Darassa ft Ben Pol - Muziki ( Official Music Video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10K

  • @Darassamusic
    @Darassamusic  7 ปีที่แล้ว +1778

    Watch #Darassa latest music video "Hasara Raho" ► bit.ly/2pVSRFo

  • @annanthony7307
    @annanthony7307 7 ปีที่แล้ว +59

    piga like hapa kama wee ni mkenya

  • @abdiladifsiyad4834
    @abdiladifsiyad4834 2 ปีที่แล้ว +903

    Wale wenye wanasikilizana 2023 tupatane kwa comment section.....

  • @LatifaAbbas-f3m
    @LatifaAbbas-f3m 10 หลายเดือนก่อน +35

    Tunao sikiliza Ngoma 2024 gonga like tupeane connection❤

    • @RithaFanuel
      @RithaFanuel 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @LUHYAPRINCE
    @LUHYAPRINCE 10 วันที่ผ่านมา +7

    Hi Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nani ako hapa na Mimi ❤❤❤one love to Tanzania 🇹🇿 our next home💞💞💞

  • @daimakiganjani
    @daimakiganjani 3 ปีที่แล้ว +35

    Aliyetazama leo agonge like na akikisha unacomment hapa tuwakilishe mziki mzuri🔥🔥🔥🔥👣

  • @poetaposhia570
    @poetaposhia570 11 หลายเดือนก่อน +17

    2024 we still here. Wangapi tunaskiza hii 2024

  • @pittmoh5625
    @pittmoh5625 7 ปีที่แล้ว +22

    Nyi wa Tanzania bakini na Diamond na Kiba, tuwachieni Darassa tafadhali, huyu jamaa tunaelewa nyimbo Zake. love from +254

    • @raphamganga850
      @raphamganga850 7 ปีที่แล้ว +1

      Hapana Darassa ni Mtanzania hivyo hata yeye ni wetu. Ila hatuna uchoyo tumewapa muziki wake mfurahie -:)

    • @micaela9427
      @micaela9427 7 ปีที่แล้ว +1

      hahahaha jameni Rapha tuwachie darassa....254 loooveee

    • @amaina67
      @amaina67 7 ปีที่แล้ว

      hahaha. Good one

  • @badru1968
    @badru1968 ปีที่แล้ว +25

    Waliokuja kucheki Tena mwaka 2023 sign hapa🇹🇿🇺🇬🇰🇪

    • @badru1968
      @badru1968 ปีที่แล้ว

      I've seen you the first commenter 🤣

  • @RemizKE
    @RemizKE 2 ปีที่แล้ว +275

    wale wanaskiza 2022 tusonge nayo still 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @reagannkya9127
    @reagannkya9127 5 ปีที่แล้ว +41

    Daaah, hili goma kwangu halichuji, kama na kwako pia halichuji na unamkubali Darassa Gonga like za kutosha👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾

  • @lochodoapolo3602
    @lochodoapolo3602 3 ปีที่แล้ว +16

    Rudi utotoni, Usipotembea utabebwa mgongoni
    255 champion boy niite mbwana samatta
    Wanaopta mapembe waongezee Mkia
    Na ukinibip tu nakupigia, and let me make one thing clear
    Bla Blah Blah Sitaki kusikia
    Sio simba, sio chui sio mamba
    Ngozi yangu inatosha kujigamba
    Na sina maneno ya kwenye Kanga
    Kazi juu ya kazi yani bamba to bamba
    Ukizaa unaweza kuzaa kizaa zaa
    Sinzia na fegi uchome kibanda
    Kalale uote ndoto zako za Kitanda
    Si bado tuko macho mida ya wanga
    Funga mkanda, kaza na kamba
    Ama ufate nyayo uchane msamba
    Pasua miamba, pasua anga,
    Tunasemaga chambua kama karanga
    Maisha na Muziki, Acha maneno weka muziki,
    Ukiwa safi ukiwa happy ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
    Safari na muziki acha maneno weka muziki
    Beba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki.
    Bambataa, shika kamata, rhumba sakata, Kaboka mchizi shadata nshadata aaah
    Unataka kukimbia na hauna brake, what do you Expect
    Bongo, Congo au Thabo Mbeki
    Cheza Lokasa ya Bongo huwezi kumake
    Waache wa self usije ukaji Confuse
    Mzuka wa kuruka Raggae kwenye Blues
    Una mchuzii no excuse, maisha ya ghetto kila siku kama Movie
    Vitu vingine havitakagi ujuaji
    Utajikuta unatandikia watu jamvi
    Kusubiria embe chini ya mnazi
    Kumwelewesha chizi utajipa kazi
    Funga mkanda, kaza na kamba
    Ama ufate nyayo uchane msamba
    Pasua miamba, pasua anga
    Tunasemaga chambua kama karanga
    Maisha na Muziki, Acha maneno weka muziki,
    Ukiwa safi ukiwa happy ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
    Safari na muziki acha maneno weka muziki,
    Beba unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki.
    Wanatamani tupotee kwenye Map,
    Tunapeleka Ghetto to the To Top
    As I Told You that we don't stop,
    We dont stop
    Wanatamani tupotee kwenye Map,
    Tunapeleka Ghetto to the To Top
    As I Told You that we don't stop,
    We dont stop

