Yafahamu MAGEREZA 10 hatari zaidi Barani AFRIKA, Ni Hatarii! Usiombe kufungwa ndani ya Magereza haya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 203

  • @jobkofficial1591
    @jobkofficial1591 ปีที่แล้ว +15

    This is a pure talent , not forced .hongera sana bro sky Walker

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 ปีที่แล้ว +29

    Naomba mungu anipe mwisho mwema wallallih

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 ปีที่แล้ว +28

    Dah! mungu atunusuru na balaa hili walofungwa mungu anasaidia watoke

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +1

      Watoke waende wapi ?! ili waendeleze uhalifu ??

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว +1

      Na hao waliowaua au waliowabaka mfano?

  • @janetcharo1543
    @janetcharo1543 ปีที่แล้ว +17

    I knew Kamiti Maximum can never miss this list

  • @adacornpessa1985
    @adacornpessa1985 ปีที่แล้ว +7

    From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 one love.

    • @omahmoses9710
      @omahmoses9710 ปีที่แล้ว

      Hy I'm George from TANZANIA

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว +17

    🥺🥺🥺🥺Allah atunusuru na atupe mwisho mwema🧎‍♂️🧎‍♂️🧎‍♂️🧎‍♂️

    • @sichilimatz6580
      @sichilimatz6580 ปีที่แล้ว

      Vp kuhusu geleza la lwannda mbeya??

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว +4

    Aisee M/Mungu tunusuru naomba mwisho mwema

  • @safiaabubakar1120
    @safiaabubakar1120 ปีที่แล้ว +4

    You are the best sky Mashaa Allah

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 ปีที่แล้ว +4

    Sky on top hongera brother kwa makala nzuri

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 ปีที่แล้ว +6

    I really love what you do sky

  • @chire4574
    @chire4574 ปีที่แล้ว +8

    Fanya uchunguzi vizuri......nenda gereza la idete morogoro......ndo utajuwa Tanzania nayo tumo top ten

    • @ZeraGeofrey
      @ZeraGeofrey ปีที่แล้ว +1

      Hakuna gereza zur ww ukienda ndyo utajua kule n kubaya🙌🙌

  • @motivateU849
    @motivateU849 ปีที่แล้ว +5

    Love it, napenda sana hii 360

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 ปีที่แล้ว +4

    Duh mungu tupe mwisho mwema mm na taifa langu

  • @jameswisdomtz8580
    @jameswisdomtz8580 ปีที่แล้ว +18

    Mungu atunusuru kabisa haya maisha wengine tunasafili katika nchi za watu😭😭😭🌍🌍

  • @GracieTyno
    @GracieTyno ปีที่แล้ว

    The voice of yours!.
    Dah!

  • @janeangoche4464
    @janeangoche4464 ปีที่แล้ว +3

    Sky thanks for this analysis though its painful to hear what other human beings undergo in the name of rehabilitation its really sad and painful especially to boy child although ladies too but boy child its real abuse may God
    Help us and give African leaders some insight to do something about the congestion in these jails.Maybe it will reduce the abuse among these inmates .And also there should be rules for people employed in these institution their work is to rehabilitate
    and not abuse them they should not and insult to injury.

  • @donomar6876
    @donomar6876 ปีที่แล้ว +3

    Ohoooo Kamiti Kenya inafaa kuwa number 1.... Wahalifu Hatari wa nchi mbali mbali wanalitwa Kamiti..

  • @pujimontanapachino4958
    @pujimontanapachino4958 ปีที่แล้ว +11

    Mungu atunusuru inatisha sana Africa kilakitu chetu kinatisha

  • @Mama-A
    @Mama-A ปีที่แล้ว +9

    Kwa Niaba ya wakenya wote we miss sauti ya Baby sky

    • @Chrisscherry
      @Chrisscherry ปีที่แล้ว +1

      Kweli hata mimi namiss sauti yake nyororo

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +2

    Mbona tz hujasema au haimo? au unaogopa?

