Deusdedith Soka: Haijalishi Watatutesa Kiasi Gani ni Lazima Tuipiganie Nchi Yetu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 219

  • @mrossotv9054
    @mrossotv9054 3 หลายเดือนก่อน +9

    DUUUH Uliongea Maneno Bora Sana Kijana Mwenzangu Hongera sana

    • @mrossotv9054
      @mrossotv9054 3 หลายเดือนก่อน +1

      Urudi Unawajibu Wa Kulitendea taifa lako njoo Mungu akulinde uliki

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 2 หลายเดือนก่อน +4

    MASKINI hata alikuwa na makuu alikuwa very positive,Dear heavenly father,yeyote aliyeshiriki kumteka,wewe ndo HAKIMU MKUU NA WAKWELI,Kapambane nao, Inshallah.

  • @JulianaJackson-j4c
    @JulianaJackson-j4c 3 หลายเดือนก่อน +12

    Eee Mungu muokoe huyu kijana na hao wadhalimu...angalia vile ana nia njema na taifa,eee bwana hujawahi shindwa na uovu YESU shusha moto kwenye mikono ya hao watekaji ,watie upofu...shusha hasira yako juu ya familia zao na wao waangamize...wadhihirishe na wadhalilishe bayana...DAMU YA HUYU KIJANA SIO MAJI YESU...YESU SIKIA MUNGU WETU OKOA...HANA HATIA ,ANA NIA NJEMA NA TAIFA LAKE

    • @hermankihwili1095
      @hermankihwili1095 3 หลายเดือนก่อน +2

      Amen damu ya Kristo Imtakase

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu wetu anatusikia. Kama kweli ameuawa basi Damu ya huyu soka haitapotea bure. Itaondoka na wengi. Taifa litatikisika kwa uovu.

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 3 หลายเดือนก่อน +8

    FREE SOKA PLEASE. He is very patriotic and intelligent. He is smart and open minded

  • @madukurumwanileles7909
    @madukurumwanileles7909 3 หลายเดือนก่อน +9

    Kijana Yuko vizuri Sana anatililika vizuri naomba wasukatishe ndoto zake,vijana kama hawa nu wachache ubarikiwe

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akutetee wewe na wenzio mrudi jaman,

  • @frankevaristo6918
    @frankevaristo6918 3 หลายเดือนก่อน +11

    Inaumiza sanaaa

  • @essaumapunda5766
    @essaumapunda5766 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu atakulinda na mabaya yote

  • @Abs-tz8dl
    @Abs-tz8dl 2 หลายเดือนก่อน +3

    Inspirational kijana wetu 😭

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu atalipa

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu wangu nakulilia wewe Najua unaweza naomba baba tenda mujiiza wako kijana wako huyu awe hai please baba….mfunike kwa damu ya yesu asiumizwe mwili wake, na Kama amekwisha umizwa naomba baba umpe uponyaji wa haraka wa mwili na akili na roho yake.
    Hawa ndio hasa vijana wa taifa letu. Mungu wangu naomba unisikie. 🙏

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 2 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu dogo mungu amlinde duniani mpaka akhera

    • @Hyun626
      @Hyun626 2 หลายเดือนก่อน

      Amin

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 3 หลายเดือนก่อน +7

    Is THIS BIG BRAIN really GONE? No it’s a big shame to everyone. People should stand up and speak for these guys.

    • @wiza2309
      @wiza2309 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani kweli huko aliko wamhurumie pamoja nabhao wenzao.

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu yuko nawe bro pole sana Mungu atakusaidia

  • @MariamAnafi-bf9gy
    @MariamAnafi-bf9gy 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akulinde ulipo

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 3 หลายเดือนก่อน +6

    Tunaongozwa na shetani

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kijana uko wapi uko wapi kwanini mungu hakukulinda tuna kuitaji we ni kati ya watu sahihi ambao nimuhimu katika inch hiii tunaumic uzalendo wako nadani yainchii

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kama mtu Ana watoto au ndugu sawa na hao vijana basi tuvae mioyo ya imani Kama wazazi au wakaka au wadada tusiwaumize Bali tuwalinde na kuwaelekeza taratibu Kama wanakosea mahali. Kwa hapo wala hakuna kosa linaloonekana la kuumiza nchi bali kujenga zaidi.