  • @sureevuara6755
    @sureevuara6755 8 หลายเดือนก่อน +8

    Wanao sikiliza 2024 njoo apa😂

  • @peteloocejet9222
    @peteloocejet9222 3 ปีที่แล้ว +16

    Aki wewe acha tuuuuuu hi ni kali tena ya mwaka 🥰🥰🥰🥰watching all the way from Australia 🇦🇺

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 4 ปีที่แล้ว +16

    Dah! Hi ngoma hunikumbusha Zanzibar tulivyokua tunakesha tukicheza, patamu sana pale...

  • @jacklinebaghari8535
    @jacklinebaghari8535 4 ปีที่แล้ว +18

    Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii maisha na muziki acha maneno weka muziki ........lete like za darasa hapaaa

  • @godfreyalbetus6164
    @godfreyalbetus6164 หลายเดือนก่อน +12

    Wale wa end of 2024 🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mjeru
    @mjeru 4 ปีที่แล้ว +16

    Maisha na Muziki.. Bla bla bla staki kusikia.....tunapeleka Game to the Top Top.....weka Muziki ,wacha Maneno weka Muziki!

  • @mnyabi1118
    @mnyabi1118 3 ปีที่แล้ว +201

    Who still watching this song in 2021 tujuane kwa likes basi

  • @charlesmichael6900
    @charlesmichael6900 4 ปีที่แล้ว +81

    Kama bado unagalia hii goma msimu wa Corona virus gonga like yako hapa

  • @RichardChigiri-x7c
    @RichardChigiri-x7c 10 หลายเดือนก่อน +6

    Wale tunaskiza cover yote ya darassa 2024❤much love from 🇰🇪 bro👊

  • @Minayo001
    @Minayo001 10 หลายเดือนก่อน +14

    Kama umerudi 2024 kuskiza huu wimbo nipe like na ❤ emojis😅

  • @dladchalle9179
    @dladchalle9179 3 ปีที่แล้ว +13

    Nimerudi utotoni tena🤸🏿‍♂️🤸🏿‍♂️

  • @zenabhoke4286
    @zenabhoke4286 7 ปีที่แล้ว +21

    Darasa kazi nzuri sana Kaka👏👏👏👏 kutoka kenya tumo ndani
    KENYANS mnaopenda hii ngoma Mark register hapa

    • @zipporahbiyaki2463
      @zipporahbiyaki2463 7 ปีที่แล้ว +1

      Zena Bhoke Niko ndaaaanioiiiiii

    • @yusufsalim3149
      @yusufsalim3149 7 ปีที่แล้ว +1

      Zena Bhoke :hata mm zena nimo ndani

    • @zenabhoke4286
      @zenabhoke4286 7 ปีที่แล้ว

      Zipporah biyaki usitoke shikilia hapo

    • @zenabhoke4286
      @zenabhoke4286 7 ปีที่แล้ว

      Yusuf Salim shikilia hapo toa strees

  • @jacktons8614
    @jacktons8614 8 หลายเดือนก่อน +8

    Nyie vitoto vya 2050 hii ngoma ilisumbua sana😅 kuna wengine hadi walilala lockup sababu ya hii ngoma, ni mimi babu yenu..🙏🔥

