Miziki yako yote ni mitamu Sana ukiisikiliza unakupeleka mbali kihisia Hadi Neva za fahamu Zina sisimka, hongera Sana ngoshaaa wahbeja Sana ngoshaa Gude Gude🤝
@Amos Macomputer NG'wakitolyo Ndani +255 🎶 unajua tufike mahali tusiwe tunakimbilia kupongezanatu bila kujua tunaloongea audioo Kali ya maana video sasa mbona mnawaficha hii video hakuna alichokifanya hatakama hatuyajui sana haya masuala
Dj zombi tunakukubari sana huku dodoma tunakukubari sana umetufanya tuupende mziki huu w asili wa kisukuma unakuwa unatusambazia link za wasanii wa asili kisomi sana kiukweli dj zombi ishii miaka mingi sana wengne hawakuwez tunamkubar sana gude gude
ma director wa video bado sana hawajaweza video na ujumbe wa nyimbo ni vitu viwili tofauti kabsa sasa cjui mnakwama wapi lakn hongera msaan kwa nyimbo nzuri lakin madirectors wanakuangusha
Hahhahahaa gudegude tajiri wa maruhooo pesa zinawenyewe kijana kutoka segese tuko nawe hongera kwa kazi nzuri nakuapata nakuapata nikiwa oman
Nyimbo ipo vizuri sana tunaisikiliza vema hapa Mbarali mkoani Mbeya ila huyu director anahitaji viboko haiwezekani kuharibu maudhi ya wimbo kiasi kile
😅
Miziki yako yote ni mitamu Sana ukiisikiliza unakupeleka mbali kihisia Hadi Neva za fahamu Zina sisimka, hongera Sana ngoshaaa wahbeja Sana ngoshaa Gude Gude🤝
Kitu ambacho unawazidi wezio ni upagiliaji unapaga mashaili adi unakelaaaa mtu hachoki kusikiliza nakupenda sana mungu akutunze ❤❤❤❤❤❤
tena vina na mizani jamaa anajuaa sanaaa
Mm sijui rakin napenda sana kusikiliza nyimbo izi
Nakubali kaka umetisha kinomaa
Hongera sana kwa kupangilia vina, kazi nzuri
Mwamba anaimba vizuri sana,me muda wote nasikiliza nyimbo zake tu. Mungu ambariki sana
Ni vile tu cjawah kukuona live big up sana my bro👏👏
Nilikua sina tachi sasa ivi ninayo nipe like bas 2024
umetisha sana tufanyie Moja sisi waswahil nmeielewa hyo rap Yako Niko dar pamoja SANA ❤❤❤❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Gudeeeeeeeee We Nomaaaaaaaaaaaaaaaaa Aise Hawa Wachezaji Wako Ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤ nalipenda kabila langu,tumejaaliwa sana.
Tujuane wasukumaaa
Gude ww n msanii mkubwa sana ujajua kupangilia mashaili jmn daah
gude gude big up sana mwamba
Nakupenda sana yani uko vzr achana naho wachaw2 👍👍👍
Daaaah uko vizr kama umetengeneza account Yako ya TH-cam Hapo sawa
Aiseee mwanang unafrooo kinoooma kwa Mara yakwanza unatililika baraaaa
Kweli mme Wangu upo vizuri San jaman mwaaaaah nakuped muno❤
😂😂
Direct alizingua Sana Taft direct mwingne anakuangusha sana huyu nyimbo Kari sana
Weeeee gude umepigaje apoooooo
Wimbo mzuri sana. MUNGU akuzidishie nguvu.