  • @BeathaChambo
    @BeathaChambo 3 หลายเดือนก่อน +13

    Mungu akulinde brother

  • @SamolaMbuta
    @SamolaMbuta 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atalipa haya ambaye watu wake wanapitishiwa na watu waovu hakika mungu atalipa

  • @atupegemwakahesya
    @atupegemwakahesya 3 หลายเดือนก่อน +14

    Wanaowafanyia wenzao mateso kama hayo, nao ni binadamu kama wengine. Lakini ipo siku yatawarudia.Tena yawezekana wao malipo yakawa makubwa zaidi.

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kijana nismart sana ningekuwa rais ningempa kitengo anyooshe serikali

  • @happinessmchome9101
    @happinessmchome9101 2 หลายเดือนก่อน

    Heri Taifa ambalo Bwana ni MUNGU wao. Viongozi wa tanzania hawana hofu ya Mungu kabisa, walafi, wanamwaga damu zisizo na hatia ila machozi ya watanzania wanaolia kwa ajili ya ndugu na watoto wao hayataenda bure kama Mungu aishivyo. TANZANIA HAKUNA AMANI KAMA WATU WANAVYODHANI, viongozi walafi na mafisadi.

  • @Mjeda-q1m
    @Mjeda-q1m 2 หลายเดือนก่อน +2

    Anayetajwa kumpoteza huyo kijana damu ya huyu kijana itamaliza kizazi chake kijana anajieleza vizuri laaa mungu msaidie huyu kijana

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 2 หลายเดือนก่อน

      Yan vijana km huyu ccm hawana ndyo maana roho inawauma Unajua Ccm Wana Roho Mbaya Kuriko Sumu Ndyo Maana Mm Nachukia Sanaaaa Ccm Kuriko Ki2 Chochote Duniani

  • @annachilasa8265
    @annachilasa8265 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mpaka sasa moyo wangu unakuwa mzito sana kuamini kama haupo duniani ninachoamini bado upo naipo usiku utaonekana Mungu niwetu sote😢

  • @ChikiraMnkeni
    @ChikiraMnkeni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah aiseee inauma Sana

  • @meiruzibwe9145
    @meiruzibwe9145 3 หลายเดือนก่อน +13

    The Chanzo uko vzr;
    Soka yuko vzr zaidi.
    Kwa kifupi sana mahojiano yamenipa MATUMAINI MAPYA YA Tz tuitakayo.
    Kupigania uhuru awamu ya pili ni sasa,
    kupigania katiba mpya ni sasa.

    • @BenedictaMagantg
      @BenedictaMagantg 3 หลายเดือนก่อน +2

      We should waje up. This is not acceptable.

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 3 หลายเดือนก่อน +5

    Muogopeni mungu jamani watu wenyemaono watekwa wanauwawa jamani niwabie asiyejulikana c ni ccm ndiyo icyojulikana

  • @janemwaipopo
    @janemwaipopo 2 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭 Mungu hakawii Malipo yapo

  • @WilleMbwilo
    @WilleMbwilo 3 หลายเดือนก่อน +3

    Free soka 😢

  • @ChikiraMnkeni
    @ChikiraMnkeni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaa God make you be Free soka

  • @SelfaaManyasi
    @SelfaaManyasi 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hivi kwani tukifanya kama yaliyofanyika Kenya itakuwaje au mnaogopa na kama mnaogopa nisindindikizeni mimi tu maana tunakoelekea sisi watu tusio na cheo serikalini tutaacha familia nyingi zikiwa na majonzi na maumivu yasiyoisha jamani

  • @swamadujumanne795
    @swamadujumanne795 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watu hawana hofu na mungu ccm acheni kuwapiga ndg zeny

  • @amaniamani6391
    @amaniamani6391 3 หลายเดือนก่อน +5

    Free soka vinginevyo italigharinu jeshi la polisi

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 3 หลายเดือนก่อน +16

    Damu ya yesu ikuzingire uliko bwana deus

  • @YacintaJames
    @YacintaJames 3 หลายเดือนก่อน +3

    Inaumiza sana kuona mtu mwenye upeo wa kufikiri kama huyu kijana anatekwa na vyombo vya dola. Nchi hii tunaelekea wapi?

  • @zuberisalum2004
    @zuberisalum2004 3 หลายเดือนก่อน +3

    Pole dogo tafuta maisha yako siasa hiyo itakughalimu alaf haoviongoz wako sio wakwelii utakuwa pekee yako maskinn

    • @saulomathayo
      @saulomathayo 3 หลายเดือนก่อน

      Alishapotea huyu! Hiyo ni last speech kabla ya tarehe 18 kupotea

    • @djunction4127
      @djunction4127 3 หลายเดือนก่อน +2

      Nyie ndo mmetufikisha hpa kutokana na roho zenu za kibinafsi zisizo waza hata kesho ya vitukuu vyenu.