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 5 ปีที่แล้ว +22

    Ongezea darassa ya University kwa jina lako maana umetosha .....ligi yako iko juu🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mworiaK19
    @mworiaK19 3 ปีที่แล้ว +20

    naona 2021 mnakomenti😍 twende pamoja basi

  • @JustineDamas-r6g
    @JustineDamas-r6g 8 หลายเดือนก่อน +19

    Tunaosikiliza hii ndani ya 2024 tujuane kwa like hapa

  • @nasonmukasa7829
    @nasonmukasa7829 หลายเดือนก่อน +8

    Much love from uganda keep winning our dear brother one day vist Uganda 🇺🇬 enjoy the pearl of africa ❤❤

  • @ItsThedon2Lorenzo
    @ItsThedon2Lorenzo 3 ปีที่แล้ว +70

    Huu mziki auto kufa kamwee , like apa kama unaiangalia 2021❤️

  • @marumbojames7218
    @marumbojames7218 4 ปีที่แล้ว +20

    TUNAANGALIA MPKA LEO #CHAMPION BOY WETU MBWANA SAMATTA AKIWEPO ASTON VILLA🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @keziahwanja7997
    @keziahwanja7997 8 ปีที่แล้ว +16

    I'm loving this jam, hata darasa hapendangi ujinga, any kenyan here?

  • @MusabuIssa
    @MusabuIssa ปีที่แล้ว +10

    Twende mbele turudi nyuma hakuna ngoma imehit Afrika mashariki Kama hii

  • @lioness8207
    @lioness8207 2 ปีที่แล้ว +24

    Hii ngoma still ni moto
    Watu wa 2022 tumark register

  • @maryk7114
    @maryk7114 8 หลายเดือนก่อน +26

    2024 tupo siteeeee piga like

  • @lulumbowe9784
    @lulumbowe9784 4 ปีที่แล้ว +38

    Daah hii ngoma ili bamba sana nani bado anaicheck hi ngoma 2020 gonga like apa twende sawa

  • @thomasnaibala
    @thomasnaibala 2 ปีที่แล้ว +9

    Surely Tanzania tumebarikiwa vitu vingi sana daah am proud kuzaliwa Afrika bara lililo barikiwa

  • @duncankokonya
    @duncankokonya 7 ปีที่แล้ว +27

    I bet 4.5M views is from +254 champion..!! Ebu msign register tuone kama ni ukweli.

  • @SirKimly
    @SirKimly 7 ปีที่แล้ว +25

    Wakenya ndio tumejaa hapa tu I think Darassa anafaa ahamie Kenya

    • @janetngabani4538
      @janetngabani4538 7 ปีที่แล้ว +1

      James Kimuli ni kweli safari na muziki

    • @SirKimly
      @SirKimly 7 ปีที่แล้ว +2

      Janet Ngabani hehe akubali aje Kenya

    • @rosewangonyo8823
      @rosewangonyo8823 7 ปีที่แล้ว +1

      ako juu

    • @harunaunyambwa5766
      @harunaunyambwa5766 7 ปีที่แล้ว

      255+ hawaoneshi comments.
      ila tumejaa

    • @mamasean157
      @mamasean157 7 ปีที่แล้ว

      James Kimuli u said it all let him come to kenya

  • @winnieandafu
    @winnieandafu ปีที่แล้ว +30

    Wale mnanisaidia kuwatch 2023 pigeni likes tukisonga

  • @eithanglenn8991
    @eithanglenn8991 11 หลายเดือนก่อน +10

    2024acha maneno eka muziki 🔥🔥

  • @unscriptedafricawithfaizah
    @unscriptedafricawithfaizah 3 ปีที่แล้ว +55

    2021 NKO BADO HAPA CANT OVER THIS SONG

  • @negpet
    @negpet 6 ปีที่แล้ว +57

    tuliorudi hapa baada ya kusikiliza achia njia gonga like twende pamoja

  • @victorllmendes
    @victorllmendes 3 ปีที่แล้ว +14

    Mimi ni Mbrazil na ninajifunza kuongea kiswahili kidogo!
    Niliupenda sana wimbo!