  • @saddybrezzy9777
    @saddybrezzy9777 ปีที่แล้ว +2

    SKY Walker big up💪🙌

  • @lifeofyuri4020
    @lifeofyuri4020 ปีที่แล้ว +12

    Ingekua ni hiari yangu Muuaji nae auwawe the moment amepatikana na hatia! Pili mbakaji aisee nawachukia hawa watu ingekua hiari yangu mbakaji akipatikana na hatia achomwe moto akiwa anajiona
    Wengi mtakuja mseme Mimi katili , ndio Mimi ni katili Tena sanaaa , nakataa kulipa Kodi iwalishe hawa watu makatili kuliko Mimi. Imagine mtu anambaka/kumlawiti mtoto mdogo anafungwa kidogo anaachiwa anarudi pale pale mtaani anaendelea kuishi kama kawaida anaendelea kufanya matukio
    Kitu msichojua wabakaji na wauwaji hawapo sawa kiakili ...kufungwa peke ake haitoshi mara nyingi wanarudia mambo hayohayo

    • @gwakisamwangasa7826
      @gwakisamwangasa7826 ปีที่แล้ว +1

      Kuna wengine wanasingiziwa hizo kesi sio wote wanahatia

    • @elishazacharia1204
      @elishazacharia1204 ปีที่แล้ว

      Maisha ya siri nyingi sana chunguza zako tu Kisha jaribu kukadiria adhabu

    • @lifeofyuri4020
      @lifeofyuri4020 ปีที่แล้ว

      @@gwakisamwangasa7826 nimeongelea watu wanafanya hivyo vitendo sijaongelea wafungwa

    • @lifeofyuri4020
      @lifeofyuri4020 ปีที่แล้ว

      @@elishazacharia1204 sijasema Mimi ni mtakatifu

    • @gwakisamwangasa7826
      @gwakisamwangasa7826 ปีที่แล้ว

      @@lifeofyuri4020 unakumbuka babu sea kungekuwa na sheria za kunyongwa angekuwa kashanyongwa maana alihukumiwa Tayar Alionekan ana hatia yaani kalawiti sikatai wapo wanaofanya hivyo vitendo na wengne wanasingiziwa ila wanaosimamia izo kesi wanakuwa na nguvu unaonekana umefanya kweli

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 ปีที่แล้ว +3

    Kaka sky kila siku tuakwambia, bc weka the story hili tujue inakuwa kila jumangapi....km anavyofnya Jamal au justin shed.... Sio Hiv inakuwa gafra bin vuuuu aina mpangilio.... !!!!!!

  • @mussamayawa817
    @mussamayawa817 ปีที่แล้ว +17

    Tanzania pazuri sana kila kitu kwetu pazuri kama unabisha bisha hila sisi tulio nje tunajuwa kabisa kma kwetu pazuri

    • @dayana5513story
      @dayana5513story ปีที่แล้ว

      Bora wambie

    • @USWAZITVONLINE
      @USWAZITVONLINE ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa, Tanzania kwetu pazuri sana, tunatafuta maisha kwa uhuru, tunatembea kwa uhuru, tunasafiri kwa uhuru, Wakati nchi za wenzetu mambo yote hayo ni kipengele

    • @Tumaini_gil
      @Tumaini_gil 8 หลายเดือนก่อน

      Hakuna pazuri

    • @tariquexplore
      @tariquexplore 6 หลายเดือนก่อน

      Tulizeni sisi tulokaa jela , hayatangazwi tu

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 ปีที่แล้ว +5

    Japokua ni hivyo dunia nzima. Marekani 30% ya magereza ni biashara binafsi. Kwahip hapo watatafuta wateja kupitia kwenye vyombo vya ulinzi. New York mfungwa mmoja hutumia zaidi ya dollars 130,000 kwa mwaka

  • @mimokassim2306
    @mimokassim2306 ปีที่แล้ว +4

    Yellow inform ni South Africa 🇿🇦

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 ปีที่แล้ว +3

    Ungekuwa unaandika makala 360 inakuwa rahisi kuzi search.

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 ปีที่แล้ว +1

    FOTWUNE is the best. No excuse any development must some get pain

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 ปีที่แล้ว +3

    Good job ❣️❣️❣️❣️#SNS

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

    Subhannallah, mtihani kwakweli

  • @RashidiMsabah
    @RashidiMsabah 7 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava ปีที่แล้ว +1

    mozambiq mhhhh ni noma wanakaa wapalianda

  • @Ziwi7
    @Ziwi7 ปีที่แล้ว +1

    As a kenyan, i expected to see Shimo la tewa even before kamiti...I've never been in prison but I know Shimo la tewa is deadly

  • @TumainiBiswalo-ok4xm
    @TumainiBiswalo-ok4xm 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie jamani ii atalisana duu ee mungu ninusulu kwailo

  • @sayakuluayubu
    @sayakuluayubu ปีที่แล้ว

    Watu waovu Sana wakifunzwa dini Ndo watakao kuwa na Imani sana

  • @mimokassim2306
    @mimokassim2306 ปีที่แล้ว +1

    Sky his the best

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +2

    Duh!