    • @erestizacharia4758
      @erestizacharia4758 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe acha kushauri kivuli Cha mtu au mrudisheni.

    • @matiredms917
      @matiredms917 2 หลายเดือนก่อน

      Mnafiki na laanakum weee. Inawezekana wewe ndiye mmojawapo ya watekaji.

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 2 หลายเดือนก่อน +1

    Vijana kama hawa kwenye nchi za watu waliyostaarabika ni hazina ya nchi lakini kwa nchi yetu ambayo imekosa utashi wa kisiasa ni uadui wanataka vijana wote wawe wanasifia viongozi machawa wachumia tumbo wanaokaa vijiweni kushabikia mpira wa simba na yanga daily hawataki vijana wenye ufahamu kama soka Mungu amnusuru soka kutoka kwenye mikono ya watesi

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu yupo pamoja nawe lkn yatakwisha haya ya unyanyasaji ipo cku kila mtu atarudi kwao viongozi wengine na Raisi mwengine yataisha haya

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nchi yetu imekuwa na watu wenye viburi ya pesa na roho mbaya sana. Sijui tunakimbilia wapi mungu akiamua kufanya yake. Taifa limebebwa na shetani hadi huruma

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi kijana una haki sawa ya kuongea maoni yako kama hao viongozi walio madarakani.. as long as huvunji sheria ya nchi

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kama wao ndio wanaohusika kwenye utekaji itawezekana vipi wazuie huo utekaji?
    Kitendawili hicho

    • @norahfrank
      @norahfrank 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wapigwe na Mungu Mwenyewe. Na waaibike kwa jina la Yesu

  • @ShaibuYahaya-v4b
    @ShaibuYahaya-v4b 2 หลายเดือนก่อน

    mdogo wangu tupo pamoja sana wasipo kuludisha na ss watatuteka atutawaacha kuwambia

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani kama wamewau hakika na wao hawataishi kabisa kabisa italipwa na mungu aliyewaumba atawaangamiza na watt wao

  • @annamsigwa-z4q
    @annamsigwa-z4q 2 หลายเดือนก่อน

    Sina amani kama wapo siku nikiwaona nitashuru mungu na serekali mungu tetea nchi hii

  • @rosekajuki1787
    @rosekajuki1787 3 หลายเดือนก่อน +7

    Tatizo amewagusa watu ambao ni mafya hawana uchungu na nchi hii wanajali mali zao na familia zao tuu si Tanzania chunguzeni mtagundua jambo hapo inatisha sana mungu asimame pamoja na wanaopigania nchi hii

    • @BenedictaMagantg
      @BenedictaMagantg 3 หลายเดือนก่อน

      Hivi tumelala kweli majumbani?????

  • @wiza2309
    @wiza2309 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kijana mdogo lkn ana upeo mkubwa. Yaani vijana kama hawa ndiyo wa kuwatunza lkn sisi ni nani aliyeturoga jamani

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 3 หลายเดือนก่อน +3

    so pain

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 3 หลายเดือนก่อน +4

    Dah hakakadogo hadi huruma jamani kunawatu wanaroho mbaypesa, pesa,pesa

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 3 หลายเดือนก่อน +1

      Pesa gani bila utu? Wapumbavu tu

  • @norahfrank
    @norahfrank 3 หลายเดือนก่อน +13

    Arudishwe Soka.vinginevyo kuna malipizi makubwa mbeleni

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 3 หลายเดือนก่อน

      Kutoka kwa nani?

    • @SarapiaMfoi
      @SarapiaMfoi 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu wa mbinguni,ndiyo.mtetezi wetu pekee

    • @kinkybanjukome217
      @kinkybanjukome217 3 หลายเดือนก่อน +3

      Wakimuua revenge ni lazima iwepo haiwezekani kijana ndogo kama huyu adhulimiwe maisha yake halafu rais Samia analala usingizi wakati Askari wake wanauwa raia wasio na hatia halafu yuko kimnya

    • @ShamteMohmed-ed2kk
      @ShamteMohmed-ed2kk 3 หลายเดือนก่อน +1

      Haya kavamieni polisi tuone panapovuja

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 3 หลายเดือนก่อน

      @@mosesg.pendael8381 I hi binadamu

  • @AyubuMwambola-j3k
    @AyubuMwambola-j3k 3 หลายเดือนก่อน +2

    Na viongozi wa nchi na walaaniwe

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nchi yetu imekuwa ni KARTEL system na hao MAKARTEL hawataki mabadililko ya aina yoyote ile yatakayo wazuia wao kuiba.. but ONLY TIME WILL TELL

  • @KwiniJoel
    @KwiniJoel 3 หลายเดือนก่อน +5

    INAUMA SANA KWA HAYA YANAYOFANYIKA NA SERIKA
    HASRA TUNAZOZIPA NI KALI MNO. SIKU MOJA ITAKAPOFIKA...........

