cha kwanza hongera sana brother Kwa ubora wa Quality video za Asili👏💚👑🙏 pia huyo mwamba Yuko vema sana nyimbo zake nyingi zinaenda sana Big_Up sana🔥🔥🙏🙏🙏👈
Toka MBALALI ASILI TV hongera sana kaka Migera studio kwa kazi nzuri endelea na moto huo huo rais wama director Tanzania nzima sijaona mwingine yeyote kama wewe
@@MigeraStudio muwajengee uwezo nyimbo zao ziwe posted kwenye acount zao kama nyimbo ya limbu iwe posted kwenye account ya limbu kama nyimbo ya mayiku sai iwe posted kwenye acount ya mayikusai na sio huko huo taratibu mnaotumia
upo vzr sana tu saut nzur ila shutin yako sasa police hawapo nazan nimapungufu madogo dogo
Ukiijua tofauti ya kukumaji na mayikusayi basi hutahangaika .......... 😂😂😂😂😂
Hongera migera kazi nzur tuko pamoj hata like 10
Komando hongelasana kalibu kahama yamanzese na nyinge🎉
Wakwanza kutoka katav naomben like hata kum
Hawa jamaa Tz nahatali mbaya ni wakali sana Migera kazi zako nzuri uko juu
hongera sana kazi Iko poa sana napenda sana kazi zako zimekaa kiasili kweli kweli
Hongera kwako mayiku sai kwa kazi nzuri
cha kwanza hongera sana brother Kwa ubora wa Quality video za Asili👏💚👑🙏 pia huyo mwamba Yuko vema sana nyimbo zake nyingi zinaenda sana Big_Up sana🔥🔥🙏🙏🙏👈
Ngoma ni mzuri Sana hongera Mayiku sayi
Komando hongelasana kalibu kahama yamanzese na nyinge
Kazi nzur,
Mapungufu kwenye video ni kukosa maaskar wa kiuharisia
Namkubali sana huyu jamaa
hongereni sana vijana wangu
Hongera kwa KAZI nzur tunawapata Zanzibar one kaka ❤
Hawa jamaa wanaweza Sana nifundisho kwa wengine
Sawa boss Migera Mzigo mkali huoo
Unapiga sana brother 🎉❤
Mvua inanyesha big up Teacher migera Umetisha mbaya 🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera kaka Migera
Safi unasemaje 😂😂😂 mayiku sayi mwambie komando mje kisanga tufanye mauaji ya kimziki
Good job 👍👍
Kazi nzur sana kakaangu Miger ❤❤
Mgera pongezi sana naomba unipe ujuzi huo na mm
Kazi nzuri sana director
Unyama sana kaz nzur mkuu💖
Nikiwa PEMBA kikazi nafarijika kuona kazi za nyumban muwe mnanitumia tafadhali 🙏🙏🙏
Safi sana nkoi 😅 mtoto WA komando alichukuliwa kirahsi
Kaz nzur kaka
Ngoma hiyo imeenda ❤❤❤
Kazi safii haina mpauko
Toka MBALALI ASILI TV hongera sana kaka Migera studio kwa kazi nzuri endelea na moto huo huo rais wama director Tanzania nzima sijaona mwingine yeyote kama wewe
Asante ndugu
Wasaniii wangu pendwa Kwa Sasa 🔥🔥🔥
Ila boss
Linimoooo!!!! 🔥🔥🔥
Shikolo shabhukamilike
Uko vizur kk
Huyu mwamba kweli
Kazi nzur sana
Ngoma nzuli
Wimbo mzur sana karibuni tena hungumalwa Kwa mara nyingine
❤Kali
nyingeeee
Mutot wasimb hongela
Sisi wasukuma tunazidi kukua mziki wetu unaendelea sana Quality ya production
Videos nzuri audio nzuri
lini unakuja ngoma maana naona ngelela na inaga mdogo wanatisha huku tunasubr
Director ametoa kazi mbovu
Ila anakubebatu msanii mkubwa na kazi inaonekana nzuriii ila kiukweri kazi ni mbovu
Endelea kulekebisha makosa director
Na mtasema na bado hahahahahhahahaha😂😂😂😂😂😂😂😂😂 twendelee boss nimeisha wajua wala amnisumbui nyie ni watoto ni waoshe tongo tongo Leo mjifanye mnaona
Komando hongelasana kalibu kahama yamanzese na nyinge🎉 3:42 3:44
Ujumbe mzuri sana big up sana
Polisi nao wamejaa kama wafungwa au
Nyoka ni nyoka tuu hata akiwa mtoto ni nyoka2 namaanisha Anaejua ni anajua2
sukuma gang
Good
Mzigo wenyewe huu wazee
wimbo mwingine wa kuingia kwenye playlist yangu asili asili kweli
Mayikusai umetisha kama Komando limbu,mwambie aachie ngoma moja by mita toka mheza songwe mashabiki other pamoja migera❤
100🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Iko pw
Umefanya vzri dogo komaa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ safi sana
❤❤❤❤❤
Tok dar tmk huna baya
❤❤❤❤
💚💚💚❤️❤️❤️💯
👆👆👆👆👆👆💪
Naxhaur wafungue acount zao ili wafaidike
Thanks
Big up😂😂
Ticher you are very scary on this job
Hahahahah etiii kaz nzul mpeni komwe 😂
Hawa jamaa wanaweza sana shida nyimbo zao wanapost kwenye account ambazo sio za kwao
Hioo Kitu inaniumaaa sanaaaa😂 km ndo mm mayiku
Mnataka tufanyeje sasa
@@MigeraStudio muwajengee uwezo nyimbo zao ziwe posted kwenye acount zao kama nyimbo ya limbu iwe posted kwenye account ya limbu kama nyimbo ya mayiku sai iwe posted kwenye acount ya mayikusai na sio huko huo taratibu mnaotumia
@@user-jh4bi3th9t mstake niongee nikaonekana nawavunjia heshima Ila acha ni nyamaze
@@MigeraStudio samahani kama umekwazika ila ulikuwa kama ushauri na utaratibu mzur