
I dont understand what he is saying but i love ali kiba. I always look forward to hear his songs. One love from Ethiopia💚💛❤
I can translate it for you
Welcome tz my
inbox ur no will interpret to you
medgieueheuwwl, mdh He heueuuhissld.dls
w.wlsleoepedllddlfkels so dkekdmdmmf,
Hanan Jm Nice sister
nime miss hii song ikabidi nianguke nayo 2030 vision on time
Yaaani wasafi wamegeuka vietnam afu king kawa commanda... Si unajuaga zile movies zetu za kivita star mmoja anapambana na vietnam 10000 na bado anaqashinda
fadhil kibonde hhhhhhhhhhhh
fadhil kibonde komando kipensiii atawaua wotee
fadhil kibonde hatari nimecheka walahy
umetisha brother umefikilia mbali sana
N kwel bwana kiba ndo sterling
Mziki wa watu wakubwa huu alikiba umeufanya nimekubali salute broo na man water salute kwa mziki mtamu
paul Santana tzee
hiii nyimbo hata baba angu na mama watasikiliza chumbani kwao
Lemonthe Neutral2433 hahahahaja umenichekesha kweli
Lemonthe Neutral2433 mi nimelia kwa furaha yaan ngoma tamu balaa
paul Santana tzee marikia wetu wanguvu aje basii tunakusibiria kiba umetisha sana tu huna mpiniziani Marikia wako hanajimpa Anarukarukatuhatumuerewi
paul Santana tzee wachach san tunaoelewa
ali ni kipenzi cha watu tupo nyuma yako kaka
Tom Leonardy nomaaa
2:44 the beats ❤
tunataka milion tatu kesho mda kama huuu..kama unakubal gonga like twendr sswa ns tahakkshe tumeifkia.tuwaonyeshe waleeeeee tm fran
Nassoro Mussa kama kawa like
had kufka ucku wa leo kimeeleweka
Halima Sali. Kabisa acha tuache historia ya mwaka na King wetu
Tumeanza kua slow jamani, ingependeza sana siku tano ambayo ni kesho tufike M3 👌👌
kashindi mayowa tucpoteze nafas muda ndio huuuuu
Silali wala sitoki youtube mpaka one million viwers igonge #teamkiba4real
Fatmah Ngawoneka tuko wote.... Tunahakikisha usalama.... From canada na sielewi kiswahili
Witness nimekupenda bureee... Watatuelewa tuu mwaka huu malkia zetu wa nguvu. Laughing out loud
Till M
Fatmah Ngawoneka imebaki nusu saa tu
Fatmah Ngawoneka imebaki nusu saa tu
I can like this song 20times and still not enought.. Love Our KIng KIba ,,, Seduce me like whattaaa hell
Naj King always be a king forever
we need to watch this song again
Oya goma za kiba ata kama ninyakitambo but utafikiri katoa Leo bwana utunzi ni Bora Kwa nyimbo king is only one in East Africa is king kiba