  • @saulomathayo
    @saulomathayo 3 หลายเดือนก่อน +9

    Hakika waliomteka huyu Kijana walaaniwe pamoja na vizazi vyao. Mungu naomba tenda jambo!

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 2 หลายเดือนก่อน

    Hana point.

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu 3 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mwandishi yawezekana ni sehem ya mpango kazi

    • @mussakingazi8875
      @mussakingazi8875 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa, viongozi wake wanafahamu, michezo Hiyo

  • @JoshuaYohanaLaizer
    @JoshuaYohanaLaizer 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kube sabab niii akuna mtu anawesa piga ilo tutatoko kuadamana

  • @KingIbrahimHaule-t7f
    @KingIbrahimHaule-t7f 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani namuomba mungu Mimi na kizazi changu hasije kutokea mtu akagombea hata ujumbe wa wa nyumba kumi ktk taifa la Tanzania

  • @philemon-mz2fv
    @philemon-mz2fv 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa ndio viongozi wa kesho

  • @sauda4505
    @sauda4505 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan nataman niihame nchi hiyooo bora ningezaliwa pengine popote

  • @babazizu1255
    @babazizu1255 2 หลายเดือนก่อน

    Nchi hii IPO cku viongozi we2 mungu atawashushia rungu zito

  • @AyubuMwambola-j3k
    @AyubuMwambola-j3k 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani shetani Hawa, Kwa nini wanateka watu pasipo na makosa ,na walaaniwe watu hawa na nchi yake yote ilaaniwe

  • @SharifuBakari-tr7hd
    @SharifuBakari-tr7hd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah jmn huyu mtu ni muhim sana ktk taifa letu maana nimegundua kitu kutoka kwake ni mwelevu mno!

  • @MusaMkembela-ex6ev
    @MusaMkembela-ex6ev 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa watakua washamzulu hawa sio watu

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 3 หลายเดือนก่อน +2

    Katiba mpya ni lazima sio ombi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 หลายเดือนก่อน +14

    Hivi kwanini mtu akipigania haki anateswa anatekwa anapotezwa anauwawa huwa kosa kubwa ni nini

    • @salamabakari8384
      @salamabakari8384 3 หลายเดือนก่อน +2

      Niroho mbaya tu

    • @AmyeSanga
      @AmyeSanga 3 หลายเดือนก่อน

      Ardhi ya Tanzania haimtaki kabisa mweye haki​@@salamabakari8384

    • @AmyeSanga
      @AmyeSanga 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kwa asili ardhi ya Tanzania haimtaki mtu mwenye Haki.

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 3 หลายเดือนก่อน +2

      Roho ya ubinafsi na ushetani imetawala sana. Watu hawamwogopi hata mungu tena

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kijana ana kosa gani hapo? Jamani wazazi wengine acheni roho za kishetani wapendeni vijana wa wenzenu muwarlewe mawazo Yao muwalinde na siyo kuwauwa

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi tanzania hatutakiwi kubadilika au tumetosheka tulipo panatosha mbona wauza ughaibu wanaishi salama wanalala mnono bila kubughudhiwa na vijana wanaojalibu kupigania haki hushambuliwa na wasiojulikana na wanapotea kwani kunani hapa ?

  • @SylvesterMakenzie
    @SylvesterMakenzie 3 หลายเดือนก่อน +8

    Nchi hii msema kweli ni mateka wa watawala ila Mimi naamini Mungu hapendezwi na uovu wenye dora acheni kutenda maovu ogopeni hasira ya Mungu juu ya uovu na waovu

  • @wiza2309
    @wiza2309 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu anayehoji sijui alikuwa anatqka jibu gani.. na wewe ni kijana hii ni Nchi yenu vijana simameni Imara

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 2 หลายเดือนก่อน

    Kijana smart huyu amekosa kazi ya kufanya amefirisika mapema mno.