Jadi jise bhasukuma tujendeleze gude gude wabheja lembo lawiza sana 🔥🔥🔥
Nipo uk yan kama niko niko Tz hongera sana gude gude
Kaz nzur piga kaz achana na maneno ya watu
😮🎉🎉maua n yako gude Boniface from Tanzania singida kiteka kiomboi
gude gude lini utakuja bariadi unaimba vizur mashairi mazur unapagilia vizur sana
vijana naona cku hizi wanajikanyaga,,,wapatie shule wapate mwanga
Ewaaaaaaa unyama ni mwingi hizi ndo kazi sasa
❤❤❤❤❤❤ mungu akujalie gude
Jamaa kafloor vizuri.🎉🎉❤❤
Safi sana gude umeachia ngoma kali sana
Nyimbo kaliiii lakini kandoro anajua alichotukosea mashabiki
Ilola moja hiyo nkwabi au Emmanuel toka ndagwa gude uko POA Dana jamaa
Mimi ni mkerewe ila na support nyimbo za asili
Upo vizuri kaka
Jamaa yuko powa sana nifundiiii mpk anakera
Gude we ni 🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤❤❤ naangalia kila siku❤❤❤ gude gude
Mashabiki wa asili nawashauri muwe munaangalia nyimbo mwanzo mwisho sio kukimbilia komenti tu bila kuujua ukweli wa kazi iliyofanywa
@Amos Macomputer NG'wakitolyo Ndani +255 🎶 unajua tufike mahali tusiwe tunakimbilia kupongezanatu bila kujua tunaloongea audioo Kali ya maana video sasa mbona mnawaficha hii video hakuna alichokifanya hatakama hatuyajui sana haya masuala
@@jthedjmusicngudukwimbatv7707 Mjadara umeanza hap tena
@Amos Macomputer NG'wakitolyo Ndani +255 🎶 Mimi ni msambazaji na Nina haki ya kuongea ambapo sio apa alieshuti mungu amsaidie
@@TVBUSHU tuache tuongee nini maana ya comment mtu si anaongea ya moyoni kulingana na kazi alivoiona
@@jthedjmusicngudukwimbatv7707 NItawachapa nyamazeni kari ik sawa
Gude moto unauwasha sana broo
Hapa bro nimekupata duh
Welelo nambelejage natole bhadi💃💃💃💃💃💃
Nipo sudan nakupata vizr gude gude,,,
Umeimba vzr Sana lakini punguza kucopy kwa kisima 🔥🔥
kakopy nin,? mbona ata gude anaimba vina na mizan tena ndy mwanzilishi
Good work Mr Gude 🔥
Tandulaga mbuga na Mapilinga Gudegude Welelo akwangalile
Namkubali Sana msukuma mwenzangu
Maua Yako gude mungu akusaidie ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
nakubali nilikua nasubir nyimbo zako gude gude
Shukulan kwa mama alie kuzaa abalikiwe
mnaolalamika, video mbovu lakin hamsemi kwamba director kakoseaa wap, semeni sio kulalamika t, mm naona video ipo sawaa, kwasababu hii ni pashanga,
Umemujibu vizili sana hiyo wa nzuki
Gude gude wambie Sana wanao kushobokea
Nice one tunakupenda kaka❤🌹
Umepitia wazo la kisma yaani mlugulu mwigulya
Kanzi nzuriiiii
Wako vizuri Tanzania inaendelea kupiga hatua kila jambo ,,
Dj zombi tunakukubari sana huku dodoma tunakukubari sana umetufanya tuupende mziki huu w asili wa kisukuma unakuwa unatusambazia link za wasanii wa asili kisomi sana kiukweli dj zombi ishii miaka mingi sana wengne hawakuwez tunamkubar sana gude gude
😂🎉
ila bro uwe unatuwaishia mashabiki wako video
Nimeiona kaka gd
Umeimba vizuli sana👍
Iko sawa
Acha Unafiki Nahis Unachuki Kwa Mbali
Yani Ukweli Nikwamba ASHOZI Ndani Yake Kuna chuki
Maana Kwasasa Hana Jipya
Toka KAKOLA GUDE GUDE ni nomaaaaa
Nice ,nice ,nice song big up
nyimbo zote 2023 nikali 👏🙌🙌🔥💯
wanapambana sana sie kazi yetu kusapoti tu
Hii n noma san by jotta tz
Gude gude noma sanaaa
Saf xana bro unatupatia ujumbe big up!!!
Proud to be sukuma
Safi sana mtaalam wa vina p
naomba lkg yaka kaka
Mwaaaaaaa gudegude❤❤❤❤
Hai kwako blothe gude gude
ma director wa video bado sana hawajaweza video na ujumbe wa nyimbo ni vitu viwili tofauti kabsa sasa cjui mnakwama wapi lakn hongera msaan kwa nyimbo nzuri lakin madirectors wanakuangusha
Kweli hapo nimeelewa
Nasapot kabila lagu❤❤❤❤❤❤❤
Mimi nilikaa kimya nisiongee chochote lakn kwa vile na nyie wenzangu mmeyaona makosa yaliyofanyika kwenye hii video bc hii video bora irudiwe
dah
Hii video kakoroga
Bhabha wajaga tuhu bhebhe
good song Mr gude
Producer mwambieni asiwe anapenda kufananisha beat kikubwa asipende kutumia user ya msanii mwingine kama kutengeneza beat aanze upya...
Sana hapo kafer Sana beat la kisima na mauzui kiujumla
Nothing I can talk .but keep it up🎉
🔥🔥🔥
💪moja gude
MWAMBA wa Segese
Asili yetu ili tuidumushe inatakiwa tuipende
Hi
Ngoma iko poa sana
Gude nisaidie namba ya mwananengo
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Bado sana
Upo sawa maana rangi kijivu
Pashanga moto mbele
Nice job brother
Nimekukubar
Bora Bora 👍
Dude gude umetisha baba
🎉🎉🎉
❤❤
Gude gude 🔥🔥🔥
Nouma sana
Nice bro ❤❤❤
Uibo what is 🎉🎉🎉❤❤