BREAKING:MAHAKAMA YAZUIA WAMASAI KUONDOLEWA NGORONGORO YAPIGA STOP TANGAZO LA SERIKALI KUFUTA VIJIJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 364

  • @richofficial9860
    @richofficial9860 21 วันที่ผ่านมา +81

    Mungu amlinde huyo Jaji kwa kusimamia haki.

    • @faustinedeogratias4337
      @faustinedeogratias4337 20 วันที่ผ่านมา +9

      Mwambukusi ndo kawasanua

    • @theflyingpot-ur1bf
      @theflyingpot-ur1bf 20 วันที่ผ่านมา +3

      Ndio sababu ya kutaka upinzani uwepo katka nchi lkn kuendelea na ssem n kuiangamiza hii nchi

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 20 วันที่ผ่านมา

      Haki gani.
      We unataka wanyama wakaishi wapi?.

    • @Shalom803
      @Shalom803 20 วันที่ผ่านมา +3

      Jaji Uhai wako ufichwe pamoja na Kristo katika Mungu Jehovah. Ulilofanya siyo maamuzi ya nchi hii. Barikiwa sana❤❤

    • @bili-films
      @bili-films 20 วันที่ผ่านมา +2

      Safi sana na Hongera kwa Mwabukusi TLS president

  • @peterdaimon-ug6fd
    @peterdaimon-ug6fd 21 วันที่ผ่านมา +34

    Asante Mungu kumbe bado una watu wenye hofu yako

  • @HeriKilatu
    @HeriKilatu 21 วันที่ผ่านมา +35

    Mungu aendelee kukupa maisha marefu mh.jaji Kwa kutenda haki dhidi ya watu wake

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 21 วันที่ผ่านมา +3

      Haki huinua taifa

    • @lemeiyapapai1526
      @lemeiyapapai1526 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@adelinelyaruu3036ni nini kitakacho inua Taifa?

  • @jeremiahblazio4781
    @jeremiahblazio4781 20 วันที่ผ่านมา +6

    Asante TLS tumeanza kuona matunda yake bado tunasubiri wafiraji nao

  • @OfficialElishamaMulokozi
    @OfficialElishamaMulokozi 21 วันที่ผ่านมา +41

    Habari njema.Mahakama kuu ya tanzania

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 20 วันที่ผ่านมา

      😂,,usiseme habari njema...maana Isaya Ole posi amekanusha kumtuma huyo wakili Njau na kumuita tapeli na tayari ana mpango wa kumfungulia mashtaka 😂😂😂😂

  • @salashtuyaiimollel1016
    @salashtuyaiimollel1016 21 วันที่ผ่านมา +31

    Hongera sana mumgu amejibu maombi ya wana Ngorongoro

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 21 วันที่ผ่านมา +1

      Mahakama imesitisha Ili kuangalia kama Sheria zimefiatwa. Na Mungu msimuingize kwenye ushenzi wenu

    • @rkcomercialenterprises3209
      @rkcomercialenterprises3209 21 วันที่ผ่านมา +1

      Mshenzi ni wewe, Mungu hakukosea uumbaji wake juu ya wamasai na akawaweka pale

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 21 วันที่ผ่านมา +1

      Huyo NAE mrundi akae mbali na mambo Yetu wa TZ msheni ni yeye aliyetoka kwao akaja kuomba hifadhi kwetuakome kututukana kwenye ardhi Yetu Koma😮

    • @dannypeter4951
      @dannypeter4951 21 วันที่ผ่านมา +2

      Asante mungu Kwa hatuna hii nzuri

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 21 วันที่ผ่านมา +1

      Jaji mwenda ibariki we sanaaa

  • @User255tv
    @User255tv 20 วันที่ผ่านมา +8

    Fear of God! Big up Hon. Judge.

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 21 วันที่ผ่านมา +42

    Anayeitesa Tanzania Namtuma Malaika wa kifo aingie kazini usiku huu kama alivyopingwa farao apingwe na Mungu Mapingo makubwa

    • @verdianabanabi2205
      @verdianabanabi2205 21 วันที่ผ่านมา +3

      Eamina mungu amtoe roho.

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 21 วันที่ผ่านมา +2

      Unamtuma 😂😂😂 hakuna hiyo kitu achaporojo.