  • @jaredayiera3279
    @jaredayiera3279 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kijana wa ni sawa na Rais Ayati,John magufuli

  • @kennycathles
    @kennycathles 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha unafiki unapompa Mtu mkono jifunze kumuangalia usoni. ,....unaangalia pembeni ni Mnafiki !@ Mwanahabari.

  • @fredyleonardmaths2546
    @fredyleonardmaths2546 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye nchi ni MUNGU mtauwa wangapi? Huyu kijana ni very smart and open minded ana shida gan?

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeiskiloza yote hii video

  • @nicholauskilosa5336
    @nicholauskilosa5336 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mwisho utakua mbaya sana, watawala wamejisahau sana lkn wajifunze kwa Al Bashir, Mobbutu, Sadamu Hussain,Omary Bongo na wengine wengi.Mwisho utafika tuu haijalishi itachukua muda gani

    • @halimaKaniki-g6i
      @halimaKaniki-g6i 2 หลายเดือนก่อน

      Wangekua sudan wangenyooka raisi alitolew madarakan nchi ikashikwa najeshi japo kumetokea vita ila yule rais alifungwa mpaka sas hatujui yupo wapi😂

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 3 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani mbona kijana huyu anaongea vizuri kizarendo naomba serikali msikirizeni huyu kijana maana anaongea ni mambo ya kujenga nchi

    • @JacksonFrances
      @JacksonFrances 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo Kashatekwa Tupaze Sauti Aachiwe Huru "

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile 3 หลายเดือนก่อน

      Tatizo hii nchi haiko salama hivyo inapaswa tutafakari kwa upana zaidi . ​@@JacksonFrances

  • @Maria-cx4kn
    @Maria-cx4kn 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vijana kama hawa wanapoteaje jamani? Hizo ni brain adimu sana tunapaswa kuzilinda. Ni watoto wetu Kama wanakosea ni swala la kuwasikiliza na kuwafundisha na kuwaelekeza. Lazima wana point zao tukiwasikiloza kwa upendo kama watoto wetu tutawaelewa.
    Please tuvumiliane

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 3 หลายเดือนก่อน +9

    Anahekima sana

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hiiiii nchiii ngumu sana😢😢😢😢 mtuu anaataka kuikumbusha serikalii utekajiii wanamteka mteteziii hatuko salama kwa kwelii mungu tuteee

  • @Damian-tt8fv
    @Damian-tt8fv 3 หลายเดือนก่อน +8

    Free Soka

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 3 หลายเดือนก่อน +9

    Ila one day yes

  • @simonjumbe178
    @simonjumbe178 2 หลายเดือนก่อน

    Kati ya mashujaa wachache vijana ambao wanapaswa waandikwe kwenye historia ya kitabu cha demokrasia na historia ya nchi nyingi za Africa

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hatutaki maandamano

    • @JekobuNgwara
      @JekobuNgwara 3 หลายเดือนก่อน +1

      Acha ujinga kwaniumeambiwa ukandamane

    • @peterbajuta6859
      @peterbajuta6859 3 หลายเดือนก่อน +2

      Acha uchawa hata wewe sio mkulima upo upo 2

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho 2 หลายเดือนก่อน

    Rais wangu Samia ,,kemea na kutafta watekaji Rais wangu,,nch yetu tangu lini ikawa hv?

  • @EmmanuelNdahya-ud5nj
    @EmmanuelNdahya-ud5nj 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu jamaaa anaumiza sana anlmenipa kuamka kama namwelewa ivi

  • @JulianaJackson-j4c
    @JulianaJackson-j4c 3 หลายเดือนก่อน

    Kweli hawaumiii ,wapo wanakula na kunywa na kustarehe ...

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa Wameanzisha Vikundi vya Uchochezi Chuki za Kidini Wameshindwa kufanya Kazi wandai Maisha ni Magumu Hawataki Kulima

    • @peterbajuta6859
      @peterbajuta6859 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kichwa chako kibovu sana jitahidi upate kichwa kingine hiyo ubongo ni mgando

    • @MariamKhalid-ub9jj
      @MariamKhalid-ub9jj 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@peterbajuta6859😂😂

    • @AmisiLulacha
      @AmisiLulacha 3 หลายเดือนก่อน +3

      subiri mtoto wako atekwe ndo utajuwa vizuri kweli afazali mtu awe mlemavu wa viungo kuliko kuwa mlemavu wa ubongo