  • @nantongofaridah6825
    @nantongofaridah6825 2 ปีที่แล้ว +10

    December 2022 💃💃💃💃unataka kukimbia na hauna break,what do you expect 🌚🌚 ,much love from uganda 🇺🇬

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 ปีที่แล้ว +30

    2021 tujuane tunao sikiliza hii ngoma tam isiyo isha ladha......les't go 🇶🇦

  • @fredythomas1848
    @fredythomas1848 ปีที่แล้ว +21

    Kama bado upo naye Leo 2023 like jaman

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 5 ปีที่แล้ว +46

    Nani bado yupo macho mida ya wanga August 2019, tujuane wanga wenzangu 🤣🤣🤣🤣🙌🏼🙌🏼🙌🏼🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @atikombogolo2356
      @atikombogolo2356 5 ปีที่แล้ว +1

      Vitu vingine havitaki ujuaje utajikuta utandikia watu jamvi

  • @liliannyakundi6244
    @liliannyakundi6244 6 หลายเดือนก่อน +12

    Wacha maneno weka muzikii 🇰🇪🇰🇪🇰🇪2024

  • @nancybungei9113
    @nancybungei9113 3 ปีที่แล้ว +14

    Nakumbuka ikihit nlikuwa form2...kazi safi Darasa

  • @fainesmdage5114
    @fainesmdage5114 4 ปีที่แล้ว +70

    Who is still watching in 2021

  • @irenemayalla9152
    @irenemayalla9152 4 ปีที่แล้ว +24

    Nimerudi tena da!!! alitengeneza hit ✍️✍️radha haibadiliki 2020 December

  • @musakituta
    @musakituta 10 หลายเดือนก่อน +9

    Wale tunaoisikiliza 2024 tu like hapa ❤❤❤❤

  • @clarisseingabire457
    @clarisseingabire457 หลายเดือนก่อน +13

    November 2024 💃🏾 still here dancing

  • @ywydhhd7941
    @ywydhhd7941 11 หลายเดือนก่อน +16

    wale tunasikiliza 2024 tupatane kw comment section.....

  • @luganomwambulukutu8947
    @luganomwambulukutu8947 4 ปีที่แล้ว +16

    Kipindi kama iki ilikuwa gumzo hit song

  • @DrOman-b7l
    @DrOman-b7l 2 หลายเดือนก่อน +6

    Niko huku bado, hit song hii🎉tupe song mpya darasa

  • @FatushSantu
    @FatushSantu ปีที่แล้ว +14

    The way I can't stop playing it in my ka small bar💋💋💋💋💋💋💋💋💋💗💗💗 much love from Uganda 🇺🇬🇺🇬

  • @cammycamilius6856
    @cammycamilius6856 3 ปีที่แล้ว +26

    2022 nani karudi tena kusikiliza hii ngoma? 😂🤣

  • @Seniorfolley
    @Seniorfolley 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mi woriah imagine napenda sana hi wimbo ni noma Sana hakii...Weaah inabamba sana kama Una watch 2024 please Like my comment ni lazima usisahau

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว +20

    Nimerudi hapa baada ya kusikiliza *ACHIA NJIA* Kama mara kumi hivi.

  • @abelbufumbe790
    @abelbufumbe790 3 ปีที่แล้ว +15

    Nimeirudia tena kuiangalia trh 10/8/2021 nikiwa kisiwani comoro🇰🇲🇰🇲🇰🇲±269

  • @slywawa3407
    @slywawa3407 7 ปีที่แล้ว +25

    nani mwingine amekuja apa after kutoka kwa interview ya Darassa on the trend

  • @corneliousnicodemus
    @corneliousnicodemus 28 วันที่ผ่านมา +10

    Maisha na muziki NOV 2024

    • @mashatarimo42
      @mashatarimo42 25 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅❤❤❤

  • @dfinafriga9863
    @dfinafriga9863 3 ปีที่แล้ว +22

    kama nyimbo hii unanipenda hadi Leo nipe ni like

  • @hawaomari5217
    @hawaomari5217 2 ปีที่แล้ว +12

    Yani kinachonishangaza dalasani ulikuwa mfupi Sana! Lakini saivi mrefu 🤣! Ila hela bhana...... Nakupenda Sana classmate wangu! Mungu akuweke Baba