  • @cyprianboniphace-oz5lw
    @cyprianboniphace-oz5lw 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo magereza ya Tanzania ni mazuri yanafaa kuishi huko.

  • @niyongabiranoibrahim7794
    @niyongabiranoibrahim7794 ปีที่แล้ว +4

    Mimi naishi karibu nayo ya paarl ya Africa kusini
    Yoooo bro ilo gereza Ata kwainje tu linatisha

    • @cdeegwau551
      @cdeegwau551 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 ปีที่แล้ว

    Nimekubari

  • @Djroja_mo
    @Djroja_mo ปีที่แล้ว +6

    Ndio maana nasema tuendelee kutawaliwa tu maana wazungu wanaroho mbaya lakin afrika nadhani tumezidi

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Afrika nyoko bro

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว +4

    Sema magereza ya Africa mateso yamezid jamn

  • @billskeez92
    @billskeez92 ปีที่แล้ว +3

    360🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥@🇧🇮

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 ปีที่แล้ว +5

    My friend died kwenye gereza number 8.

    • @MK-bk9ww
      @MK-bk9ww ปีที่แล้ว +3

      Inalillah wainailaih rajioon, pole my

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 ปีที่แล้ว +4

    Makala nzur japo inasikitisha 😢 lkn nimejifunza

  • @hijamnola1502
    @hijamnola1502 6 หลายเดือนก่อน

    Yani TANZANIA HAKUNA hata moja then South Africa ipo sio kwel, hii tafiki inabid wahusika muanze kwenda magerezan kuishi hata mwez ili mkitoka muwe na uharisia wa report

  • @najmuddinkarama7360
    @najmuddinkarama7360 ปีที่แล้ว +3

    Ongeza research kwenye story zako nilitegemea ungesema idadi ya vifo takwimu za ubakaji idadi ya wafungwa etc

    • @judgeman5085
      @judgeman5085 ปีที่แล้ว +2

      Ridhika na ulichokipata bro kwani hayo aliyokuelezea kayaokota tu au kapoteza mda wake kuyafukunyua yasiko onekana kirahisi ?

  • @zaitunisinamenye1799
    @zaitunisinamenye1799 ปีที่แล้ว +2

    Ni hatari sana, hali ya hewa tu ikikosekana ni kifu, inci zetu zaki africa ni macungu tu,

  • @dieudonnematabaro3633
    @dieudonnematabaro3633 ปีที่แล้ว +1

    Mbona utaji gereza la Tanzania, ni gereza atari sana

  • @Mr.chacha11
    @Mr.chacha11 ปีที่แล้ว

    Noma

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 ปีที่แล้ว +2

    Shout out to my brother sky 🙏

  • @DemungaMsenga
    @DemungaMsenga 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona ujasema Tanzania

  • @maryjulius3112
    @maryjulius3112 ปีที่แล้ว +2

    Sky facts umesema

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu sky ... Nafasi ya kwanza Africa inafaa iwe gereza la antanimora liko Antananarivo nchini Madagascar... Naomba ufanye research alafu utaona balaa lake hilo gereza

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania magereza mazuri ama

  • @mwajabukaseke8710
    @mwajabukaseke8710 ปีที่แล้ว +2

    Wanatesekaaa jmnii

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 ปีที่แล้ว

    NAKUKUNAL SANA SKY WALKER

  • @munirashughuli618
    @munirashughuli618 ปีที่แล้ว +11

    Kamiti Kenya ogopa yani hata Police wenywe wanawaogopa wafungwa🤔

  • @zebedayobiswalo1924
    @zebedayobiswalo1924 ปีที่แล้ว +1

    Hivi huzi nchi zilizopo kwenye hii list hawajui au ndo kutojali? This is to bad and sad as well