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 3 หลายเดือนก่อน

      @@HASSANWAZIRIGAOhizo ni falsafa za wafalme wabavu waliokosa hekima na ufahamu wa uongozi huuwa kila ndoto za wenye hekima humpiga gizani kila anaejalibu kuoyesha njia na kuwakosoa maana wanajua ufalme wao haukutokana na ridhaa ya wananchi huchagua kutawala kwa fimbo ya chuma na upanga kuliko maridhiano na hiyo ni dalili mbaya ya anguko la kila taifa maana mungu huwashusha wenye kibuli na wauwaji hawatadumu balazani pake na apandae kwa upanga atavuna kwa upanga

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @EsterJoel-i7i
    @EsterJoel-i7i 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haki gani ambayo watanzania hawana na unaweza kuwasaidia vipi na ni mtanzania gani asiyeweza kutetea haki yake mpaka nyie mkaandamane

    • @mwakimwakimwakifwamba6829
      @mwakimwakimwakifwamba6829 3 หลายเดือนก่อน

      Koo unaona alikua anaongea pumba we nyau nini au ndio mtekaji maaandamani niii lazima mpuuzi wewe

  • @Kassimngonyani
    @Kassimngonyani 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa hili la kutekwa watu tupaze sauti kama maswala mengine vinginevyo watu watazidi kupotea

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 2 หลายเดือนก่อน

    Anatafuta wapate uhuru wa manyani, haiwezekani.

  • @ChristianLimo-k8t
    @ChristianLimo-k8t 2 หลายเดือนก่อน

    Akili nying san

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 หลายเดือนก่อน +2

    Chadema wanawatumia na kuwaponza vija n a wetu😢😢😮

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 3 หลายเดือนก่อน

      what u mean ati chandema ?

    • @Abs-tz8dl
      @Abs-tz8dl 2 หลายเดือนก่อน

      Kijana ni chadema pia katoa maisha yake kwa uhuru wa cijana wote watanzania

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 2 หลายเดือนก่อน +1

      Daaaaaaaaaaaaah akil ya mtu ni mtu mwenyew mm sio CCM wala CHADEMA lakin sijawah kifurahishwa na utawala tulionao...utawala wa KUTEKA KUPIGA NA KUTISHIWA KUPOTEZWA hii inafikirisha sana

  • @mohammedjuma6736
    @mohammedjuma6736 3 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wetu vijana kama Hawa Wana moto sana ,yaani naona bora kushindana na mamlaka ,yaani unalazimisha Katiba mpya iletwe bila hii iliyopo kutuelimisha mapungufu yake,ukiwa huamini katika utaratibu

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 3 หลายเดือนก่อน +1

    Police hafati sheria why?

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani yuko wap huyu kiongozi

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 3 หลายเดือนก่อน +1

    MNAMKUMBUKA ABDURU NONDO ALIVYOJITEKA MWENYEWE HUYO KAJIFICHA KISHA ASEME AMETEKWA

    • @mwakimwakimwakifwamba6829
      @mwakimwakimwakifwamba6829 3 หลายเดือนก่อน

      Saaaa unaongea nini nawe

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ili iweje?
      Huyo kujana Ana akili kubwa sana kuliko vijana wengi sana kama wewe. He is intelligent smart patriotic brave and truthful. He should be supported with other young men.

    • @Maria-cx4kn
      @Maria-cx4kn 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hujielewi kabisa unaongea nini. Unaleta mambo ya mitaani huku kwenye jambo serious. Toka kabisa huku

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 3 หลายเดือนก่อน

    Watanzania msihofu sisi ni wengi kuliko majambazi!!! Muda umefika hata wafanyaje haki tumeipata tayari dalili ya kupata ndo hizo mnazo ziona!!

  • @JulianaJackson-j4c
    @JulianaJackson-j4c 3 หลายเดือนก่อน

    Ukiangalia ameongea logic zote na hakuna kaulinza za uchochezi au kuvunja amani...na ana mawazo mapana ya kizalendo...sijui waliomteka wanalitumikia taifa au watu wa nchi gani

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji umekosea kumalizia clip hii kusema tofali la kujenga limeongezeka. Kwasababu kiila leo watanzania wanaomba kwa vilio kwamba nyumba-Tanzania imepasuka pasuka kila siku nyumba inazidi kupata nyufa zinazowapa hofu ya kuanguliwa na kuta zake lakini hakuna wa kuwajibu!

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 3 หลายเดือนก่อน +1

    Arudishwe kwa kwel