  • @Johnsonnationcontent
    @Johnsonnationcontent 2 ปีที่แล้ว +15

    We are approaching 2023 let us make 23 million views... East Africa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @michaelkitebo9305
    @michaelkitebo9305 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wanaosikiliza 2024 tujuane

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 ปีที่แล้ว +20

    Wenye tuko tunaangalia hii ngoma hadi leo 20july2023 tupia comment na likes za kutosha tupate kujuana hili goma ni 🔥🔥🔥

  • @immaculateakinyi895
    @immaculateakinyi895 ปีที่แล้ว +14

    Wale tunaskiza this 2023 hebu tueke like kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @jenniferjustice7597
    @jenniferjustice7597 4 ปีที่แล้ว +28

    anyone in January 2021...... haichuji hii nyimbo jamaniiiii 🥺adi raha🌝

  • @MamuSanga
    @MamuSanga 9 หลายเดือนก่อน +8

    Tulioskiliza leo hii ngoma gonga like apa😁😁

  • @georgekinabo68
    @georgekinabo68 5 ปีที่แล้ว +37

    Kama bado unaichek ngoma gonga like hapa.

  • @princesilver
    @princesilver 6 ปีที่แล้ว +12

    Kama bado unaiangalia ngoma hii ad leo kama mm honga like apa 👍👍👍👍👍👍

  • @mathewkithioma2374
    @mathewkithioma2374 5 ปีที่แล้ว +16

    Bado Kali 254 mko wapi?

  • @LambeDon_
    @LambeDon_ 11 หลายเดือนก่อน +6

    Wa 2024 baada ya miaka 7 ya hii banger mko wapi? 🎉

  • @Charlywaorongovevo
    @Charlywaorongovevo ปีที่แล้ว +13

    I respect this guy 2023 mkono juu

  • @guapaholicfrm22side4
    @guapaholicfrm22side4 7 ปีที่แล้ว +15

    Kenya,uganda,south sudan,tanzania one love!

  • @Lilakanyiva
    @Lilakanyiva 8 ปีที่แล้ว +23

    LOL Kenyans support TZ music more than anyone else I swear. Gone through the comments and zote tu ni Musyoka, Otieno, Njeri hihi Love this song !

    • @okeriwilson8824
      @okeriwilson8824 8 ปีที่แล้ว +1

      What a hit! you dont need to ft stars for your music to be heard all over!

    • @Lilakanyiva
      @Lilakanyiva 8 ปีที่แล้ว +3

      Right ?? My friends want to shoot me coz I play this song too much

    • @kui_maina
      @kui_maina 8 ปีที่แล้ว

      maaaaan... even in the club.😂😂😂😂

    • @princessdd6765
      @princessdd6765 8 ปีที่แล้ว +11

      we support those who make nice things...how do you expect me to support artists who would rather use Nigerian acceñt than be real? digehota!

    • @mfinangaali1911
      @mfinangaali1911 8 ปีที่แล้ว +3

      princess thank you guys for keep east African spirit alive. if we win we win as one because at the end we are promoting our beautiful language Swahili. i have read in many occasions comments. from non Swahili speaking asking. ' which language is this.! it sounds so lovely'

  • @iam_kian
    @iam_kian 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Bla bla bla sitaki kuskia 2025 😊😂

  • @oscarfelisian2512
    @oscarfelisian2512 5 ปีที่แล้ว +19

    gonga like kama umerudi baada ya kuona ngoma ya "SHIKA" haiuwezi huu moto wa 'MUZIKI'

  • @mangiclaus
    @mangiclaus 8 ปีที่แล้ว +15

    ningekuwa sijaoa ...hili songi ningeingia nalo kwenye harusi

    • @sherrysalim50
      @sherrysalim50 8 ปีที่แล้ว +1

      -Claus Ngowi 😂😂😂😂😂😂

    • @atemah6039
      @atemah6039 8 ปีที่แล้ว +1

      -Claus Ngowi 😂😂😂

    • @brendangwalla1483
      @brendangwalla1483 8 ปีที่แล้ว +1

      -Claus Ngowi 😂😂😂😂

    • @aggysimon2244
      @aggysimon2244 8 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂 we kiboko