    • @joshuasamson9618
      @joshuasamson9618 20 วันที่ผ่านมา

      @@AlhajiIssa-jb9hr farao alikuwa na moyo Mgumu na kupingwa mapingo kumi na moja Pingo la Mwisho Damu ya kafara ya kondoo zilipakwa milango kwa nje kwenye madishi kwa nje usiku Kuna Malaika wa kifo toka binguni akukuta nyumba yeye Alamance damu haingii anapita Mpaka ndirisha la nyumba ya farao cha cha mtotowe Malaika wa kifo Fiaaaah kaua kesho Farao akasema ondokeni kwangu Ee Musaa Mwanangu Amekufaa Usichezee na Madhabahu ya Mungu Malaika wa kifo ashughulike watesaji

    • @lemeiyapapai1526
      @lemeiyapapai1526 20 วันที่ผ่านมา +4

      ​@@AlhajiIssa-jb9hrmwache awatume bhana huwezi kujua😅😂😂

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 20 วันที่ผ่านมา +1

      @@lemeiyapapai1526 Hahaha 🤣🤣🤣

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 21 วันที่ผ่านมา +18

    Njau I love you sana for masai Ngorongoro❤

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 21 วันที่ผ่านมา +21

    Jamani kama mmekula hela ya mtu huko ngorongoro kuhusu mbuga zetu ludisheni helazao ili wamasai wabaki salama

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 20 วันที่ผ่านมา +3

    Tunapenda mawakili mnaojitambua haki zawatanzania hongeren mawakili wote mlio lisimamia ishu yangorongoro

  • @bonifacemeela5247
    @bonifacemeela5247 21 วันที่ผ่านมา +44

    Huu ni Mwanzo mpya wa Tanzania Mpya

    • @danielthomasmsigwa31
      @danielthomasmsigwa31 21 วันที่ผ่านมา +2

      Hali hii ipo nje ya maamuzi ya mtu, chunguza kinachojiri duniani mwombe Mungu tu kwa sasa

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 20 วันที่ผ่านมา +2

    Jajiiiiiiii❤❤❤❤ Mungu Baba Mkuu akufunike kwa damu ya Yesu wetu

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 21 วันที่ผ่านมา +19

    MAHAKAMA OYEEE❤TUUMEANZA KUAMKA TANZANIA

    • @HarunaGardenGoa
      @HarunaGardenGoa 20 วันที่ผ่านมา +1

      Km kenya vile

    • @bili-films
      @bili-films 20 วันที่ผ่านมา +1

      Tunapoelekea kitaeleweka tu

    • @hajikatanje5961
      @hajikatanje5961 20 วันที่ผ่านมา

      Acha ujinga wewe huo ni mtego hakuna haki apo itaona kitakacho endelea

  • @Ezeqsweya1116
    @Ezeqsweya1116 21 วันที่ผ่านมา +13

    Hahhaha,hii mbona ni akili ndogo tuu
    Wameogopa😂 TLS TLS ...WE TRUST YOU

  • @ibrahimnzolowela3196
    @ibrahimnzolowela3196 21 วันที่ผ่านมา +21

    Habari njema ndani ya mioyo ya wapendao wema!

  • @PasakaNicholas-wm5mn
    @PasakaNicholas-wm5mn 21 วันที่ผ่านมา +12

    Hongera Oleposi hongera Mh Njau! Mungu awalinde

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 20 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂,..Isaya Ole Posi amekanusha kumtuma huyo wakili Njau...au hujasikia???

  • @nicodemusjohn6474
    @nicodemusjohn6474 20 วันที่ผ่านมา +5

    Viva Mwambukusi

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 20 วันที่ผ่านมา +4

    Asante mwabukusi, nchi hii kuna wanaojifanya yao pekee na kuwaona waarabu ni muhimu kuliko wazawa

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 20 วันที่ผ่านมา

      😂,,Tulia wacha ushabiki si umesikia kuwa zuio lililowekwa ni kwa muda...maana hakuna raia wa Tanzania anaemiliki arddhi katiba inasema ardhi ni mali ya serikali chini ya rais...wote tunamiliki ardhi kama wapangaji tu... serikali inapotaka kubadili matumizi ya ardhi ina haki wakati wowote ule tofauti na kama ilivyo nchini kenya

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 20 วันที่ผ่านมา +3

    Asante Mungu wetu amesikia vilio vyetu na maombi yetu.
    Asante Wakili
    Asante jaji
    Asante TLS
    Anante Mwabukusi
    Asante mawakili wetu watetezi wa Tanzania yetu na watu wake na maliasili zetu

  • @SabatoMusa
    @SabatoMusa 21 วันที่ผ่านมา +9

    Nakupa. Maua Yako kwakusimamia haki🎉

  • @IsmaelRamole
    @IsmaelRamole 20 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu wakili ashindwagi kesi...KAZI nzuri wakili.