  • @lgdnce8309
    @lgdnce8309 ปีที่แล้ว

    mbona tz haipo na Burundi

  • @pizzoabu2661
    @pizzoabu2661 ปีที่แล้ว +2

    Maximum Zambia kuna brother yangu dulla yupo huko kapigwa yundo ya miaka 25

    • @jameschipande1090
      @jameschipande1090 ปีที่แล้ว

      Mmmmmmm too bad be ro

    • @tonytony29
      @tonytony29 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/zlOOO5viU7k/w-d-xo.html

    • @NajimaA.R
      @NajimaA.R หลายเดือนก่อน

      Pole kwazambia wanarohombaya

  • @alihujjat5945
    @alihujjat5945 ปีที่แล้ว +2

    Ilo gereza la kabwe Zambia nimekaa mm ningeshangaa kama lisinge orozeshwa

  • @daudiayubu4464
    @daudiayubu4464 ปีที่แล้ว

    Mmekosa ubunifu wa Jina mpaka muige Jina la Kipindi cha Crouds? Acheni uvivu wa kufikili

  • @mapenzishindoshindo4939
    @mapenzishindoshindo4939 ปีที่แล้ว +2

    Umependelea inchi yako😔😔😔 mm kama mkenya sijafrahi🇰🇪

  • @nassirvarane7742
    @nassirvarane7742 ปีที่แล้ว +3

    Ogopa gereza la kenya nimeka miaka 8 ila km miaka 80 Daah watu wanapata shida sana humu dunian

  • @NiyitugwaniraEmmanuel-g5s
    @NiyitugwaniraEmmanuel-g5s 8 หลายเดือนก่อน

    Duuuh😢😢😢😢Mungu atuepushe

  • @iankiprotich3111
    @iankiprotich3111 ปีที่แล้ว +4

    Kenya haikosi mahali popote

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 ปีที่แล้ว

    Chikurubi iyo noma sana

  • @ishimwemurenziange7609
    @ishimwemurenziange7609 ปีที่แล้ว

    Bona amusemi Tanzania eko pazuri mupaka wapi muache ni huhuni

  • @ramaccr7525
    @ramaccr7525 ปีที่แล้ว

    🙏🙏❤️🔥

  • @stanleynombwe4865
    @stanleynombwe4865 ปีที่แล้ว +2

    Kwani tz hakuna Basi za wafungwa Hadi utuwekee Basi za mambele

  • @rjcharity7974
    @rjcharity7974 ปีที่แล้ว +1

    Hiv gereza la Tanzania halina mantnyaso kwa wafungwa?

    • @jacquelineadrian6436
      @jacquelineadrian6436 ปีที่แล้ว

      Magereza yoote yanamanyanyaso .....sikiliza vizur utaelewa amekwambia top 10 ilivyofanyiwa utafit hajasema huku hakuna manyanyaso ....

  • @salmasaid7058
    @salmasaid7058 ปีที่แล้ว +1

    Kenya ogopa

  • @leyxon_delee
    @leyxon_delee ปีที่แล้ว +1

    Shimo la Tewa kenya?

  • @zaidyabdalah3691
    @zaidyabdalah3691 ปีที่แล้ว +1

    Mbona Tanzania huitaji? Hapa napo kuna shida ya kufamtu

  • @saidseif1860
    @saidseif1860 ปีที่แล้ว +3

    Shimo la tewaa wanangu mwalijua

  • @kalziidazamba2862
    @kalziidazamba2862 ปีที่แล้ว +2

    Daaah hatari kweli.🤔🤔

  • @mudathirmohd9721
    @mudathirmohd9721 ปีที่แล้ว +2

    Tulikua tunaonba ukionesha tuoneshe na matukio mfano km anavo fanya kwenye the story book

  • @thomsanga7956
    @thomsanga7956 ปีที่แล้ว +2

    Nikweli lasegerea halipo ktk top ten!!? ☻️ au tumeogopa kulitaja tu 😁😁😁😁

  • @maissarahirakoze5581
    @maissarahirakoze5581 ปีที่แล้ว +3

    Sns for life👌

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 ปีที่แล้ว

    Khuu

  • @maulidjuma9203
    @maulidjuma9203 2 หลายเดือนก่อน

    Poss Moore sio poa

  • @yudadaniel4867
    @yudadaniel4867 ปีที่แล้ว

    mbona sijasikia gereza la ukonga?