  • @traveltechandtea4726
    @traveltechandtea4726 3 ปีที่แล้ว +15

    Arushaaaaa Tanzania 🇹🇿♥

  • @tuyisengeahmedfelix6418
    @tuyisengeahmedfelix6418 ปีที่แล้ว +6

    Cheza mbongo kabisa hiyii Ni muziki nzuliii Sana kutoka Tz ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤞 Stay with you From Rwanda

  • @mwandishi01
    @mwandishi01 2 หลายเดือนก่อน +14

    2024 tupo pamoja, tunalaza mkanda

  • @ladyboss8772
    @ladyboss8772 4 ปีที่แล้ว +55

    Who is here 2021

  • @Cynthiagotho3s
    @Cynthiagotho3s 4 ปีที่แล้ว +14

    Ah hii naskia kabla nirudi shule Monday

  • @salimahnadiah6893
    @salimahnadiah6893 ปีที่แล้ว +12

    I'm here to remind myself how GOOD Darassa is!!! 30.11.2023.

  • @dingiwear7376
    @dingiwear7376 7 ปีที่แล้ว +21

    8.1 million views safi kazi nzuri like apa kama unakubali hii ngoma

  • @geraldswai5492
    @geraldswai5492 4 ปีที่แล้ว +28

    Mashabiki wa darasa lake zenu 2020

  • @monexkexx7574
    @monexkexx7574 8 ปีที่แล้ว +16

    This is the song Diamond now listens to. He knows that someone is now taking over. Diamond is now history. like this if u are happy

  • @faithdorry
    @faithdorry 3 หลายเดือนก่อน +8

    Wale wanaskiza 2024❤❤

  • @Bonwyatt
    @Bonwyatt 4 ปีที่แล้ว +23

    Gonga like kama unaona hii HIT song this year 2020🇩🇪🇩🇪🇩🇪 ilikua so ya mchezo

    • @chaliwachuga519
      @chaliwachuga519 4 ปีที่แล้ว

      Boniface Nzyungu tupooo chali ya chuga

  • @shammxtv5608
    @shammxtv5608 3 ปีที่แล้ว +18

    Hii nyimbo Nilikuwa naipenda jmn 2022 nimerud tna🤣🤣

    • @cliffwawire6415
      @cliffwawire6415 3 ปีที่แล้ว

      Niko hapa pia😂😂😂😂😂

    • @shammxtv5608
      @shammxtv5608 3 ปีที่แล้ว

      @@cliffwawire6415 nimekwita mie mxiuuuuuu 😹 😂🤣

    • @reginamacharia6717
      @reginamacharia6717 3 ปีที่แล้ว

      We hereeeee😂😂😂😍😍

    • @cliffwawire6415
      @cliffwawire6415 3 ปีที่แล้ว

      @@reginamacharia6717 nitumie numbe r ako😍

    • @shammxtv5608
      @shammxtv5608 3 ปีที่แล้ว

      @@reginamacharia6717 🤣Eeh jaman mie mieeee 🤣Kwani Nimewaita Mie Jman 😒🤣

  • @manuchokartel2143
    @manuchokartel2143 ปีที่แล้ว +13

    2023 still represented 💚🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JoyMainah1
    @JoyMainah1 ปีที่แล้ว +6

    Maina Kageni once said that if Darasa had milked this Super Hit 100% in Kenya.. Sai angekua ka Diamond uku 254 ... I totally Agree

  • @lilliannabunnya275
    @lilliannabunnya275 4 ปีที่แล้ว +22

    Any one still listening 2020 love from uganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

    • @thecxnniball2378
      @thecxnniball2378 4 ปีที่แล้ว +2

      *kenya has entered the chat*

    • @tanley9245
      @tanley9245 3 ปีที่แล้ว

      From Kenya hahaahaha

  • @traceymwangangi8958
    @traceymwangangi8958 ปีที่แล้ว +15

    I love this song 2023 and still rocking

  • @jamesmacbroad5882
    @jamesmacbroad5882 5 ปีที่แล้ว +18

    Niko hapa baada ya Mbwana sammata kufunga bao

  • @cynthiangui349
    @cynthiangui349 8 หลายเดือนก่อน +10

    Nimeona meme inAsema ulitoka out of nowhere ukatoa hii ngoma ikahit alafu ukarudi kwenye ulikua umetoka😅