  • @neemamatey
    @neemamatey 21 วันที่ผ่านมา +8

    Ongera peter umefanya kaz nzuri

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 20 วันที่ผ่านมา +1

    mungu ibariki tz mungu ibariki Africa, Ata Giza riwe kubwa kiasi Gani, abuhi itafika, tusiogope tuamini tu.

  • @user-fl3oh7eq8v
    @user-fl3oh7eq8v 20 วันที่ผ่านมา +2

    Halleluya halleluya halleluya Asante Yesu kwa kusikiliza wamasai.

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 21 วันที่ผ่านมา +11

    Hii ndio TLS tuliyokuwa tunataka

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 21 วันที่ผ่านมา +1

      We are starting to see the relevance of TLS

    • @silasmarandu1485
      @silasmarandu1485 21 วันที่ผ่านมา +1

      Section (4)
      Kama vile namuona mh. Kajujumele Mwabukusi 😂😂

    • @MawazoMofu
      @MawazoMofu 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@silasmarandu1485🙏🙏🙏

  • @jamesloshilunye414
    @jamesloshilunye414 20 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu mkubwa sana,, naamin hawa waarabu watarudi kwao ,,kama wanapendwa sana wakakatiwe ardhi Zanzibar

  • @AdamNdojeti
    @AdamNdojeti 21 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu akulinde sana mwabukusi na mie binafsi nakuombea kwa Mungu akulinde na wenye hila mbaya nawe

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 20 วันที่ผ่านมา +1

    Daaih kweli mungu amtupi moja wake Asante Sana jaji

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 20 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani tamisemi inaongozwa na nani? Iko chini ya wizara au wazirii gani?

  • @jacksonbarnaba9088
    @jacksonbarnaba9088 20 วันที่ผ่านมา +2

    Hatimaye leo nimefarijika kuona mahakama imefanya kazi yake bila kuingiliwa, bila kuhofia aliyetoa tangazo la kufuta baadhi ya vijiji . Mmesimama km mhimili usioingiliwa. Pongezi kwenu🙏🙏🙏

  • @LekuleKipuyo-gk4rq
    @LekuleKipuyo-gk4rq 20 วันที่ผ่านมา +1

    Safi kabisa mahakama tendeni haki hiyo kwa jamiii hakuwa haki watanzani tumwuogope mungu sana

  • @AliphonceMartina
    @AliphonceMartina 21 วันที่ผ่านมา +5

    Furaha yangu sasa ni kuona habari hii

  • @user-oy9bq5pf7n
    @user-oy9bq5pf7n 21 วันที่ผ่านมา +8

    Muungano ukivunjwa ndio salama ya ARIDHI ya watakanyika viongozi KUTOKA zanzibar wanauza kubinavisisha ARIDHI ya watakanyika,katiba ibidilishwe ilinde masilahi wa watanganyika au muungano uvunjwe

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 21 วันที่ผ่านมา +2

      Serikali tatu ndiyo salama yetu

    • @BoniphasLukas-c3c
      @BoniphasLukas-c3c 20 วันที่ผ่านมา

      We bwege kwel salama kondom au nn unasapot ujinga​@@adelinelyaruu3036

  • @sositenesssabuni2480
    @sositenesssabuni2480 20 วันที่ผ่านมา +3

    Tunashukuru mwabukusi kuwa raisi wa wanasheria tunaona haki inaanza kutendeka.