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 ปีที่แล้ว +1

    Yaani Mozambique imekosekana? 🤔

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 ปีที่แล้ว

    Unaogopa kusema Hali ya magereza ya TZ sababu watakuvinya mapumbu mpaka ukome

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว

    Mmh uko wanaume wanabakana na kubakwa na maaskari na wadada wanasagana na wafungwa kupigana daily inatisha sana

  • @habibmohd8008
    @habibmohd8008 ปีที่แล้ว +1

    Sky umezngua ..unaogopa nn mbona yatanzania haujayaweka kwaukatili unaofanyika hio sio fair

    • @athmanmuhammed7333
      @athmanmuhammed7333 ปีที่แล้ว

      Lazima aogope akilitaja moja tu la tz atawekwa kwenda kulionja.

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 ปีที่แล้ว +2

    WATU WEUPE WANA ROHO MBAYA ,,

  • @jameschipande1090
    @jameschipande1090 ปีที่แล้ว +1

    GEREZA LA MUKOBEKO, LIPO HAPA KABWE MJINI YAANI NILISHIKWA NA BUTWAA KUKUTA GEREZA KUBWA KAMA HILI KATIKA SEHEMU NINAYOISHI KWA HUKU ZAMBIA. IKUMBUKWE KUWA HILI NDO GEREZA LILILO TUMIKA KUMUSHIKILIA RAIS AMBAYE YUKO MADARAKANI KWA SASA.

  • @jumakimtanange8177
    @jumakimtanange8177 ปีที่แล้ว

    Mbona Tz hakuna ama nikitaka habari za magereza ya Tz mpaka Niwe Nje ama Mimi Ndio Sielewi

  • @mariamramadhani3860
    @mariamramadhani3860 ปีที่แล้ว +1

    NA WENGINE WAMEFUNGWA KIMAKOSA TU

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 ปีที่แล้ว +13

    Alaafu tuna walaum wazungu eti wana tunyanyapa!😔💔 wakati ss wenyew hatujipendi bora tunge endelea kutawaliwa nawazungu huwenda leo hii engelikuwa afadhali

    • @kingmoseskasman7765
      @kingmoseskasman7765 ปีที่แล้ว

      🙈

    • @isikesamike
      @isikesamike ปีที่แล้ว +2

      Duh! Utawaliwe na wazungu? Karne hii unawaza kutawaliwa? Asee!!

    • @omaryntagala3740
      @omaryntagala3740 ปีที่แล้ว +3

      @@isikesamike tunatawaliwa pia kisiasa africa haipo huru kwa nchi nyingi japo tunaona eti tupo huru

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว +1

      @@isikesamike Unashanga kitu gani na watu wachaze wakizungu wanaitawala dunia nasi Africa tu jombi kwani bado umelala usingizi

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr ปีที่แล้ว

      Utawaliwe mara ngapi? Kwani unafikiri upo huru? N mojawapo wame tuwash brain ,tuamini hatuwezi kufanya kitu,mpaka watufanyie wao

  • @wakatv3704
    @wakatv3704 ปีที่แล้ว +1

    nataka nikaishi kwenye sayari yangu pekee yangu

  • @mapenzishindoshindo4939
    @mapenzishindoshindo4939 ปีที่แล้ว +3

    Kwa hio Tanzania hakuna gereza hatari😳😳😳😳

    • @hamisaally968
      @hamisaally968 ปีที่แล้ว

      Inawezekana yapo ila bado sana kufikia ya uko

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 ปีที่แล้ว

      Lipo Moja huko Songea unaambiwa vyumba ni Giza vidirisha vidogo hewa hakuna

  • @shabanisaleeh4541
    @shabanisaleeh4541 ปีที่แล้ว +1

    Mm bora niumwe sio jela

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +3

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 ปีที่แล้ว +1

    💔

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr ปีที่แล้ว +1

    Km wameua wakae hivyohivyo hao sio binaadam

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 ปีที่แล้ว

    Gereza za afrika ni kama unaiona jehanam kwa pale

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 ปีที่แล้ว

    HAKUNA FAIDA KUTIWA GEREZANI KWA HALI HII!!! BORA WABAK8 NJE KWA MAASI KULIKO KUFUNGWA,UMOJA WA MATAIFA IPO WAPI