  • @Gavi_255
    @Gavi_255 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ibariki Tanzania

  • @navioma4882
    @navioma4882 20 วันที่ผ่านมา +1

    Kwani mbona tunateseka na nchi yetu🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭

  • @nashonjoel20
    @nashonjoel20 21 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu Awabariki kwa kusimamia HAKI dhidi ya Wakazi wa Ngorongoro. Haki Huinua Taifa

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 20 วันที่ผ่านมา +2

    Jaji mungu akulinde

  • @ThobiasMapunda-s9g
    @ThobiasMapunda-s9g 20 วันที่ผ่านมา +1

    hongela kwa kazi nzuri jaji njau mungu akulinde

  • @silasmarandu1485
    @silasmarandu1485 21 วันที่ผ่านมา +2

    Mzee wa section (4) 😂😂
    Haki itainua Taifa lazima Mwabukusi chini ya uongozi wako lazima hata majaji wanyooshe mambo 😮😮no corner corner

  • @SaidMkwabi-ho8yy
    @SaidMkwabi-ho8yy 21 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu saidia hawaviumbe wenzetu waendelee kuishi maeneoyao wanataka kuchukua mabepali kwanjaa zao kamahao hawafi we are passing in the world

  • @justinelukumay5308
    @justinelukumay5308 21 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu naomba uwalinde wamasai waendeleze uhifadhi wa Ngorongoro

  • @user-fc3og1eo3x
    @user-fc3og1eo3x 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ahsante Sana Rais wa TLS mwabukusi kwa hoja nzito za kupinga kuondolewa wamasai ngorongoro

  • @user-ec7us6vf6w
    @user-ec7us6vf6w 21 วันที่ผ่านมา +9

    Kwa Wamasai LAZMA SERIKALI itulie ww hao jamaa Waacheni mh

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 21 วันที่ผ่านมา +5

    MWAMBIE CHURA DAWA YAKE INAKUJA. MUNGU HSDHIHAKIWI.

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 21 วันที่ผ่านมา +12

    Haki huinua taifa. Mungu akulinde Judge

  • @AmenMushi-j2j
    @AmenMushi-j2j 21 วันที่ผ่านมา +12

    Mabukusi Mungu akutunze hongera sana miaka 3

    • @yusuphrajab8952
      @yusuphrajab8952 20 วันที่ผ่านมา

      Aliefungua kesi mwingine

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 20 วันที่ผ่านมา

      @@yusuphrajab8952 chini ya uongozi na usimamixi wa TLS.
      Au huna habari?

  • @DanielOlodupo
    @DanielOlodupo 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awabariki wote waliofanikisha hili pongezi kubwa Kwa TLS hakika sisi wanangorongoro tutazidi kuwashukuru na kuwaombea Watetezi wote wa taifa letu 🙏🙏🙏

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 21 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu simamia Tz yetu.

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 21 วันที่ผ่านมา +4

    Hawa viongozi hawaangalii maslahi ya wananchi wanaowaongoza wanajali vitu vingine mbali na wananchi

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 20 วันที่ผ่านมา +1

    Ila serikali muwe na mawazo chanya hao watu zaid ya 300 wataenda wapi du na nchi ni watu sasa kama hamuwaongozi watu waliowachuguwa muwaongoze ndio mnawafanyia hivi sasa mtaongoza kitu gani?

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kwakupitia hii kunamkoni wakiongozi,mbona mnatesa watanzania kwaajili yawawekezaji,mnajichumia laana Bure tu,.

  • @JosephMollel-t6e
    @JosephMollel-t6e 21 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu awalinde sana mawakili kama Hawa wanaojua ubinadamu Ni Nini

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 20 วันที่ผ่านมา +1

    Wasitolewe kabisa kwsbb wazungu,watalii hua wanapenda kukaa kwenye maboma ya wa masai picha nk ni utalii pia Allah atusaidie KWANZA

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu atusaidie taifa letu tuwe salama na mikono ya wanyonyaji na wakoloni mamboleo kwaajili ya vizazi VYETU.

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 20 วันที่ผ่านมา

    Asante wakili Njau pamoja na jaji ulotengua Amri ya kufuta vijiji na kuwaondoa,

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 20 วันที่ผ่านมา

    Wazo la leo,,
    Zanzibar ni mji wa kitalii
    Wanainchi wote wapishe ili kuboresha sekta ya utalii.

  • @wegesawaryoba3316
    @wegesawaryoba3316 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mama yangu Tanzania😢😢, Asante kwa ajili ya watoto wako.

  • @JosephOlenjoro
    @JosephOlenjoro 20 วันที่ผ่านมา

    Kweli tunapenda kukufatilia mambo zako ila hili ya ngorongoro unatudanganya sana kwa hili sio poa kwa kweli hatujui hili

  • @MwanahamisiHashim
    @MwanahamisiHashim 18 วันที่ผ่านมา +1

    Tumuombee jaji maana kasimamia haki

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mwabukusi oyeeeee😂😂❤❤❤

  • @ImmasaiguranKivuyo
    @ImmasaiguranKivuyo 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe maisha marefu sana

  • @user-hf7ld6nn1r
    @user-hf7ld6nn1r 21 วันที่ผ่านมา +2

    Asante mungu,barikiwa wakili.

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu aibue wengi kama Njau idara zote za serikali.Maaana nchi hi inaendeshwa bila kufuata Sheria sasa.Wanatamani Sheria au katiba ya nchi zisiwepo ila wafanye wanavyotaka.Hawa watakuja kusababisha vurugu nchi hii sababu ya maamuzi ya kipuuzi kama hayo.

  • @castorymhonjwaj2469
    @castorymhonjwaj2469 20 วันที่ผ่านมา

    Wanaowafutie wenzao vijiji mungu awepe adhabu Yao wanaroho mbaya

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 21 วันที่ผ่านมา

    Asante mungu kwa uonekano wako. Pili asante jaji kwa utu wako. ? Wanataka watu wa mungu waende wapi? Yaani huzi kazi mtu unakuwa kama mnyama.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 21 วันที่ผ่านมา +3

    MUNGU ibarki Tanzania PAMOJA wamasai . Mdharau kwao ni mtumwa.

  • @akimAkimuWA-m3t
    @akimAkimuWA-m3t 20 วันที่ผ่านมา

    wooote wanaowatesa watanzania mungu nyookanao wachukue

  • @EmmanuelErnest-xd1rc
    @EmmanuelErnest-xd1rc 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe sawabu sako

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 20 วันที่ผ่านมา

    That's great approach ila shida ni kwamba je serikali itatii hilo zuio la mahakama? Cuz huku kwetu serikali kuu huwanga haisikilizi mtu ni kila kitu nguvu tu

  • @imanimahundi8293
    @imanimahundi8293 20 วันที่ผ่านมา

    Kama mpira WA miguu,ni timu Moja inaongoza Dakika 90 bado.

  • @justusndyamukama4808
    @justusndyamukama4808 19 วันที่ผ่านมา

    Mwenendo mzima wa kesi hii unapaswa kuchunguzwa kwa kina.

  • @GerrardLaizzer
    @GerrardLaizzer 19 วันที่ผ่านมา

    Jaman tuwasomeshe watoto maana daa usipo kuwa na elimu utaonewa sana

  • @franksiame8441
    @franksiame8441 20 วันที่ผ่านมา

    WaLudishieni walabu hela zao tamaa mbaya munauza hadi ndugu zenu vibaraka watiifu wa mabeberu aibu kubwa hamuliziki jamii ya Wamasai ndio nembo ya taifa letu leo munaisambalatisha shem on you

  • @emmanueliman7408
    @emmanueliman7408 20 วันที่ผ่านมา

    Bwana atukuzwe sana,haki imetendeka waziri alietoa agizo hilo achukuliwe hatua,kwani yeye anaishi angani?

  • @YangaNews
    @YangaNews 20 วันที่ผ่านมา

    Yaani sahz mbona mambo ya watawala yanagoma yote 😂😂😂

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 21 วันที่ผ่านมา +3

    Asante Mungu.

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 20 วันที่ผ่านมา

    Tunataka mahakama itende haki isiingiliwe na mtu yeyote , huyo jaji Mungu ambariki sana .

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 21 วันที่ผ่านมา +2

    Jaji hatopewa cheo tena,mwisho wake ni ujaji, hiyo ndiyo aibu ya serkali

    • @meshackmpalanga9130
      @meshackmpalanga9130 21 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu atampa cheo thabit, tunampongeza sana

  • @Innocentnyika-ml5tr
    @Innocentnyika-ml5tr 21 วันที่ผ่านมา +3

    Nchi yangu Leo sisi ni wa kuanza kudanganyana

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kuwatunza na kuwajalia afya njema...kazi iendelee.

  • @ramadhanishabani1738
    @ramadhanishabani1738 21 วันที่ผ่านมา +2

    Wamasai walitaka kuandamana kesho..wameona kuwa kesho kungewaka huko mbugani

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 20 วันที่ผ่านมา

    Asante ee Mungu baba yangu wa mbinguni. Umeenda na tunajua utaebdelea kutenda

  • @hellenshayo3454
    @hellenshayo3454 20 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mdogo wangu Njau uko vizuri nakuaminia

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 16 วันที่ผ่านมา

    Jaji sema ukweli na mungu atakulinda watetee wamasai maan watu wengi wanapenda juwaonea wamasaai wakidhani awana akili ya kutosha basi wamasaai wako vizuri kiakili ni kwamba awapendi shari ni watu walioumbwa wakipenda amani

  • @petercley6230
    @petercley6230 20 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuri Wakili, …ila sio amri hile, ni amri ile😂

  • @ColethaaTsere
    @ColethaaTsere 21 วันที่ผ่านมา +3

    munguu ni mwemaaaa

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 20 วันที่ผ่านมา

    Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeni , hii ni salamu tu. Serikali isipojirekebisha kwenye mambo ambayo wananchi wamekuwa wakiyalalamikia na yanawaumiza ndani kwa ndani. Ujumbe utakaotumwa ni mkubwa . Serikali sio ya wachache , hata sisi watu wa chini tufaidi nchi yetu jamani , wenye navyo wanazidi kujilimbikia ili hali tunaishi maisha mabaya mno. Wamasai hoyeeee nimewapenda sana ,mmeandamana kwa amani na utulivu mkubwa , hiyo nimewasifu sana , kiongozi wa maandamano anapaswa apewe medali na kutunukiwa cheti cha Amani. Pia ni mfano wa kuigwa tunatuma ujumbe bila kuharibu chochote . Asanteni wajomba zangu

  • @EzekiaKwimba-l1h
    @EzekiaKwimba-l1h 20 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂jamani wamasai nao ni watu mbona kama wananyanyasika kana kwamba sio watanzania jaman

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu awalinde mnaosimamia haki

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 19 วันที่ผ่านมา

    Haya ,huyo ni wakili.
    Amechongwa na anaongea ksms kweli alifuatwa na mteja ole Posi ,ambae amekana kufungua shauri au kumjua!
    Kazi kwako rais (tls ) BAK mwmbks,inasomekaje kwa wakili kuchongwa na sirikali kwa lengo ovu kuonfoa uovu!

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp 17 วันที่ผ่านมา

    How comes Kizimkazi wacheke Ngorongoro walie kwa kisingizio cha utalii ule ule ndani ya 'Muungano'.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 20 วันที่ผ่านมา

    Dah pole Sana masai kwa hatua mnayopitia komaen hvo hvo had kieleweke

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b 20 วันที่ผ่านมา

    asante sana wamasai ngorongoro kwa kukataa kuon doka kwenu makao yetu ya milele kama jamii ya watanganyika poleni sana jamii yangu waambie hao walowezi wakome kuwaangaisha watanganyika na jamii ya maaa. Popote walio Tanganyika wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu zote watanganyika tulinde tanzanaiti yetu

  • @castorymhonjwaj2469
    @castorymhonjwaj2469 20 วันที่ผ่านมา

    Mahakama ibarikiwe sana

  • @khamisjohn7639
    @khamisjohn7639 16 วันที่ผ่านมา

    Acheni viini macho, mnasubiri Serikali imetoa msimamo wa kuwaacha wamasai na kuwapa huduma stahiki kwa agizo la Mh.Raisi then mnajifanya eti mahakama nanyi mnatoa amri ya kusimamisha amri hiyo........kwa nn mnatuona sisi wote kama watoto?

  • @user-yi8pe8zz1t
    @user-yi8pe8zz1t 14 วันที่ผ่านมา

    Haa!kumbe bado Kuna watu Wema ambao MUNGU amejisazia,Mii nilikuwa nakuuliza sasa itakuwaje tutaenda wapi tukasikilizwe😢

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 20 วันที่ผ่านมา

    Mungu ni mwema Kuna baadhi ya wanasheria wanatoa hukumu Kwa haki Tanzania ijayo itakuwa salama na safi. Tumechoka na Ccm hii

  • @RutaJuvent
    @RutaJuvent 19 วันที่ผ่านมา

    Huyo mwanamke hamja mgundua,ametumwa kivunja mungano,Kuna mtaafu ndiye anae ratibu yote,madili yote,bandar,ardhi ngorongoro,misitu......